muhimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Taasisi za elimu ya juu nazo zinasuburi mihadhara ya kisomi iruhusiwe? Sherehe muhimu Uhuru/mapinduzi ilifaa kuwa na mijadala ya kisomi.

    Sherehe za Uhuru na Sasa mapinduzi, zinaadhimishwa kwa kupanda miti/kufanya usafi. Nadhani uadhimishaji wa sherehe hizi uwe na mlengo wa kiuchumi. Yawepo mawasilisho ya kiuchumi kwa lengo la kusogeza nchi mbele. Maazimisho ya magwaride yanaweza kuwepo, lakini test ya kiuchumi ni muhimu...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nukuu muhimu ya Januari Makamba kwa watanzania 2022

    NUKUU MUHIMU YA JANUARY MAKAMBA KWA WATANZANIA Mh Rais kazi hii uliyotupa ya kusimamia mradi huu na sekta nzima ya nishati sisi tunaimudu, tunaiweza mipango tunayo mikakati tunayo namna ya kutafuta fedha kukusaidia tunayo na nataka nikuhakikishie wengine sisi ni washindani dhidi ya matatizo na...
  3. JamiiForums Tanzania Katiba mpya ni muhimu kwa maendeleo na mstakabali wa vizazi vya sasa na vijavyo

    Heri ya X Mass. Tunamshukuru Mungu kwa siku kuu ya leo,na kwa namna ya kipekee kabisa nawapongeza waKristo wote Tanzania na Duniani. Wakati bado tunaendelea kusheherekea siku hii muhimu naomba tuwarejeshe katika mjadala wa mchakato wa KATIBA MPYA. Ni hakika KATIBA ya sasa ina mapungufu mengi...
  4. JamiiForums Tanzania Nikimwambia Rais jambo hapa atanisikia? Ni muhimu sana

    Ilikuwa kwenye video ikitembea. Ilikuwa kikao nadhani kilifanyika dodoma mwezi huu wa 12, 2022. 1. Walimu waajiliwe wale wenye ufaulu mkubwa tu. 2. Walimu walioko kazini wapewe mafunzo ya mara Kwa mara lakini pia watatazamwa competence Yao kazini.(aliyasema haya Mh mhagama kule manyara kama...
  5. JamiiForums Tanzania Tatizo la umeme ndilo litakuwa janga kuu la kura za CCM 2025. Mabadiliko ya haraka ya sekta hii ni muhimu

    CCM imekamilisha kupanga timu ya kusaka kura kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Mabadiliko ya watendaji serikalini yanatarajiwa kufanyika hivi punde kwa lengo hilo hilo la kuvutia kura za wananchi. Katika harakati zao hizo ni vyema wakazingatia ushauri ufuatao: - Janga namba moja kuu...
  6. JamiiForums Tanzania Kuoa na kuolewa ni muhimu aisee

    Yaan kwa moto ninaoupata siku zile 5 za joto kwa mwanamke....aisee ndoa muhimu sana....nyeto na mkuyenge(I mean mkuyenge siyo hivo vidude vyenu)...ni vitu viwili tofauti...tena ni Mara mia ukapiga nyeto siku ambazo haupo hot kuliko ukiwa hot....aisee...ni kama unachochea moto.Daaah Ukishindwa...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia ashauri umuhimu wa kusikiliza watangulizi lakini hailazimiki kufata matakwa yao. Akemea udikteta kwani hufupisha safari

    Rais Samia leo ameongelea ushauri ambao anaweza kuwapa wanawake viongozi wa sasa. Rais Samia amesema wasijikite kwenye misingi ya uongozi ya chuoni pekee. Ni muhimu kutambua na kujua lengo na ni muhimu kuwa mnyenyekevu ikiwemo kuwasikiliza watu zaidi na kuzungumza kidogo. Rais Samia kasema ni...
  8. JamiiForums Tanzania Sajili Muhimu kwa vilabu vya Kariakoo

    Vilabu hivi viwili SIMBA pamoja na YANGA vina mapungufu katika vikosi vyao ukianza na mabingwa watetezi YANGA wamekuwa na tatizo kwenye safu yao ya ulinzi pamoja na kiungo wa kati nafasi ambazo humlazimu Yanick Bangala kucheza nafasi zote mbili kadiri ya mahitaji ya meji hivyo yanga inahitaji...
  9. JamiiForums Tanzania Hamkutaka kujifunza kupitia Bukinafaso na Zaire ya Mobutu mlitegemea nini? Mmesahau kuwa viongozi wanaolinda rasimali za umma ni muhimu kwa maendeleo?

    Watu wa Bukinabe walimuua Thomas Sankara wakarudi nyuma na leo ni masikini wa kutupa. Thomas Sankara alitoa uhai wake kutetea masikini na raia wanyonge kama hayati JPM wa Rubambangwe Chato. Vipi kuhusu Patrice Lumumba? Alisalitiwa na wenzake. Kama leo hii watanzania wanavyosalitiwa na wenzao...
  10. JamiiForums Tanzania Tunaomba serikali iyaachie mashirika muhimu ya umma yenye kutoa huduma kwa jamii moja kwa moja yajitegemee kila kitu kasoro usimamizi tu

    Hii ni kwa maslahi ya wananchi... Kinachopelekea uzembe na kudorora kwa utoaji wa huduma kwa wananchi ni Kwamba... Wana uhakika wa mshahara bila kujali mauzo... Ingebidi wawe wanawapata malipo kulingana na wanavyouza wangekuwa na adabu na kujituma. Kwa mfano TBC wanajua kabisa... Uangalie...
  11. JamiiForums Tanzania Uwezo wa kuhoji kila kitu ni sifa muhimu ya ukuzaji wa ubinadamu na chachu ya maendeleo katika njia tofauti

    Binadamu ameumbwa kwa upekee unaomfanya kila mmoja kujuona kwa namna yake. Hitaji kubwa la mwanadamu ni uhuru dhidi ya kila kitu. Taasisi nyingi zilizopo leo kwa upekee wake zina mazingira ya kupora uhuru na kujenga mazingira ya hofu kwa mwanadamu ili aweze kutawalika. Baadhi ya maandiko ya...
  12. JamiiForums Tanzania Ukitupilia mbali habari za Ushoga Kombe la Dunia, kuna Jambo muhimu la kujifunza Qatar

    .
  13. JamiiForums Tanzania Haki ya Kusahaulika ni nini? Kwanini ni muhimu?

    Mnamo Novemba 21, 2022, The Chanzo ilifanya mahojiano maalum na Mkurugenzi wa JamiiForums Maxence Melo kuhusiana na haki ya msingi ya binadamu ambayo watu wengi hawaifahamu: haki ya kusahaulika. Melo, ambaye ni moja kati ya wadau wakubwa wa haki za kidijitali nchini Tanzania, amesema haki hiyo...
  14. JamiiForums Tanzania Ni bora utumwani penye mahitaji muhimu kuliko uhuru pasipo na mahitaji muhimu

    Hata waisrael walifikia kipindi kuchoka na shida wanazopata safarini kuelekea kaanani walitamani Musa awarudishe Misri kwa farao utumwani walipata mahitaji muhimu.
  15. JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya Tabia Nchi isiwe kichaka cha kuwanyima huduma muhimu wananchi

    Mtanzania ukimpa sababu, umemaliza, ataitumia sababu hiyo kila sehemu. Ukizungumzia umasikini wa bongo watasema ni kwa sababu ya ukoloni ambao umeisha miaka 60 iliyopita lakini bado hakuna hatua serious. Kwa sasa dunia ipo kwenye agenda ya Mabadiliko ya Tabia nchi, na Tanzania imeichukua suala...
  16. JamiiForums Tanzania Dkt. Ndugulile: Internet ni nyenzo Muhimu kwa Maendeleo

    Aliyewahi kuwa Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt. Faustine Ndugulile amesema kuwa Internet ni nyenzo muhimu kwenye kuchochea maendeleo. Kupitia andiko lake kwenye mtandao wa kijamii wa Twitter, Dkt. Ndungulile amesisitiza umuhimu huduma hii kupatikana kirahisi, kwa gharama...
  17. JamiiForums Tanzania Kutokana na kauli ya Waziri Nape kwenye matumizi ya bando; Wataalam na watumiaji majibu yenu Muhimu

    Tunaambiwa weka 500 yako alafu washa intaneti kisha endelea kuperuzi. Hiyo ndiyo kauli unayoweza kuitumia kutokana na wananchi wanaogoma kuhamia Burundi wakidai matumizi ya vifurushi wanavyonunua kwenye bando kutumika na kuisha hata kabla ya mtumiaji kumaliza ndani ya muda. SWALI: Wale...
  18. JamiiForums Tanzania Taarifa muhimu kuhusu PREP"pre exposure prophylaxis"

    Shalom 1. Prep nini? Ni dawa ya kutumia ili kujikinga na ma'am ukizingatia ya virusi vya ukimwi kwa watu ambao bado hawajaambukizwa na wako katika hatari zaidi ya kuambukizwa vvu. 2. Nani wanufaika wa prep? Prep inapaswa kutumiwa...
  19. JamiiForums Tanzania TMA mna lengo gani na Watanzania mpaka kuificha habari hii muhimu iliyotangazwa na DW ya Ujerumani?

    Sasa ni rasmi kuwa kuanzia sasa Dunia (hasa hasa huu Ukanda wa Afrika Mashariki Tanzania ikiwemo) inaenda kuwa na ukame mfululizo wa miaka minne (4). Ninachojua tu GENTAMYCINE ni kwamba Mzungu huwa hakosei hasa pale akipima kitu chake kwa kutumia mitambo yake na kufanya utafiti wa kina. Tayari...
  20. JamiiForums Tanzania Jaman nilikuwa nauliza vifaa vya muhimu kwenye biashara ya ufundi simu

    Ambaye ana sehemu nzuri ya kibiashara kuna fundi vifaa vya electronics anaitaji support
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…