mungu

  1. Mufti Mkuu wa Saudi Arabia: Tulichokiona leo huko Gaza ni fedheha kwa Uislamu, kitendo cha kumkufuru Mwenyezi Mungu

    Ila wanywa gahawa wa bongo wanawa brand kama mashujaa. SHAME ON YOU!!
  2. Kuna mistari ya Biblia ukiisoma unakataa sio maneno ya Mungu

    Mfano : Matthew ( Mathayo) 10:34 imeandika "Msidhani ya kuwa nalikuja kuleta amani duniani; la! Sikuja kuleta amani, bali upanga." Inashangaza Mungu mwenye upendo anasema hajaja kuleta amani bali chaos Na Mathayo 10:35 imeandika "Kwa maana nalikuja kumfitini mtu na baba yake, na binti na...
  3. Namshukuru Mungu mno, hatimaye nina afya njema

    Salaam jamiiforum Mungu ni mwema kila wakati naweza kusema hivyo. Tarehe 13 mwezi wa kumi mwaka Jana 2024 nilipata ajali mbaya sana,tena mbaya mno. Hakika sikujua kama nitapona haswa baada ya daktari mmoja kuniambia nimeumia ndani Kwa ndani na X ray inaonesha upande wa mbavu ya kulia haipo...
  4. Kama unapenda mwenyezi Mungu usipite hapa bila kulike hii thread na kucomment

    Kama unapenda mwenyezi Mungu usipite hapa bila kulike hii thread na kucomment "Asante Mungu"
  5. Mungu yupo wapi?

    MUNGU YUKO WAPI? Mungu yuko kila mahali, mbinguni, duniani, na ndani ya waumini wake. Hii inaelezwa katika mafundisho mbalimbali ya Biblia: 1. Mungu yuko Mbinguni – Katika sala ya Bwana, Yesu anafundisha kusema: “Baba yetu uliye mbinguni…” (Mathayo 6:9), ikionyesha kuwa makao yake ya utukufu...
  6. Kuoa wake/wanawake wengi ni baraka kwa Mungu

    Disclaimer: Haya si mawazo yangu, nimecopy na kupaste. ROHO WA NENO ANASEMA; Watumishi Wote Wanaozuia Watu Wasioe Na Kuolewa, Wanafundisha Mafundisho Ya MASHETANI... Na Hawa Hapa Pichani👇👇 Ni Baadhi Yao😠😠 #Wanawaaminisha Watu Kuoa Kwa Mwanamume Ni Mke Mmoja Tu. Na Kuwaambia Watu Ndoa Za...
  7. P

    Matukio ambayo nikikumbuka namshukuru Mungu naendelea kua hai mpaka sasa

    Dah Leo tumetoka kumzika rafiki yangu kipenzi Bado mdogo tu na alikua na potential kubwa tu ya kufanya mengi maishani, nimekaa nimewaza Sana nimekumbuka baadhi ya matukio ambayo nikikumbuka nabaki kumshukuru Mungu Kwa ulinzi wake mpaka muda huu, ntaleta kisa kimoja kimoja inform of episodes...
  8. D

    Ahsante Mungu, Arab Contractors walikuja kipindi Cha JPM; Wangekuja kipindi Cha Samia hakika ingekuwa shida kubwa.

    Ni wajomba zake kutoka Oman ndo maana wamepata.........,.... Hapo amewaleta makusudi wajomba zake hao Ili wavune na wanyama wetu pia............. Nchi inauzwa hii.................... 2025 arudi kwao kizimkazi atuachie Tanganyika yetu.............. R.I.P JPM......n.k Ahsante sana Mungu, hakika...
  9. B

    Bwege: Samia sio Mungu / baba mkwe wa Mchengerwa atalipwa pensheni / hajajenga barabarani kodi zetu

    15 February 2025 Ikwiriri, Rufiji Tanzania BWEGE : SAMIA SIO MUNGU / BABA MKWE WA MCHENGERWA ATALIPWA PENSHENI/ HAJAJENGA BARABARA NI KODI ZETU https://m.youtube.com/watch?v=XUXq98MwL5E Kiongozi wa ACT Wazalendo mzee Selemani Saidi Ally Bungara almaarufu kwa jina, Bwege ametoa hotuba ya...
  10. Tuombe Mungu sana watoto wetu wasijekuwa kama mwijaku maana huku alipofikia inasikitisha

    Huyu jamaa naona uchawa ndio kageuza ajira yake Rasmi. Inasikitisha namna mtu anavyojidhalilisha kusifia binadamu wengine. Naamini hata Mungu mwenyewe hapendi. Napenda kumshauri huyu ndugu atafute shughuli nyingine au anaweza fungua kampuni ya PR awe msemaji wa celebrities na watu wataohitaji...
  11. A

    Mnaonywesha pombe watu wa Mungu usingizini Mungu anawaona

    😭😭😭😭
  12. M

    Tahadhari Kwa Mtumishi wa Mungu B. Mwamposa

    Sina tatizo na siasa za nchi hii. Mimi kwangu ni sawa tu CCM wakiendelea kutawala hii nchi au CHADEMA wakapokea kijiti Sina Cha kupoteza. Ninachotaka ni maendeleo. Kwa mfano Mbeya watakuwa wendawazimu wakampa jimbo mtu mwingine yeyote wakamtema Tulia Akson Mwansasu bila kujali maendeleo makubwa...
  13. Kila kitu ni mradi hapa duniani (project) na binadamu ni mradi wa Mungu pamoja na shetani these are making big Profits

    Yaani hapa duniani kila kitu ni mradi (project) ambayo ipo designed by God and evil. God and devil are the same Wote hawa ni kitu kimoja. Wanabariki Wanampa mtu utajiri na umasikini Wanatoa laana . N.k So usipokuwa makini you will hustle in vain forever Lazima ukae na hawa coordinator in...
  14. Aina ya utawala sahihi unaokubalika na Mungu kuongoza watu ni upi?

    Utawala gani wa kisiasa wa kuongoza watu ambao ni sahihi unaotakiwa na Mungu kati ya Demokrasia na Udikteta kulingana na maelekezo ya dini kubwa mbili za Ukristo na Uislamu?
  15. D

    Watu kitu wasichojua ni kwamba hata hii dunia ni mali ya Marekani. Hata Mungu analijua hilo

    Tukae kwa kujiandaa kuwa anytime Marekani akitaka chochote at any time t anachukua mana tumeazimwa tu. Hata hii hewa tunayovuta ni mali ya mmarekani. Hata hii intetnet tunayotumia ni mali yake siku mkimuudhi tu anqzima saver za africa mnaanza kufa kama nzige nyie kwa nyie mana mtakuwa...
  16. Nilifanya maombi maalum mara kadhaa, mtumishi hadi kuja kwangu, sadaka za kujimaliza ila bado nateseka mnyororo huu, eeh Mungu nifanye nini sasa?

    Jana nimeleta uzi huu https://www.jamiiforums.com/threads/kwa-muda-mrefu-sasa-naota-sana-kurudishwa-kurudi-shule-kama-leo-nimeota-nachapwa-parade.2307099/ Samahani kwa kuanzisha nyuzi nyingine, atleast nyie mtakuwa faraja yangu lakini pia fundisho kwa wengine kama nitapata msaada humu. Kusema...
  17. Nilifanya maombi maalum mara kadhaa, mtumishi hadi kuja kwangu, sadaka za kujimaliza ila bado nateseka mnyororo huu, eeh Mungu nifanye nini sasa?

    Jana nimeleta uzi huu https://www.jamiiforums.com/threads/kwa-muda-mrefu-sasa-naota-sana-kurudishwa-kurudi-shule-kama-leo-nimeota-nachapwa-parade.2307099/ Samahani kwa kuanzisha nyuzi nyingine, atleast nyie mtakuwa faraja yangu lakini pia fundisho kwa wengine kama nitapata msaada humu. Kusema...
  18. Naomba ushauri wanangu juu ya maneno ya Yesu Eloi Eloi alipokuwa akilia sijui Mungu kweli analia na kumlilia mungu mwingine!!1

    Eloi Eloi Lama sabakhtani " Mungu wangu. Mungu wangu mbona waniacha." Je alipokuwa mimba ina maana dunia haikuwa na Mungu? Je Mungu hakuwa na namna ya 'kuwakomboa' hao waliopotezwa na shetani aliyemtengeneza? Je Mungu asingemtengeza shetani, hawa watu wetu wangepotoshwa na nani? Je alimtoa kwa...
  19. Wanawake watulivu waungwana, wasio cheat wacha Mungu, mko wapi?

    Wako wapi wanawake wife material?
  20. Inakuwaje mashoga na wasagaji Wana afya Bora na maisha mazuri kuliko wale Wacha Mungu wengi woa wanaishi kwa msoto kwenye hii safari ya maisha?

    Nimefatila kwa kina nimebaini kuwa wale wanaoliwa viboga na wale wasagaji wengi wao wanaishi maisha mazuri tu na maisha mazuri ila Wale wenye Imani Kali ya dini huishia kuhangaika tu kula vumbi. Ina maana Mungu amewaumba wachamungu waje kupata matatizo hapa duniani?? Mashoga Majambazi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…