Zipo nyakati ambazo mtoa Mamlaka hua amemuamlia mtu.
Zinapofika Nyakati hizo, hata ufanyeje, hata uwe na nani nyuma yako, Kamwe hatuwezi kuzuia Hilo.
Mungu anachukia DHURUMA, Mungu anachukia Uonevu, Mungu yupo tayari Kumtumia Shetani ili tu Jambo lake likamilike.
Na niseme wazi , Kama LISSU...
Dalili ziko wasi kwamba TLS sasa imemshinda Mwabukusi. Kuna mpasuko mkubwa na viongozi wenzake wameanza kumkimbia.
Ukimuona Mwabukusi anavyowananga wengine, unaweza kudhani anaweza hata kujiongoza yeye mwenyewe
====
Baadhi ya wanachama wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) mkoa wa Mwanza...
TL Kabeba Maono na Anasimami na kulinda Maono.Wengine wamebeba chama chao na kusimamia na kulinda chama .Twende na Chama au Maono.
Tundu Antipas Mugwai ni mtu mwenye misimamo thabiti na mwenye akili bora ya kuwa sehemu ya harakati yoyote ya upinzani yenye uaminifu. Ni mtu wa kuaminika...
Njaa ikizidi ndo kelele zinakuja nyingi. Wataalam wa Siasa za Tungekinya wanajua Hilo hivyo wao wanakunyamazisha kwa kukutupia buyu la asali uhangaike nalo. Nashauri Hata Mbowe ahamishiwe salio hatutasikia kelele tena.
Dominika njema.
Boniface Mwabukusi
@Mwabuk2Boniface
·
1h
Walio dhihaki TLS kuhusu Samia Legal Aid? Vipi leo wamesema lolote kuhusu TBC LIVE Coverage?hawawezi kusema 🤣🤣🤣
Hivi huyu jamaa anapambana na Mbowe kamfanya nini? Hivi kweli TL kaihamishia ccm lumumba badala ya kwa wanasheria wenziwe?
TLS [Chama cha Wanasheria Tanganyika] kikiongozwa na rais wake Machachari Boniface Anyunywile Mwabukusi kimetoa tamko ambalo kwa vijana wa kijani wanaona kama ni kuchamana na Ndumbaro.
chama hicho kimeelezea kusikitihwa na kitendo cha Ndumbaro ambaye ni waziri wa sheria kukabishi gari la...
Mbali na mapungufu ya kibadamu, hawa wote wana uzalendo
Wote ni maradical
Wote ni wanachukia Rushwa
Wote wanachukia uzembe , uvivu
Wote wanamsimamamo mikali
Wote wanahulka ya kusema ukweli.
Wote hawa ni wachapa Kazi hakika taifa letu pendwa la Tanzania litapaaa sana viongozi wote wazembe, wala...
Waziri wa Sheria na Katiba, Mh. Ndumbaro, amewapa za uso Chama cha Wanasheria Tanganyika kwamba kinatoa matamko ya kukurupuka tu.
===============
Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro, ameonesha kutofurahishwa na mwenendo wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kwa kutoa matamko ya...
Jamani wa afrika sijui nani katuloga? Tunaullooo sanaa
na ubinafsi uliozidi.
Kwa upepo ulivyo ndani ya chadema Mbowe hawezi kuachia uwenyekiti wa chadema.
Maana kuna chawa wengi wamepewa pesa kwa ajili ya kumnanga lisu. Tayali wakina NYERERE na wenzie wameanza na propaganda, wapo tayali...
Wakuu,
Nadhani ushawahi kusikia ile notion ya kwamba ardhi ya Tanzania yote inamilikiwa na Rais na kwamba Rais akitaka anaweza kukuondoa muda wowote.
Akiwa anazungumza siku ya jana kwenye mdahalo ambao uliandaliwa na Jamii Forums pamoja na Star TV, Wakili Mwabukusi alisema kuwa huo ni...
Wakuu,
Siku ya leo, Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (Tanganyika Law Society - TLS) Boniface Mwabukusi ameweka chapisho hili katika mtandao wa X kama sehemu ya kuadhimisha miaka 63 ya uhuru wa Tanzania Bara
"Chama cha siasa cha upinzani kisichoyatambua majira na nyakati, na kuendelea...
Mwanaharakati na Rais wa TLS Boniface Mwabukusi amefungua shauri chini ya hati ya dharura katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ya Mbeya, akipinga kushikiliwa kwa Mdude Nyagali na Jeshi la Polisi.
Pia, Soma: Makosa Matatu ya Mdude Nyagali: Kujeruhi, Matusi na Kuvuruga Uchaguzi, Wakili...
Huyu mwamba jasiri alikuja kwa kasi ya moto wa nyika ila kapotea ghafula.
Hatumsikii tena akitoa matamko juu ya ukiukwaji wa haki nchini. Mfano utekaji na kuenguliwa wagombea wa upinzani ktk mchakato wa uchaguzi wa serikali za mitaa.
Yupo wapiii?
Kwako Mwabukusi, TLS na wadau wote wanaoguswa na ukiukwaji wa haki za binadamu na udhalilishaji wa utu (dignity) wa mwanadamu nchini.
Hali za mahabusu na magereza hapa nchini ni ambazo hazifai kwa binadamu kuwekwa. Ni jambo ambalo kila mtu anajua kwamba mfumo wa mahabusu na magereza zetu ni ule...
Ukipiga mchungaji kondoo wote watatawanyika, ukiwa nje unaona msitu lakini ukingia ndani ya msitu unaanza kuona miti.
Umoja wa kupigania Tanganyika sasa kwisha habari yake, sioni tena Mwabukusi toka amekuwa raisi wa CHAMA cha wanasheria TLS, Sijasikia akitoa matamko makali tena. Prof.kabudi...
Akihojiwa na mtandao mmoja wa kijamii Haji Manara amesema alimsikia mwanasheria mmoja akilalamika kwamba watanzania ukiwaambia waandamane kupigania haki zao huwapati ila ukiwaambia washabikie Simba na Yanga hapo utawapata.
Kwa maoni yake bwana Manara ni kwamba kwa Tanzania mpira ni kila kitu...
Kauli ya Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, inayoeleza umuhimu wa ushirikiano na serikali katika utoaji wa huduma za msaada wa kisheria, inathibitisha nafasi kubwa ya serikali katika kuhakikisha haki inafikiwa na raia wote.
Serikali, chini ya uongozi wa Rais...
Akiongea kwa uchungu sana wakili mwabukusi amesema inakatusha tamaa kuona vijana wa Tanzania wana uwezo mkubwa wa kustad Sheria zoote za fifa zinazoratibu na kuongoza mpira wa miguu, wakati huohuo wakiwa hawajui chochote kuhusu katiba ya nchi yao.
My take
Kimsingi kunyimwa elimu ni uchawi...
Habari wanajukwaa,
Binafsi nimekuwa mfuatiliaji mzuri sana wa Raisi wa TLS na Mwanasheria mbobezi kwa jina maarufu la
Adv. Boniface Mwabukusi.
Kihistoria Mwambukusi inasemekana aliwahi kuwa mwanachama wa chama cha NCCR-Mageuzi lakini kwa kauli yake alikiri kuwa alijivua uanachama NCCR baada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.