mwaka mpya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoyo Zhou

    Uzoefu ambao sitakuja kuusahau wa kusherehekea Mwaka Mpya wa Jadi wa China pamoja na Wachina

    “Chun jie kuai le” ni maneno ambayo kwa sasa yanasikika sana masikioni mwa Wachina na wageni waliopo hapa China hasa kwa kuwa sasa tupo katika msimu wa mwaka mpya wa jadi wa China. Maneno haya yanamaanisha “Heri ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China”. Mimi nikiwa mgeni ambaye ninaishi China kwa karibu...
  2. Yoyo Zhou

    Watalii wa kimataifa wajiunga na sherehe ya Mwaka Mpya wa Jadi wa Kichina nchini China

    Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa Kichina inakaribia. Siku hizi katika mitaa na vichochoro nchini China, kuna wageni wengi ambao wamekuja China kujionea na kupata uzoefu wa sikukuu hiyo muhimu sana kwa Wachina. Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa Kichina imekuwa kivutio kipya cha China kwa watalii...
  3. KIMBILIO LA WANYONGE

    Mwaka mpya, fursa mpya. Tuchukue hatua kupata matokeo

    SALAMU ZENU?? Hii thread ni ndefu ila we isome tu uimalize kwa manufaa yako 📢📢.HAYA kwa zaidi ya miaka 17 niliyokuwepo Jamii forum nimejifunza mambo mengi sana, nimekutana na mawazo ya kila aina, watu wenye mitazamo na maoni ya kila aina, fursa za kila aina na ndipo nikagundua kumbe watu ni...
  4. Parabolic

    Salamu za mwaka mpya (2026) kutoka kwa askofu Mwanamapinduzi kwa watanzania akiwa ukimbizini

    Ndugu zangu Watanzania! Mvua ya Haki na Amani toka kwa Mungu wa Mbinguni iwe nanyi! Ashukuriwe Mungu kwa kutuwezesha kuuona mwaka mpya. Kwani siyo jambo rahisi kwetu sisi Watanzania tuliobaki. Maana tumeshuhudia maelfu ya wenzetu wakiuawa, kutekwa na hawajulikani walipo huko wengine wako...
  5. Bwana Bongo

    Chukua hii kuanza mwaka mpya

    Mikopo ya Ushauri Kila mtaa una wale watu wanaokopesha kila kitu—pesa, nguo, kiwanja, nyumba, gari. Lakini aliibuka mtu mmoja yeye, alikopesha ushauri. Ndiyo. ushauri. Alikuwa anaitwa Mshauri, lakini wengi walimwita tu Mjomba Kichwa. Hakukuwa na kitu ambacho hakuwa na maoni nacho. Ukiwa na...
  6. Mvinyo mpya

    Niliyoyashuhudia mkesha wa mwaka mpya Arusha: Ufuska wa kutisha, anasa, ulevi, matusi, na hekaheka zingine

    Tarehe 1 Jan 2026 (yaani Leo) nimesafiri kuja DSM, ninapoishi, kwa gari la KLM. Kabla ya hii safari nilichukua lodge uchwara karibu na ofisi za Kilimanjaro hotel (bei elf 20). Wakati naenda kuchukua lodge ilikua majira ya saa kumi na mbili jioni. Nikapumzika mpaka saa tano, ilivyofika saa tano...
  7. Mad Max

    Liverpool na Manchester City Mtauanza Mwaka Mpya kwa Maumivu Makali

    Man City leo hamtoki kwa Sunderland na Liverpool mtashangazwa na Leeds United hapo Anfield. Mtamjua Calvert Lewin ni nani leo?
  8. K

    Kulingana na desturi yako unasherehekeaje Mwaka mpya 2026?

    Kila ifikapo tarehe 31 Desemba, sherehe za Mwaka Mpya hufanyika sehemu mbalimbali duniani usiku kwa nyakati tofauti, kutokana na tofauti za saa kati ya nchi na nchi. Baadhi ya tamaduni pia husherehekea Mwaka Mpya kwa wakati tofauti na tarehe 31 Desemba, kwa sababu hutumia kalenda tofauti. Kwa...
  9. H

    Ninawatakia Heri ya Mwaka Mpya 2026 Watanzania wenzangu wote. Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

    Ninawatakia Heri ya Mwaka Mpya 2026 Watanzania wenzangu wote. Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
  10. H

    Heri ya Mwaka Mpya 2026 Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

    Heri ya Mwaka Mpya 2026 Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
  11. H

    Tunauanza mwaka mpya kwa imani na matumaini, tukijua Mungu anafanya jambo jipya kwa kila mmoja wetu (Isaya 43:19).Heri ya Mwaka Mpya wenye baraka

    Tunauanza mwaka mpya kwa imani na matumaini, tukijua Mungu anafanya jambo jipya kwa kila mmoja wetu (Isaya 43:19). Heri ya Mwaka Mpya wenye baraka. Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
  12. jblus

    Malengo ya mwaka 2026

    Kwa juhudi na kumuomba Mungu, nina imani mambo haya nitayatimiza mwaka huu 2026. Jua liwake mvua inyeshe inabid niyatimize kwa namna yoyote... 1: Kuimarika kiroho, Natamani kuwa karibu na Mungu wangu zaid mwaka huu kuliko kuliko chchte. Amekua akinionekania kwenye mambo mengi sana hivo...
  13. ELI COHEN

    VIDEO: Hii ndio stori fupi ya mabaharia wenzagu walipokuwa wakisikilizia mwaka mpya

    Msoto uko pale pale, kinachobadirika ni namba pekee. ] Tuendelee kupambana, hakuna namna, HAPPY NEW YEAR FRIENDS.
  14. Taasisi ya Mifupa-MOI

    Heri ya Mwaka Mpya 2026

    Salaam za Mwaka Mpya toka Taasisi ya Mifupa - MOI
  15. The Father of All

    Tunapoanza mwaka mpya, tujue, utekaji ni dalili za woga wa wanaojidai wana nguvu wakati ni cowards

    Kichwa cha habari kiko wazi. Nafunga na kuanza mwaka kwa kusema wazi kabisa kuhusiana na kadhia ya utekaji, upotezaji, na mauaji nchini. Japo, watu wanaweza kudhuriwa na kuogopeshwa hata kunyamazishwa, utekaji, upotezaji, na mauaji yatokanayo nao ni ushahidi kuwa wenye nguvu tunaodhani wana...
  16. Amicable Group

    Heri ya Mwaka Mpya 2026 – Tunawatakia mwaka wenye afya, mafanikio na maendeleo endelevu kwa kila mmoja!

    Heri ya Mwaka Mpya 2026 – Tunawatakia mwaka wenye afya, mafanikio na maendeleo endelevu kwa kila mmoja!
  17. M

    baruti zinazopigwa usiku huu wa mwaka mpya zingepigwa marufuku, zinaleta kumbukumbu mbaya za milio ya risasi ya 29 Oktoba 2025

    Sikutegemea kama usiku huu wa kuamkua 2026 mwaka mpya utanivuruga kisaikolojia Nilizoea kufurahia baruti za mwaka mpya lakini kwa mara ya kwanza nimehuzunika kila ninaposikia milio ya baruti, akili inarudi kwenye milio ya 29 Oktoba mwaka jana
  18. Meja Jenerali Isamuhyo

    Salamu za Mwaka Mpya 2026

    Leo ni Alhamisi ya tarehe 01.01.2026 Ni siku ya kwanza ya mwaka mpya 2026. Tuma salamu kwa members wawili wa JamiiForums uwatakie heri na fanaka za mwaka mpya 2026..
  19. K

    Tanzania nchi ya ajabu Sana, mtu aliyeua raia wake bado anathubutu kutoa salami za Mwaka Mpya 2026

    Hii inafikirisha sana, nchi zilizoendelea muuaji angekuwa tayari ameshakamatwa yupo ndani na ameachia ngazi kulinda heshima ya raia wake na nchi yake. Lakini Tanzania, Mtu aliyepora uhai wa wananchi bado ana nguvu na uthubutu wa kutoa salamu za Mwaka Mpya. Kweli tunahitaji msaada kutoka katika...
  20. Pascal Mayalla

    Live Rais Samia: Salaam za Mwaka Mpya

    Wanabodi Rais wa JMT, Samia Suluhu Hassan, yuko hewani live mubashara, kuhutubia taifa kuuaga mwaka 2025 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2026 https://www.youtube.com/live/nNvsNM8Esw8?si=PVpOlaVydbZ45elx Karibuni Na sababu leo ndio mwisho wa mwaka, hakuna ubaya na mimi nikiweka salaam zangu za...
Back
Top Bottom