Mtwara (Portuguese: Montewara) is the capital city of Mtwara Region in southeastern Tanzania. In the 1940s, it was planned and constructed as the export facility for the disastrous Tanganyika groundnut scheme, but was somewhat neglected when the scheme was abandoned in 1951. The city is spread out over a large area planned to accommodate up to 200,000 people. The present population is around 108000. As part of the development associated with the failed Tanganyika groundnut scheme, Mtwara features a deep-water port that can accommodate ocean-going vessels, and a range of large municipal buildings, including a post office. Recent improvements in the port made it possible for big container ships to berth there.
Kumekuwa na utaratibu mbovu wa mamlaka ya maji Mtwara (MTUWASA) kukata maji mchana na kuyaachia usiku wa manane muda ambao Wananchi tumelala, hali ambayo inatufanya badala ya kupumzisha mwili tunaanza kufanya kazi ya kukesha kusubiri maji kisha kukikucha tena tunaingia mtaani kusaka hela.
Hii...
Inajulika miaka mingi mvua zikianza kunyesha ukanda wa Morogoro kwa wingi wanaodhurika na maji ya mvua hizo ni wakazi wa wilaya za Liwale na Kilwa, mkoani Lindi.
Kuna wakati mvua zinasababisha barabra kuu ya Mtwara-Dar kufungwa kutokana na kukatika kwa madaraja eneo la Somanga. Sasa kwa mvua...
Tanzania Yathibitisha Ugunduzi Mpya wa Gesi Asilia Mkoani Mtwara
na Mwandishi wa Times
Oktoba 18, 2025
Wizara ya Nishati ya tanzania imethibitisha kugunduliwa kwa mashapo makubwa ya gesi asilia katika vijiji vya Mnyundo na Mpapura, vilivyopo mkoani Mtwara, takriban kilomita 500 kusini mwa...
Habarini ningependa kujua kuhusu usafiri kutoka mtwara mpaka comoros je napataje usafiri,ina gharimu kiasi gani,inachukua muda gani kufika na je usafiri upo kila siku au ikoje?asanteni
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika Rais Samia ni Kama Nuru na Mwanga Gizani, ni Tumaini la Watanzania, ni kipenzi cha watu. Anakubalika ,kupendwa na kuaminika utafikiri Nabii mwenye Kibali cha Mungu mkononi pake.
Upendo anaopewa na kuonyeshwa na watanzania ni upendo wa kipekee,ni zaidi ya...
Naamini hilo bila shaka Mtwara ndiyo ilipaswa kuwa makao makuu ya nchi hii na business center kwa nchi hii ila tu uroho,ubinafsi na chuki ya viongozi wa nchii hii kutokana na ukanda wao tu hivi kitu gani ambacho kwenye nchii hii Mtwara hakuna madini mtwara yapo,eneo la Bahari lenye kina kirefu...
Jeshi la Polisi mkoa wa Mtwara linawashikilia watu13 kwa tuhuma za wizi wa pembejeo za wakulima wa korosho msimu wa 2024/2025.
Akizungumza na wanahabari siku ya Jumatano, Kamanda wa Polisi Mkoa huo SACP Issa Sulemani amesema mnamo Agosti 29, 2025 polisi kwa kushirikiana na vyombo vingine vya...
Kumekuwa na viashiria vya rushwa kwenye utoaji wa mikopo ya 10% kwa Vijana katika Wilaya ya Newala Vijijini Mkoani Mtwara.
Tuliunda kikundi na kufata taratibu zote lakini mwishoni tunaelezwa tutoe chochote ili waweze kupitisha ombi letu.
Maana ya kuomba mkopo ni dhahiri kwamba hatujitoshelezi...
Anonymous
Thread
mikopo
mtwara
newala
rushwa
viashiria
vijana
vijijini
wilaya
Habari wakuu! Mwaka jana mwezi wa 8 kuna watu walikuwa wakipita kila nyumba kuchukua namba za NIDA , alichokisema polepole ni ukweli mtupu! Wanaccm wezangu ni muda sasa tumuunge mkono Tundu lissu mzalendo wa kweli! Hawa ccm wametutumia sana! Kuanzia sasa nipo kwenye NRE! NIMEUJUA UKWELI
Watanzania wamekumbushwa kuendelea kuilinda na kudumisha Amani iliyopo hapa Nchini hasa katika kipindi cha kuelekea uchaguzi Mkuu wa mwezi Oktoba mwaka 2025.
Hayo yameelezwa kati Dua Maalumu iliyoandaliwa na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika Mtaa wa Mtepwezi kata ya Likonde Halmashauri...
CCM wilaya ya mtwara yawajibu waliotishia kurejesha kadi zao,katibu wa siasa uenezi na mafunzo wa chama cha mapinduzi CCM Hamisi Wanyama anena utovu wa nidhamu
Baadhi ya wanachama wa CCM kutoka kata nne zilizopo mkoani Mtwara wamerudisha kadi za uanachama wao wakipinga uteuzi wa baadhi ya wagombea udiwani kwenye kata zao.
Uteuzi huo umefanywa na kamati ya halmashauri kuu ya chama mkoani humo baada ya kufanyika kwa kura za maoni.
Wakuu, maeneo gani kwa mji wa Lindi au mji wa Mtwara naweza kupata viwanja vya kujenga nyumba za kupangisha.
Viwanja ambavyo watu wanajenga nyumba za kisasa na za kueleweka
Ndiyo huo uhalisia watu wa kusini hasa hasa Lindi na Mtwara ndiyo watu wanaongoza kuwa na akili Tanzania mzima yaani hawa watu wa kusini ndiyo gamer changer Tanzania mzima tu ila ndiyo hii nchi watu wanakaza mafuvu tu kutokana na ubinafsi wao wewe mtu kama Mkapa ona baada ya kukabidhiwa nchi tu...
Hali sio hali huko mashinani, CCM wanachama wamerudisha kadi za chama kisa kuenguliwa wagombea udiwani.. Tukio hiili limetokea uko Mtwara wilaya ya Newala kijiji cha Mkwedu.
Wanaboadi, hii kitu imekua kimya na huisikii popote tena baada ya taifa la shithole kukopa matrilioni ya pesa ambazo kenge tutalipa maisha yetu yote hadi vitukuu vyetu. Hatusikii kwenye bajeti, TRA, dira ya dunia ya bongo wala wapi!
Mchango wake ni nini? Nani anapata maslahi yake? Nani...
Ajali ya Juzi Mbeya iliyohusisha bus kuwagonga wanafunzi waliokuwa wanakimbia barabarani imeondoa vijana wetu 6 na wengine majeruhi. Ajali hii imetokea alfajiri tarehe 26.07.2025
Ajali kama hii ilitokea Mtwara ilihusisha school Bus kuingia mtaroni na kusababisha wanafunzi 8 kufariki na mwalimu...
Hali ya joto na aina ya udongo iliyopo mkoa wa Mtwara inaruhusu kabisa kufanya kilimo cha mazao ya Maharage na Vitunguu endapo tu utakuwa na chanzo cha maji cha kuaminika lakini watu hawalimi mazao hayo.
Je, wadau wa kilimo mnadhani kwa nini watu hawalimi hayo mazao ingawa yanahitajika kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.