muda

MuDA was the acronym of the Museum of Digital Art, an art space dedicated to digital arts. The institute was opened in February 2016 in Zurich by the non-profit Digital Arts Association. It closed by the end of June 2020.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania VIDEO: Mimi nafikri muda mwingine shetani akikaa na ku-review mambo kama haya huwa anasikitika sana namna anavyosingiziwa muda wote

  2. JamiiForums Tanzania Tanzania hakuna Chama cha upinzani na hakijawahi kuwepo, mkija kuelewa hii mtakuwa mshapoteza muda sana.

    Aliwahi kuzungumzia hili swala Nyani Ngabu kuwa Tanzania hakuna vyama Vya upinzani na havujawahi kuwepo. Na mkija kumuelewa Nyani Ngabu mtakuwa mshateseka Sana .
  3. JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenyekiti Othman Masoud Othman Anazungumza na Wahariri, leo Agosti 23, 2025

    Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman anazungumza na Wahariri wa Vyombo vya Habari muda huu katika Hoteli ya Serena. https://www.youtube.com/watch?v=QALdEBBAQlk Mazungumzo ya Mgombea Urais wa Zanzibar Kupitia ACT Wazalendo na Wahariri wa Vyombo vya Habari, Serena Hotel...
  4. JamiiForums Tanzania TFF tumieni muda huu huu wa kutolewa kwetu CHAN 2004/2005 kumfuta Kazi pia Kocha Hemed Suleiman Morocco kwani hakuna Kocha hapo

    Tuachaneni na huu Ushamba kuwa hata Makocha wazalendo wana Ubavu wa Kufundisha Timu zetu za Taifa. Afukuzwe.
  5. JamiiForums Tanzania WATANZANIA WOTE MNAKARIBISHWA MKAPA DE STADIUM; Game ni Saa 2:00 Usiku Free Entrance muda wako tu.

    Umofia wana Sports ! Siku mbili zilizopita niligawa tickets 500 door to door na 216 nikawatumia wadau lengo ni kufika uwanjani. Malengo ilikuwa ni kuwafikia wadau 1000 kama nilivyosema mwanzo bahati mbaya siku ya jana POS ya kununua tickets ilikuwa down sana kiufupi hakuna ticket iliyouzwa...
  6. JamiiForums Tanzania 🌍 Hadithi ya Mti na Kiti cha Muda

    Hadithi ya Mti na Kiti cha Muda Katika ardhi nzuri iitwayo Tanzania, yenye milima inayogusa mawingu na mito inayobeba nyimbo za jadi, ulisimama Mti Mkuu uliowakilisha taifa. Mizizi yake ilitanda hadi ndani ya historia ya Uhuru, ikagusana na mifupa ya mashujaa waliopigania heshima ya ardhi hii...
  7. R

    JamiiForums Tanzania The morphing of dictators: why dictators get worse over time

    KUTOKA MTANDAONI "The morphing of dictators" refers to the concept that authoritarian leaders, even those starting with good intentions, often evolve into more ruthless tyrants over time due to the decisions they make to maintain power. A model proposed in an Oxford Academic article suggests...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kagera: Walimu zaidi ya 80 Wilaya ya Ngara tuliohamishwa mwaka jana mwezi Mei hatujapewa hela za kujikimu. Hali ngumu

    HALI HIYO IMEPELEKEA BAADHI YA WALIMU KUKOSA FEDHA ZA KUJIKIMU NA KUPELEKEA KULALA MADARASANI KUTOKANA NA KUKOSA FEDHA ZA KODI. PIA WALIMU WENGI TUNANAISHI MBALI NA FAMILIA ZETU KWANI TULIKOSA FEDHA ZA KUSAFIRISHA FAMILIA NA MIZIGO YETU.
  9. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Joseph Mbilinyi (Sugu) afunguka mabadiliko wanayoyahitaji, awapongeza pia Askofu Gwajima na Polepole

    Wakuu tusubiri madini kutokea Kanda ya Nyasa hapo saa 7 https://www.youtube.com/watch?v=uKYw8JinUVc === Sugu anabainisha kuwa hadi hakuna hatua zozote zilizochukuliwa licha ya watu kupotea akiwemo Deus Soka na wenzake. Aidha ameeleza kuwa dola imeendelea kuonesha ubabe kwa kufanya mambo...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini ukiwa unamfikiria mtu na yeye muda huo huo anakuwa anakufikiria.?.

    Kwanini ukiwa unamfikiria mtu na yeye muda huo huo anakuwa anakufikiria . Kabla haujampigia anakupigia au vise versa yake , unajua inasabaishwa na nini hali hii !? Usiondoke hapa ! Namaliza kula nakuja. Hapa ndo utajua umuhimu wa kuwa na positive thinking .
  11. JamiiForums Tanzania Ni kiongozi gani wa serikali ya GHANA alitakiwa mpaka muda huu awe jela?

    ina maana ile serikali ya GHANA wote waliomo mle ndani ni wote watakatifu?
  12. L

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nitaijibu hotuba ya Askofu Gwajima kwa kina muda wowote ule kuanzia sasa

    Ndugu zangu Watanzania, Kuanzia Sasa na muda wowote ule nitaijibu kwa kina na kwa hoja nzito sana Hotuba iliyotolewa na Askofu Gwajima siku ya hapo jana. Nitaeleza kwa kupita neno kwa neno na sentensi kwa sentensi. Nimeona ni kama Askofu Gwajima kavurugwa akili yake au kachanganyikiwa au...
  13. JamiiForums Tanzania Kuna muda hizi siasa huwa zinachekesha sana

    Kila Muhula wa Rais mpya wananchi wanasiasa huponda kwakila jambo linalowagusa, Lakini Rais amalizapo tu miaka yake ya uongozi watu umkumbuka nakusema Bora yake kuliko huyu wa Sasa😁 Hata huyu wa Sasa ngoja amalize miaka yake utasikia milio namapambio yawale wale waliombeza
  14. JamiiForums Tanzania Hersi usilazimishe Mambo, Muda ukifika utapata.

    Umegombea ubunge Kigamboni Chama kikakupiga chini, ukachangia mil.100 Kwa jina la Yanga kelele zikatoka Kila mahali kukshambulia. Katikati ya kelele hizo bila kupima madhara yake ghafla unajikeza kuchukua fomu upigiwe Kura na bado wamefyeka jina. Hii siyo speed ya kawaida brother. Binadamu ana...
  15. JamiiForums Tanzania Technically hadi muda huu Usajili wa Simba SC haujanishawishi kukiamini Kikosi changu na naomba niwe wa Kwanza kusema tutaendelea kuwa Wasindikizaji

    Naona ni kama vile tu Simba SC yangu imewekeza zaidi katika kufanya Propaganda na siyo kuwa serious kujenga Timu.
  16. X

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Ronaldo amvisha pete GF wake wa muda mrefu Georgina. Je, amejifunza yaliyomkuta Birdman kwa Toni Braxton?

    Mimi sio nabii ila kama Ronaldo hajamsainisha babe mama wake Georgina mkataba wa prenup kulinda assets zake kabla ya kufunga ndoa na mrembo huyo. Yatamkuta yale ya Birdman kwa mshangazi Toni Braxton au ya mastaa wengine wa kiume. Birdman alijaa kwenye mfumo. Baada ya kuwa kwenye mahusiano na...
  17. JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Tunakwenda kwenye uchaguzi nchi ambayo aipo moja, tumegawika. Wengine awafanyi siasa kwa sababu wamefungwa mikono

    https://vm.tiktok.com/ZMAetPYNh/ https://www.youtube.com/live/WhVsx0zxeh0 Updates; CCM kufanya harambee kama hizi kuna faida na hasara lakini hasara inakuwa kubwa sana. Kwamaana chama kinatekwa. Kuna watu wanapenda kusifu tu hata rais afanyi kazi wao ni kusifu tu muda wote, kwahiyo mimi...
  18. JamiiForums Tanzania KERO Mbolea za YARA zimekuwa changamoto kupatikana kwa RUZUKU muda mrefu sasa hasa ukanda wa pwani.

    Ni zaidi ya miaka 2 sasa mbolea za YARA ukiulizia kwa wauzaji hawataki kuuza kwa Ruzuku, wanadai hawalipwi kwa wakati na wananunua “cash” na wao wakiuza kwa ruzuku pesa yao inachelewa sana kulipwa. Ukiwapigia YARA sio rahisi kuwapata hata simu zao ni changamoto kupokelewa na wakipokea kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Bado Mimi Nina hoji.Bilioni 100 ni za kampeni kweli? Huu ndo Muda mke jirani alitiwa mimba kavu kavu

    Mimi Bado Nina hoji bilioni 100 ni za Nini aise? Ni kampeni mnapanga kuifanya aise ccm seeni ni PESA za KUWAONGA wake zetu?
  20. JamiiForums Tanzania Dawa ya Mpenzi anayekujibu dharau au ambaye hana muda na wewe ni hii hapa

    Wajomba na Mamshangazi habari zenu. Mahusiano yanachangamoto nyingi sana, ukiona mahusiano yako yamesimama imara na hujawahi pitia changamoto kama hizi siku ikikukuta utatamani kuzimia. Baadhi ya mahusiano yanapitia changamoto hizi. 1. Kunyamaziwa kimya kwa siku 2 hadi 3 2. Kujibiwa majibu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…