mubashara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Mzee Butiku asitisha Mkutano wake na Wazee kuwa mubashara

    Akizungumza leo Januari 22, 2026 katika Mkutanao na wazee wa jiji la Dar es Salaam, Mzee Butiku amesitisha mkutano huo kurushwa mubashara akiwataka waaandishi wa habari kuwapisha na kwamba watarejea baadae kusikiliza maazimio ya mkutano huo.
  2. Fbn

    Watu wanatweka mubashara sio kificho tena, mnataka nini nyie CCM

    Yalikuwa ni kificho ila sasa wakikukosa wewe wanatafuta ndugu,jamaa na marafiki wawe kwenye target yao. CCm sio chama ni chama cha kigaidi tukubari. Kwa sasa wanabajeti ya kulipa watekaji wenye mwamvuri wa vyombo vya ulinzi. Sasa hivi unafatwa hata ukiwa karibu na kituo cha polisi mchana...
  3. Roving Journalist

    PostGE2025 Rais Samia akipokea Hati za Utambulisho wa Mabalozi, Ikulu Chamwino - Disemba 12, 2025

    Rais Samia akipokea Hati za Utambulisho wa Mabalozi, Ikulu Chamwino - Disemba 11, 2025
  4. B

    PostGE2025 Tume ya kuchunguza mauaji ya oktoba 29, chini ya Jaji Chande iwe wazi live mubashara

    Utamaduni wa Tume kufanya kazi kwa siri haufai, hasa ikiwa inafanya kazi kuichunguza serikali Tume ya Jaji Chande kuhusu yaliyotokea Oktoba 29, 2025 hadi November 3 , 2025 inapaswa kuwa wazi mubashara umma ifuatilie katika vituo vya televisheni, radio na YouTube. Ila toka hatua ya kwanza...
  5. J

    Kesi ya Uhaini Uganda inarushwa mubashara ktk TV. Kwanini kesi ya TAL hairushwi mubashara na TV za Tanzania?

    ..kichwa cha habari chahusika. ..kesi ya uhaini inayoendelea Uganda inarushwa na TV zao mubashara. ..kesi ya uhaini inayomhusu TAL hapa Tanzania ilianza kurushwa mubashara. ..lakini katika mazingira na sababu zisizoeleweka Mahakama ya Tanzania imekatisha kesi ya uhaini ya TAL kurushwa...
  6. C

    Hope chanell ya wasabato,mpiga picha anayerusha picha mubashara katika makambi ya Kirumba ni muhuni

    Kama wewe ndiye mpiga picha au ndugu yake,mtaniwia radhi kwa lugha kali jinsi hii. Nimeona ukichagua picha za watu unaodhani hawaendani na mafundisho ya wasabato unazikuza ili watu waone vizuri. Ninafuatilia tangu Jana na nimeona kuna baadhi ya wadada wakiwa wamesuka dreads za maana ukiwasogeza...
  7. D

    ITV kweli Super Brand asante kwa kuturushia mubashara kesi ya Lissu, sio waoga kuzidi hata tv za dini. Pumzika kwa amani Mzee Mengi

    ITV mnasitahili hata kutuwekea akaunti namba tuwachangie pesa ya uendeshaji hata kama mnajiendesha kibiashara hata wale jamaa wa dini wanatuwekea akaunti za michango wakati ni wafanyabiashara 100%.
  8. Tindo

    Kesi ya Tundu Lissu mubashara ITV

    Muda huu kesi ya Tundu Lisu inarushwa na ITV Mubashara.
  9. Yoda

    Wanazi wa Ibrah Traore angalieni Citizen TV ya Kenya, General wa US atakuwepo mubashara

    Kenya bado ikiendelea kuwa ndio jukwaa kubwa zaidi la mambo makubwa yanayotokea katika ukanda wa Africa Mashariki imepata ugeni wa ujumbe mzito wa jeshi la Marekani kamandi ya Africa (US AFRICOM) ambapo mkuu wa kamandi hiyo Gen.Michael Langley, leo atakuwa anahojiwa mubashara katika kituo cha...
  10. T

    Matangazo Mubashara Tumaini Tv, mtu anapigwa vijembe muda huu. Ni tukio la kusimikwa askofu katoliki jimbo Bagamoyo..

    Nukuu; 1. Bora kuadhibiwa kwa kusema ukweli, 2. kiongozi usitimie mamlaka kwa kulazimisha watu kufuata matakwa yako binafsi. Wapo Dr. Mpango na RC Dar Es Salaam.
  11. Samia atosha tukutane2030

    Ili TBC wawe mubashara lazima wajue unachokwenda kuongea. Mbowe kapewa ya kuongea na waliolipia TBC

    Television ya Taifa au Radio ya Taifa hasa Taifa hili la Tanzania halirushi kitu live bila kuwa programmed. Mbowe alishapangwa na walishakubaliana nini akaongee. Hata Masheikh na Maaskofu ili Dua zao zirushwe live lazima waonyeshe kwanza hizo dua ndio waruhusiwe. Nikiwa jeshini nilikuwa mmoja...
  12. Joan lewis

    Leo nimeshuhudia Umahiri, unyenyekevu, na uchapakazi wa Waziri Dr. Dorothy Gwajima Mubashara yaani ana kwa ana

    Heri Wana Jukwaa na Hongera Kwa majukumu ya leo. Nilipata nafasi kuungana na watanzania na wafiwa katika kumuaga Mhe. Mafuru (Late). Baada ya jambo Hilo kwisha na viongoz wakuu kuondoka nani nikajitokea mdogo mdogo nikawa nawaaga wajasiria Mali waliokuwa wakiuza leso na maji pale getini...
  13. Jaji Mfawidhi

    AZAM: Pongezi Kwa kutuletea mechi Mubashara Taifa Stars vs Kongo,Wengine waige!

    Jana 10-10-2024 Majira saa tatu usiku hapa DRC Kinshasa, na huko Tanganyika majira ya sa moja usiku sawa na Zanzibar saa moja usiku kulikuwa na mtanange wa kukata na shoka kati ya Tanganyika Stars na DRC. Inonga, Mayele na Kalulu walifana sana na walionyesha ni namna gani wachezaji wa...
  14. GENTAMYCINE

    Kwa 'Dua Shtakia Mungu' itakayosomwa Afrika Mashariki huenda kuna Chama Kikakosa Mgombea Urais wake katika Uchaguzi Mkuu ujao

    Haya tuanze mapema kumtafuta wa Kumrithi.
  15. Tindo

    PreGE2025 Mubashara Clouds FM: Tundu Lissu, Zitto Kabwe wakichambua Tume Huru ya Uchaguzi

    Tundu Lissu yuko mubashara Clouds FM, akichambua kuhusu Tume hii ya uchaguzi. Atakuwepo hadi saa 3 asubuhi, wapo na Zitto Kabwe na Onesmo Ole Ngurumwa. Tusikilize uchambuzi makini.
  16. GENTAMYCINE

    Profesa aliyeko Mubashara ITV na Radio One: Soda aina ya Pepsi ina Vijiko Nane (8) vya Sukari

    Tujiandaeni tu Kufa/ Kufariki kuanzia sasa. Kinachoniuma GENTAMYCINE nimeanza kuinywa hii Soda ya Pepsi tokea nikiwa Chalii (Mdogo) hadi huu Uzee wangu na nikipiga Hesabu za haraka haraka kwa Mahesabu ya huyu Profesa mpaka sasa (leo) nitakuwa nimeshakunywa Vijiko Milioni 750 vya Sukari...
  17. GENTAMYCINE

    TCRA mmebariki huu Upuuzi wa Viongozi wa Timu za Ndondo Cup Kusifia kufanya Ushirikina Mubashara Redioni Clouds FM?

    "Hela tuliyopata tumeenda kununua Mayai Viza, Kuku Mweusi na Udi na kumpelekea Mganga wetu wa Kienyeji na kwa jinsi tunavyoenda Kuwaroga Watatukoma" Shabiki wa Timu Moja inayoshiriki Michuano iliyosifiwa na inayosapotiwa na Rais wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ya Ndondo Cup' kwa Mikoa...
  18. Mwanadiplomasia Mahiri

    DC wa Pangani atupia tattoo ya mumewe mubashara

    DC wa Pangani amezua gumzo baada ya kuonekana na tattoo ya mumewe hadharani. Ikumbukwe mumewe ni Mbunge wa Pangani na Waziri mwandamizi. Unampa asilimia ngapi DC wa Pangani kwa tattoo hii
  19. S

    Tetesi: Bunge halitakuwa LIVE Juni 10 kupitia mkataba wa bandari

    Kuna tetesi kuwa wabunge wa CCM wametoa shinikizo kwa Spika, Dk. Tulia kuhakikisha kikao cha kesho cha kupitisha azimio la kuuza bandari zote za Tanzania bara kwa Mwarabu hakionyeshwi LIVE kwenye Tv ili kuwanusuru kwa wananchi ambao wako kwenye taharuki kubwa. Wabunge hao inasemekana...
  20. Meneja Wa Makampuni

    Mubashara: Kiwanda cha kusafisha mafuta ghafi ya Petroli kikizinduliwa Rais Mwalimu Julius Nyerere

    Mnamo mwezi wa Desemba mwaka wa 1966, Rais wa Tanzania Mwalimu Julius Nyerere alizindua kiwanda cha kusafisha mafuta ghafi ya petroli jijini Dar es Salaam. Hatua hii ilikuwa ni miongoni mwa jitihada za kujenga uchumi wa Tanzania kwa kuhakikisha kwamba rasilimali zetu za ndani zinatumika kwa...
Back
Top Bottom