mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Katika kudai Katiba Mpya, tuwe na Katiba Day kila mwaka na iwe ile tarehe ambayo Mzee Warioba aliwasilisha maoni ya Wananchi juu ya Katiba Mpya

    Habari Wakuu, Katika harakati za kudai Katiba Mpya kutoka kwa watawala, napendekeza moja ya mkakati ni tuwe na siku maalumu ya kitaifa kila mwaka ambapo tutaitumia siku hiyo kutoa elimu kwa umma juu umuhimu wa Katiba Mpya na kuhamasisha madai ya kutaka Katiba Mpya. Siku hiyo ikifika kila...
  2. JamiiForums Tanzania Mwaka huu ( 2021 ) Israeli Mtoa Roho anaupiga mwingi sana kwa wenye Majina yao nchini Tanzania

    Nimekutana na bonge la Foleni Daraja la Kijazi wakati nikitokea Stendi ya Magufuli ili niwahi kupita Daraja la Mfugale kuelekea Nyumbani tayari kwa Kujiandaa na Safari yangu ya kwenda Mkoani Dodoma Kesho ili nikatembelee pia Soko la Ndugai ambalo nasikia kutokana na lilivyoharibika japo...
  3. JamiiForums Tanzania Rais ana uwezo wa kuifuta sheria ya vyama vya siasa (Na. 5 ya 1992) inayoruhusu mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa?

    Kama jibu ni ndiyo, Sheria ipi nyingine ana madaraka ya kuifuta bila kushirikisha Bunge?
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia Kiwanda cha Chibuku/ Darbrew LTD kilifungwa tangu mwaka 2018. Muwekezaji yupo lakini Watendaji wa Jiji la Ilala wanakwamisha

    DARBREW LTD ni kiwanda cha kutengeneza pombe aina ya chibuku,kilianzishwa tangu mwaka 1967 na kampuni binafsi LONRHO corporation. Serikali ilikitaifisha kiwanda hicho mwaka 1978 na kukiendesha kwa mafanikio.Kilianza kuwa na ubia mwaka 1997 ambapo serikali ilikuwa na hisa ya 40% na sekta binafsi...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Serikali inakusanya Tshs. trilioni 211.2 kwa mwaka? Kama ni kweli basi neema yaja

    Kwa mujibu wa website ta ATE Serikali inakusanya trilioni 17.6 kwa mwezi sawa na trilioni 211.2 kwa mwaka, yaani kwa mkwanja huu hamna wasiwasi SGR itakamilika kwa wakati na bwawa la nyerere nalo hamna shida litajengwa, nimeweka kiambatanisho hapa chini https://ate.or.tz/sites/default/files/TZA...
  6. JamiiForums Tanzania Je, naweza kuomba chuo tena baada ya kumaliza mosomo kama mwaka wa kwanza?

    Naumba ushauri ndugu zangu mm nasoma chuo kikuu ila nipo mwaka wa mwisho na semester ya mwisho je naweza kuomba tena chuo kwa kozi nyengine kama mwaka wa kwanza na baada ya kumaliza semester hii kukubaliwa kuendelea na kozi nyingeni kwa mwaka huu mpya wa masomo uko Bado sijagraduenti.
  7. JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia (WB) yapanga kuwapa chanjo 60% ya Waafrika mwaka 2022

    Benki ya Dunia(WB) inashirikiana na Umoja wa Afrika (AU) walikutana Juni 21 kujadiliana namna ya kupambana na wimbi la tatu la #COVID19 Mpango wa WB ni kusaidia Afrika kununua na kuzigawa dozi za Virusi vya Corona ambapo hadi sasa nchi 35 zimeshaanza mchakato, na wanatarajia kuzifikia nchi 50...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, funga mwaka iliyofanywa Serikalini ni balaa

    Mhe Rais nadhani huu Ni muda sahihi wakujua ni mteule yupi uliyemteua anaishi fikra zako na yupi anaishi fikra za tumbo lake na familia yake. Watumishi wachache wa Umma wamegawana kumbi za Serikali na hoteli kwa vikao ambavyo sidhani Kama vina tija. Mhe. Wazir Mkuu alitumbua watendaji wa wizara...
  9. JamiiForums Tanzania Arusha: Mtoto anyongwa na Mfanyakazi wa ndani

    Mtoto wa mwaka mmoja, Tifan Osward wa Olasiti Arusha amenyongwa na msaidizi wa kazi za ndani aliyeajiriwa miezi miwili iliyopita. Msaidizi huyo ambaye ametokea Mkoa wa Mara aliajiriwa na wazazi wa mtoto huyo miezi miwili iliyopita. ACP Justine Masejo, Kamanda wa Polisi Arusha amesema tukio...
  10. JamiiForums Tanzania Mulugo: Mwaka Kesho Serikali itashindwa kuwapeleka watoto Sekondari

    Naibu Waziri wa zamani wa Elimu na Mbunge wa Songwe, Philip Mulugo leo Bungeni amesema mwaka kesho serikali itashindwa kuwapeleka watoto Form one kwenye shule za serikali kwasababu mpango wa elimu bure ulianza miaka sita iliyopita hivyo watoto waliopo leo darasa la sita ni takribani 1.8 milioni...
  11. JamiiForums Tanzania Tungekua na nafasi ya kurudia kiapo cha ndoa kila mwaka

    Ndoa nyingi zingekua recycled na wengi wangepata nafasi ya kuingia kwenye ndoa.
  12. S

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Is it true that the telecast of covid-19 horrible situation in Uganda is just a propaganda?

    ABOUT THE FOOTAGE below:- In Uganda, people of Kasese almost killed health officials following their illicit move of burying an empty coffin which they claimed to be carrying the Covid-19 dead body. This came after the long lived and widespread rumours in Uganda, that the government is...
  13. JamiiForums Tanzania Sheikh Mselem bin Ali alitunukiwa nishani na Waislam akiwa jela mwaka 2014

    SHEIKH MSELEM BIN ALI ALITUNUKIWA NISHANI NA WAISLAM AKIWA KIFUNGONI 2014 Katika mkutano wa mwaka uliofanyika Pongwe, Tanga mwaka wa 2014, Jukwaa la Vijana wa Kiislam Tanzania walimtunuku Shekh Mselem bin Ali Nishani Maalum kwa mchango wake katika kuisomesha Qur'an Tukufu. Kwa kuwa Sheikh...
  14. JamiiForums Tanzania Marekani imetangaza marufuku ya mwaka mmoja ya kuagiza mbwa kutoka nchi 113 kwa kuhofia ugonjwa wa kichaa cha mbwa

    Kituo Cha Marekani cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (CDC) kimetangaza marufuku ya mwaka mmoja ya kuagiza mbwa kutoka nchi 113 kwa kuhofia ugonjwa wa kichaa cha mbwa. Marufuku hiyo inahusisha mbwa wote, pamoja na wale wanaotumika kutoa msaada wa kifikra kwa wanaohitaji usaidizi wa wanyama hao na...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la uchumi wa China katika nusu ya kwanza ya mwaka 2021 laleta matumaini ya kufufuka kwa uchumi wa dunia

    Takwimu zilizotolewa mwanzoni mwa wiki hii na Idara ya forodha ya China zinaonyesha kuwa, katika nusu ya kwanza ya mwaka huu hadi kufikia mwezi Mei, uchumi wa China uliendelea kupata ongezeko, ambapo uuzaji bidhaa kwa nchi za nje ulikuwa na ongezeko la asilimia 30.1, na uagizaji wa bidhaa...
  16. JamiiForums Tanzania Meza ya dhahabu ilitengenezwa mwaka 1400 kwaajili ya Mfalme wa Austria

  17. JamiiForums Tanzania Mliokuwa mnapiga kelele Azam Kupata kandarasi ya Miaka 10, Vodacom wamejitoa, fadhilini Ligi japo mwaka Mmoja

    Wale mliokuwa mnapopoma kwa domo kaya kuhusu mkataba wa Azam na TFF kwamba ni muda mrefu na pesa kiduchu tunaomba sasa mtumie fursa ya kufadhili Ligi kuu Bara japo kwa mwaka mmja ili tuone matunda ya midomo yenu. Hii nchi ina majitu yana midomo sana lakini vitendo ni zero, fanyeni ku justify...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Tyre aina ya linglong 185/70/14. Kuna namba imeandikwa 1221 muuzaji ananiambia ni ya mwaka huu je ni kweli?

    Wataalam habari za asubuhi.Jana kuna jamaa yangu kanunu tyre za gari aina ya LING LONG Size 185/70/14R0 Kuna mahali zimeandika 1221 muuzaji kamwambia hizi ndio mpya za mwaka huu je ni kweli? Naomba kujuzwa maana halisi ya hiyo namba kwenye Tyre.
  19. JamiiForums Tanzania Diva aomba kurejea Clouds Media, apewa sharti la kwenda kufanya kazi Wasafi FM. Kutambulishwa hivi karibuni

    Wasalaam wana jamvi. Baada ya Mtangazaji Diva kuacha kazi kwa mwaka sasa ni rasmi kurejea tena. Baada ya kukaa muda mrefu bila kufanya kazi na uku hakuna media iliyomfata kutaka kufanya nae kazi baada ya kukaaa muda mrefu nje ya utangazaji. Mtangazaji Diva aliandika barua kwa kusaga kuomba...
  20. JamiiForums Tanzania Serikali iwalipe wakulima wa zao la korosho madeni ya mwaka 2018

    Nawasalimu kwa jina la JMT.. Kama kichwa kinavyojieleza. Kwanza nianze kwa kusema kwmba mimi sio mkulima wa zao hilo, lakini pia sio mwenyeji wa mikoa yenye umaarufu wa kilimo cha zao hilo. Hivyo naandika haya sio kwamba nina maslahi yangu, hapana..! Nimeona niwasemee wahusika kwani nina amini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…