mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. Nchi tano kushiriki Uhuru Open Squash kwa Mwaka 2024

    NCHI tano zinatarajia kushiriki Uhuru Open Squash Tournament yanayotarajia kuanza Desemba 6-9, 2024 Jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa Chama cha Squash Tanzania (TSA), Marwa Busigara nchi shiriki ni pamoja na wenyeji Tanzania, Kenya, Uganda, Zambia na Zanzibar. Busigara alisema...
  2. D

    Mbolea gani ya kunyunyizia (Foliar fertilizer) inayofaa kwenye shamba la nanasi?

    Nimepanda shamba la nanasi. Huu ni mwaka pili. Nimeshaanza kuvuna. Nahitaji kuongeza/kuweka mbolea ya kunyunyizia [Foliar fertilize]. Ni ipi inayofaa?
  3. Car experts, hii ni gari aina gani na tolel la mwaka gani?

  4. D

    Je naweza kupata bajaji 3 M iliotumika mwaka mmja tu?

    Je naweza kupata bajaji kwa 3 M iliotumika mwaka mmja tu
  5. Meja Jenerali Ameir Hassan, Mkuu wa Kamandi ya Maji (Navy), Je naye ni Komando?

    Wakuu… Naombeni mnifahamishe huyu Mkuu wa Kamandi ya Wana Maji, Meja Jenerali Ameir Hassan ni Komando? Nimeona ana bawa katika gwanda lake?
  6. Zipi ni historical series au historical single movie kwa mwaka 2023- 2024?

    Wadau wa series na single movie kwa upande wangu Mimi ni mpenzi wa historical series na historical single movies .. Kama kuna unazozifaham za mwaka 2023-2024 unaweza list ili ambao hatuja watch nasisi tupate uhondo
  7. Naomba Usharuri Mimi ni kijana wa Mwaka wa Kwanza Computer Science Nina shauku ya kutoka na GPA kuanzia 4.5 mpaka 5 Je nizatie jambo gani na gani?

    Naomba mtu yeyote mwenye experience anipe mawazo je hawa wanafunzi wanaopata GPA hizi za juu huwa wanafanya Jambo gani na gani?
  8. Kuna utaratibu wa kufanya ukaguzi wa hali ya majengo marefu, walau kwa kila mwaka?

    Najiuliza kama kuna utaratibu huo kwa upande wa mamlaka za uhandisi nchini, kukagua majengo na kutoa certificate za ubora.
  9. CHINA yawa nchi ya kwanza kufanya uzalishaji wa magari ya umeme 10mln kwa mwaka

    Nchi ya China imekuwa nchi ya kwanza duniani kufanya uzalishaji wa magari ya umeme 10mln kwa mwaka.
  10. Tetesi: Huko UDOM wanafunzi wa mwaka wa 2 na wa 3 waanza malalamiko ya chini chini kisa kubadilishiwa makazi yao bila kushirikishwa

    😁😁😁😁😁, Unajua nacheka Kwa nini, hii ni maajabu! Huko UDOM wanafunzi wa mwaka wa pili na wa tatu wameanzisha malalamiko ya chini chini kupinga utaratibu unaotumiwa na uongozi wa chou wa kuwahamisha sehemu (blocks/mabweno) walikokuwa wanajihifadhi. Wanafunzi wanadai kuwa wanapangiwa sehemu...
  11. Tahadhari kwa wanaume! Hakuna mahusiano ya kweli yanayo anza mwisho wa mwaka

    Wanaume heshima kwenu. WANAUME NI KUSANUANA,UKIENDEKEZA GENYE ZAKO UMELIWA. Haihitaji Utafiti lakini kwa uzoefu wangu katika kipengele hiki sasa hivi kila binti ama mwanamke ni mrahisi ajabu hata hapo awali alikuwa mgumu kiasi gani. Wanajirahisha ili wakupige boom apate hela ya sikukuu pendwa...
  12. Ramani ya Tanzania mwaka 1956

    Ramani ya Tanzania ya mwaka 1956 ikionyesha Makabila. Kama huoni kabila lako tafadhali tafuta vibali vya kuishi nchini.😂 i
  13. Vintage Toyota Carina mwaka 1973

    Kama Toyota Carina mwaka 1973 ilikuwa hivi nini kilitokea kwa matoleo recent TOYOTA CARINA 1973 TOYOTA CARINA 2001
  14. Story ya msanii ya mwaka 2087 hii hapa

    Msanii huyu alikua mkubwa sanaa anapesa nyingi kumpa mwanamke gar ya thaman kwake ni kama kumnunulia kanga Kuna muda alikua anapita tu mitaa ya kariakoo sasa hiv imebadilishwa jina inaitwa appoh street bas huyo msanii alikua anagawa tu pesa au akipita mtaan asipokupa hela hasikii hela yaan...
  15. Historia fupi ya mwaka 2006-2008 Mpenzi wangu Akiwa analea Mtoto Akawa Anafanya Uzinzi

    Kwa wale mnaokumbuka miaka hio kulikuwa na sakata la Barclays bank kwenye ishu za mikopo na upotevu wa pesa, wakati huo nikiwa mwajiriwa idara fulani hivi ya Serikali kabla ya kujinasua na kuwa mjasiliamali wa pori kwa pori. Basi bhana nyakati hizo nilipata boom la kimtindo nikatimba ifakara...
  16. "Baada ya kumaliza chuo 2019 nakusota bila ajira mwaka huu nikaona nitumie cheti cha JKT kuomba ajira ya ulinzi Suma JKT.

    "Baada ya kumaliza chuo 2019 nakusota bila ajira mwaka huu nikaona nitumie cheti cha JKT kuomba ajira ya ulinzi Suma JKT nikalinda sehemu ya kwanza ilikua Golden Tulip ambako security officer alinitaka niingie kila siku kwa mshahara wa laki mbili. Ilikua changamoto kutoka kigamboni paka masaki...
  17. Kwa Matokeo ya uchaguzi wa leo Marekani, naamini kuwa mwaka 2020 Trump aliibiwa kura zake kama alivyodai

    Idadi kamili ya kura kwa wgombea wa Democrat, kulingana na Wikipedia ni kama ifuatavyo: 2008: Obama alipata kura milioni 69 2012: Obama alipata kura milioni 65 2016: Hillary alipata kura milioni 65 2020: Joe Biden alipata kura MILIONI 81 2024: Kamala Harris amepata kura milioni 66 Hii ya Joe...
  18. Malengo yako ya mwaka 2024 uliojiweka umefanikiwa mangapi kuyatimiza hadi sasa?

    Unapoanza mwaka mpya kila mmoja anakuwa na malengo yake ya mwaka husika anayohitaji kuyafikia ili kupiga hatua katika maisha yake. Ukitazama sasa tumesalia mwezi mmoja kutoka sasa kukamilisha au kufunga mwaka 2024 bila shaka utakuwa unapicha nzuri ya kile ulichojiwekea malengo yako. Tuambie je...
  19. Jengo hili lililopo Ufaransa limejengwa mwaka 1347 🇫🇷

  20. Hapo ni Kariakoo Mwaka 1975

    Hapo ni Kariakoo Mwaka 1975
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…