mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Uingereza wamebaki na hifadhi ya Gesi ya Wiki moja tu huku Tanzania majadiliano ya Mradi wa LNG yakichukua mwaka wa 4 sasa hayajakamilika

    Kusema ukweli kuna muda huwa naamini nchi yetu imerogwa. Au ilishawahi kurogwa huko nyuma. Tangu vita vya Ukraine kuanza Gesi imekuwa bidhaa adhimu na ya thamani sana duniani. Mataifa mbalimbali yenye Gesi yalichangamka kuanza uzalishaji na yale yanayozalisha yalizalisha zaidi na kutengeneza...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hapa Mbowe Lissu umemuweza sana

    Mbowe kasema uchaguzi utakuwa live TV zote za duniani zinazotaka kuja zitaingia ukumbi wa uchaguzi 1. Wajumbe kuhakikiwa live 2. Kura kupigwa live 3. Matokeo kuhesabiwa live 4. Mshindi kutangazwa live 5. Mshindi kuhutubia live 6. Mshindwa kuhutubia live Haya yote watashudia wanachama wa chadema...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kupata Elimu juu ya Fursa ya uwekezaji kupitia kampuni ya utalii mkoani Arusha

    Habari Ndugu zangu Wana jF naomba kupata Elimu juu ya Fursa ya uwekezaji kupitia kampuni ya utalii mkoani Arusha 1.Usajili wa kampuni ya utalii 2.Vigezo ili uweze kusajili kampuni iyo 3.Masoko ya watalii na wapi pa kuyapata 4.Pia wafanya wa muhimu ambao unapaswa kuwa nao Pia lugha ambazo...
  4. grandMullah23m

    JamiiForums Tanzania Mpango wa kukimbia kodi 2025

    Salaam wanajukwaa...katika pitapita zangu na maongezi na fundi namna ya kuanzisha ujenzi wa msingi,ameniorodhesha mkeka mrefu🥲..ambapo Kuna kipengele cha wall puty/chokaa kg 20..ambayo bei ni 20000@..naomba kujua matumizi yake kwenye hatua za awali za ujenzi wa msingi...
  5. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Unakumbuka nini ukiona hii picha na ulikuwa mwaka gani

    Tuadhie vitoto vya 2000 huyu jamaa alikuwa anaitwa nani na mambo yake yalikuwaje😂😂😂😂
  6. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Unadhani ni kwanini uchaguzi wa chadema wa mwaka huu ni baina ya wanaokusudia kuibomoa chadema dhidi ya wanaokusudia kuijenga na kuimarisha chadema?

    Ni wazi kuelekea uchaguzi wa chadema ngazi ya Taifa, kuna wagombea wasio wazalendo, makuwadi wa mabenyenye ya magharibi, wanaokusudia kuigawanya, kuisabaratisha na kuipoteza kabisa chadema kwenye medani ya siasa kwa makusudi, kwasababu za tamaa zao, ubinafsi, uchu wa madaraka na vyeo, unafiki na...
  7. Mzee wa Code

    JamiiForums Tanzania Bomoabomoa iliyofanyika Stendi ya Jamatini na Uwanja wa Mashujaa Mwaka 2018 iliwaathiri Watu wengi kisha hakuna kilichofanyika

    Mwaka 2018, Shirika la Reli Tanzania (TRC) chini ya usimamizi wa Mkurugenzi wake, Masanja Kadogosa lilifanya bomoabomoa kubwa katika maeneo mbalimbali kando ya Reli ya Kati, likiwa na lengo la kuhifadhi na kulinda miundombinu ya reli. Zoezi hilo liliathiri maeneo muhimu ya biashara na makazi...
  8. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Kuna uhaba wa mafundi ujenzi tangu Desemba 2024. Chanzo ni nini?

    Tangu December 2024 hadi sasa January 2025 nimebaini uhaba mkali sana wa maafundi ujenzi (Uwashi, nk.) .., uhaba ni mkali mno! Mafundi Uwashi ni wa kugombania hasa jijini Dar. Chanzo ni nini? At the same time kuna wimbi kubwa la vijana naliona likishinda kucheza kamari kwenye mabanda mbali...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Marekani haijaanza leo kutamani kununua kisiwa cha Greenland, mwaka 1946 Marekani ilitoa dolla millioni 100 kwa Denmark ili kununua kisiwa hicho

    Wadau hamjamboni nyote? Mchakato uliongozwa na Waziri wa mambo ya nje James Byrnes. Marekani ilitoa ofa ya dola million 100 million Kwa Serikali ya Denmark ili kuinunua Greenland. Pia Marekani imewahi kutaka kukinunua kisiwa cha Greenland mara kadhaa katika miaka ya 1867, 1910, 1946, 2019 na...
  10. CONTRARIAN

    JamiiForums Tanzania Kununua Pikipiki 3M, kumpa Boda kwa mkataba, Baada ya Mwaka inakua yake, wewe umeingiza lak 6, ni Wehu.

    Yaaani Unatoa 3M, Unaletewa 10k × 365 = 3,650,000 Faida kwa mwaka = 650,000 Faida kwa mwezi = 54,000. Faida kwa siku = 1,800, 😂😂😂 Wagonjwa wa akili ni wengi.. Issue sio aina ya biashara tuu, japo bado ni ya kufikiria mara mbili, Maana inamaanisha Piga Ua, faida ya Mmiliki wa boda boda(1,800)...
  11. Chibule

    JamiiForums Tanzania Heri ya mwaka mpya , Heri ya Kumbukizi ya Kuzaliwa kwangu!

    Ikiwa Leo ni Kumbukizi ya Kuzaliwa kwangu, Umri ukiwa umesogea sana nimeona niwaachie ujumbe kidogo Maisha yanapokupa baraka nyingi usikimbilie kusema wenzako ni Wavivu, watu wapo kimya hawasemi tu ila wanapigana vita nyingi sana na wanafeli ila hawalalamiki, ukipata shukuru. Mwanangu wewe...
  12. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwaka jana hii ndio ilikuwa sababu ya mimi kutopata Wasichana warembo. Mwaka huu nimebadilika

    Mwaka jana nlikosa mademu wengi wakali sababu sikuwa na chambichambi, umatemate, ndarama au mkwanja. Nlikuwa wengine nawapata kwa maneno na ahadi kisha nikiwala wakiona sitimizi ndo basi wananipotezea. Mwaka huu nimebadili kabisa utaratibu. Mwaka jana nliweza angalau tabasamu nao, kula nao na...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akifungua Shule ya Sekondari Bumbwini Misufini Zanzibar Januari 8, 2025

    Siku ya leo Januari 8, 2025 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefungua Skuli ya Sekondari Misufini, Bumbwini Zanzibar tarehe 08 Januari, 2025 wakati wa shamrashamra za kuelekea miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar. Katika hotuba yake Rais Samia aligusia...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Nimeanza safari ya ufugaji Sungura mwaka jana (2024) mwezi wa kumi, namshukuru Mungu, nimeanza kuona maendeleo taratibu, hatua kwa hatua

    Baada ya kukaa muda mrefu bila kujihusisha na ufugaji wa aina yoyote, kuacha mbwa mmoja ambae namfuga kwaajili ya ulinzi, mwaka jana, 2024 mwezi wa kumi mwanzoni, niliamua kuanza ufugaji wa Sungura kwaajili kupata mboga kwa matumizi ya nyumbani na pale patakapokuwa na Sungura wa ziada, basi...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mwaka huu 2025 uwe ni mwaka wa kihistoria wa kupigania haki katika Nchi

    Huu ni mwaka wa uchaguzi Mkuu. Kwa sababu tumeshajifunza chaguzi tatu mfululizo yaani 2019, 2020 na 2024 hatuhitaji tena kubembelezana. Nadhani kama ni busara au hekima vimetumika na sasa iwe mwisho. Mimi nadhani harakati zianze sasa kabla kabisa ya mchakato wa uchaguzi haujaanza rasmi. Taasisi...
  16. smigo_

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rafiki yangu ameingia kwenye mahusiano na mwanamke wangu. Moyo wangu unauma sijui nifanye nini?

    Habari za muda huu, Naitwa Jacob nina miaka 24, nipo chuo, naomba msaada wako kwa jambo nilopitia. Kwa sasa nimeingia mwaka wa pili, mwishoni mwa mwaka jana nilipata mpenzi ambae ni first year, anasomea diploma ya pharmacy anaitwa Kyrie (18 years). Nilimtongoza akanikubalia basi tukawa...
  17. Mr-Njombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna walioanza mwaka 2025 kwa kupata magonjwa baada ya kufanya mapenzi kizembe

    Poleni sana, ni muhimu kujifunza kujali afya kwanza kabala ya starehe. Tazama sasa maumivu unayopitia, gharama na muda unaotumia kujitibu kwasababu tu ya starehe ya muda mfupi. Jifunze kutumia kinga na kuepuka kufanya ngono zembe kiholela. Baki njia kuu. Kunywa pombe kupita kiasi ni hatatari...
  18. The Masterpiece

    JamiiForums Tanzania Jamaa aliyeniibia kuku mwaka jana leo amefariki, mtaa unahisi nimemroga

    Wakuu habari zenu, Mwaka jana mwezi March kuna jamaa mtaani hapa aliniibia kuku mchana kweupe kabisa watu wanaona, nilipopata taarifa nikamtafuta mtaani nikamkosa, nikaamua kwenda nyumbani kwako nikamkuta dada zake nikawaeleza jamani fulani kaniibia kuku wangu naomba akija mwambieni arudishe...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Wanaume wa Kijaluo wakimbeba David Livingstone mwaka 1885 kumuonesha ziwa Victoria ili aweze kuligundua

    Wadau hamjamboni nyote? Wanaume wa Kijaluo wakiwa wamembeba David Livingstone siku kama ya leo mwaka 1885 kumuonyesha ziwa Victoria ili aweze kuligundua.
  20. chakii

    JamiiForums Tanzania Takwimu zinaonyesha kabla ya Uhuru mwaka 1961 asilimia 80 ya wasomi kwa ngazi ya PhD na Professor walikuwa wachagga

    Kheri ya mwaka mpya WanaJF
Back
Top Bottom