Baada ya Rais Magufuli kufariki dunia ile mwaka 2021, kuna uzi niliuanzisha nikihoji kifo chake.
Uzi wenyewe ni huu hapa:
https://www.jamiiforums.com/threads/fixed.1847493/
Nilihoji kwa kutumia hisia tu maana sikuwa na ushahidi wowote ule.
Ila sasa nimeanza kuipata picha jinsi ilivyo baada...
Katika azma ya kuifanya Tanzania kinara wa kupunguza pengo la uwiano wa kijinsia kuelekea dira 2050, Rais Smia ameteua ya Majaji 35 wanawake 41%.
Uwiano wa kijinsia ni moja ya shabaha ya msingi inayopewa kipaumbele mahususi na Dira2050 ambapo Tanzania inalenga kuwa kinara barani Afrika na...
Katika kitabu chake cha In the Name of the President, Ndugu Eric Kabendera ameonyesha kuwa Hayati Magufuli alifariki kwa COVID-19.
Ikumbukwe kuwa katika utawala wa Magufuli masharti ya watalaam wa afya kutaka watu kujikinga na maambukizi kama kuvaa barakoa yalikuwa hayazingatiwi hasa katika...
Kiranga anasemaje kuhusu Mungu.?
Kuna kafir mmoja alidai shetani ndio mungu na mungu ndio shetani.
Waluosomea Cuba watakubaluana nami kuwa Mungu wetu tangu uhuru amejibu maombi nara moja tu mwaka 2021
Ripoti mpya ya kina inayoonesha athari hasi ya hewa chafuzi kwenye afya imetolewa leo nchini Marekani huku ikiweka bayana kuwa uchafuzi wa hewa umeibuka na kushika nafasi ya pili duniani kama kihatarishi kinachoweza kusababisha kifo.
Ikipatiwa jina Hali ya Hewa Duniani au SoGA ripoti imetolewa...
Wasalaam Tanzania.
Nimekuwa mwingi wa kufuatilia mikutano ya ndugu Paul Makonda mwenezi wa CCM.
Amekuwa akipokelewa na wananchi kwa wingi na mabango mengi yenye malalamiko dhidi ya watumishi wa Serikali n.k
Kila ambaye amekuwa akipeleka malalamiko, anapoulizwa ni tangu lini, wengi wao...
Mbunge Mpina asema hii nchi inapigwa kila kona na zaidi ya Tsh. 30 Trilioni zimepigwa na nyingine zimesafirishwa/ kutoroshwa nje ya nchi.
Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba PhD amesema anachosema Mpina hakiwezekani kwa sababu Bajeti ya nchi haizidi tsh 50 trilioni.
Mpina ameomba Waziri Dr...
NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko amesema lengo la Serikali ni kuhakikisha kuwa sekta ya madini inaendelea kuongeza mchango wake katika ukuaji wa uchumi wa nchi.
Dkt. Biteko amebainisha hayo leo Oktoba 25, 2023 akifungua Mkutano wa Kimataifa wa Madini na Uwekezaji...
Katika ripoti ya NBS inayoonesha masuala mbalimbali ya GDP kwa kipindi cha kuanzia April hadi Juni 2023, imeonesha ukuaji wa GDP wa Tanzania umeshuka ukilinganisha na Rwanda na Uganda.
Tanzania imefananishwa na Rwanda na Uganda kwa kuwa ndio nchi pekee katika Jumuiya ya Africa Mashariki...
Uwanja wa hadhi ya kimataifa, haujapata ugeni wowote wa kimataifa tangu Mzee wetu JPM afariki mwaka 2021. Hakuna watalii Wala tukio lolote la kimataifa.
Kwa nini ulijengwa kwa hadhi ya kimataifa na mataifa hayafiki hapo uwanjani?
Au walijengewa watu wa mataifa(wakristo watanielewa)
Mnamo mwaka wa 2019, DP World, mwendeshaji wa bandari inayomilikiwa na Dubai, chini ya uangalizi wa Sultan Bin Sulayem, kwa msaada kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa zamani wa Uchukuzi, Willem Goeimann alipanga mpango wa kupata udhibiti wa kituo kipya cha kontena cha Walvis Bay kilichojengwa cha...
Anasema mwaka 2008, akiwa Msaidizi wa Rais Kikwete, alikuwa ziarani Makete. Alikuwa anatumia gari na dereva wake wa Ikulu, aliyeazimwa kutoka Jeshini. Jioni moja, kuna document ya Rais alitaka aifanyie kazi na kumpelekee kesho yake saa 1:00 asubuhi. Akamwambia dereva amfuate saa 12:30 asubuhi...
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, #OmaryKipanga amesema hayo wakati akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum (CCM), #HawaMchafu aliyetaka kujua ni Wanafunzi wangapi wamerejeshwa Shuleni baada ya Agizo la #RaisSamia.
Kwa mujibu wa Waziri Kapanga idadi hiyo ni ya Wanafunzi 1,554 wa...
Ukuaji Wa Soko la Cryptocurrency Africa unahitaji Utaratibu Mzuri.
Heri ya Mwaka Mpya 2023 wana JF 🙏💜
Utafiti uliofanywa na Chainalysis unonyesha kuwa, Bara la Africa ni ya 1 kwa ukuaji Wa haraka kwny soko la Cryptos Ulimwenguni lakn imekuwa ikifanya mihamala michache kwa makadilio jumla ya...
Data za mwisho wa mwaka wa 2021 ziki onesha viwango vya kinishati ya umene Tanzania pamoja na mataifa mengine walicho zalisha kwa mwaka.
Data hizo zili tawaliwa kwa taifa la China kwa kuongoza katika uzalishaji mwingi wa nishati za umeme, liki fuatiwa na taifa la marekani baadae India na...
Takwimu za Maambukizi mapya ya VVU zimeonesha Wasichana wenye miaka 15-24 walioambukizwa VVU kila wiki walikuwa 212, sawa na wastani wa Maambukizi mapya 30 kila siku.
Kwa mujibu wa WHO, hadi kufikia mwishoni mwa mwaka 2021 kulikuwa na watu milioni 38.4 wanaoishi na VVU Duniani kote, ambapo...
Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Madawa na Uhalifu (UNODC) na UN Women imesema Afrika ina kiwango kikubwa cha unyanyasaji dhidi ya Wanawake ikilinganishwa na idadi ya Wanawake wote.
Kwa mujibu wa Ripoti Wanawake 5 wanauawa kila saa, na kwa mwaka 2021, karibu Wanawake na Wasichana 45,000 duniani...
Stori yangu itaanzia pale ambapo tulikutana mwaka 2017!
ilikuwa kiwanda cha Pepsi- Vingunguti Jijini Dar es Salaam mwaka 2017 wote tulikuwa vibarua na ndipo tulifahamiana hapo, Mwaka 2018 huyu jamaa aliomba mkopo na kupata chuo Udom Jijini Dodoma.
Alisoma mwaka wa kwanza, nakumbuka akiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.