mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Mwaka huu Simba sc iachane na beki wake Mohammed Hussein. Huyu jamaa ameshazeeka na amechoka sana

    Ahlan wa sahalan. Kwa hali aliyofikia beki wa kushoto wa Simba , tshabalala ni wazi kuwa haendani tena na falsafa ya mpira wa kasi wa Simba. Ikiwa simba inahitaji kufika mbali kimataifa basi wanatakiwa watafute mabeki wapya kushoto na kulia ili kuifanya falsafa ya mwalimu Fadlu kuwa na nguvu...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Watanzania msikubali kubabaishwa au kurubuniwa fikra, uhuru, pesa na haki zenu za kikatiba za kupiga kura, uchaguzi mkuu Mwaka huu2025

    Huu ni wito wangu kwa wadau wote wa JF na waTanzania wenzangu wote. Uchaguzi mkuu wa Tanzania utafanyika mwaka huu October 2025. Uchaguzi huu ni kwa mujibu wa sheria na katiba ya Tanzania. Asitokee kibaka au tapeli wa kisiasa, eti kwa maslahi yake binafsi na familia yake, akawadanganya kwamba...
  3. JamiiForums Tanzania Wakati Simba inaelekea kucheza robo final shirikisho tujikumbushe,Simba ndio timu ya kwanza Tanzania kucheza final za CAF shirikisho mwaka 1993

    Hapo vip!! Sina mengi ila kabla hizi takxtaka zingine hazijafika mbali..wajue Simba ndio timu ya kwanza Tanzania,Afrika mashariki na kati kucheza final za kombe la shirikisho mwaka 1993. Sasa ipo hivi kipindi hicho kombe la shirikisho lilikuwa na majina tafouti tofauti kulingana na udhamini...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Ajali ya Nyambizi ya Superpower Urusi “Kursk“ mwaka 2000

    Mnamo tarehe 12 Agosti 2000, nyambizi ya K-141 Kursk, nyambizi ya manowari ya Kirusi ya darasa la Oscar II, ilizama katika Bahari ya Barents, na kuua watu wote 118 waliokuwemo ndani. Ajali hiyo ilisababishwa na hitilafu katika torpedo ya aina ya 65-76, ambayo ilisababisha mlipuko mkubwa ndani...
  5. JamiiForums Tanzania Budget ya Singapore ya mwaka 2025/2026 ni kubwa mno kuliko Budget ya Tanzania

    Budget ya Singapore ya mwaka 2025/2026 ni $143.1 billion wakati ya Tanzania ya mwaka 2024/2025 ni $19 billion Sisi ni wehu ama nini, Singapore ni ndogo sana tena sana jaribu kufikiri kwamba Dar es Salaam ni kubwa kuliko nchi nzima ya Singapore. Kama sio wehu sisi wakina nani sasa ?
  6. JamiiForums Tanzania Namaliza degree mwaka, huu nataka kuchukua diploma

    Nilianza degree kwa vigezo vya advance levels, ila kwasasa Naona opportunity zipo kwenye diploma na certificate huku. Kwaiyo namaliza degree nataka kusoma NTA level 5 na 6 ili kukabiliana na soko la ajira. Naombeni ushauri kuhusu hili wakuu.
  7. JamiiForums Tanzania Madiwani Jiji la DSM wapitisha Rasimu ya Mpango na Bajeti ya TShs. Bilioni 290.5 kwa Mwaka 2025/26

    BARAZA la Madiwani Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, limefanya Mkutano Maalum wa Mapitio ya Mpango na Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2024/25 kwa kipindi cha nusu mwaka (Julai-Disemba, 2024) na kisha kufanya Makadirio ya Mpango na Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2025/26 wenye Jumla ya TShs. Bilioni 290.5...
  8. JamiiForums Tanzania Shule za michepuo ya Elimu ya Ufundi zilizoboreshwa zimeongezeka kutoka shule 9 mwaka 2020 kufikia shule 27 mwaka 2024

    Shule za michepuo ya Elimu ya Ufundi zilizoboreshwa zimeongezeka kutoka shule 9 mwaka 2020 kufikia shule 27 mwaka 2024. Hii ni katika kuhakikisha elimu ya ufundi inafundishwa katika hatua za mwanzo za mwanafunzi akiwa shuleni. Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store. #samiaapp...
  9. JamiiForums Tanzania Je Man U kushuka daraja mwaka huu?

    Hali inazidi kuwa mbaya kwa Man U Kila Leo. Hata mechi inayo fuata na Everton Man u wanaweza kufungwa pia. Mpaka najiuliza hivi Ferguson alikuwaga anawapa nini marefa?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nissan X-trail ya mwaka 2010

    Wakubwa nimenunua gari aina ya nissan xtrail mwaka 2022 mwezi Nov aina ya engine ni MR20 nafikiri kwa wazoefu wa gari engine yake haina tofauti na engine ya nissan dualis ,, nilichoshangaa toka mwaka jana mwezi kama wa kumi gari ikaanza kama kushtuka shtuka hivi hasa nikipinguza mwendo mpaka...
  11. JamiiForums Tanzania Shehena za mizigo zaongezeka bandarini kutoka tani milioni 17.1 mwaka 2020 hadi kufikia tani milioni 28.75 Desemba 2024. Vile vile idadi ya meli

    Shehena za mizigo zaongezeka bandarini kutoka tani milioni 17.1 mwaka 2020 hadi kufikia tani milioni 28.75 Desemba 2024. Vile vile idadi ya meli zilizohudumiwa katika Bandari ya Dar es Salaam, Tanga na Mtwara imeongezeka kutoka meli 1,547 mwaka 2020 hadi meli 4,487 mwaka 2024. Pakua Samia App...
  12. JamiiForums Tanzania Nanga OG asiposhinda Shindano la Mchekeshaji bora kwa mwaka wa 2024 / 2025 nitajua kuna Watu wana Chuki kuzidi Shetani hapa duniani

    Ana Kipaji cha hali ya juu mno cha Uchekeshaji na pia ni Mbunifu mno. Apigiwe Kura nyingi ili aweze kuibuka Mshindi Ok?
  13. JamiiForums Tanzania RC Chongolo awaambia Wakazi wa Mbozi "Msitumikishe Watoto kwa kazi za shamba, wapelekeni Shule"

    Mkuu wa Mkoa huo, Daniel Chongolo amewataka Wakazi wa Wilaya ya Mbozi kuacha tabia ya kuwatumikisha Watoto katika kazi za shamba badala yake wawapeleke Shule ili wapate elimu itakakayowasaidia kujiandaa na ushindani wa soko la ajira. RC Chongolo amejulishwa kuwa Wilaya hiyo ina wastani wa...
  14. JamiiForums Tanzania Jinsi unavyoweza kutengeneza million 20 mwaka huu 2025

    Tafuta product moja unayoweza kuweka nguvu zako. Bidhaa hiyo utaiuza kwa sh elfu 10 kwa wateja 2000 kwa mwaka. Hakikisha ni bidhaa inayohitajika sokoni. 10,000 * 2000=20,000,000. Mfano zalisha mafuta ya ngozi target wateja 2000. Yabrand kwenye social media na mtaani utapata hiyo pesa. Au...
  15. JamiiForums Tanzania Fanya hivi kukuza mauzo ya bidhaa zako na kujisogeza zaidi kwenye mafanikio mwaka 2025

    ✓✓2025 MWAKA MPYA NA MAMBO MAPYA. ∆ Huu ni mwaka wako wa mafanikio sasa usichelewe fanya haya yafuatayo ili uweze kufika malengo yako mapema ~Tangaza biashara yako kwa namna nyingine kabisa ambayo itakufanya kuwafikia wateja wapya kila siku ~Tengeneza matangazo ya sauti na picha wateja...
  16. JamiiForums Tanzania Baada ya kushindwa kwa hoja na Lissu, CCM yahamia kwenye propaganda mfu wakidhani Tanzania ya leo ni ya mwaka 1990

    Baada ya kuona Wananchi wengi wanaielewa hoja ya Lissu na Chadema kuwa bila kufanya Marekebisho ya Katiba na Sheria za Uchaguzi hakutakuwa na Uchaguzi Mkuu mwaka huu, CCM wamechanganyikiwa kiasi cha kuanza kutengeneza propaganda mfu wakidhani wataweza kuendelea kuwarubuni Watanzania kukubali...
  17. JamiiForums Tanzania Mwaka 2023 Tanzania ilipata watalii 1.8M, USD3.37 Billion Mwaka 2024 Tanzania ilipata watalii 5.4M, USD 3.67 Billion

    Hizi taarifa za serikali naona kama zinanipa maswali mengi bila majibu. Mei 2024 aliekua waziri wa Utalii Angela Kairuki alisema kwa mwaka 2023 Tanzania ilipata watalii Milioni 1.8, ambayo ilikua ni ongezeko la 96% kulinganisha na watalii laki 9 wa mwaka 2021...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa mwaka 1 anakohoa sana usiku

    Habar wakuu msaada wenu bint yangu wa mwaka mmoja anakohoa sana usiku tumejaribu kumpa dawa na kwenda hospital dawa hazijasaidia kitu...anakohoa Hadi inaogopesha ,,na mchana mara Chache hukohoa
  19. JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kurudisha taarifa za brela kila mwaka kwa makampuni yaliyosajiliwa kufikisha kipindi cha kuanzia mwaka mmoja tangu yasajiliwe(brela return)

    BRELA, wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (Business registration and licencing agency). Kwa nchi ya Tanzania ilianzisha hitaji la Kurudisha Taarifa za Mwaka kwa makampuni kama sehemu ya Sheria ya Makampuni ya mwaka 2002. Hata hivyo, utekelezaji wa mfumo wa mtandaoni kupitia ORS (Online...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Kwa Waadventista Wasabato: Usisahau kuombea uchaguzi wa mwaka huu

    Tunakumbushana. Uchaguzi wa viongozi wa kanisa utakuwa mwaka huu katika GC Session itakayoketi pale America’s Center Convention Complex, St. Louis, Missouri, USA, session ambayo itarudi katika hali yake ya kawaida ya kuketi kwa siku kumi (10). Ikumbukwe GC Session ya mara ya mwisho iliketi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…