mungu

  1. JamiiForums Tanzania Simulizi niliyopewa na baba yangu kumuhusu Mungu

    Not entertainment
  2. JamiiForums Tanzania Akiisha kutumikia Shauri la Mungu alilala

    Ni Mungu Zaburi 76:12 Yeye huzikata roho za wakuu; Na kuwatisha wafalme wa dunia. Mungu humtumia mtu yeyote amtakaye Kufanya jambo lake, Hata Farao wa Misri alitumikia shauri la Mungu pia kwa wakati wake iwe kwa kujua au kutokujua. Ewe Mtanzania na Mgeukie Mungu leo nae atayanyoosha mapito yako 🙏
  3. JamiiForums Tanzania Atheism sio kuamini Hakuna Mungu, ila ni kutoamini kuwa kuna Mungu

    Wanaoamani Mungu hutumia uumbaji kama hoja kuu ya kuamini Mungu yupo, siwalaumu because after all bila uumbaji tusingekuwepo kubishana hapa kama mungu yupo au la! Na uwepo wake usingekuwa na maana. Hoja yao ipo hivi: 1. kila kitu kilichopo kina chanzo hakiwezi kutokea from nothing, 2. Hivyo...
  4. JamiiForums Tanzania Nimeshindwa kuacha kujichua

    Ndiyo hii haiitaji maelezo mengi, kama kichwa kinavyojieleza "Nimeshindwa kuacha punyeto" nimejikuta naskip tu siku lakini siku mizuka ya punyeto ikija nashindwa kujizuia. Nakirusha tu shwaaa, dah unyamaa sana. Mliobarkiwa karama za maombi mtuombeee please, hali ni mbaya. ======== Ushauri wa...
  5. JamiiForums Tanzania UTEUZI: Amos Makalla ahamishiwa Mwanza, Chalamila apelekwa Dar

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uhamisho wa baadhi ya Wakuu wa Mikoa kama ifuatavyo: 1. Bw. Amos Gabriel Makalla amehamishiwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza. Alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam. 2. Bw. Adam Kighoma Malima amehamishiwa kuwa Mkuu wa Mkoa...
  6. JamiiForums Tanzania Wazuri katika Mungu hawafi na wakifa husiifiwa sana kwa kuwa wanaenda Mbinguni kwa Mungu

    Hello Mungu ni mwamba wa yote! Ama kwa hakika wazuri miongoni mwa wakorinto hawafi, na wakifa husifiwa mithili ya malaika wateule waishio thethalonike. Spinning for the dead angels does not live long and doesn't work with the common majority. Now that, the minority have assumed bust up and...
  7. JamiiForums Tanzania Maswali yenye utata kumhusu Mungu

    1. Kwa mujibu wa maandiko, Mungu alimpa amri Adam na Hawa wasile matunda ya mti wa katikati. Hakuwaambia kuwa ni wa ujuzi wa mema na mabaya na wala hakuwaambia ungewafungua macho. Shetani yeye akawaambia watu hizo dondoo kuuhusu huo mti na matunda yake. Je, Shetani alisema ukweli? 2. Mungu...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mungu Yuko wapi?

    Mi najiuliza maswali mengi. Mungu Ni Nini, anataka Nini na Yuko wapi. Ukifuatilia historia ya binadamu tokea tukiwa wawindaji maporini miungu ilikuwepo. Wazee walikuwa wanaongoza vijana kwa kuwaambia kuwa Mungu anataka mfanye hivi, na hio miungu ilikuwepo pangoni ambapo wazee tu wanaingia...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Acha nijaribu bahati yangu huenda Mungu atanisaidia. Natafuta mwanamke wa kufanya nae Maisha

    Habari wana JF! Mimi sio mgeni humu jukwaani ila nimekuja na ID mpya kwasababu ID yangu inafahamika na watu kadhaa. Ninatafuta mke mwenye sifa zifuatazo. UMRI: Miaka 18-26 ELIMU: Kuanzia kidato cha nne DINI: Mkristo. Asiwe na mtoto, awe mwembamba, mwenye hofu ya Mungu, asiyependa kuwa mama wa...
  10. E

    JamiiForums Tanzania Man of God

    Wakuu kwema? Wazee wa zamani walisema "Don't judge a book by it's cover".
  11. JamiiForums Tanzania Ndugu Nape, kwenye hili pia Mungu ameamua ugomvi?

    Mbunge wa jimbo la mtama ndugu Nape Nnauye aliwahi kusema kuwa kifo cha rais Magufuli ni Mungu ndiye aliye amua ugomvi, swali langu kwake je, kifo cha Membe ni Mungu pia ameamua ugomvi dhidi ya ndugu Cyprian? Fundisho: Tuchunge midomo yetu, tusiendeshwe na hisia zetu, tutumie akilizetu vyema ku...
  12. JamiiForums Tanzania Rasmi ugomvi wa Membe na Musiba umeamuliwa na Mungu, Mungu fundi

    Hakika Mwenyezi Mungu ni wa kipekee na kwake magomvi huyatolea uamuzi kwa namna anavyoona yeye ikimfaa. Kama alivyotujuza mwendazake Membe kwamba ugomvi wake na Magufuli uliamuliwa na Mungu ndivyo sasa ugomvi wake na Musiba nao umeamuliwa na Mungu 😅. Mungu fundi nyie!
  13. T

    JamiiForums Tanzania Mungu Likumbuke Taifa la Tanzania

    Mungu Likumbuke Taifa langu teule Tanzania. Mungu wakumbuke wazalendo na Wacha Mungu waliopo ktk mifumo ya Taifa hili watu walio jitoa Uhai wao na maisha yako ili wabaya wasitafune hili Taifa kama cake yao binafsi. Mungu uliopo Mbinguni wapo watu wamelifia hili Taifa wapo watu ndio sababu ya...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mungu anasema na Wakristo wa leo kwa njia ya ndoto?

    Habari zenu ninyi nyote. Hivi mfano umemuuliza Mungu swali au umemuomba kitu, utajuaje kuwa amekubali, amekataa au amekuambia subiri? Utatumia njia gani kujua? Ya ndoto, maono au? Pia, hiyo ndoto au maono, utajuaje kuwa vinatoka kwake, na ni yeye ndiye anayesema nawe? Utajuaje si shetani...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nimegundua kumbe jicho langu la tatu liko wazi kabisa

    Atheists please, kindly ignore this thread, not for you. Habarini Wana-jamiiforums, nimekuwa nikipigana wakati mwingi sana nifungue jicho hili la tatu kupitia meditation na yoga. Ila ajabu ni kuwa nimegundua liko wazi tena ni muda mrefu tu, nimejidharau mno kwa nini nilikuwa najichosha...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Simpendi Guardiola na mimi siyo shabiki wa man city ila nawaombea kwa Mungu washinde

    Katika historia ya Uefa champion's league mechi mbili tofauti ambazo zilivunja mioyo ya watu ni fainali 1999 Manchester united vs Bayern na nusu fainali mwaka jana 2022 Man City vs Real Madrid. Ilivunja sana mioyo ya mashabiki wa Man City walipokuwa na uhakika kabisa wanaenda fainali kukutana...
  17. JamiiForums Tanzania Mungu anaratibu anguko la CCM. Hakutakuwa na ombwe la uongozi

    Umofia kwenu nyote, Nimefuatilia kwa jicho la uchambuzi nimengundua Kuna kani (nguvu) isiyo ya kawaida inatendakazi kwa namna ya ajabu sana. Niliwahi kuandika kuwa Mungu ameondoa kauli kwenye midomo ya watawala kuanzia juu hadi ngazi za chini. Mungu amesikia kilio chq Watanzania. Mungu...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Kisa cha Kweli: Mungu alikataa kifo changu mwaka 2018

    Hello habari, Mimi ni kijana niliezaliwa mnamo mwaka 1995 katika kanda ya kaskazini hapa nchini.Nimesoma shule mbalimbali hadi kufanikiwa kupata digrii ya kwanza katika chuo cha Taifa cha usafirishaji (NIT). Leo nimeona kushare na nyie story yangu hii ya kweli ambayo nahisi itakusaidia kupata...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Mwenyenzi Mungu ananituma kusema; Kama unaweza kumtuma MTU kwenda kuua akakutii, ipo siku MTU huyo atatumwa kukumaliza na atatii;

    Kwa binadamu yeyote miongoni mwetu ambaye anaamini kuishi kwake litakuwa Bora Kwa kuwaondolea mbali na uso WA Dunia wale asiowapenda basi namweleza wazi kwamba; watu wale wale anaowatumia kuwaondolea mbali wenzake ndio hao hao watakaotumika kumwondoa yeye au familia yake. Watu wale wale...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Wazazi tuwaweke watoto na ndugu zetu wanaopambana na ufisadi mikononi mwa Mungu; kuna familia zinalinda madaraka kwa kumwaga damu

    Kuna watu wameingia kwenye mfumo wa siasa na biashara wanaishi Kwa dili. Ukisikiliza bungeni ni kama vile wanafanya siyo Kwa Siri tena Bali wanafahamika na hakuna wakuwafanya chochote. Tumemsikia Msukuma kuhusu sakata stika za ushuru; anasema wazi kwamba kuna watu wanufaika na kwamba anaogopa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…