mtwara

Mtwara (Portuguese: Montewara) is the capital city of Mtwara Region in southeastern Tanzania. In the 1940s, it was planned and constructed as the export facility for the disastrous Tanganyika groundnut scheme, but was somewhat neglected when the scheme was abandoned in 1951. The city is spread out over a large area planned to accommodate up to 200,000 people. The present population is around 108000. As part of the development associated with the failed Tanganyika groundnut scheme, Mtwara features a deep-water port that can accommodate ocean-going vessels, and a range of large municipal buildings, including a post office. Recent improvements in the port made it possible for big container ships to berth there.

View More On Wikipedia.org
  1. Mzito Kabwela

    JamiiForums Tanzania KERO Vyoo vya stendi kuu ya Mtwara ya Mkanaledi ni hatari kwa afya

    Jionee mwenyewe kwenye picha... Hapa ni Manispaa ya Mtwara Mikindani. Bwana Afya na Bibi Afya wapo tu, wanasubiri milipuko ya magonjwa ili waandike madosari ya kuomba fedha. Hakuna jitihada za kweli za kuzuia, bali kusubiri matatizo yatokee ndipo wachukue hatua – tena kwa maslahi yao binafsi.
  2. figganigga

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Boti inayosafirishwa kutoka Mtwara kwenda Mwanza ni Kero barabarani. Waichinje wasafirishe Vipande

    Kuna Boti inasafirishwa kutoka Mtwara Kwenda Mwanza. Itatumia muda wa Mwezi mmoja au zaidi, kutumia barabara ni kutojali watumiaji wengine wa barabara. Kama umekutana nayo, hii Boti ni Kero sana. Najiuliza kwanini haijasafirishwa Vipande? Mzigo kama huu unatakiwa Uchinjwe ndo usafirishwe Kuna...
  3. Nipe Maji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Shilingi bilioni 669 kutumika ujenzi wa barabara na madaraja katika mikoa ya Lindi na Mtwara

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ametangaza kuwa serikali ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan itatumia kiasi cha Shilingi bilioni 669 kwa ajili ya ujenzi wa barabara na madaraja katika mikoa ya Lindi na Mtwara kwa lengo la kuboresha usafiri na kuifungua mikoa hiyo kiuchumi. Akizungumza mkoani...
  4. Nipe Maji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Mtenga awahakikishia wananchi Mtwara kuanza kwa ujenzi wa stendi kuu ya mabasi Julai, 2025

    Mbunge wa jimbo la Mtwara Mjini Hassan Mtenga amesema kuanzia Julai 2025 serikiali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan inakwenda kumaliza kilio cha wananchi wa mkoa wa Mtwara kwa kuanza ujenzi wa stendi ya kisasa ya mabasi mkoani humo. Akizungumza wakati wa ghafla fupi ya...
  5. Nipe Maji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Halima Nabalanganya wa ACT atangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Mtwara mjini

    Mwanachama wa chama cha ACT-Wazalendo, Halima Yusuph Nabalanganya, Mei 22, 2025 amechukua fomu ya kugombea ubunge wa Jimbo la Mtwara Mjini kupitia chama hicho. Akizungumza mara baada ya kuchukua fomu, Halima amesema hatua hiyo inalenga kuomba ridhaa ya wanachama wa ACT-Wazalendo ili aweze...
  6. Nipe Maji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenge wa uhuru unazindua, kutembelea na kukagua jumla ya miradi saba yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 4.7 Mtwara DC

    Ikiwa ni siku ya nane tangu kuanza kwa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2025 katika Mkoa wa Mtwara, leo Mwenge huo umefika katika Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara ambapo umeweka mawe ya msingi, kuzindua, kutembelea na kukagua jumla ya miradi saba yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 4.7. Mwenge wa...
  7. Nipe Maji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mtwara: Zaidi ya milioni 143 zatumika kwenye ujenzi, jengo la kuhudumia wagonjwa wa nje (OPD)

    Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa, Ndugu Ismail Ali Ussi, ameridhia rasmi kuweka jiwe la msingi katika jengo la kisasa la kuhudumia wagonjwa wa nje (OPD) lililojengwa katika Zahanati ya Mtawanya, Manispaa ya Mtwara Mikindani, kwa kutumia fedha za mapato ya ndani kiasi cha shilingi...
  8. Nipe Maji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Serikali yatoa zaidi ya milioni 815 kukarabati mradi wa Maji Dihimba Mtwara

    SERIKALI kupitia Wizara ya Maji,imetoa Sh.815,453,185 ili kukarabati mradi wa Maji Dihimba utakaohudumia wakazi zaidi 7,489 wa Vijiji vya Dihimba,Mpondomo,Kinyamu na Ndumbwe vilivyopo Halmashauri ya Wilaya Mtwara Mkoani Mtwara. Meneja wa Ruwasa Wilaya ya Mtwara Hamis Mashindike alisema,kati...
  9. W

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha Dangote chaleta neema kwa wananchi wa Mtwara

    Wananchi wa vijiji vya Likonde, Hiyari, Mkwajuni, Mwembetoga, Kyoba, Msijute, Mbuo na Mayanga, mkoani Mtwara, wameeleza kuridhishwa kwao na mchango mkubwa unaotolewa na Kiwanda cha Saruji cha Dangote katika kuboresha huduma za kijamii kwenye maeneo yao, hususan kwenye sekta za elimu, afya, maji...
  10. W

    JamiiForums Tanzania WAWEKEZAJI SEKTA YA MADINI WAKARIBISHWA MTWARA

    Wawekezaji katika Sekta ya Madini wamekaribishwa kuwekezwa katika mkoa wa Mtwara kutokana na uwepo wa madini ya aina mbalimbali yakiwemo madini mkakati yanayotumika kwenye shughuli za viwanda. Hayo yamesemwa na Mhandisi wa Migodi Mwandamizi, Michael Mtatiro alipokuwa akizungumza kwa niaba ya...
  11. Fateema

    JamiiForums Tanzania Mabinti wa Veta Mtwara ni hatari

    Aisee nimepita Veta mtwara kumsalimia my young sister. Story nilizo Kuta hapo kuhusu vibinti vya hapo ni hatari sana aisee.. Vibinti vidogo lakini vina mambo makubwa. Bora hata Veta Lindi uongozi una wa treat kama wanafunzi wa sekondari. Maadili ni sifuri.
  12. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Naomba mwenye takwimu za vitongoji visivyo na umeme Mtwara na Lindi

    Wakuu natafuta sana takwimu za vitongoji visivyo na umeme mtwara na Lindi. Nahitaji sana hizi taarifa kwa ajili ya matumizi fulani ya kitaaluma. Nilikuwa nahitaji walau majina au source nayoweza kupata hizo data. Asante.
  13. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wauza nyama Mtwara wanatumia spray za kuua wadudu mabuchani kuzuia nzi, mamlaka ziingilie kati

    Habari wadau hili suala nimelivumilia ila nimeshindwa kulingana na masuala ya afya Wauza mabucha wa Mtwara wakitaka kufunga bucha wanafanya usafi wa kudeki. Kisha wanachukua spray ya kuulia WADUDU kama rungu au hit wanapuliza. Kisha wanafunga. Nasema hili sababu nimeliona kwa macho yangu...
  14. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania inawaogopa watu wa LINDI na MTWARA pekee

    Jamii ya wananchi wa mkoa wa Lindi na MTWARA ni jamii nyingine. Huko Arusha mnasema kuna watu wamepinda , yes wamepinda lakini ni kwaajili ya mabange tu na usela mavi. Watu wa kusini ni next level. Serikali ya Tanzania imefanikiwa kudhibiti vyombo vya habari hawawezi kurusha kila kitu . 2013...
  15. Majitha

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Lindi- Mtwara

    Changamoto ya Barabara ya Kusini (Mtwara–Lindi) na Namna ya Kuiondoa Barabara ya Kusini inayounganisha mikoa ya Mtwara na Lindi ni kiungo muhimu cha maendeleo kwa wakazi wa maeneo haya na taifa kwa ujumla. Barabara hii inahusisha shughuli za usafirishaji wa mazao, bidhaa, na watu, hivyo...
  16. Championship

    JamiiForums Tanzania Kutoka Dar kwenda Mtwara ni aibu kwa barabara hii

    Watu wa kusini mlitenda dhambi gani hata mkaachwa na barabara mbovu hivi? Sitarudia tena kuendesha gari binafsi njia hii.
  17. B

    JamiiForums Tanzania TBT: Tundu Lissu akiwashukia wanufaika wa mgao wa ESCROW akitaka washughulikiwe

    Tundu Lissu alipokuwa bungeni alikuwa machachari, mwenye kuibua hoja nzito na kuhoji bila woga linapokuja suala la maslahi ya wananchi. Safari yake bungeni ilikomeshwa mwaka 2017 baada ya kuminiwa risasi za kutosha hali iliyopelekea hadi leo hii yeye kutembea na makovu ya matundu ya risasi...
  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 UVCCM Mtwara Mjini Wachangia Chupa 18 za Damu kwa Wenye Uhitaji

    Vijana wa Chama Cha Mapinduzi CCM (UVCCM) wilaya ya Mtwara Mjini wamechangia chupa 18 za damu kwaajili ya kusaidia watu ambao wanauhitaji wa damu. Akizungumza kwa niaba ya Meneja wa damu salama Kanda ya Kusini Innocencia Charles mara baada ya kukamilika kwa zoezi hilo amesema chupa hizo 18...
  19. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Gwajima azindua Mahabusu ya Watoto Mtwara, atoa rai kwa viongozi na Mahakama kulinda Haki za Watoto

    Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima, amezindua Mahabusu ya Watoto Mkoani Mtwara, na kueleza kwamba dhamira ya Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ni kulinda haki za watoto na kuimarisha mfumo wa haki jinai...
  20. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Hongereni sana wana Mtwara kwa maana Likud anakuja kuwatembelea tena kwa mara nyingi

    Wiki ya mwisho wa mwezi huu hadi mwisho wa mwezi nitakuwa wilayani Tunduru ila wiki moja kabla nitaitumia mkoani Mtwara . Hongereni Sana wana Mtwara kwa uwepo wa Likud mkoani kwenu. Tambeni, ringeni kwa maana Likud yuaja mkoani kwenu. Basi wana Mtwara wamefurahi hatari. Kwa watu wa mikoa...
Back
Top Bottom