mume

Numerous computer and video games have been inspired by J. R. R. Tolkien's works set in Middle-earth. Titles have been produced by studios such as Electronic Arts, Vivendi Games, Melbourne House, and Warner Bros. Interactive Entertainment.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Huu ujinga wa mtu akiwa mpenzi, mchumba, mchepuko, mke au mume basi unakuwa na haki miliki ya uhai na uhuru wake ulianzia wapi?

    Huu Ujinga wa Mtu Akiwa Mpenzi, Mchumba, Mchepuko, Mke au Mume Basi Unakuwa na Haki Miliki ya Uhai na Uhuru Wake Ulianzia Wapi? Katika ulimwengu wa sasa, kumekuwa na mtazamo wa ajabu na potofu sana kuhusu mahusiano ya kimapenzi. Mara nyingi, watu wanapoingia kwenye mahusiano, iwe ni ya uchumba...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuaje mama mzazi ni mdogo kuliko mume wa binti yake

    Nimekutana nayo jana hii nilipomsindikiza jamaa kumsalimia mama wa mwanamke aliyezaa naye. Jamaa lina miaka 56 halafu binti aliyemzalisha ana miaka 24 na mama wa binti ana miaka 49, Mtoto wao sasa ana miaka mitatu. Changamoto niliyoikuta ni kwenye salamu, binti hakumpa jamaa shikamoo lakini...
  3. JamiiForums Tanzania Madhara ya kuzini na mke au mume wa mtu

    Nimeshuhudia ndoa zikivunjika kwa tatizo la uzinifu baina ya mke au mume wa mtu. Na madhara makubwa huenda hasa kwa watoto ambao hawahusiki na kosa la mzazi mzinifu. Mzinifu wa kike unatakiwa utambue ukiachika sehemu za Siri zitaenda kuumia na kuchakaa zaidi huko mtaani kuliko hapo kwa mumeo...
  4. JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu mume na mke kwenye ndoa

    Mume anaoa ili atimiziwe haja za ngono na huduma nyingine za msingi za nyumbani ikiwemo kupikiwa chakula, kufuliwa nguo, kutandikiwa kitanda. Mke anaolewa sababu ya kutafuta usalama wake na kuhudumiwa kwa mahitaji yake yote wakiwemo wazazi wake. Kama haupo tayari USIOE wala KUOLEWA. Endelea...
  5. JamiiForums Tanzania Je, ungekuwa wewe mke au mume ungefanyaje?

    Kama clip inavyojieleza, ungekuws wewe ndiye mke au mume ungefanyaje ukitokewa na hali kama hii?
  6. JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa: Huyu ni mume wa Mama Getrude Mongela?

    Asanteni, ninasubiri majibu. Nikijibiwa, nitauliza swalinla pili!
  7. JamiiForums Tanzania Mke wangu ni miongoni mwa wanawake waliopata mume ambae ni “Full package”

    Imagine unaolewa na mwanaume 1. Handsome 2. Ana elimu 3. Uchumi wa kati 4. Anabusara. Na kubwa zaidi ni rijali hasa kunako 6*6. Wengi wa mtaani utakua ana elimu na uchumi atleast. Ila ni mbaya wa sura na umbo, ana mitabia ya ajabu ajabu, na busara hana kabisaaaaa. Ni kama primate. Am proud to...
  8. JamiiForums Tanzania Mume watoto watatu nje mke mmoja

    Kuna rafiki yangu ameniomba ushauri nimekosa cha kumshauri Yeye ana mtoto mmoja ni single maza.kapata mwanaume ana watoto 3 .boys Anataka wafunge ndoa kabisa. Sasa anawaza Bora apambane na mwanae mmoja au Bora aolewe akapambane na WA nne? Uchumi WA jamaa ni WA Kati na yeye mwanae analea...
  9. JamiiForums Tanzania Bila Mchepuko, Ndoa Nyingi za Sasa ni Ngumu Kudumu – Unahitaji “Catalyst” ya Mahusiano

    Kwa mtazamo wa sasa juu ya ndoa na mahusiano ya kimapenzi, kuna ukweli mchungu ambao wengi hawataki kuukubali hadharani: bila mchepuko, ndoa nyingi za siku hizi hazidumu kwa amani wala furaha. Kabla hujanihukumu au kunishambulia, tafadhali nielewe vizuri. Sipromoti usaliti, bali najaribu...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Nimechoshwa na tabia za mume wangu na dada yake nisaidieni nifanye nini?

    Ahsanteni
  11. JamiiForums Tanzania We member Marry Diana kama unataka msaada wa kipesa,kimawqzo,mtaji au mume mtafute tajiri wa kusini jamaa ni very gentleman

    Nimesikitika baada ya kusoma thread ya member humu anayeitwa Marry Diana jinsi anavyoilalamikia jamii forum na member wake kwamba watu wengi humu ni wabaya kusema ukweli nimeumia sana hivi unakuaje mwwnamke mzuri na brain woman wanamkosea hivyo? Ila ninachomuambia huyu member Marry Diana ya...
  12. JamiiForums Tanzania Matukio katika jamii zetu, Mabinti wawili wakipiga story ndani ya daladala

    Mabinti wawili walikua wanapiga story ndani ya daladala: Binti 1: je ungependa mume wa aina gani ? Binti 2: Awe bilionea ..! 🙄 Binti 1: Je ukimkosa ? 🤔 Binti 2: Awe milionea ..! 🙄 Binti 1: Je asipopatikana ? 🤔 Binti 2: Awe japo na laki tano ..! 🙄 Ghafla mvuta bangi mmoja akiwa kajilaza...
  13. JamiiForums Tanzania PICHA: Jerry Silaa alivyopigwa busu na mkewe kabla ya kuwasilisha hutuba ya bajeti ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa, akimbusu mke wake Mariamu, wakiagana naye kabla ya kuingia bungeni kuwasilisha hotuba ya taarifa ya makadirio, mapato na matumizi ya wizara hiyo, jijini Dodoma, leo Mei 16, 2025.
  14. JamiiForums Tanzania Hakuna kitu kinaitwa “mume wa mtu”

    Jamani tambueni hakuna kitu kinaitwa mume wa mtu, ndioo najua unashangaa.. Ndio maana huwa hatuwatolei mahali hawa viumbe, tofauti na sisi tunakuja kuzolewa juu juu kwa mabadilishano ya kifedha (barter trade). Huu mfumo ndio unefanya wanawake baadhi wananyanyasika sana kwakigezo Mume anasema...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Wanasemaga mume wangu hata akienda mbali kutafuta kwa miezi kadhaa hakuna shida ni waongo.

    Ktk swala la wao kuvumilia muda mrefu bila kushiriki tendo wanetuzidi wanaume.lakini pale wanaposema mume hata akisafiri muda mrefu si tatizo ni uongo hawawezi hao. Ieleweke wazi hapa sisemi kwamba huyo mwanamke atachit hapana.Ila kiakili na ile kumic kuwa karibu humfanya asikubali mwezake awe...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Nakupenda sana mume wangu tajiri wa kusini

    Mume wangu tajiri wa kusini nakupenda sana jamoni yaani bila wewe siwezi kuishi japo wewe ni tajiri ila umeamua kujishusha,kunihudumia,kunilinda na kunijali jamoni wewe ndiyo umenifanya nione thamani ya Maisha tena baada ya kutendwa mume wangu Tajiri wa kusini hivi nimpende nani zaidi yako...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Je, baada ya Mahakama ya Kadhi kutoa Talaka, mume anaruhusiwa kumrudia mkewe?

    Naomba kufahamu, kama kesi ilienda mahakama ya kadhi na TALAKA ikatoka kupatiwa mke, Je wakiridhiana wanaweza rudiana, au nini hatma yake!? Nawasilisha
  18. JamiiForums Tanzania Muhamad alimuoa Safiya Myahudi baada ya kumuua Mume wake kwa Mahari ya Tende na Samli

    Naendelea kutoa masomo kuhusiana na Muhamad na Quran ili watu waufahamu Uisilamu. Watu wengi wakiwemo waisilamu wenyewe wamekuwa hawamfahamu Muhamad na hawaufahamu Uisilamu ulivyoanzishwa. Hawamfahamu vizuri Muhamad na matendo yake ambayo ndo msingi wa Uisilamu. Tunaenda kwa maandiko hakuna...
  19. JamiiForums Tanzania Mume na mke wahukumiwa miaka mitano jela kwa kukeketa watoto yatima watatu wa familia moja

    Mume na mke wakazi wa Kijiji cha Gidimadoy, Kata ya Maga, Tarafa ya Haydom, Wilaya ya Mbulu mkoani Manyara, wamehukumiwa kutumikia kifungo cha miaka mitano jela na kulipa faini ya Shilingi milioni tatu kila mmoja kwa kosa la kuwakeketa watoto watatu yatima wa familia moja. Watoto hao walikuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Kitu gani ulikiona kwa mwanaume au mwanamke ukajua huyu siyo wako wa maisha (sio future mume / mke)

    Niliona uchafu wa haja kubwa kwenye nguo yake ya ndani, nikajua kama mwanaume hawezi kutawaza vizuri basi pia hawezi kuja kua kichwa cha familia yangu. Niliona anavyoongea kwa dharau na mzazi yake nikajua huyu hana heshima kuanzia nyumbani kwao, hanifai. Alinipigha alivyotoka mpirani amelewa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…