mtumishi wa umma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JMF

    JamiiForums Tanzania Msamaha wa ushuru wa gari kwa mtumishi wa umma ni lazima uagize au hata gari za yard?

    Wakuu habari za weekend? Naomba uzoefu wa mada tajwa hapo juu kutoka kwa mtumishi aliyewahi kupata msamaha wa import duty au kutoka kwa wakala wa forodha mwenye uzoefu au aliyewahi ku deal na kesi kama hizo au ushuhuda wa aliyewahi kushuhudia msamaha. Je? Kwa mtumishi akitaka kununua gari toka...
  2. Messier 31

    JamiiForums Tanzania Governor wa Kenya akamatwa na kukutwa na Tsh. 275M ikazua taharuki. Bongo mtumishi wa umma ananunua assests za 2B na TAKUKURU inamchekea

    Nimeafatilia hili sekeseke la watumishi wetu wa umma wakijumuishwa na wakuu wa mikoa kununua viwanja huko Arusha kwa billions of shillings nikakumbua mwezi uliopita Governor wa Kenya (Kiambu County) Kimani Wamatangi, alikamatwa na kamisheni ya kupambana na rushwa ya Kenya na kukutwa na Ksh...
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Spika Tulia: Mshahara wa Mbunge hauna tofauti kubwa na wa mtumishi wa Umma

    Spika Tulia amesema mshaara wa mbunge hauna utofauti na mishaara na watu anaolingana nao katika kada ya utumishi wa umma, pengine watu awafahamu kwamba mbunge ni sehemu ya mtumishi wa umma.
  4. T

    JamiiForums Tanzania Je ni siku ngapi Ikulu wanatakiwa kushughulikia kesi ya mtumishi wa umma

    Habari za Jioni WanaJf, Je naomba kuuliza Katika kesi za watumishi wa umma ambazo zinaenda Ofisi ya Rais (Ikulu) Je vielelezo vinatakiwa vipelekwe kwa muda gani pia kesi hiyo unatakiwa iwe solved kwa kipind gan na mwenye ushahidi wa hiyo naomba
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Leseni ya EWURA kwa mtumishi wa umma

    Habari Wana JF natumaini mu wazima. Mimi ni muhitimu wa chuo mwaka 2024 katika fani ya umeme. Katika kujitafuta na kupambana na ajira bado sijabahatika ila nimeona Kuna leseni zinazotolewa na EWURA ambazo zitanisaidia katika kufanya vibarua vyangu. Swali langu. Je, nikikata leseni hiyo wa...
  6. vnn

    JamiiForums Tanzania Nimestaajabu Naomba mnieleweshe, hizi ndio riba za mkopo wa mtumishi wa Umma?

    Kwenye pitapita zangu nimeona kwenye mfumo wa ess mkopo kwa mtumishi wa uma, kila taasisi ya mkopo imewekwa kwenye mfumo na riba zake, ila nikama vile sijaelewa kitu, Nimeshangaa serikali inaapprove taasisi yenye riba 42%? Serious BOT? Fanikiwa microfinance 42% Magere credit 42% Platinum...
  7. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kama wewe mtumishi wa umma usijisahau, ndani ya hii miaka miwili lolote linaweza kutokea. Naiona redundancy kabambe inakuja

    Serikali ya Tanzania inategemea sana fedha za msaada na mikopo kujiendesha. Ingawa serikali haijawahi kuweka wazi hii hali ila baada ya Marekani mfadhili mkuu kujitoa kwenye baadhi ya mambo worldwide tutaona effects. Sasa duniani huko kila mtu anataka aijenge nchi yake. Kuna Watanzania na...
  8. Brojust

    JamiiForums Tanzania Girlfriend polisi, Nasali na kufunga kupata mtumishi wa umma kada ya upolisi/mwanausalama

    Salaam wanajukwaa. Nikiwa na akili timamu na miaka 35, nimefikiria sana juu ya mustakabali wa maisha yangu. Mimi ni mfanyabiashara na mtoa huduma mbali mbali, Wakati bado nipo kijana nilikuwa nawaogopa sana wadada wa usalama, whether mwajajeshi au polisi au wale wa Eagle 🦅 House, nilikuwa...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania DC wa Songea: Mtumishi wa Umma amejitambulisha kuwa yeye ndiye Mkuu wa Wilaya, akachukua Rushwa

    RUVUMA: Mkuu wa Wilaya, Kapenjama Ndile amesema uwepo wa mifugo mingi kupita kiasi umekuwa ukiathiri kilimo na kuathiri mazingira Wilayani hapo na kuwa hali hiyo inachangiwa na rushwa inayosababisha uingizwaji wa mifugo kinyemela Ameeleza hali hiyo inatokana na kukithiri kwa Rushwa ambayo pia...
  10. vnn

    JamiiForums Tanzania Basic salary 390,000 - mkopo, take home Laki na thelasini, mtumishi wa umma, na bado tunataka huduma bora zenye ufanisi!

    Kuna sehemu nimeiona hii salary slip nimeshangaa sana wazee, Nchi inayoelekea uchumi wa kati, Mwaka huu bado kuna watu wanalipwa hvyo toa mkopo mtu anabaki na laki na theraaini kwa mwezi, na tunataka huduma bora na nchi imeimarika kiuchumi! Hii ni kada gani hapa nchini?
  11. E

    JamiiForums Tanzania Nauli ya likizo kwa mtumishi wa umma

    Naombeni calculation ya Mtumishi anayekwenda Likizo TANGA to MWANZA Mwenye Mke na Mume tu bila Mtoto yaani wako wawili.
  12. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Itungiwe sheria mwanasiasa au mtumishi wa umma anayelipwa mshahara na serikali ni marufuku kutibiwa hospitali za nje, watoto wao wasome shule za umma

    Wanasiasa ndio watunga sera za afya na elimu , watumishi wa umma hutekeleza hizo sera. Kama shule za umma hazina hadhi maana yake ni kwamba wanasiasa pamoja na watumishi wa umma wameshindwa kutimiza wajibu wao. Sasa mwarobaini wake ni kuweka Sheria ya kulazimisha wanasiasa wote hasa wale ambao...
  13. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ukiwa mtumishi wa umma usipoiibia serikali ili ujenge mjengo mkali, ununue gari kali na kufungua biashara wananchi wanakudharau

    Hao ndio Watanzania, ukiwa mtumishi wa umma wanatarajia wakuone umepark ndinga kali kali uani mwako, uwe na mjengo wa haja , vimichango vya misiba na sherehe unatoa parefu hapo ewaaah watasema una akili bila kujua malipo yako halali ni Shilingi ngapi. Hao hao baadaye wanasema nchi imejaa...
  14. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Ukiwa kiongozi wa umma wewe ni mtumishi wetu pokea Simu za Wananchi wako

    Sijui Ni desturi yetu sisi waafrica. Unakuta kiongozi hapokei simu na ukizingatia kabla ya uteuzi au kuwa kiongozi simu alikuwa anapokea Ila baada tu ya kuwa kiongozi simu hapokei. Viongozi wetu ukiwa mbunge, waziri, DC, RC, au naibu waziri, tunaomba simu ikiita hata Kama huna muda kwa wakati...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kiwango gani cha ulevi wa pombe kinaweza kuthibitisha kuwa mtumishi wa umma ameshindwa kutimiza majukumu yake?

    Nauza Kangala huku nafundisha huu mwaka wa kumi. Wateja wangu wakubwa ni walimu wenzangu. Huwa tunapiga Kangala na tunachanganya na pombe kali za bei rahisi ili kupata stimu. Lakini tupo vizuri. Tunapiga kazi na wato wanafaulu. Ni kweli asubuhi huwa harufu inatema ila tunakuwa hatujalewa. Ni...
  16. Inanambo

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha Mtumishi wa Umma anafanyiwa Eviction kwa kushindwa kulipa Deni la kuuziwa Nyumba na TBA

    Inasikitisha kuona Serikali inafukuza Watumishi wake waliowakopesha Nyumba Kwa Nguvu Kwa kushindwa kulipa deni lote ndani ya Mikataba wa Miaka 3-7. Imagine ameuziwa Nyumba Semi finished, aifanyie finishing ya zaidi ya Million 50, Hapo analipa deni Kila Mwezi. Bado anajitunza yeye na Family...
  17. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ukweli unaojulikana lakini kila mtumishi wa UMMA anajifanya hajui kitu

    1. Mshahara wa walimu na askari magereza ndio mshahara pekee wa watumishi wa umma unaokutana na mshahara mwingine. Hii ni kwasababu wanajua wakifanya masihara tu wamekula tope. 2. Watumishi walioko kwenye taasisi zenye udambwidambwi (madili) mshahara wao unaisha ndani ya wiki moja tu hata kama...
  18. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania Mtumishi wa umma unapambanaje hapa

    Let's say unafanya kazi kwenye taasisi/shirika la Umma na unaweza kumaliza miezi sita(6) hata mwaka hujapata seminar wa safari yoyote za kikazi. Na hata seminars na safari za maokoto zikitoka hauwepo kwenye list , hivi si mnaishiaga kununa tu na kuwachukia Bosses kila kukicha😃😁 Hongera kwa zile...
  19. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania Hii ni moja ya haki ya Mtumishi wa Umma?

    Naomba maelezo kutoka kwa Maafisa utumishi wa taasisi mbalimbali za Umma/Serikali. Ni haki yake Mtumishi wa umma kulipwa fedha ya Nauli wakati anapothibitishwa kazini kulingana na umbali(kilomita) kutoka nyumbani kwake hadi kituo chake cha kazi, wategemezi wake n.k?
  20. Z

    JamiiForums Tanzania Hivi utaratibu wa mtumishi wa umma akiiba au akikosea ahamishiwe sehemu nyengine una maslahi gani kwa taifa?

    Msomi akipata shavu la kuajiriwa serikalini, inakuwa raha msarehe. Hatakiwi kuguswa hata akiiba; anahamishiwa sehemu nyingine. Hivi huu utaratibu uko kwetu Tanzania tu au ni duniani kote? Mtu unakula kodi za walalahoi, unaiba, unakosea, halafu eti usisemwe na ikiwezekana uhamishiwe sehemu...
Back
Top Bottom