mtumishi wa umma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania Sabaya bado ana ndoto za kuwa mtumishi wa Umma! Msimcheke, anasimamia anacho kiamini

    Majuzi niliona taarifa kuwa wenzake Sabaya waachiwa huru baada kukiri makosa na kuelewana na DPP kulipa Tsh 1,050,000/= na hivo kutolewa hatiani! Usishangae! Sio kama Sabaya hapendi kuwa huru, Sio kama Sabaya anashindwa kulipa kiasi hicho cha fedha! Ila nafasi yake katika utumishi wa Umma ndiyo...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Malipo ya kufiwa na mzazi, mke au mtoto kwa mtumishi wa umma

    Za mda huu wana jamvi Ningeomba kujua je kuna malipo yeyote kwa mtumishi wa umma kama alifiwa na mzazi,mke au mtoto wake?
  3. eliakeem

    JamiiForums Tanzania Mtumishi wa Umma wa Kwanza Aliyezaliwa Siku ya Uhuru Kustaafu Mwaka Huu Desemba

    Kwanza niwapongeze kwa shughuli za ujenzi wa Taifa. Nipende tu kuwakumbusha ya kuwa Nchi yetu sasa inaanza kukomaa na kuwa pevu. Nasema hivyo kwa sababu miaka yote tumekuwa tukishuhudia wastaafu ambao walikuwa wamezaliwa kipindi cha ukoloni. Yaani kabla ya uhuru wa Tanganyika. Lakini sasa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Namna gani mtumishi wa umma anaweza kuhama idara moja hadi nyingine?

    Nataka kupata msaada ni namna gani mtumishi wa umma anaweza kuhama idara moja anayofanyia kazi hadi idara nyingine? Mfano mtumishi wa Idara ya mahakama kuhamia idara ya ardhi. Au ardhi kuhamia mahakama. Msaada kwenye tuta.
  5. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Usimshtaki mtumishi wa umma kwa bosi wake, utaaibika

    Nilienda ofisi Moja ya umma kwaajili ya kupata huduma flani. Sikuridhishwa na huduma, niliona dalili zote kwamba muhudumu hayuko serious. Nikajaribu kuongea naye kwa upole lakini hakuonyesha dalili ya kuvaa uhusika wa mtoa huduma hiyo. Sasa kwa kuwa issue ilikuwa urgent na sioni ushirikiano wa...
  6. R

    JamiiForums Tanzania M/kiti wa chama - Mkoa anaweza kuwa Mtumishi wa Umma?

    Wakuu Heshima kwenu, na pia habari za weekend! Naomba kuuliza, kulingana na taratibu na sheria za nchi hii za Utumishi wa Umma; Je mtumishi wa Umma anaruhusiwa kugombea nafasi ndani ya Chama chake kwa ngazi MKOA ( Mwenyekiti wa Chama mkoa ) angali ni mtumishi wa Umma? Kama anaruhusiwa, je...
  7. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Mtumishi wa Umma anawezaje kupata ajira kwenye International organisations kama UN, SADC, AU, EAC

    Bandugu salama? Nadhani humu nitapata jibu la jambo langu ambalo limekuwa likinisumbua kwa miaka. Mimi ni mtumishi wa Umma wa Halmashauri mwenye miaka 31. Niliajiriwa 2012 (nikiwa na Diploma, nikawa Afisa mdogo sana (uongozi wangu ulikuwa ndani ya kata). 2013 nikaenda Shule na kupata...
  8. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Sarungi: Suluhu ni mtumishi wa Umma siyo Malkia

    "Wengine kwa kujua au kutojua mnaingia mtego wa kupiga propaganda za kiCCM eti “mkosoe kwa staha” really!. Samia Suluhu ni mtumishi wa umma siyo malkia! Mamlaka yote aliyo nayo ni kutokana na SISI wananchi! So tukimhoji, kumkosoa azingatie substance not the style"-Maria Sarungi
  9. Fundi Madirisha

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya serikali ya CCM, Kiongozi wa Wilaya UVCCM ni Mtumishi wa Umma

    Ninakishangaa sana chama ambacho ndicho kinatakiwa kua kinara katika kutii katiba ya nchi lakini kinafumbia na kukumbatia mambo ya ajabu kabisa. Ni uvunjaji wa sheria na katiba ya nchi kuona kiongozi wa chama cha siasa tena mwenyekiti wa Wilaya kabisa bado ni mtumishi wa umma tena ni mkuu wa...
  10. guwe_la_manga

    JamiiForums Tanzania Je, Mtumishi wa Umma anaruhusiwa kuacha kazi kwa notisi ya miezi mitatu?

    Ningependa kujuzwa ni taratibu zipi za kufuatwa kwa mtumishi wa umma mwenye ajira ya kudumu? Je, anaruhusiwa kutoa notisi ya miezi mitatu?
  11. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna mtumishi wa umma aliyepokea barua ya kupandishwa daraja mpaka sasa?

    Habari! Mambo yasiwe mengi ngoja niweke mada mezani. Hivi kuna mtumishi wa umma aliyepokea barua ya kupandishwa daraja mpaka sasa tangu tulipoahidiwa May 1, 2021?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Muongozo wa Kisheria juu Mtumishi wa Umma kukata rufaa kwa Rais

    Leo mheshimiwa rais Samia amesikika akisema kuwa hataki kuona rufaa ya mtumishi wa umma ikiletwa kwake baada ya kuwa imeshaamuliwa na Tume ya utumishi wa umma. Ningependa kumkumbusha Rais Samia kuwa, kwa mujibu wa sheria yeye ni mkuu wa utumishi wa umma na pia ni sehemu ya mamlaka ya nidhamu ya...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Ni kosa kisheria mtumishi wa Umma kutoa Siri za Wateja

    Kanuni za Maadili na Mienendo ya Utumishi wa Umma zinamtaka Mtumishi kutotoa taarifa au Siri za Mteja bila ruhusa maalumu Kujadili taarifa za Wateja kwenye maeneo ya Umma kama Sokoni na kwenye Migahawa ni kuvunja #Haki ya faragha ya Mtu Mtumishi anatakiwa kuendelea kutunza Siri za Mteja hata...
  14. B

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU, Mtumishi wa Umma anaponunua kipindi kwenye radio au TV kujadili masuala ya utendaji wa Serikali ni rushwa au si rushwa?

    Awamu ya sita inalo Jambo la kutafakari kuhusu mmomonyoko wa maadili unaoendelea Nchini. Tumewalea watu wachache wameafika mahali wananguvu kuliko Viongozi wa kitaifa. Tunaweza tukadhani tunapambana na wapinzani kumbe tunapambana kuuwa usawa katika jamii. Tuna vyombo vya dola ambavyo kwa kiasi...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Muda wa Mtumishi wa Umma kustahili kupanda cheo ni miaka 4 mfululizo au hata kama sio mfululizo?

    Hivi huu utaratibu wa miaka 4 ambao bila shaka ulianza awamu ya Magufuli (mwanzoni ilikuwa miaka 3), ni mtumishi kutakiwa kuwa amefanya kazi kwa miaka 4 mfululizo tangu apande cheo kwa mara ya mwisho au awe amefanya kazi kwa angalau muda wa miaka 4 bila kujali ni kwa miaka 4 mfululizo au sio...
Back
Top Bottom