muda

MuDA was the acronym of the Museum of Digital Art, an art space dedicated to digital arts. The institute was opened in February 2016 in Zurich by the non-profit Digital Arts Association. It closed by the end of June 2020.

View More On Wikipedia.org
  1. W

    House4Sale Kilasilo Guest House inauzwa

    KILASILO GUEST HOUSE INAUZWA Specifications; 9 rooms self contained zote Fence eneo lote + gate 840m² eneo Kisima (120m) maji muda wote Dawasco pia maji yapo Kutoka barabara kuu ni 600M LOC: MADALE MWISHO Bei 135M (Maongezi Yapo) Mawasiliano 0748 270 719
  2. Ni muda wa kuambiana ukweli. Sisi watu weusi hapa duniani tatizo letu ni nini?

    Huu ni muda wa kuambiana ukweli ndugu zangu. Hivi sisi watu weusi hata waafrika tatizo kubwa ni nini hasa hapa duniani mbona tumeganda kama kwenye barafu ? Tupo nyuma nyuma tu kwa mambo mengi huku hao wanao onekana wenzetu wakituacha mbali. Yaani sisi kwa vitu vingi tuna kimbizwa na hawa watu...
  3. K

    PreGE2025 Kama itapendeza uchaguzi usogezwe mbele na Rais apewe muda ili tupate Katiba Mpya

    Kama itapendeza Chaguzi zote zisogezwe mbele kwa muda wa miaka miwili na Rais aendelee kutawala na kumpa muda wa kuandikwa kwa Katiba Mpya ili uchaguzi uwe huru na wa haki. Mambo yote yanayobishaniwa mfano Rais kumchagua Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi, Rais kumteua Mkurugenzi wa Uchaguzi...
  4. P

    PreGE2025 Askofu Mwamakula: Naona huu sio muda sahihi wa kuwahukumu wabunge kuhusu miswada ya sheria za uchaguzi

    Wakuu kwema? Askofu Mwamakula akiwa anahojiwa na mwandishi wa habari kutoka Jambo TV amesema anaona sasa sio muda sahihi wadau na vyama vya siasa kuanza kuwahukumu wabunge juu ya miswada ya sheria ya sheria za uchaguzi inayotarajiwa kurudi bungeni kusomwa tena baada ya kupokea maoni kutoka kwa...
  5. Netanyahu na Rais Biden hawasemezani kwa muda mrefu sasa. Sababu ni vita vya Gaza

    Vita vya Israel na Palestina vinazidi kutoa matokeo hasi na ambayo hayakutarajiwa kabisa. Mataifa rafiki na ya kiislamu yameanza kutofautiana na kuanza kupigana yenyewe mfano ni Iran na Pakistan na Iran kupiga ndani ya Syria na Iraq bila hofu ikiwinda vikundi vinavyofadhiliwa na Israel. Hata...
  6. Msajili: Vyama vya Siasa vinatakiwa kufanya uchaguzi wa viongozi kama Sheria inavyowataka na kuepuka kukaa muda mrefu bila uchaguzi

    Wanaukumbi. Vyama vya siasa ambavyo muda wa ongozi wa viongozi wake unakaribia kuisha, vinakumbushwa kufanya uchaguzi wa viongozi wake kabla ya muda huo kuisha..
  7. Kuna muda unafika unatambua ile misimamo ya mababu kuhusu Elimu na wanawake kama inakuingia hivi!

    ...
  8. R

    PreGE2025 Katibu Mkuu Nchimbi, zuia walioanza kampeni mapema ndani ya chama chako kabla ya muda

    Salaam, Shalom!! Hongera kwa kuaminiwa na chama chako kwa nafasi ya Katibu Mkuu. Kuna vurugu na wimbi linaendelea la watu ndani ya chama chako kuanza compaign mapema Kwa GIA ya kuchangishana na kuwachukulia fomu wagombea wa nafasi mbalimbali, Hasa ubunge na Ile ya juu zaidi ilhali muda Bado...
  9. PreGE2025 Maandamano ya CHADEMA kuanzia Mbezi Mwisho na Buguruni hadi Ofisi za UN

    Maandamano ya Jumatano, Januari 2024, yataanza Saa 3:00 asubuhi. Yatahusisha njia mbili kuanzia Mbezi Mwisho (Stand) na Buguruni, na yataishia Ofisi za UN, barabara ya Sam Nujoma, Dar es Salaam. Nakala za barua za taarifa ya Maandamano haya zimepelekwa kwa makamanda wote wa Polisi Wilaya...
  10. Madaktari wa Tanzania jifunzeni kwenda na muda

    Utafiti wangu binafsi. Madaktari wengi Tanzania hawawezi KWENDA na muda wanapoteza muda sana wawapo kazini. Kuna foleni zipo mahospitalini simply because madaktari na lab technician hawazingatii muda. Daktari anapiga soga na mgonjwa ndani ya chumba cha daktari kama wapo kijiweni. Wastani wa...
  11. Jengo limeanguka Zanzibar, mtu mmoja ajeruhiwa, wengine 15 wameokolewa

    Jengo la PBZ lililopo Forodhani limeanguka, inadaiwa kulikuwa na watu kadhaa ndani ya jengo hilo lakini bado hakuna taarifa rasmi juu ya chanzo cha tukio hilo na madhara yaliyojitokeza.Jengo la PBZ lililopo Forodhani limeanguka, inadaiwa kulikuwa na watu kadhaa ndani ya jengo hilo lakini bado...
  12. Uahirishaji wa kesi ni chanzo cha kupoteza muda na fedha kwa wananchi

    Je, kesi mahakamani inachukua muda gani hadi kusikilizwa? Hili ni suala linalomkabili mama mmoja mkazi wa Kawe ambaye alinunua kiwanja Mapinga kutoka kwa bodaboda mmoja anaemwamini. Hata hivyo, alipokwenda kuangalia ardhi hiyo, aligundua kwamba kuna mtu tayari ameshaanza kujenga, na baadaye...
  13. J

    Muda wa kuomba mkopo HESLB kwa kozi zilizoongezwa Januari 3, 2024 uongezwe ili kuruhusu kukamilisha maombi

    Habari, Naomba tujadili hili ni sawa? Tarehe 3 January 2024 bodi ya mikopo ilitangaza kuongeza KOZI mpya tatu zitakazonufaika kwa mikopo diploma na kueleza kuwa maombi ya mikopo yataanza tokea siku hiyo. Katika taarifa hiyo Bodi ya mikopo HESLB haijataja deadline au siku ya kufunga dirisha la...
  14. M

    Hamna kesi za kijinga na za kupotezeana muda kama Kesi za Madai kwa sisi Hohehae...

    1.Yaan unaingia gharama kutafuta wakili.. 2. Inachukua muda kuendeshwa.. 3. Nado ukishinda unalipwa kwa mafungu mafungu yaani inachukua muda mtu kumaliza kiasi unachomdai.. 4. Ukishinda mdai anakata rufaa muda unazidi kwenda na ww unashida na hela yako..yaan daah 5. Dhamana zenyew wanazotupa...
  15. Nawashangaa Watanzania wanaoshangaa kusikia Sadio Mane kamuoa girlfriend wake wa muda mrefu mwenye umri wa miaka 18

    Age of consent in Senegal is 16 years old. Kwa maana ya kwamba mtu mwenye umri wa miaka 16 nchini Senegal anaruhusiwa kuolewa au kuoa. Hiyo hoja kusema kwamba sijui alikuwa ana tembea na minor haina mashiko. Hata hapa Tanzania sheria yetu ya ndoa msichana anaruhusiwa kuolewa akiwa na umri...
  16. Unyonge wa Walimu unaanzia mbali. Inahitaji muda na jitihada za dhati kuumaliza

    Ninaandika kwa masikitiko makubwa sana. Siku hizi imekuwa kawaida unatazama TV mara unaona muokota makopo akijisifia kuwa kazi yake inamlipa kuliko hata ya ualimu. Hujakaa vizuri unakuta mwenyekiti wa kijiji naye anawapa amri waalimu ili mradi tu mwalimu aonekane sio lolote. Unaingia FB unakuta...
  17. Hatimaye Anjela atimiza ndoto yake ya muda mrefu, Zuchu akubali kufanya nae kazi

    Kila mtu ana ndoto zake na malengo yake. Anjela msanii aliyekuwa konde gang wakashindwa kumpa huduma muhimu akasepa, ndoto yake kubwa ni kufanya kolabo na msanii wa kike namba moja east africa Zuchu. Leo baada ya kuelezea namna atafurahi akitimiza ndoto yake hii, Zuchu alimpa go ahead ya...
  18. Simba Sc kutangaza usajili muda wowote, Babacar Sarr atajwa

  19. M

    Pamoja na taifa kuwa na Rais Mwanamke, idadi ya watoto wanaojilea kabla ya muda imeongezeka

    Hakuna sera nzuri za kulinda maisha ya watoto. Watoto wengi wanaanza kufanya kazi za majumbani kama kupika, kufagia na kuosha vyombo wakiwa na miaka minne hadi saba. Hii ni asilimia 90 Tanzania nzima. Lakini ni kwa sababu wazazi wao hasa akina mama wanahangaika kufanya biashara ndogondogo...
  20. Kama biashara/Ajira inakunyima muda wa ibada bado ni masikini, Ongeza bidii na umaridadi wa akili yako.

    Unatakiwa utafute pesa hadi ifikie hatua pesa ulizotafuta zenyewe zinaanza kutafuta pesa nyenzake zaidi. Unatakiwa ufanye kazi kwa bidii na kwa kujituma bila kujionea hurumq hadi ifikie hatua huitaji bidii kubwa kupata kipato. Kwa hiyo bidii yako lazima iwe na malengo hata kama bado...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…