musiba

  1. D

    JamiiForums Tanzania Dk. Bashiru Ally usikae kimya, muokoe Cyprian Musiba

    Dk. Bashiri Ally, wewe ni Mwalimu wangu wa siasa ya sayansi pale UDSM na ulinipenda sana kwa hoja zangu. Uliwahi kusema darasani, ,"politic is dynamic". Somo hili ulilikuza sana kwetu hata kama haina mantiki yoyote kwa siasa za Afrika. Dk. Bashiru kama kweli ni mhafidhina naomba umsaidie Samia...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Membe waonee huruma Hawa wake wawili wa Musiba kama umewakatalia viongozi wa dini

    Naomba niseme kwa ufupi sana, Mwera Bernard Membe ana hasira na chuki ya wazi kwa mtukanaji Ciprian Musiba. Hali hii Sasa ni Tete. Yono anatangaza mnada wa mali za Musiba Ijumaa na wanunuzi wameshajaa ofisini kwa Yono na miongoni mwao ni waliotukanwa na Musiba. Membe amekataa ushauri wa kila...
  3. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Chief hakusamehewa, Sembuse Cyprian Musiba

    Chief alifanya mengi makubwa, mengine makubwa kwa ubaya na mengine makubwa kwa uzuri. Kati ya hayo yote Chief aliapizwa na wabaya wake, kutokana na mwenendo wake, kuwa hakika atalamba sakafu. Kati ya wapambe wake wakubwa alikuwa ni Cipuriani Msiba. Msiba masikini hata alikotokea haijulikani...
  4. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Musiba aje hapa ajitetee mwenyewe

    Kweli ivumayo haidumu. Hakuna kiumbe alikuwa akikera kwa kujikomba kwa mwendazake kama huyu jamaa aitwaye Cyprian Musiba Rugarabamu wa Rugaimukamu. Sasa yupo hoi ndembe ndembe akikabiliwa na tishio la kufilisiwa uchache wote aliokuwa akipewa kuwakashfu wapinzani wa mwendazake. Kama kuna sehemu...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Membe awakatalia Kardinali Pengo na Askofu Malasusa kumsamehe Musiba

    Wakati dalali wa Mahakama kampuni ya Yono (vijana wa kazi) ikihesabu siku zilizobaki katika 14 (siku za kazi) alizolewa mtukanaji Cyprian Majura Musiba kumlipa fidia Kachero Bernard Membe jumla ya shilingi 9.2 Bilioni, Bwana Musiba amewaangukia viongozi wa dini Askofu Alex Malasusa (KKKT...
  6. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Musiba alikuwa anapata habari za kikachero na Membe ni kachero, sasa wanagombana nini?

    Ni vizuri kama hao watu wangepatana, kwa sababu they are on the same side. Inaoŋyesha kwamba makachero wanagombana wenyewe kwa wenyewe. Mimi napinga hili ambalo naliona kama jaribio la kuwatisha whistleblowers. It is an attempt to frighten the public. Halafu it is not clear who exactly it is...
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Cyprian Musiba: Nimerudi Kijijini kulima baada ya Magazeti yangu kuanguka

    "Nimeamua kurudi kijijini kulima baada ya magazeti yangu kuanguka, sina jinsi nimekubaliana na matokeo, kila zama na kitabu chake, nimefanya wajibu wangu wa kulipigania taifa lakini siko tayari kuwapigia watu magoti ili watambue umhimu wangu, sisi watu wengine tuna misimamo ambayo hatuwezi...
  8. Ntovye

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi yule "Mwanaharakati Huru", Cyprian Musiba?

    Habari Wana jamvi. Ni muda sasa umepita, sijamsikia jamaa huyu anayejiita mwanaharakati, ndugu Cyprian Musiba. Mara ya mwisho nilimsikia kama sikosei miezi minne iliyopita. Yawezekana, wasiojulikana wametokomea naye au harakati zake zilikuwa za mtu mmoja na sio masuala yanayogusa jamii...
  9. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Tanzanite Tv Haipo Hewani, Cyprian Musiba Simpati kwenye namba zote mbili.

    Habari zenu, kwa zaidi ya miezi 3 sasa nimekuwa nikimtafuta ndugu yangu mwana harakati huru Cyprian Musiba bila mafanikio, hata ukiingia Youtube Tanzanite Tv haionekani tena. Nani anajua kinacho endelea?
  10. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Tanzania Nimeamini, kila zama ina kitabu chake. Leo Polepole ni Musiba 'aliyechangamka'. Siasa si mchezo!

    Alipata kusema Rais Mstaafu wa Tanzania wa awamu ya pili Mzee Ali Hassan Mwinyi kuwa 'kila zama ina kitabu chake'. Nami sasa nimeamini baada ya 'kuweka' tafsiri yangu binafsi kwenye msemo huo uliojaa hekima na busara kubwa. Binafsi nimetafsiri kuwa 'kila awamu ina wake wa 'kutrend''. Yaani...
  11. At Calvary

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Machinga. Huenda ni kweli kuwa na improved version ya gazeti la Musiba

    Wakuu kwema.? Nimeanza kuamini zile hisia za kwamba gazeti hili ni new version ya gazeti la Musiba. Hii baada ya leo kusikia kuwa wameandika kwamba Polepole hayuko sahihi kuhusu suala la machinga juu ya kile ambacho Polepole juzi kuwahusu. Good morning.
  12. M

    JamiiForums Tanzania 360 mawingu wameidadavua faini ya Musiba Tsh bilioni 6 kisheria, inashangaza kwa tusiojua sheria tunaweza kucheka

    Leo nilipata wasaa wa kusikiliza kipindi cha 360 Mawingu ambapo alialikwa mwanasharia nguli na mwanasharia msomi mama Gloria Kahaya kutoka kituo kimoja cha kutoa haki za kisheria hapa nchini. Walikuwa wakijadili mambo ya ndoa na taraka lakini baadae bila ya kutegemea wakatumbukia katika hukumu...
  13. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Musiba ni Mufilisi kisheria hivyo hapaswi kudaiwa

    Kampuni zote za Musiba zilishafilisika hata mishahara hawezi kulipa, na anadaiwa na watumishi wake kitambo. Hivyo hizi amri za kulipa aliowac hafua pesa hazitekelezeki sababu kampuni zake lilishaishiwa pesa. My take; Tusikenue meno tukadhania amepatikana kumbe hakuna chochote atakachopoteza.
  14. Replica

    JamiiForums Tanzania Benard Membe: Musiba hasimami tena na kujifanya yeye ni Mungu Mtu. Huko uliko naomba hela zangu

    “Niwaambie Watanzania wenzangu hakuna Mtanzania awe Ndovu au sisimizi mwenye kusimama juu ya sheria hakuna aliye juu ya sheria, ukimdhalilisha mwenzako ukadhani kwamba utaendelea kupiga miluzi na kufurahia kana kwamba wewe umefika Duniani kama Kiongozi au ndio mkubwa au Mungu Mtu, Mahakama Kuu...
  15. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Cyprian Musiba Anadaiwa zaidi ya Tsh13 bilioni kwa amri za Mahakama Kuu, iwapo atashindwa kulipa ni nini hatma yake?

    Cyprian Musiba, kulingana na kiasi kikubwa cha fedha anazodaiwa kuzilipa, kwa kupitia amri za mahakama kuu, ni nini madhara yake iwapo hana uwezo wa kuzilipa na hana mali za kuuzwa ili kupata Tsh 13 bilioni? Mimi ninaona dalili za Cyprian Musiba kukimbilia ughaibuni .
  16. W

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu Zanzibar yaamuru Cryprian Musiba kumlipa Fatma Karume Tzs 7.5 bilioni

    Kupitia ukurasa wake wa Twitter Wakili msomi, Fatma Karume aka Shangazi, ameandika hivi; Hamjambo? Mnaomjua Cyprian Musiba mwambieni Mahakama Kuu ya Zanzibar, ndio pale VUGA, yametoa HUKUMU leo. Yamesema ni yeye na GAZETI lake wameandika UONGO dhidi yangu. Sasa anatafute 7.5 billion za...
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wahariri wa Magazeti ya Musiba wasema Musiba ni mhuni

    Wahariri wa magezeti ya Cyprian Musiba wamesema Musiba ni mhuni hajawalipa miezi mitatu na hapokei simu. Wamesema wanadai mishahara ya miezi mitatu watampeleka mahakamani Jumatatu. Wahariri wamesema tangu mwezi wa tatu hawajapokea malipo yao ambayo ni haki yao ikiwa na wao wanafamilia...
  18. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania Kwa jinsi 'Bwana fulani' alivyonuna Nchimbi kukosa Umakamu wa Rais, yawezekana madai ya Musiba yalikuwa na msingi

    Kuna kipindi kuelekea mwishoni mwa muhula wa 2015-2020 wa JPM, mambo yalikua very 🔥, ni wazi kabisa kulikua na kundi la vigogo kwenye chama na ndani ya mifumo ya dola walikua wanamhujumu hayati. Katika kutapatapa na kujaribu kum 'flush' nyoka atoke pangoni ili apondwe kichwa, team ya hayati...
  19. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Makonda na Musiba, Magufuli hayupo. Je, mmejiandaa kisaikolojia?

    Kifo cha rais John Pombe Maguli ni pigo kubwa kwa taifa na Afrika kwa ujumla. Ni rais ambaye amejijengea sifa, maadui hata marafiki. Tanzania, bila unafiki wala kificho itamkumbuka baada ya mwanzilishi wake Mwl Julius Nyerere. Alikuwa mkweli na muwazi ingawa maradhi yake yalizungukwa na kificho...
  20. K

    JamiiForums Tanzania TAHURI: Tumuunge mkono Rais Magufuli katika vita dhidi ya Corona

    Taasisi ya Haki za Binadamu, Tanzania Human Rights-Foundation (TAHURI) imetoa tamko la kuwataka Watanzania kuungana pamoja katika vita dhidi ya Shirika la Afya Duniani, WHO na Rais Magufuli huku likiwataka wananchi kumuunga mkono Rais wao. Akiongea na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam...
Back
Top Bottom