mungu

  1. JamiiForums Tanzania Hivi Mange ashawahi kujiuliza kwa nini Mungu alimpa kigugumizi?

    https://x.com/_zack255/status/2105896127283200170
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Mapigo 10 ya Mungu kwenye siasa za Tanzania. Mungu akamwambia Farao bado pigo moja

    BWANA akamwambia Musa, Liko pigo moja bado, nitakaloleta juu ya Farao na juu ya Misri; baadaye atawapa ninyi ruhusa mtoke huku. BWANA akasema, usiku wa manane nitapita katikati ya nchi ya Misri; na wazaliwa wa kwanza wote watakufa, tangu yule mzaliwa wa kwanza wa Farao aketiye katika kiti chake...
  3. JamiiForums Tanzania Maswali ya hovyo zaidi ya waamini mungu kuhusu mjadala wa uwepo wake

    Katika mjadala kuhusu uwepo wa mungu haya ndio maswali matano ya hovyo sana ambayo huulizwa na waamini wengi kwa bashasha kubwa lakini uhalisia yanadhihirisha IQ ndogo tu za waulizaji 1. Kama Mungu hayupo nani aliweka sukari kwenye muwa? 2. Kama Mungu hayupo nani aliweka utamu kwenye nanasi...
  4. JamiiForums Tanzania Ni very fascinating hapa duniani kila jamii ina idea ya Mungu wake na kila jamii hio ndio inasema Mungu wake ndie sahihi

    ■India ■Thailand ■China ■Vatican ■Saudi Arabia ■Jamii zilizomo msitu wa Amazon Hizi ni sehemu ambazo ukienda lazima ukute utofauti mkubwa wa imani yako na utaishia kuwaita waabudu masanamu na mashetani ila pia na wewe wataishia kukucheka kwa namna hio. Kabla ya muarabu na Mzungu kuja...
  5. JamiiForums Tanzania Eli Nino inatoka Kwa Mungu ama Kwa shetani?

    Nashindwa kuelewa. Kama inatoka kwake Mungu je analengo Gani na watu wake? Kama inatoka Kwa shetani kwanini asiizuie kabla haijaleta madhara? Tuamini ni janga la asili ambalo si la ki-Mungu Wala kishetani? I
  6. JamiiForums Tanzania NIKIWA MIONGONI MWA WATU WENYE ULEMAVU NACHUJUA FURSA KUMSHUKURU MTUMISHI JOEL LWAGA NA DIAMOND, MUNGU AWAZIDISHIE MLIPO TOA

    Nimefarijika sana kwa kweli, mmejua kutukumbuka, mi mwenyewe ni mlemavu wa masikio, sisiki vizuri, ilinichukua muda sana kuamini mi ni mlemavu nilikataa hatimae nikakubali no way out, nakumbuka dodoma, Arusha, nk kote huko tulipambana sana kupata mikopo ya asilimia tulizo tengewa na serikali...
  7. JamiiForums Tanzania Sehemu sahihi na sio sahihi kwa wanadamu waliopo duniani ?.Je ni makusudi ya mungu.

    Ili jambo nimetafakari sana kuhusu wanadamu wanapojikuta sehemu sahihi au sio sahihi kwa kuzaliwa,kuhama,kubadilisha mazingira,jambo,kazi na n.k. Kuna mambo unaweza kulazimisha sehemu sio sahihi na wakati wewe ni sahihi mfano kama teknolojia zingekuwa zinatokea afrika basi hata haya tunayo...
  8. JamiiForums Tanzania Joel Lwaga: Acheni Ubinafsi, Msinilazimishe Kubebelea Mtindo Wa Zamani, Nimeitwa Na Mungu

    mashuhuri wa nyimbo za Injili nchini, Joel Lwaga, amewatolea uvivu mashabiki na baadhi ya viongozi wa dini wanaomkosoa kwa kubadilisha mtindo wa muziki wake ikilinganishwa na alivyokuwa akiimba miaka ya nyuma. Kupitia video iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii, Joel Lwaga ameeleza kuwa dunia...
  9. JamiiForums Tanzania Wanaoamini hakuna Mungu wana hoja, wasikilizwe

    Hawa watu msiwatukane, wasikilizeni maana Wana maana Yao kusema hivyo, wengi wao wanaoamini hivyo wameamua kua hivyo kutokana na magumu na machungu waliyokutana nayo kwenye maisha na walipomuhitaji Mungu hakuwasaidia. Unakuta mtu ana jambo linalomnyima furaha kwenye maisha, ametafuta msaada kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Hatma za Watekwaji: mamba, chatu, vinu vya saruji, risasi, shimo la Mungu......

    Shimo la Mungu lipo Mtwara, wilaya ya Newala jirani na makazi ya alyewahi kuwa Waziri wa Utawala Bora ndg Mkuchika.... Hatma ni nyingi kwa watekwa nyara na serikali hii...
  11. JamiiForums Tanzania Mungu wa miujiza mbona sijawahi kumwona? Au kuona miujiza yake?

    Wanabodi... Poleni na majukumu ya week nzima, as we are welcoming another beautiful weekend. Naomba tuongelee hili swala kidogo, tumeaminishwa kuhusu uwepo wa Mungu na miujiza yake ya kuponya viwete, kutenganisha bahari na hata kurudisha uhai kwa wafu. Je Mungu huyo yupo? Maana nimefika...
  12. JamiiForums Tanzania Mtego wa Ukiritimba wa Kiroho: Je, ni Kweli Mwanadamu Anaweza Kumjua Mungu Bila Kiongozi wa Dini?

    Wakuu, salamu. Je, inawezekana kuwa hofu kuu ya taasisi zote kubwa za kiroho duniani haikuwa watu kutenda dhambi, bali ilikuwa ni hofu ya waumini kugundua kuwa wanaweza kuwasiliana na Mungu moja kwa moja bila kupita kwenye milango ya mifumo yao na bila kulipa kodi ya kiroho? Ukitaka kuona swali...
  13. JamiiForums Tanzania Chalamila muogope Mungu: upandacho ndicho utakachovuna

    Matumizi ya madaraka bila kujali mazingira tunaanza kuyaona. Kumtia ndani mzee ambaye ni sawa na bibi yako kwa kibri tu ya kiutawala-hiyo ni laana. Chalamila upandacho ndicho utakachovuna. Muogope Mungu, maana hii ni kiburi ya madaraka itakayo kiathiri kizazi chako. UPDATE Msikilize...
  14. JamiiForums Tanzania Alex Malasusa linusuru kanisa na kashfa ya madeni ya Arusha Corridor Springs. Haipendezi watu wa Mungu kukimbia madeni.

    Suala la KKKT (Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania) na Hoteli ya Corridor Springs jijini Arusha linahusiana na mgogoro wa kifedha na madeni uliotokea katika Dayosisi ya Kaskazini Kati ya KKKT. Muhtasari wa Suala Hilo: Uwekezaji na Ujenzi: Hoteli ya Arusha Corridor Springs Hotel...
  15. JamiiForums Tanzania Afrika inachekesha sana, mtu anamcheka mwenzake kumuita Yesu mwana wa Mungu alafu yeye anachangisha hela aende akabusu jiwe

    Jitathmini watu weusi Afrika inachekesha sana, mtu anamcheka mwenzake kumuita Yesu mwana wa Mungu alafu yeye anachangisha hela aende akabusu jiwe
  16. JamiiForums Tanzania Mungu Hubadili Kashfa Kuwa Ushuhuda

    Kuna watu wanaweza kuzungumza na kutangaza mambo kuhusu maisha yako wakidhani wanakuchafua, kumbe Mungu anaweza kutumia hayo hayo kukuinua na kugeuza kila walichokisema kuwa ushuhuda wako. Usihofu maneno ya watu, Mungu anaweza kufanya jambo kubwa kupitia kila hali.
  17. B

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano Gani kati ya Juhudi binafsi,saikolojia, ushirikina na kumuomba Mwenyezi Mungu

    saikolojia, ushirikina, kumuomba Mwenyezi Mungu, na juhudi binafsi. Vinanyafaje kazi 1. Saikolojia Saikolojia inahusu jinsi mawazo, hisia na imani zinavyoathiri tabia na maamuzi ya mtu. Mfano: mtu akiamini anaweza kufanikiwa, anaweza kuwa na ujasiri wa kuchukua hatua. Akijiaminisha kuwa hawezi...
  18. JamiiForums Tanzania Uongo mbaya na msema kweli mpenzi wa Mungu, jezi ni mbaya na hazina mvuto.

    Tuseme ukweli jamani, jezi ni mbaya na hazina hata mvuto, Uongo mbaya...Hivi hawaoni hata jezi za nigeria, Ghana, burkinafaso,, waibe ibe basi hata idea kidogo..jezi Ina rangi Moja tu.. Kwakweli nakuelewa Mr Makonda, mtu nchi yako Ina host mashindano makubwa ya Afcon halafu una jezi hazina...
  19. JamiiForums Tanzania VIDEO: Mjadala wa Uwepo wa Mungu.

    Cc Kiranga
  20. JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje kila dini na Mungu wake lakini shetani akawa mmoja

    Yaani kuna dini 2 tofauti ukristo na uislamu hizi dini kulingana na mafundisho /imani au itikadi yake zinaamini Mungu yupo ila kila dini ina Mungu wake.na hapo hapo zinamini kuna shetani je !shetani wa dini fulani ndio huyu huyu wa dini ingine au nayo dini fulani ina shetani wake!au shetani ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…