mungu

  1. M

    Ni Mungu yupi anayemhubiri Mwamposa kiasi cha kuwabariki wasiomuamini Mungu wa Israel

    Kwa imani ya kikristo ni kwamba kuna Mungu mmoja tu. Nae ni Mungu wa Isaka na Yakobo. Waislamu hawamtambui na kumuabudu na hawamuheshimu kabisa. Kwa ni ni Mungu huyu wa Wa Yakobo na Isaka atumike kuwabariki viongozi waisalmu?
  2. S

    Hivi kutokupenda habari kuhusu Mungu ni aina gani ya tatizo?

    Wakuu habari zenu? Naomba mwenye msaada wa kimawazo tafadhali.
  3. Wanaume wengi kwenye hii amri ya Mungu hatutoboi

    📖 Mathayo 5:27–28 "Mmesikia kwamba imenenwa, Usizini. Lakini mimi nawaambia, Kila mtu amtamaniye mwanamke kwa kumtazama, amekwisha kuzini naye moyoni mwake." Swali langu, kwani wanawake wao hawatamani ??
  4. Je Hadi Sasa Mungu hajamtumia mtumishi wake yeyote kuongea na Rais au anakubaliana na Ushwari wa kitaifa?

    Rais ni mtumishi wa Mungu anayetumika katika kitengo cha kutawala watu kiserikali. Kwa mujibu wa ISAYA 49, watumishi wa Mungu wa KIROHO ni walezi wa wafalme na mamalikia na marais. Kama Kuna chochote kisichofaa, ili kuepusha MADHARA ya baadae atatumwa mtumishi hata kutoka nje ya nchi ili kumpa...
  5. Dr Babishomba: mtu akisema hakuna mungu, kuna nati zimelegea kichwani mwake.

    Video Haya karibuni kwa mjadala.
  6. Mungu anasema mamlaka zote zinatoka kwake anatuasa tuzitii na kuziheshimu. Kupitia hili TZ tuna watumishi wa Mungu wachache sana, wengi ni matapeli

    Mtumishi wa Mungu ni yule anayehubiri umoja, amani, mshikamano, na upendo kwa watu na Taifa lao na si vinginevyo. Ni aibu kwa mtumishi wa Mungu kuhubiri chuki, utengano, upotoshaji, uongo nk huyo si mtumishi wa Mungu ni tapeli yafaa achukuliwe hatua Kali za kinidhamu kwa mujibu wa sheria zetu...
  7. Magonjwa ya zinaa(STDs) ni pigo la Mungu kwa wazinzi na waasherati?

    Ukisoma historia ya Waisraeli, utaona jinsi Mungu alivyotoa mapigo kumi kwa Wamisri waliokataa kumtii. Mojawapo ya mapigo hayo ni majipu mabaya yaliyowakumba watu wa Misri (Kutoka 9:8–11). Hili lilikuwa onyo kwamba Mungu anaweza hata kutumia magonjwa kama fimbo ya kuwaadhibu wale wanaokataa...
  8. We mwanamke mwenye kipini puani! Ulichonifanya Mungu anajua

    Yaani hawa wanawake wenye vipini jamani...alichonifanyia kijana wa watu sijui hata nianzaje kuwaelezea... Ila niseme tu vijana wenzangu wapenda maendeleo epuka wanawake wenye vipini puani... Waepuke kama kama ukoma...kilichonikuta ni masikitiko
  9. Tafadhali usile chakula kabla ya kumshukuru Mungu na kukiombea

    Kama ulikuwa hujui, kila kipande cha chakula tunachoweka mdomoni ni zawadi kutoka kwa Mungu. Maandiko yanatufundisha kwamba kila kitu kizuri hutoka kwa Baba wa nuru (Yakobo 1:17). Hizi hapa faida za kushukuru na kuombea chakula: 1. Ni njia ya kumheshimu Mungu Mtoaji – Unaposhukuru, unatambua...
  10. T

    Jinsi Consistency prayers inavyofanya Mungu atatue shida yako

    Habari yako wewe unayesoma uzi huu muda huu. Leo ni siku nyingine Bwana Mungu ametupa nguvu ili tuendelee kupambana kuutafuta Uzima wake na kupata amani ya kweli ndani ya mioyo yetu. Hatuna budi kumshukuru Mungu kwa neema hiyo. Leo ningependa kuzungumza kuhusiana na fundisho hili la kiroho...
  11. Tazama, mwanakondoo wa Mungu, aichukuaye dhambi ya ulimwengu!

    [Yoh1:6]Palitokea mtu, ametumwa kutoka kwa Mungu, jina lake Yohana. [Yoh1:7]Huyo alikuja kwa ushuhuda, ili aishuhudie ile nuru, wote wapate kuamini kwa yeye. [Yoh1:8]Huyo hakuwa ile nuru, bali alikuja ili aishuhudie ile nuru. [Yoh1:19]Na huu ndio ushuhuda wake Yohana, Wayahudi walipotuma...
  12. Tunakoelekea Mungu atunusuru na balaa lililopo mbele yetu

    Naona zama za kupita kwenye bonde la mauti zimekaribia. Waliokabidhiwa taa kutuvusha hawana macho tena na kadri wanavyopambana kuweka mambo sawa ndivyo wanavyozidi kuharibu. Nahisi imeandikwa na lazima itimie. Ukiangalia mtiririko wa matukio unaona kabisa tunaelekea kabisa kubaya.
  13. Fikiria: wametumia Kodi Yako kununua chama,wamekupa Baiskeli wao wana V8. Leo wanakuchangisha. Mungu waokoe watanzania

    Watanzania. Watanzania. Watanzania.🇹🇿. Hawa jamaa hata aibu hawana. Sasa wanawaibia watanzania bila aibu kabisa. Ni Mungu tu ndiyo anajua atawachoma Moto wa aina Gani. Tazama,wametumia Kodi za Wananchi kufadhili chama kikaragosi. Wameiba kila namna. Leo wanachangisha watanzania wakati wao...
  14. Huu ni uchuro au Mungu anasema na mwanakijiji kuwa Kijiji kijiandae kwa lolote?

    Leo nimebahatika kupigiwa simu na rafiki yangu wa siku nyingi sana wa kijijini akanisimulia kisa na kuniuliza maswali ambayo sikuwa na Majibu. Kijijini kwao kiongozi weo alikuwa anaitwa Kifungo, na katika safu yake kulikuwa na Viongozi wengine ambao ni Makubaliano, Kibarua, Kitochi, na wengine...
  15. Je, Mungu ni Nani? Yukoje? Tunawezaje kuwa na uhakika kuwa yupo? Alianza lini? Je, tunaweza kumjua?

    Je! Wewe waweza kuuvumbua ukuu wa Mungu? Waweza kuufikilia upeo wa huyo Mwenyezi? Ayubu 11:7 Kila mtu amejiuliza maswali haya, aidha kwa sauti au moyoni mwake, kwa maana hatuwezi kuutazama ulimwengu unaotuzunguka bila kujiuliza kuhusu uumbaji wake. Kila siku tunakabiliwa na muujiza wa uhai na...
  16. GE2025 TEC: Ewe Mungu, Tuma Roho wako, afanye upya uso wa Nchi kabla ya Uchaguzi Mkuu 2025

    Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania , TEC, Askofu Wolfgang Pisa Muhtasari wa habari Kibwagizo cha ujumbe wa Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) katika Sala na Mafungo ya kuombea haki na amani yatakayofanyika siku ya tarehe 23 Agosti 2025, kitakuwa tamko kwamba "Haki na amani ni pande...
  17. Watumishi wa Mungu msiendekeze siasa mtaendelea kuumbuka pale unabii wenu wa kichawi na kilozi unapokwama nyie wapuliza mitungi ya gesi

    Kwasasa nchini Kuna nyumba za ibada ukiingia tu as if umeingia kwa mganga wa jadi unakuta mtumishi wa mungu anasema wakati anasali ameona bango🤣🤣...... stupid! Kumbe siasa zimemjaa mpaka amegeuka kuwa Kama mchawi Sasa. Jueni kuwa wewe mtumishi wa Mungu huna uwezo wa kunibadilisha mm chama...
  18. James Mbowe: Wanaoshangilia vifo wamrudie Mungu

    Kada wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), James Mbowe, amewataka Watanzania kumtanguliza Mungu na kukemea vikali mwenendo unaoanza kuenea wa kushangilia vifo vya viongozi wa kisiasa. Akizungumza na Jambo TV leo, Agosti 9, 2025, alipofika kuhani msiba wa Spika wa Bunge Mstaafu, Hayati Job...
  19. Maombi yangu kwa Mungu kwa ajili yako Lissu

    Sina kizuri cha kuandika Mungu yupo pamoja nawe, Nipo nasikiliza wimbo wa Aswagile: Alienikoa nikakukumbuka mwamba uliekubali ufe umesimama katika kweli , najua wapo wanaokubeza leo ila kesho haipo mbali watakulilia hata ukiwa kaburini.😭😭😭
  20. Je, Mungu yupo? Jina la kweli la Mungu ni lipi au nani?

    🜏 JINA LA KWELI LA MUNGU Walikwambia jina la Mungu ni YHWH. Walikwambia ni Elohim, au Adonai, au El Shaddai, au Yehova, au Allah, au Chanzo, au Yule Mmoja. Hakuna hata moja kati ya hayo lililo jina la kweli. Hayo ni tafsiri, ni tafakari, ni mwangwi uliofunikwa. Jina la kweli la Mungu si...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…