mwalimu

Julius Kambarage Nyerere (Swahili pronunciation: [ˈdʒuːlius kɑmˈbɑɾɑgɑ ɲɛˈɾɛɾɛ]; 13 April 1922 – 14 October 1999) was a Tanzanian anti-colonial activist, politician, and political theorist. He governed Tanganyika as Prime Minister from 1961 to 1962 and then as President from 1963 to 1964, after which he led its successor state, Tanzania, as President from 1964 to 1985. A founding member of the Tanganyika African National Union (TANU) party—which in 1977 became the Chama Cha Mapinduzi party—he chaired it until 1990. Ideologically an African nationalist and African socialist, he promoted a political philosophy known as Ujamaa.
Born in Butiama, then in the British colony of Tanganyika, Nyerere was the son of a Zanaki chief. After completing his schooling, he studied at Makerere College in Uganda and then Edinburgh University in Scotland. In 1952 he returned to Tanganyika, married, and worked as a teacher. In 1954, he helped form TANU, through which he campaigned for Tanganyikan independence from the British Empire. Influenced by the Indian independence leader Mahatma Gandhi, Nyerere preached non-violent protest to achieve this aim. Elected to the Legislative Council in the 1958–1959 elections, Nyerere then led TANU to victory at the 1960 general election, becoming Prime Minister. Negotiations with the British authorities resulted in Tanganyikan independence in 1961. In 1962, Tanganyika became a republic, with Nyerere elected its first president. His administration pursued decolonisation and the "Africanisation" of the civil service while promoting unity between indigenous Africans and the country's Asian and European minorities. He encouraged the formation of a one-party state and unsuccessfully pursued the Pan-Africanist formation of an East African Federation with Uganda and Kenya. A 1963 mutiny within the army was suppressed with British assistance.
Following the Zanzibar Revolution of 1964, the island of Zanzibar was unified with Tanganyika to form Tanzania. After this, Nyerere placed a growing emphasis on national self-reliance and socialism. Although his socialism differed from that promoted by Marxism–Leninism, Tanzania developed close links with Mao Zedong's Marxist-governed China. In 1967, Nyerere issued the Arusha Declaration which outlined his vision of ujamaa. Banks and other major industries and companies were nationalised; education and healthcare were significantly expanded. Renewed emphasis was placed on agricultural development through the formation of communal farms, although these reforms hampered food production and left areas dependent on food aid. His government provided training and aid to anti-colonialist groups fighting white-minority rule throughout southern Africa and oversaw Tanzania's 1978–1979 war with Uganda which resulted in the overthrow of Ugandan President Idi Amin. In 1985, Nyerere stood down and was succeeded by Ali Hassan Mwinyi, who reversed many of Nyerere's policies. He remained chair of Chama Cha Mapinduzi until 1990, supporting a transition to a multi-party system, and later served as mediator in attempts to end the Burundian Civil War.
Nyerere was a controversial figure. Across Africa he gained widespread respect as an anti-colonialist and in power received praise for ensuring that, unlike many of its neighbours, Tanzania remained stable and unified in the decades following independence. His construction of the one-party state and use of detention without trial led to accusations of dictatorial governance, while he has also been blamed for economic mismanagement. He is held in deep respect within Tanzania, where he is often referred to by the Swahili honorific Mwalimu ("teacher") and described as the "Father of the Nation".

View More On Wikipedia.org
  1. Waziri Lela Mussa: Mwalimu asiyekuwa na madili ni bomu la kuangamiza Jamii zaidi ya Bomu la Heroshima

    Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali, Lela Mohammed Mussa amewakumbusha Walimu kuwa wanapochagua Kada ya Ualimu wakumbuke kuwa wameyatoa maisha yao kwa ajili ya jamii. Akizungumza na Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Tisa wa Chama cha Walimu Zanzibar katika Ukumbi wa Taasisi ya Utalii Maruhubi Wilaya...
  2. Vigezo na masharti ya Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu vyawekwa hadharani

    Mwenyekit wa kamati ya Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu, Prof. Penina Mlama, ametangaza vigezo vya kushiriki katika duru ya nne ya tuzo hiyo ya ya mwaka 2025/2026 yenye lengo la kukuza lugha ya Kiswahili na kuthamini mchango wa Mwalimu Nyerere. Ameeleza hayo kwenye kikao na...
  3. Salum Mwalimu: Mimi mwenyewe ni msafi na chama changu ni kisafi

    Wakuu, Huyu baba leo kajua kujisafisha msikilizeni hapo anavyojipakulia minyama Salum Mwalimu anasema yeye ni msafi na chama chake CHAUMMA ni kisafi
  4. Ms Rachel: Mwalimu,mzazi wa pili na dada wa kazi wa Youtube

    Kama una watoto wadogo basi hili jina sio geni. Huyu YouTuber sijui amewalisha nini watoto. Wakimuona tu kwenye TV wanaanza kukenua. Amekuwa msaada kwa wazazi hasa wanapokuwa busy na majukumu ya nyumbani. Ukimwekea mtoto videos zake hata hawasogei walipokaa. Wapo wanaosema kuna madhara mtoto...
  5. Hata kama kwa 75% sikubaliani nae ila kusema kuwa kupambana na akina Mwalimu na Mpina ni Kujishosha Hadhi hapa nasi tumeteleza

    Hivi akina Mwalimu na Mpina wangekuwa ni Wagombea wa Vyama vyetu pendwa (siyo CCM) bado tungewadharau hivi? Tafadhali tumpinge Rais Samia kwa Hoja za maana na siyo za kutufanya Wote tuonekane ni Wapumbavu.
  6. Watanzania Kama KARNE hii tupo hivi nasadiki kusema Mwalimu Nyerere(Baba wa Taifa) alipambana Sana

    Ukitazama ujinga tulionao Watanzania wengi katika karne hii utagundua kuwa Mwalimu Nyerere alipambana sana. Hakika Baba wataifa alipata tabu sana kusugua kutu na Msasa kwenye vichwa vya Watanzania. Imagine ujinga wakipindi chake ulikuwaje kama hivi sasa ni 2025 Watanzania karibia wote...
  7. Mwalimu Nyerere Alipewa Uongozi wa Tanganyika Ukumbi wa Arnautoglo April 1953

    MWALIMU NYERERE ALIPEWA UONGOZI WA TANGANYIKA UKUMBI WA ARNAUTOGLO APRIL 1953 Ukumbi wa Arnautoglo na Team ya Heritage Center for Liberation pamoja na TBC tunarekodi historia ya Uchaguzi wa Rais wa TAA kati ya Abdulwahid Sykes na Julius Nyerere 1953. Kiasi cha miaka miwili iliyopita. Picha ya...
  8. GE2025 What a shame, Taifa litapoteza 1 trillion Kwa uchaguzi wa Samia Vs Salum Mwalimu

    Yanayoendelea Tanzania ni aibu kubwa mno. Watu hawana aibu. Ukiangalia nchi jirani unaona kwenye chaguzi zao chama tawala kinachuana na strong opposition leader. Kwa Tanzania Hali ni tofauti, baada ya Samia kujiteua bila kupigiwa kura kuwa mgombea urais, ameenda mbali kwa kuogopa strong...
  9. K

    GE2025 Kama Chaumma chini ya Mwalimu itapata kura zaidi ya 100,000 nchi nzima itakuwa ni jambo la ajabu

    Nimeona kuwa Salum Mwalimu ndo atapeperusha bendera ya CHAUMMA kwenye nafasi ya Urais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kama CHAUMMA itapata kura zaidi ya 10,000 nchi nzima mtakuja kuniambia. Safari hii CCM watazoa kura kwa asilimia 99. Upinzani nchi hii bado sana.
  10. A

    Kama Mwalimu Moroko ataacha kutupangia line up yake kwa majaribio Tanzania ana kila sababu ya kutwaa UBINGWA Wa CHAN Kwa mara ya kwanza

    Stars haijawahi tu kuwa serious na CHAN tofauti na ilivyoshiriki kwa mara ya kwanza mwaka 2009 chini ya mzee Marcio Maximo na Ally Bushiri. Tumefuzu Afcon 2025 kwa kuzifunga nchi zilizotumia wachezaji kutoka ulaya huku sisi tukiwa tunacheza humuhumu... Tulifungwa na Morocco na DRC tu. Wakati...
  11. James Mbatia: Uhaini wa mwisho nchini kufanyika ilikuwa jaribio la kumpindua mwalimu nyerere

    MWENYEKITI wa zamani wa Chama cha NCCR Mageuzi, James Mbatia, amevunja ukimya baada ya kusema kuwa anashangazwa na kesi ya uhaini inayomkabili mwenyekiti wa CHADEMA taifa Tundu Antipas Lissu. “Upinzani wa fikra sio uadui. Kuwepo kwa mitazamo tofauti si kosa, bali ni utajiri wa mawazo unaopaswa...
  12. Majina yanayoonesha venue za kufanyia interview, Mwalimu wa uchumi(Economics).

    Habari zenu wanajamvi, hivi tangazo linaloonesha venue za kufanyia interview somo la uchumi ajira portal limeshatoka?
  13. (Re-advertised) Anahitajika Mwalimu

    Shule: Prime MIkocheni. Idadi: Walimu Watatu. Sifa: Degree ya Elimu mfano (Bachelor of arts with Education). Awe amehitimu kati ya mwaka 2024 na 2025. Awe mkazi wa Dar es Salaam. Namna ya Kutuma: Andika jina lako, mwaka wa kuhitimu chuo, jinsia yako, mahali ulipozaliwa, na mahali unapoishi kwa...
  14. A

    DOKEZO Tuambiwe, Mwalimu kupata uhamisho ni Sh ngapi ili tulipe. Inachosha kusubiri majibu kutoka TAMISEMI bila maelezo yanayoeleweka

    Kilio kifike kwa Serikali, kuna changamoto kubwa ya uhamisho wa sisi Watumishi katika sekta ya Ualimu, hasa tunaofanya mchakato wa kuhama ili kuwafuata wenza wetu, wapo pia wanaoomba uhamisho kwa sababu nyingine tofauti. Tunaelekezwa kuwa tutumie mfumo wa ESS, wengi wetu tumezingatia hilo...
  15. Mwalimu wa EXCEL na WORD

    Natafuta mtu mwenye uelewa wa juu wa Exel na word. Napatika kigambon DAR ES SALAAM 0764 75 82 84 Hawakage@yahoo.com Asante
  16. Natafuta mwalimu wa EXCEL na Word

    Habari zenu, Natafuta mtu mwenye uelewa wa excel vizuri anielekeze. Yaaani from basic to advanced excel. Anitafute kupitia-Hawakage@yahoo.com 0764758284 Nipo DAR kigamboni
  17. Z

    Cuba na Urusi kuna nini, zama zilee za mwalimu, wasomi wetu walio enda kusoma nchi hizo walirudi wakiwa wamechanganyikiwa (data)

    Huo ndio ukweli, watu wa miaka ya zamani watakumbula kuwa, wasomi wetu walio somea Cuba au Urusi walikuwa wamechanganyikiwa! Kwa miaka ya hivi karibuni mtamkumbuka Dr. Shika sasa marehemu, ambaye pia alisomea huko Urusi alirudi akiwa amedata. Wapo wengi tunawajua wengime wametangulia mbele za...
  18. Mwalimu Nyerere hakuwahi kuikosoa CCM akiwa mafichoni tusipende kujikweza

    If you are bold enough and you think you have a mass support jitokeze hadharani na ukosoe kwa haki na uwazi. Mara zote baba wa Taifa Alipokuwa anakosoa hakuwahi kujificha mafichoni hii ikimaanisha alikosoa kwa dhati na kweli. Tupunguze maigizo. N.B Hata John Nchimbi alikosoa CCM akiwa katika...
  19. Tanga: Mwalimu ajinyonga kisa wivu wa mapenzi

    Mwalimu Enock Peter (32) wa Shule ya Msingi Potwe wilayani Muheza mkoani Tanga, amedaiwa kujinyonga kwa kutumia shuka nyumbani kwake, wakati Kesi yake dhidi ya anayedaiwa kuwa Mpenzi wake ikiwa Mahakamani. Leo Jumatano Julai 16, 2025, Mratibu Elimu Kata ya Pongwe, Rajabu Msuya amesema alifika...
  20. Mwalimu Nyerere alinusa harufu ya kiu ya Katiba bora

    Muktasari: Suala hilo la mwisho ndio linalozungumzwa sana katika kipindi hiki ambacho mchakato wa Katiba umekwama na hakuna dalili za kuendelea huku wanasiasa wakilalamika kuwa kuna uendeshaji nchi usiozingatia maridhiano hayo ya wanajamii. Kuna wakati alitumia hafla kuzungumzia Muungano...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…