mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. U

    JamiiForums Tanzania Wanaume wa Kijaluo wakimbeba David Livingstone mwaka 1885 kumuonesha ziwa Victoria ili aweze kuligundua

    Wadau hamjamboni nyote? Wanaume wa Kijaluo wakiwa wamembeba David Livingstone siku kama ya leo mwaka 1885 kumuonyesha ziwa Victoria ili aweze kuligundua.
  2. chakii

    JamiiForums Tanzania Takwimu zinaonyesha kabla ya Uhuru mwaka 1961 asilimia 80 ya wasomi kwa ngazi ya PhD na Professor walikuwa wachagga

    Kheri ya mwaka mpya WanaJF
  3. milele amina

    JamiiForums Tanzania Madhara ya uchaguzi wa Chadema January 2025 na Uchaguzi Mkuu wa Rais,Wabunge na Madiwani wa Mwaka 2025.

    Katika hali ya kisiasa nchini Tanzania, chama cha Chadema kinakabiliwa na changamoto kubwa kutokana na kosa la kiufundi lililofanywa na uongozi wake. Chama hiki kimeamua kuitisha uchaguzi wa ndani wa chama katika mwaka ambao kuna uchaguzi mkuu wa kitaifa, ambao unahusisha uchaguzi wa Rais...
  4. milele amina

    JamiiForums Tanzania Utaratibu na Mbinu za kupata Ubunge kupitia ticket ya CCM mwaka 2025,Jimbo la Same Mashariki,Huko Kilimanjaro

    Utangulizi Kufanikiwa kupata ubunge mwaka 2025 kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni lengo la wengi, lakini linahitaji mipango, mikakati, na uelewa wa mazingira ya kisiasa. Hapa chini ni hatua, vikwazo, na mbinu za kufanikisha lengo hili. 1. Uelewa wa Utaratibu wa Uchaguzi a...
  5. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Eric Kabendera: Magufuli alifariki kwa COVID-19 mwaka 2021

    Katika kitabu chake cha In the Name of the President, Ndugu Eric Kabendera ameonyesha kuwa Hayati Magufuli alifariki kwa COVID-19. Ikumbukwe kuwa katika utawala wa Magufuli masharti ya watalaam wa afya kutaka watu kujikinga na maambukizi kama kuvaa barakoa yalikuwa hayazingatiwi hasa katika...
  6. The ice breaker

    JamiiForums Tanzania Huu mwaka ni wa kula Bata tu

    Wakulungwa , huu mwaka 2025 Mimi nimeamua kula Bata na kufurahisha nafsi yangu, Yani ni mwaka sio wa kujitesa tena . Haya maswala ya kutafuta pesa na Bado hauli Bata nimeona sio kweli..maisha yenyewe mafupi haya , time yoyote unaweza ukakata moto na pesa zako usifaidi wa kafaidi wengine ambao...
  7. Strong25

    JamiiForums Tanzania Sitaki salamu, huu mwaka uishe tu

    Nawaambia vijana. katika kitu ambacho hutakiwi kabisa kukiwaza kwasasa nikuishi na mwanamke kabla yandoa Hii mitindo yamaisha imekua changamoto sana hasa kwanyakati hizi. Tafuta hela tafuta mwanamke mzuri kias mchunguze kidogo muoe. Haya mambo sijui unazalisha kwanza mara sijui sogea tuishi...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2025, fanya dunia sehemu nzuri ya kuishi

    MwanaJF wenzangu, Tunashukuru tumeanza wiki 1 ya mwaka 2025. Tuweke malengo ya kuhakikisha vizazi na vizazi vinaikuta sayari yetu salama. Mimi nitafanya yafuatayo; 1. Kupanda angalau miti 5 ya matunda tofauti tofauti. 2. Kuendelea kutotumia vifungashio vya plastiki 3. Kwenda sokoni na mifuko...
  9. African businesses

    JamiiForums Tanzania LEO NAUZA HIKI KIFAA KWA BEI YA MWAKA MPYA

    Hiki kifaa kinaitwa ID-WTM6 TRIMMER, KAZI YAKE NI PAMOJA NA KUTENGENEZA MAPAMBO KWENYE MBAO NA NAKISHI, NI KIZURI SANA KWA WATENGEZA FURNITURE LEO NA KIUZA KWA BEI NDOGO SANA 120000 TU. Namba 0617009453 DSM
  10. Knock life

    JamiiForums Tanzania Vifo vya wagombea urais mwaka 2015 (Magufuli, Lowassa na Anna Mghwira) vinatoa tafsiri gani katika ulimwengu wa kiroho?

    Mwaka 2015 nature au universe ilizungumza na watu na watu wakazungumza na nature . Nature ilihitaji mabadiliko kupitia Kwa viongozi waadilifu na ambao wapo tayari kuongoza nchi. Walichokosea Ccm, Chadema na Act ni kushindwa kutap na universe ili kupata matokeo chanya. Magufuli - huyu nature...
  11. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Mwaka mmoja tangu nihamie mitaa hii nimeamini jehanam na pepo vyote viko duniani

    Nimezaliwa mitaa yenye ustaarabu, nikakulia nje ya mji,nikaanza maisha uswazi na kwenye slums,nimewahi kuwa homeless kwa miezi kadhaa hapa nchini na nje ya nchi, nimeishi mikoani vijijini kabisa huko wilayani,itoshe kusema jehanam ipo hapa hapa duniani na pepo ipo hapa hapa duniani Stori za...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo noti zitakazoondolewa kwenye mzunguko kuanzia Januari 06 hadi Aprili 05 mwaka huu

    Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imewataka watanzania kuziwasilisha noti za zamani za shilingi ya Tanzania katika ofisi za BoT pamoja na benki zote za biashara na kupatiwa malipo yenye thamani ya kiasi kitakachowasilishwa katika zoezi linalotarajiwa kuanza Januari 6, 2025 hadi Aprili 5, 2025. Zoezi...
  13. Faana

    JamiiForums Tanzania KENYA: Polisi aachia watuhumiwa kwenda kusherehekea mwaka mpya

    Wapendeni adui zenu kama nafsi zenu A police officer in Zambia has been arrested for allegedly releasing over a dozen prisoners so they could celebrate New Year's Eve. Detective Inspector Titus Phiri "forcibly seized cell keys" on Tuesday morning whilst "in a state of intoxication," Zambia's...
  14. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Nafikiri kati ya mwaka 2005- 2013 ni wakati ambao ulikuwa mgumu kwa wasanii wa muziki Tanzania

    Ni wakati ambao wasanii tena hawakutegemea hard copies ili kuuza albamu, kaseti zilikuwa zimepigwa chini, Computer zimeingia mtaani watu wana bani CD tu. Yani muziki wa bongo ulikuwa katika dillema, yani jamaa walibaki kama show off tu Ni wakati ambo wasanii waliingia kwenye game kipindi hicho...
  15. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Karibu katika wakati wa kizazi kipya cha Gen Beta

    Karibu Gen Beta Mwaka 2025 unaenda kuweka alama rasmi ya ujio wa kizazi kipya, kwa urahisi tu tunawajumuisha kwa kuwapa jina BETA. Kizazi hiki ni kile kitakachoanza kuzaliwa kati ya miaka ya 2025 na 2039. Kizazi Beta kinakadiriwa kuongeza 16% ya idadi ya watu ulimwenguni. Ni uzao huu utakuwa...
  16. Nrangoo

    JamiiForums Tanzania Wale wenye malengo ya kuoa/kuolewa mwaka huu 2025 tukutane hapa!

    Habari wadau ... Miaka inakwenda hairudi nyuma, kuna wale wenzangu walio na malengo ya kuoa / kuolewa kabla ya mwaka huu wa 2025 haujaisha. Hebu tupeane mikakati hatua tulizofikia, Inaweza kuwa : 1. Unaye mchumba serious 2.Umetoa / Tolewa Posa 3.Tiyari umetoa/Tolewa mahari 4...
  17. Singo Batan

    JamiiForums Tanzania HERI YA MWAKA MPYA WA 2025

    Wana JF wote Pokeeni salamu zangu za Mwaka huu wa 2025 ukawe mwaka wa heri kwa kila mmoja wetu. Asanteni
  18. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mwaka wa tatu huu tokea niajiriwe sijawahi kulipwa hela yangu ya kujikumu

    Kama kichwa cha habari kinavyosema mm ni mtumishi katika halmashauri ya mji wa Tarime, toka nimeajiriwa miaka mitatu iliyopita na sijawahi kulipwa hela yangu ya kujikimu na kila ninavyofuatilia imekuwa ni danadana. Wenye mamlaka tusaidieni tuweze kulipwa hela ya kujikimu kwa maana ni haki yetu.
  19. TAI DUME

    JamiiForums Tanzania Ndio kwanza Januari 2, ila huu mwaka bora uishe tu

    Nilikuwa nausubiri sana huu mwaka 2025 coz ilikuwa Aprili niende abroad kwa masomo ya juu zaidi kwangu. Lakini leo nimepokea taarifa kwamba ufadhili wangu huo umesogezwa mbele ni mpaka mwakani. Huu ufadhili nimeusubiri kwa mwaka mzima na ndio ilikuwa achievement yangu ya 2025. Na wewe umepigwa...
  20. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Msaada tutani, hivi mwaka mpya unaanza kuchakaa lini?

    Natafakari tu hapo Bado tuko kwenye mwaka mpya, ni lini hasa huu mwaka mpya unaanza kuchakaa? Baada ya kulipa ada? Siku ya kuzaliwa CCM? Siku ya wajinga (1/4/2025) May Mosi? Embu wajuzi mtuambie?
Back
Top Bottom