GTs
1. Kwenye mijadala ya sasa kuhusu hasira, maandamano na maumivu ya kile kilichotokea tarehe 29–30 Oktoba 2025, kumekuwa na dalili za uhasama unaoelekezwa kwa watumishi wa umma, miundombinu ya umma, au hata wanachama wa chama fulani.
Ni muhimu kusimama na kusema hayo siyo malengo sahihi.
2...
Kama unataka upate pesa ndani ya lisaa limoja omba NMB, nimewaombea wengi mkopo NMB yaani kama HR wako yuko chap ndani ya dk 5 ushapata mkopo. NBC ndani ya masaa 24 uhakika, Azania ndio benki bora zaidi, makato nafuu kuliko benki zote ila kidogo wako slow. Ila haivuki wiki unapata pesa .
CRDB...
Kumekua na tabia ya Viongozi wa dini wakiwa wanakemea jambo la flani wanaleta udini aku kwenye kujenga hoja zao. Rais kiongozi wa serikali ni mtumishi wa Umma vyama vyote dini zote wasiokua na dini na pia serikali haina dini anaongoza watu wote kuna wengine sisi sio watumwa wa dini. Tumwombee...
Ndugu Humphrey Polepole akiwa Balozi wa Tanzania nchini Malawi akiwapokea askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walipofika Lilongwe, nchini Malawi kutekeleza amri ya Amiri Jeshi Mkuu.
Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walipeleka msaada wa kibinadamu kwa Serikali ya Malawi...
Niseme tu ukweli watumishi wa umma wamaipiga sana serikali. Kitu serikali ingeimgiza million 50 mtumishi anachepusha ili tu apate million 1. Hana hasara potelea mbali.
Miaka 10 ya Utumishi wa umma nimejionea mengi na kujifunza mengi.
Serikali isione hasara kumpa nyumba mtumishi wa umma either...
Ni lazima tuweke standard kama taifa, haiwezekani wewe uwe mjumbe au mtumishi wa tume ya uchaguzi kwa ngazi yoyote ile halafu kesho na keshokutwa uende kwenye uchaguzi kugombea. Hiyo hapana. Tukatae. Iwekwe wazi kabisa, ukiamua kutumikia tume ya uchaguzi moja kwa moja ukose sifa zingine zote za...
Wakuu, naomba mnisaidie majibu ya maswali yafuatayo:
1. Naweza kuhama kumfuata mwenzi ambaye si mtumishi wala mfanyabiashara, yaani ni mama wa nyumbani?
2. Ikiwa na. 1 hapo juu inawezekana, ni viambata gani vinahitajika ktk mfumo wa ess kukamilisha hili?
Natanguliza shukrani.
Habari ze wanaJF,
Naomba kuuliza je ukishakuwa mtumishi wa umma na una CHQ number, je inawezekana kuomba nafasi za kujitolea kwenye jeshi la ulinzi na usalama na ukachaguliwa.
Kwa story nilizoziskia ni kwamba hata ukichaguliwa baadae watakuchuja kwa sababu tayari unakuwa una CHQ number so...
Wakuu habari za weekend?
Naomba uzoefu wa mada tajwa hapo juu kutoka kwa mtumishi aliyewahi kupata msamaha wa import duty au kutoka kwa wakala wa forodha mwenye uzoefu au aliyewahi ku deal na kesi kama hizo au ushuhuda wa aliyewahi kushuhudia msamaha. Je? Kwa mtumishi akitaka kununua gari toka...
Nimeafatilia hili sekeseke la watumishi wetu wa umma wakijumuishwa na wakuu wa mikoa kununua viwanja huko Arusha kwa billions of shillings nikakumbua mwezi uliopita Governor wa Kenya (Kiambu County) Kimani Wamatangi, alikamatwa na kamisheni ya kupambana na rushwa ya Kenya na kukutwa na Ksh...
Spika Tulia amesema mshaara wa mbunge hauna utofauti na mishaara na watu anaolingana nao katika kada ya utumishi wa umma, pengine watu awafahamu kwamba mbunge ni sehemu ya mtumishi wa umma.
Habari za Jioni WanaJf, Je naomba kuuliza Katika kesi za watumishi wa umma ambazo zinaenda Ofisi ya Rais (Ikulu) Je vielelezo vinatakiwa vipelekwe kwa muda gani pia kesi hiyo unatakiwa iwe solved kwa kipind gan na mwenye ushahidi wa hiyo naomba
Habari Wana JF natumaini mu wazima.
Mimi ni muhitimu wa chuo mwaka 2024 katika fani ya umeme.
Katika kujitafuta na kupambana na ajira bado sijabahatika ila nimeona Kuna leseni zinazotolewa na EWURA ambazo zitanisaidia katika kufanya vibarua vyangu.
Swali langu. Je, nikikata leseni hiyo wa...
Kwenye pitapita zangu nimeona kwenye mfumo wa ess mkopo kwa mtumishi wa uma, kila taasisi ya mkopo imewekwa kwenye mfumo na riba zake, ila nikama vile sijaelewa kitu,
Nimeshangaa serikali inaapprove taasisi yenye riba 42%?
Serious BOT?
Fanikiwa microfinance 42%
Magere credit 42%
Platinum...
Serikali ya Tanzania inategemea sana fedha za msaada na mikopo kujiendesha. Ingawa serikali haijawahi kuweka wazi hii hali ila baada ya Marekani mfadhili mkuu kujitoa kwenye baadhi ya mambo worldwide tutaona effects.
Sasa duniani huko kila mtu anataka aijenge nchi yake. Kuna Watanzania na...
Salaam wanajukwaa.
Nikiwa na akili timamu na miaka 35, nimefikiria sana juu ya mustakabali wa maisha yangu.
Mimi ni mfanyabiashara na mtoa huduma mbali mbali, Wakati bado nipo kijana nilikuwa nawaogopa sana wadada wa usalama, whether mwajajeshi au polisi au wale wa Eagle 🦅 House, nilikuwa...
RUVUMA: Mkuu wa Wilaya, Kapenjama Ndile amesema uwepo wa mifugo mingi kupita kiasi umekuwa ukiathiri kilimo na kuathiri mazingira Wilayani hapo na kuwa hali hiyo inachangiwa na rushwa inayosababisha uingizwaji wa mifugo kinyemela
Ameeleza hali hiyo inatokana na kukithiri kwa Rushwa ambayo pia...
Kuna sehemu nimeiona hii salary slip nimeshangaa sana wazee,
Nchi inayoelekea uchumi wa kati,
Mwaka huu bado kuna watu wanalipwa hvyo toa mkopo mtu anabaki na laki na theraaini kwa mwezi, na tunataka huduma bora na nchi imeimarika kiuchumi!
Hii ni kada gani hapa nchini?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.