muziki

  1. JamiiForums Tanzania Huyu ndiyo Msanii aliyedharaulika zaidi kwenye muziki wa Tanzania? – Kisa cha Rashidi Ziada (KR)

    Ukizungumzia wasanii ambao hawajawahi kupewa heshima inayolingana na mchango wao kwenye muziki wa Tanzania, kwangu jina la kwanza ni Rashidi Ziada (KR). KR alianza muziki tangu miaka ya 90. Amepitia makundi mbalimbali kama GWM, Wachuja Nafaka, hadi kuwa sehemu ya TMK Wanaume Family. Licha ya...
  2. JamiiForums Tanzania Hii ni kwa wapenda muziki tu

    Haya wakuu tangazo hilo hapo soma NB: ukitaka booster la bass spika tu linaloshuka frequency mpaka 10hz ni wewe tu Ukitaka mpk la 400 watts ni ww naposema 400 watts ninamaanisha zile zenyewe kabisa pure siyo zile za kichina 2000 watts 😀😀😀😀 kumbe watts pure ni iliyomo ni 40 tu...
  3. JamiiForums Tanzania Ukitaka booster la bass spika tu linaloshuka frequency mpaka 10hz ni wewe tu

    Haya wakuu tangazo hilo hapo soma NB: ukitaka booster la bass spika tu linaloshuka frequency mpaka 10hz ni wewe tu Ukitaka mpk la 400 watts ni ww naposema 400 watts ninamaanisha zile zenyewe kabisa pure siyo zile za kichina 2000 watts 😀😀😀😀 kumbe watts pure ni iliyomo ni 40 tu....... Nakusukia...
  4. JamiiForums Tanzania Nina record za uchambuzi wa Muziki wa dansi na manju wa Muziki Masoud Masoud lakini zinagoma kushare JF

    Anayehitaji sound creap za Manju wa Muziki Masoud Masoud anifahamishe nawezaji kuzipandisha hizi sound humu??
  5. JamiiForums Tanzania Masoud Masoud: Madini ya Muziki

    Sikiliza Madini hayo ya Manju wa Muziki Masoud Masoud
  6. JamiiForums Tanzania Muziki wa zamani Haukuwa Bora zaidi, Bali Mazingira ya Dunia Ndio yamebadilika

    Kwa siku za hivi karibuni nimewasikia mara kadhaa wasanii wa zamani wakijibu swali hili. Wengi wao husema walikuwa wanatumia akili nyingi sana kwenye utunzi wa nyimbo zao, ndiyo maana mpaka leo, hata baada ya miaka 20 au zaidi, nyimbo zao bado zina ladha ile ile. Kwa upande mwingine, wasanii wa...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kanisa (El Bethel Church) lipo katika makazi ya watu, wahusika wanaweka muziki kwa sauti ya juu inakuwa kero

    Wakazi wa Wilaya ya Ubungo, Kata ya Baruti Mtaa wa Docha, Shina Namba 7 tuna kero kubwa kuhusu uwepo wa Kanisa (El Bethel Church) lililojengwa kiholela katikati ya makazi ya watu bila kuwa na vibali kutoka mamlaka husika. Kanisa hili limekuwa na ibada zisizo na mpangilio na kuweka music kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Muziki na burdan + Weekend 🍻🍺

    love + muziki + 🍻🍺
  9. L

    JamiiForums Tanzania Muziki waunganisha tamaduni katika shindano la kuimba kwa Kichina nchini Afrika Kusini

    Wanafunzi vijana kutoka kote Cape Town, nchini Afrika Kusini, walileta nguvu na shauku kubwa katika sherehe ya utamaduni wa Kichina siku ya Jumamosi, wakati Taasisi ya Confucius katika Chuo Kikuu cha Cape Town (CIUCT) ilipoandaa Shindano lake la tano la Kuimba kwa Kichina, ikiangazia wazo kwamba...
  10. JamiiForums Tanzania Je wewe ni mpenda muziki? Mjue Cindy Le Cœur Mamacy la voix qui devint reine: Histoire de Cindy Le Cœur

    HADITHI YA CINDY LE CŒUR MAMACY LA VOIX QUI DEVINT REINE : HISTOIRE DE CINDY LE CŒUR 01) Alizaliwa tarehe 11 Novemba 1983, Candy Nkunku anafahamika na kuheshimiwa katika jukwaa la muziki wa Congo na ulimwengu mzima kwa jina la Cindy Le Cœur Mamacy,ni miongoni mwa Wasanii wachache ambao wito wao...
  11. JamiiForums Tanzania Msanii wa Nandy, Yammi atimkia kwingine! Aaga African Princess

    African Princess Records inapenda kuwataarifu rasmi wadau wa muziki, vyombo vya habari, na mashabiki wote kuwa msanii wetu mpendwa Yasirun Yasin Shaban, anayefahamika zaidi kwa jina la kisanii Yammi, amehitimisha rasmi mkataba wa usimamizi wa kazi zake na lebo yetu ya The African Princess Label...
  12. JamiiForums Tanzania Kuna namna tu muziki wa kitambo ni mzuri, kuliko wa sasa

    Namaste everybody Heshima zenu wakuu. Muziki wa kitambo miaka hio ya wahenga kabla sisi Gen Z hatuzaliwa ulikuwa mzuri sana ukilinganisha na ya sasa. Makelele merngi sana siku hizi Vyombo vya muziki vinasikika kwa uzuri, kama ni saxophone unaisikia, guitar marimba zote unazisikia vizuri...
  13. JamiiForums Tanzania Baraza la Sanaa Zanzibar (BASSF) lasitisha shughuli za muziki na burudani kipindi cha Ramadhani

    Baraza la Sanaa, Sensa ya Filamu Zanzibar limetoa taarifa Kuelekea Mwezi Mtukufu wa Ramadhani linawakumbusha wamiliki wa maeneo ya kumbi za starehe na Burudani, wapigaji wa muziki na Wananchi wote kwa ujumla kwamba Shughuli za upigaji wa muziki kwa kipindi cha mwezi Mtukufu wa Ramadhani...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Malamba Mawili kwa Ndodi tunateseka na sauti ya muziki mkubwa hadi usiku mwingi

    Wakazi wa Malamba Mawili kwa Ndodi, Mtaa wa Chande B, Dar es Salaam kuna jengo la ibada linaitwa King'azi B Kisima cha Sifa, bila kuwakosea heshima wahusika lakini kwa kweli limekuwa kero kwa Wananchi, kutokana na wahusika kupiga muziki kwa nguvu sana mpaka usiku wa manane. Sauti kubwa sana...
  15. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakili afungua mashtaka akiitaka Mahakama kuzuia usafiri wa umma (Matatu) Kupiga Muziki wa sauti kubwa, Nairobi

    Wakili mmoja kutoka Nairobi amefungua shauri katika Mahakama Kuu akiomba kutolewa kwa amri ya kusitisha magari ya usafiri wa umma (matatu) kupiga muziki wa sauti kubwa, akisema kuwa tabia hiyo inakiuka haki kadhaa za kikatiba. Katika ombi lake, Wakili Samwel Barongo Nyamari amelaumu Chama cha...
  16. JamiiForums Tanzania BASATA: MC na DJ mtakiwa kujisajili na kuwa na kibali hai ifikapo 31 Januari, 2026

    Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limekumbusha kuwa, kwa mujibu wa Kanuni za BASATA za mwaka 2018 na Tozo za mwaka 2025, waongoza sherehe, burudani na matukio (MC) pamoja na Manju Muziki (DJ) wanatakiwa kupata vibali vya BASATA kabla ya kufanya kazi za sanaa. BASATA imeelekeza wahusika wote...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Muziki sio safari nyepesi: Wasanii wengi huanziaga huku

  18. JamiiForums Tanzania Hivi watanzania mnawa-follow wasanii wa muziki na filamu ili iweje?

    Hii ndio nayosema kua tuna shida kubwa sana sana,,,ndio mana hata cartels wakitubagaza wanajua aah Hawa wanafatilia wasanii Instagram na TikTok wamelala hawa... kuna manufaa yoyote unapata mtanzania haswa kijana kumfollow msanii wa muziki ? Yani Kuna pesa unawekewa kwenye akaunti yako ama ni...
  19. JamiiForums Tanzania Kumbe Azizi ki ana kipaji cha kuimba muziki na watu mpo kimya!

    u
  20. JamiiForums Tanzania Mnasifia mapera mnajua muziki wa wali mkavu.?

    Tusisahau kuishi wakuu life is good LG nashukuru mungu leo kanibless kijana wake nimeokota kanuni ni kuwa fifteen percent ya hela inayoingia ni kwa ajili ya refreshment. Sasa baada ya kuokota nikapita sehemu agiza mbuzi katoliki nusu na ugali wakati nasubiri inatayarishwa jikoni nikaagiza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…