mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. Mvua za mwaka huu hatutazisahau.

    Jana hatari Sana wingi lilitanda Mida ya mchana saa Sita kukawa giza na hapo upepo mkali watu tumejificha zinapiga radi na kuvunja minazi. Wabishi wa kuhama mabondeni wamekubali jinsi maji baridi yanavyotisha wamehama wote wamerudi vijijini na huko mashambani wasio pata na waliopata wote...
  2. M

    Halotel imekuja Tanzania mwaka 2015 kamkuta TTCL ana miaka 30 sokoni ila Halotel kampita wateja TTCL

    Telecom market share ya Tanzania ya mwaka 2023 kutoka TCRA inaonesha wazawa tulivyo wavivu na wazembe kwenye kuongoza mashirika ya umma Baada ya kuanzishwa October 2015 iliwachukua mwaka mmoja tu Halotel kufikisha wateja milioni tatu (3), yaani by mwaka 2016 October Halotel alikuwa tayari...
  3. E

    Kwa wanasiasa mwaka ujao utaongozwa na namba Tisa

    Vyama vya siasa, pamoja na kwamba watu ndio huchagua lakini nyota ya mtu kwa mwaka husika wa uchaguzi inahusika sana kumfanya mtu huyo kuchaguliwa na hao watu bila kujali itikadi zao. uchaguzi wa mwaka huu wa serikali za mitaa na wa mwaka ujao utabalance kulingana na mkuu wa nchi tuliyenae na...
  4. Orodha ya nyimbo na watunzi za Juwata jazz toka mwaka 1977 mpaka mwaka 1997

    Mwk 1977 nyimbo 7 *Selemani *Sakina *Aziza *Dada nalia *Dawa ya mapenzi *Azimio la Arusha *Benk ya biashara Mwk 1978 nyimbo 6 *Mwana acha wizi: Mabera *Mpenzi Zalina: Bitchuka *Ccm: Mwanyiro *Nidhamu ya kazi: Bitchuka *Vijana tujitokeze: *Mariamu: Mabruk Khalfani Mwk 1979 nyimbo 5 *Uzuri si...
  5. Mpaka mwaka 2050 hakutakuwa na watu wenye utimamu wa maadili

    Naandika kwa sikitiko kuu Nikiwa kwenye maoteo ya sikukuu yetu hii isiyotabirika, nikaamua nijivinjarii na mbuzi katoliki kwenye mikusanyiko ya watu wasio rasmi na huku nikihesabu baraka zangu. Kama kawaida nikasambaza upendo kwa mmama mmoja jirani yangu (desperado 2) nakuendelea kunywa balimi...
  6. Usiku mzuri ninaoukumbuka mwaka 2020 ndani ya Iringa Mjini

    Kanuni yangu ya maisha ni hii: fanya ibada, tafuta pesa, wekeza, msaidie asienacho(japo sio lazima) na mwisho kabisa kumbuka kujipa furaha wewe mwenyewe. Mwaka 2020 ulikuwa ni wa mafanikio sana kwangu. nilipata deal lililofanya nizunguke sehemu mbalimbali nchini ikiwemo iringa. Ukiondoa faida...
  7. Mara yako ya mwisho kupiga kura ilikuwa mwaka gani? Kwanini?

    Kuna watu wamepoteza ari ya kupiga kura kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa na Uchaguzi Mkuu. Wapo wanaosema waliacha kwa kuwa hawana imani kama kura wanazipiga ndizo zinaamua mshindi, wanaona kama uchaguzi ni kiini macho tu hivyo wamekata tamaa ya kushiriki. Wengine wakidai wanajichosha...
  8. Mwaka 2005 nilishuhudia kupatwa kwa jua (solar eclipse)

    Mwaka huu kutatokea tukio la kupatwa kwa jua ila kwa huku Tanzania hatutaliona vizur kama watu wa Mexico na Marekani Ila imekunimbusha tukio kama hili nililishuhudia na nikiwa na utimamu wa akili kuanzia mida ya saa saba mpaka saa tisa kulikua na kivuli flani hivi japokua jua lilikua linawaka...
  9. Eid ya mwaka huu mwezi tutaangalia kwa kutumia VAR tumechoka kufungishwa siku ya Eid

    Habari ziwafikie BAKWATA mwaka huu ngoma lazima itazamwe kwa VAT kama umeandama au la! Haiwezekeni kila mwaka tunafungishwa siku za eid hili lifike mwisho.
  10. M

    Vituko vya mamelodi mwaka 2016 alitolewa Champions league kisha akaenda akatolewa kombe la shirikisho. Maajabu akatwaa ubingwa wa champions league

    Mamelodi sundowns ni timu yenye CV ya ajabu sana. Imewai kutwaa kombe la africa mara moja mwaka 2016. Na hiyo mara moja walitwaa kwa vituko vingi sana. Vinachekesha. Baada ya kushindwa uwanjani waliamua Mpira uchezwe na wanasheria wa mamelodi mahakamani Mwaka huo 2016 mamelodi alishiriki...
  11. Naitaji Toyota Crown Athlet ya mwaka 2011

    Jaman naitaji Toyota crown athlet ya mwaka 2011 Iwe namba E Ikiwa Rangi nyeupe au black no problem Price yangu ni milion Tisa Niko dar es salaam Kama kuna mtu anayo please ndm
  12. Makusanyo ya kodi katika robo tatu ya mwaka 2023/24

  13. Sheria ya Maafa ya mwaka 2022 inasaidia vipi wananchi kipindi cha maafa?

    Hapa katikati Tanzania tumekua na maafa kadhaa. Kubwa kuliko yote lilikua la Hanang Manyara. Lakini leo pia kumekua na taarifa kwamba zaidi ya wanakujiji 895 kutoka katika kaya 179 za kijiji cha Taweta kilichopo kilombelo Morogoro hawana mahala pa kuishi wala chakula kutokana na janga la...
  14. Msanii Mkubwa Bongo Fleva atabiriwa kifo na Wachungaji kutoka Kenya na Zimbambwe

    Msanii Mkubwa Bongo Fleva atabiriwa kifo na Wachungaji kutoka Kenya na Zimbambwe Sasa shughuli inabaki kwetu kama sio Ally bhasi ni Nasibu, maana ndiyo sifa walizotajwa nazo. Nawatakiwa Asubuhi Njema
  15. Tanzania tutafika huku mwaka 2070

    Wakuu kama picha inavyojieleza hapo chini
  16. G

    Aina ya Bangi inayovutwa Tanzania imeachwa kuvutwa Marekani na ulaya tangu miaka ya 1970, watanzania wanaendelea kuvuta na kuyasifia makapi

    Inashangaza sana kuona hadi leo watanzania wanavuta makapi yaliyoachwa kuvutwa miaka ya 1970, yani mpaka leo hawajastuka tu. Makapi haya yanasifiwa kwa majina kama "Cha Arusha", "Tarime one", "Cha malawi", "Skanka ya Moro" n.k, kwa kujidanganya ni kiwango sawa na bangi za Marekani, ni...
  17. INAUZWA Pikipiki ina ya Skygo inauzwa

    Skygo haina hata mwaka Full docments 1.8M 0718909429 Arusha, Morombo, Tanzania
  18. P

    Unadhani ni timu gani imeonesha udhaifu kwenye hatua ya robo fainali mashindano ya CAF champion league mwaka huu?

    Robo robo FC/jaribu tena FC naona ndiyo imekuwa timu dhaifu kuliko zote zilizopata nafasi ya kuingiza hatua ya robo fainali. Wameshindwa kutumia uwanja wa nyumbani vizuri tena kuanzia mwanzo wa mchezo dk ya 5 TU ikamaliza mchezo. Hii ni dharau kwenye soka letu haiwezekani timu itoke mbali huko...
  19. Kampuni ya vodacom mna nini mwaka huu? Nimekuwa nikipokea offer mfulululizo mfano sms hii hapa na kabla ya hapo MB kama zote.

    Najuaga hakunaga vya bure. Nimekuwa nikipokea sms za kupokea vifurushi bure. Una Dakika 20(Voda) na SMS 100 mpaka 2024-04-08 07:05:35 kuwasiliana na ndugu, jamaa na marafiki. Kujua salio Piga *149*60#. Vigezo kuzingatiwa nimajiuliza sana kwa ile kanuni ya HAKUNA CHA BURE HAPA DUNIANI yasije...
  20. Tufanye tathmini (review) ya robo mwaka (Q1: Jan to March 2024)

    Wakuu, Heri ya Pasaka Ni juzi juzi tu tumeanza mwaka 2024. Mwaka unakimbia kwa speed ya 6G Mara nyingi huwa tunafanya review za mipango yetu mwisho wa mwaka, kuangalia nini tumefanikisha na nini tumeshindwa kufanikisha. This time nimeona bora niwe nafanya review kwa quarter. Kati ya malengo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…