muda

MuDA was the acronym of the Museum of Digital Art, an art space dedicated to digital arts. The institute was opened in February 2016 in Zurich by the non-profit Digital Arts Association. It closed by the end of June 2020.

View More On Wikipedia.org
  1. SGR na Zimwi la Uhairishwaji kila Muda

    Zifuatazo ni Failed Mission ya Majaribio au Kuanza Kwa Kutumika SGR.. Kipi Kifanyike.. Februari 2019 - Aliyekuwa Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji alisema safari ya kwanza ya SGR itaanza Novemba, 2019. Januari 2021 - Aliyekuwa Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbas...
  2. M

    Watu hawana muda na shida zako, usiposhtukia hilo utaishi kuwa mtumwa

    Ili ujue kama watu hawana muda na shida zako subiri siku wanakuomba uwasaidie nawe eleza shida zako, hata kama zitakuwa ni kubwa kuliko zao bado watakulaumu tu 😔 TUMIA KANUNI HII ILI USIWE MTUMWA HUKU MAMBO YAKO YAKIHARIBIKA 1. Jali afya yako kwa 100% 2. Hakikisha mambo yako yako sawa ndio...
  3. G

    Ukweli upoje kuhusu stori kwamba JWTZ ilibaki Uganda kuanzia 1978 hadi 1983 na katika kipindi hicho Uganda lilikuwa koloni letu kwa muda?

    Ni story ambayo naisikia kwa muda mrefu sana tangu nikiwa shule ya msingi. Ningependa kujua ukweli wake wa uhalisia uliokuwepo. Kiutawala Uganda ilikuwa chini ya Tanzania hata baada ya Uganda kupata marais katika hicho kipindi? JWTZ waliondoka kwa hiari ama ni Jeshi la NRA la Museveni...
  4. Malumbano ya viongozi HAMAS: Walioko ndani wanataka vita visitishwe, walio nje wanataka muda uvutwe

    Viongozi wa HAMAS walio ndani ya Gaza wapo radhi vita visitishwe na mikataba itiwe saini, wao wameshaonja joto la jiwe, hawana hamu tena, ila wale wanaoishi kwa raha kule nje wanataka muda uvutwe kwanza wapate dili nzuri... ===================== Hamas's top leaders are arguing about the...
  5. Kampuni ya Energizer imeanza kutengeneza Simu ya Smartphone Yenye Uwezo wa kukaa na Chaji kwa Muda wa usiopungua Siku 50 bila kucharge tena

    Simu kutokaa na chaji huwenda ikawani ni moja kati ya lalamiko kubwa kwa wamiliki walio wengi wa simu janja (smartphone). Vipi ukipata simu ambayo inakaa na chaji kwa muda mrefu, huwenda ikawa ni furaha ya kudumu kwako. Basi fahamu kuwa kampuni ya ''Energizer'' imekuja na aina mpya ya simu...
  6. Muda mwingine madalali wanaharibu kila kitu yaan wanafanya mambo kuwa magumu

    Madalali hawa jamaa Kuna muda wanataka kuvuna wasikopanda. Ni aibu Kua n'a utitiri WA madalali wAnaume wanaosubiri hela ya mahasla mtaani. Kila MTU apigike kupata pesa dunia ya Leo hakuna Cha mngema . Léo ukitafuta fremu ya biashara hupati kwa sababu zmezuiliwa na madalali uchwara. Dalali...
  7. Ni muda sasa Waandishi muache kumuhoji Chid Benz

    Kama wewe ni shabiki wa Chid Benz na umekuwa ukifuatilia mahojiano yake utagundua kuwa hayupo sawa. Chid Benz amekuwa na Interviews nyingi ambazo zimekuwa zikitumiwa kama kichekesho kwa baadhi ya watu waliokosa uungwana. Chid amekuwa anaulizwa maswali na anajibu tofauti hali unayofanya tuhisi...
  8. Kwa wingu Kubwa na huu Upepo Mkali wa sasa Dar es Salaam nahisi muda wowote koki inafunguliwa na tujiandae tena kwa Maafa

    Nasikia huko Kibaha, Chalinze na Morogoro imepiga ya maana na Watu wametafutana. Wa Mabondeni mkae tayari leo oky?
  9. Meli 13 zinahudumiwa muda huu bandari ya DSM Januari 28/2024

    Hizi hapa dondoo 15 muhimu za kuzingatia dhidi ya propaganda hasi kwa bandari ya DSM 1. Magati yote 12 pamoja na maeneo ya kuhudumia shehena za mafuta yanahudumia meli hadi kufikia muda huu wa leo tarehe 28 Januari 2024, tofauti na wapotoshaji wanaoposha kwa makusudi kuwa ni magati mawili (2)...
  10. Mhitimu unayeamini waliopata sifuri Form 4 ndio kutimiza ndoto zao basi elewa kwamba ulipoteza muda shuleni

    Watu kadhaa wamenitag kwenye Uzi wa matokeo ya Necta ili nijionee jinsi vijana wa shule za Kayumba walivyo pata zero na 4 kwa wingi. Ni kama vile wanasema "Wewe si ndo unajifanya kuzipigia kampeni shule za Kayumba ona sasa walicho kipata?" Hapo hapo ni kama vile wanasema tena "Hawa vijana...
  11. T

    Nini inaweza kuwa hatima ya kijana anayewekeza muda na girls

    Wakuu. Kiukweli hapo nyuma nilikuwa si mtu wa mademu kabisa. Nimesoma o level na a level fresh , nilipomaliza six , nilijitahidi kutongoza girls angalau namimi nichakate mbususu bila mafanikio. Sasa nimeenda chuo the same girls na wengine wengi nimejaribu kuwatongoza hawakatai, Ninawaza...
  12. S

    Hivi hakuna namna Vijana kero ya paka na kunguru mtaani tukaifanya kuwa ajira ya muda wakati tunajitafuta?

    Serikali inapenda kusikia sisi vijana tunawaza nini ili watusaidie! Siyo kila wakati ni wa kulaumu laumu tu! Wakati mwingine tupeleke maoni yetu kwenye mamlaka za serikali kama vijana! Ukipita huko mtaani kuna paka wengi sana, kuna mbwa wengi sana, kuna panya wengi sana,kuna kunguru wengi...
  13. Roma Mkatoliki na Nay wa Mitego, ni muda wenu sasa kuwa wabunge/viongozi ndani ya nchi hii

    Wasalaam Wakuu.............!!! Moja kati ya mambo ambayo uwa naumia sana kuyaona kwenye hii nchi ni kuwaona watu wasio staili kukalia nafasi za wale wanao staili Ukienda Bungeni kuna watu mpaka unashangaa mwenyewe,alitumia mbinu gani mpaka akaupata ubunge? Mtu Kama Babu Tale,Mwana FA,Michael...
  14. Jumbe za dira ya maendeleo, je umechangia nini? Ni kweli mawazo yetu yatazingatiwa au wanapoteza muda wetu?

    Nimepokea sms takriban 8 kwa wiki hii kujulishwa kuhusu dira ya taifa ya maendeleo itayodumu mpaka 2050 kupitia kifaa changu cha mkononi ila nimeshindwa kuwajibu kwa sababu kuu mbili simu inaji-cancel before sijamaliza kujibu na sababu nyingine uchangiaji upo very limited siwezi kuchangia kwa...
  15. Wahudumu wa mikopo ya mitandaoni walinipigia kabla ya muda wa marejesho nikawaambia kuwa sitawalipa kwakuwa wameniletea usumbufu. Sijawalipa

    Muhudumu wa kwanza alinipigia siku moja kabla ya siku ambayo nilipaswa kulipa na kuniambia nifanye malipo haraka kuna zawadi. Nikamjibu kistaarabu tu siku ikapita. Muhudumu wa 2 alinipigia siku ambayo nilipaswa kulipa nikamwambia atulie kwakuwa wameweka interest kwa kila siku inapoongezeka ...
  16. Tanzania Safari Channel bora kabisa inayothaminisha nchi na muda wa mtazamaji

    Dokta Ayubu Ryoba anastahili kongole kwa ubunifu huu wa channel inayoweza kuangaliwa na dunia nzima ikielezea uzuri, historia na hadhi ya nchi yetu. Nimekuwa nafuatilia vipindi vya channel hii ya utalii nimejikuta naeleimika sana kuhusu uzuri wa nchi yangu na hata kuna maeneo ambayo si rahisi...
  17. Tambua wapi unakwenda na jua muda ni mali

    This life is so fucking terrible, people love, Crayz Love but behind Love there's Money. Money. To find money, you need time, na mtaji wa kwanza ni Afya na Akili. Health mind Even your father can just use you, only to fulfill his own desire. Oky all of us we Love. What you Love ? You...
  18. Reaction za mtu mkimya zina madhara sana tofautisha mtu mkimya na mpole, kuna jambo gumu na zito litatokea muda si mrefu stay tuned kuna upande utalia

    Ogopa Sana kuishi na mtu mkimya asiye na maneno mengi watu wa aina hii huwa ni wavumilivu Sana na pia huwa na mioyo ya upendo lakini huwa hawapendi dharau Watu hawa wakigundua una wadharau kitakachokuokoa usiwadhalilishe hadharani ila wakigundua kwamba unawadhalilisha hadharani na wakianza...
  19. R

    PreGE2025 Tundu Lisu Mgombea Urais CHADEMA akifanya mdahalo na Mgombea Urais wa CCM 2025 Dunia itasimama kwa muda

    Kwa mfano Tundu Lisu uandaliwe Mdahalo na Mgombea Urais wa CCM na iwe live unategemea kuna TV itaacha kuonyesha huo mchuano ? Pamoja na kwamba tunatamani ,je hivi vyama viwili vitaruhusu kutokea kwa mdahalo huo? Kama haitaruhusu unadhani kwanini itakuwa ngumu kuruhusu msuguano huu wa fikra?
  20. Tigo rekebisheni mtandao wenu, tangu jana mpaka sasa ni shida sana kuupata

    Eneo nilipo watu wote wenye laini za Tigo mtandao hausomi! Kwenu hali ikoje? ======
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…