mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wafanyakazi mwaka huu hamkuwa na matatizo hadi mkaamua kumfanyia Kampeni Rais Samia?

    Wakuu, Katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi), yaliyofanyika kitaifa mwaka huu mkoani Singida, ujumbe uliobebwa na mabango ya wafanyakazi kutoka Chama cha Wafanyakazi wa Viwanda, Biashara, Taasisi za Fedha, Huduma na Ushauri (TUICO) umenisikitisha sana kama mdau...
  2. JamiiForums Tanzania Unataka Kuku wanaotaga Mayai mengi? Hawa ndio 5 bora wanaokuachia mpaka 318 Mayai kwa mwaka!

    Hello Wafugaji wenzangu 👋🏽, Nimeona kuna watu wengi wanaanzisha ufugaji wa kuku, hasa kwa lengo la kupata mayai ya kutosha kwa matumizi au biashara, lakini ndani ya miezi michache wanakata tamaa. Nimeona hii mara kwa mara, na mara nyingi chanzo kikubwa ni kununua kuku bila utafiti sahihi...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2023 bilioni 102 ziliidhinishwa kupelekwa kujenga chuo cha kilimo cha Mwalimu Nyerere, Wamefikia wapi ?

    Shilingi Bilioni 102 ziliidhinishwa 2023 kwajili ya ujenzi mkubwa wa chuo cha kilimo cha Mwalimu Nyerere Butiama. Awali chuo hicho kilianziswa 2010 lakini hakikuwahi kudahili wanafunzi, ndipo likawekwa pendekezo la kukijenga vizuri. Kuna kinachoendelea ?
  4. JamiiForums Tanzania Maswali kuntu kwa Wenye viapo vya Kuilinda Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977

    Jana katika kikao chao na Waandishi wa Habari, Mawakili wa Tundu Antipass Lissu anayetuhumiwa kwa makosa ya Uhaini na Uchochezi waliutaarifu Umma wa Watanzania rasmi kuwa Tundu Lissu aliyepo gereza la ukonga; 1. Amezuiliwa kufanya sala kwa mujibu wa dini yake ya Ukatoliki ikiwemo kushiriki...
  5. JamiiForums Tanzania Kenya: Visa 700,000 vya utoaji mimba vinaripotiwa kwa Mwaka, kati ya hivyo 80% vinawahusu Wanandoa

    Ripoti ya Wizara ya Afya kwa ushirikiano wa African Population and Health Research Centre (APHRC) na Taasisi ya Guttmacher imeeleza kuwa kati ya Aprili 2023 na Mei 2024, zaidi ya visa 792,000 vya utoaji mimba vimeripotiwa Nchini Kenya. Ripoti imeeleza namba hiyo ni sawa na wastani wa visa 57.3...
  6. JamiiForums Tanzania Saudi Arabia imechinja watu 100 mwaka huu, magaidi na wauza unga

    Sikudhani kuna siku nitakubaliana na muarabu kwenye chochote, tangu walipoharibu dunia na uzombi wa kidini, ila naona vizazi vya leo vya muarabu wako makini kwenye kurekebisha mauchafu yalioachwa na mababu zao, ukituhumiwa ugaidi unachinjwa moja kwa moja, hawatanii..... Hii iwafikie Waafrika...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kongamano la Kitaifa la TLS kuhusu uchaguzi mkuu wa Tanzania 2025

    Kongamano kubwa la Kitaifa la TLS kuhusu uchaguzi mkuu wa Tanzania mwaka 2025. https://www.youtube.com/live/OsDzcv1mgK0 Jaji Warioba - 2015 Kuna sababu Nyingi zilizofanya wagombea wakaenguliwa lakini zile hazikuwa na Misingi iliyoko kwenye sheria za Uchaguzi wala Katiba ya Nchi na ilileta...
  8. JamiiForums Tanzania Enyi Watanzania Mna uhakika Mwaka Huu 2025 Kuna Uchaguzi?

    GT Nimepiga hesabu zangu zinakataa katakata uchaguzi haupo, Nimepiga ramli, nimeongea na wazee lakini wapi mababu wanasema mwaka huu mgumu sana. Sijui huko Mbeleni kitatokea nini ila uchaguzi utakuwa ni mgumu na wenye sintofahamu kubwa in case utakuwepo. Hapa ndo naikumbuka kauli ya...
  9. JamiiForums Tanzania Asilimia 2.07% ya waarabu wameshinda tuzo ya Nobel Duniani toka mwaka 1901 mpaka 2025. Pongezi kubwa kwao

    Hadi mwaka 2024, zaidi ya Waarabu 20 wamepokea Tuzo ya Nobel katika nyanja mbalimbali, ikiwa ni pamoja na amani, fasihi, na sayansi. Hii ni idadi ndogo ikilinganishwa na Wayahudi, ambao wamepokea zaidi ya tuzo 200, licha ya kuwa na idadi ndogo ya watu duniani. Washindi Mashuhuri wa Tuzo ya...
  10. D

    JamiiForums Tanzania WAKONGWE WA DISCO: Bosco Cool J alifariki mwaka 2018. Mlipata taarifa??

    https://www.youtube.com/watch?v=YW3ri4d3HQc
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mpasuko na mgawanyiko wa kutisha wa CCM umewadia mwaka huu

    Hayawi hayawi sasa yamekua ilikuwa usiku,sasa imekua mchana,ilikuwa jana sasa imekuwa leo ,CCM muda wake umewadia wa kusambaratika vipande vipande kupitia viashiria vifuatavyo: 1. Migogoro ya ndani ya chama (internal wrangles) Viongozi kugawanyika waziwazi mbele ya umma. Kauli zinazokinzana...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Nyamhokya: Kwa kuwa rais Samia umetusaidia sana, "sisi watumishi tutasimama nawe ktk jambo lako mwaka huu".

    Nyamhokya apuuzwe. Nyamhokya ni kada. Nyamhokya ni chawa.. Nyamhokya anafanyakazi ya Makalla kwenye Mei Mosi.
  13. JamiiForums Tanzania Zijue nchi tajiri za Kiafrika mwaka 2025

    Shirika la fedha duniani limetoa takwimu za mwaka 2025 zikitaja nchi 5 tajiri barani Afrika kwa vigezo vinavyokubalika. BBC swahili news
  14. JamiiForums Tanzania Serikali imeshinda kesi 352 mwaka 2024/25

    SERIKALI IMESHINDA KESI 352 MWAKA 2024/25 Katika kipindi cha kuanzia mwezi Julai, 2024 hadi Machi, 2025, Kesi 867 ziliendeshwa mahakamani zikiwemo kesi mpya 461. Kati ya kesi mpya zilizofunguliwa mahakamani, 10 ni kesi kubwa ambazo zilifunguliwa katika Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya...
  15. JamiiForums Tanzania Shikamoo Malaria, aiseeh! Sijawahi kuumwa hivi. Siku tatu kama mwaka.

    Mabibi na Mabwana hamjambo! Pasaka iliisha vizuri Kabisa. Siku hiyo tulikutana ndugu wote maeneo ya Msasani beach Club. Kama mnavyojua Taikon Hana gari, sasa ndugu zangu wale kidogo wengi wao walikuja na Magari Yao. Nami kujilizajiliza nipande Magari ya watu kidogo naonaga shida kidogo. Ni...
  16. JamiiForums Tanzania Bahati ya mwaka, nyumba inauzwa

    Habari wana JF. Milioni 18 tu unapata nyumba ya vyumba 3 na sebure maji yapo umeme ni kuvuta tu . Location ni Saku mwisho karibu na mwanagati Dar es salaam HAKUNA UDALALI. Hivyo basi. ∆ Kama ukipangisha ✓ ∆ Kama utageuza kuwa sehemu ya ufugaji ✓. ∆ Kama utahitaji kuishi ✓...
  17. JamiiForums Tanzania MAGA wa Marekani mwaka 1939 walipinga vita kama sasa hivi.

    Walipinga Marekani kuisadia Uingereza na mataifa mengine ya ulaya dhidi ya vita vya Adolf Hitler, watu wajinga wa hovyo wamekuwepo duniani nyakati zote ila wingi wao tu ndio huwa unabadilika.
  18. JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa vijana tuliozaliwa mwaka 1995 tu , karibu tujadili njia za kuingia Ikulu pamoja kuteketeza mifumo yote ya kitapeli na unyonyaji.

    Mimi ni Kijana wa mwaka 1995 . Nimeamua kuanzisha Movement inaitwa "Time for Youth" Lengo la hii movement ni kuondoa mifumo yote ya kitapeli iliyopo Tanzania . Kisiasa . Kijamii Kiuchumi Ikiwa wewe haujazaliwa mwaka 1995 Ila unataka kushiriki kutoa mawazo yako unakaribishwa.
  19. JamiiForums Tanzania CCM na Dola, Ndoa yao ilifungwa Mwaka 1961, Maisha waloyaishi na kuyaishi Sasa, Kila Mmoja ni lazima ambebe mwenzake Kwa Jasho na Damu hata Kufa

    Ukisikia Kuna Ufisadi wa Mabilioni Kadhaaa , sio CCM tu wanaogawana, ingekua hivo Wangeshakua wameondolewa madarakani Kitambo sanaaa !! DOLA isingeweza vumilia hayo !!. Kuna wanaCCM kupitia serikalini Kwa waloyafanya Nchi hii, hata wao wakikaa wanaiona Hatia. Kuna Watu wa DOLANI Kwa...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Afrika kama Ulaya mwaka 2070

    Kabla ya haya mambo ya smartphone, vijana wa kipindi hicho wapenda mambo ya siasa na mambo ya dunia tulikuwa hatubanduki DW Swahili, BBC Swahili na VOA. Nakumbuka Jumamosi moja hivi miaka ya 2000-2005 (Nimesahau mwaka kamili, nakumbuka tu nilikuwa sekondari). Siku hiyo nilikuwa nasikiliza dira...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…