mtumishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Kitengo cha Mapokezi Hospitali ya Rufaa Mbeya hakina huduma nzuri, kuna mtumishi anaongea sana na simu, hajali wagonjwa

    Watu wa Mapokezi ya Wagonjwa katika Hospitali ya Rufaa Mbeya hawana huduma nzuri kabisa kwa Wananchi wanaofika kituoni hapo. Mfano kuna mtumishi mmoja anaongea na simu muda mwingi bila kujali wagonjwa walio mbele yake, amekuwa na kawaida ya kufanya hivyo na hajali wanaohitaji kuhudumiwa. Mbali...
  2. Dogoli kinyamkela

    MIMI : Nikuulize jambo, askofu? ASKOFU: Ndio, uliza mtumishi wa Baba 😀.

    MIMI : Nikuulize jambo, askofu? ASKOFU: Ndio, uliza mtumishi wa Baba 😀. MIMI: Hivi kati ya Mungu na nyoka nani aliyemdanganya Mtu pale ‎bustanini? ASKOFU: Nyoka ndo alindanganya mwanadamu. Mungu...
  3. Kimbesa11

    Nimebarikiwa na mahubiri kutoka kwa mtumishi wa Mungu Dr. Alex G. Malasusa

    Namuona Mungu akinena ndani ya kinywa cha mtumishi wake Dr. Malasusa, hakika nimeponywa nafsi nimeuona utume wa Mungu ndani ya Malasusa. Ee! Mungu wetu Asante kwa kutuletea mtumishi huyu. Malasusa anasimama pamoja na watumishi wa Mungu wote wenye mapenzi mema na mioyo ya watanzania mfano wa...
  4. Damaso

    Pikipiki kwa Miaka 39 ya Utumishi, hii sio heshima bali Kejeli

    Kauli ya Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa, kuhusu kumuaga rasmi Bw. Mfaume Ramadhan baada ya miaka 39 ya utumishi wa umma imeibua mjadala mpana wenye maswali mazito kuliko majibu. Miaka thelathini na tisa si wiki mbili, wala si ajira ya muda mfupi. Ni karibu maisha yote ya mtu—ujana, utu...
  5. PAYE

    Mtumishi wa Mungu: Samia ukiendelea na Urais unaenda kufa, maana hana kibali cha Mungu

    Mtumishi wa Mungu amesema "Samia ukiendelea na Urais unakwenda kuuawa, utaondolewa: Mungu kakukataa”
  6. Samia atosha tukutane2030

    Mtumishi wa umma Usiombe mkopo ESS CRDB utajuta

    Kama unataka upate pesa ndani ya lisaa limoja omba NMB, nimewaombea wengi mkopo NMB yaani kama HR wako yuko chap ndani ya dk 5 ushapata mkopo. NBC ndani ya masaa 24 uhakika, Azania ndio benki bora zaidi, makato nafuu kuliko benki zote ila kidogo wako slow. Ila haivuki wiki unapata pesa . CRDB...
  7. Mad Max

    Mchekeshaji Mtumishi Obama nae ajizawadia gari BMW 3 Series, E90 320i

    Muigizaji wa Comedy mwingine William Mockray anaekwenda kwa jina la stejini Mtumishi Obama, nae amejionesha leo akijipa zawadi ya gari aina ya BMW 320i ya mwaka 2006 hadi 2008. Ni hatua nyingine nzuri kwa wasanii wa comedy, kila lakheri. BMW 3 series E90 ilianza kutengenezwa mwaka 2005 hadi...
  8. funaku

    Anayemfokea mtumishi wa mahakama anapaswa kuadhibiwa

    Mahakama inatakiwa kuheshimiwa na isigeuzwe kama klabu cha pombe. Kuna video clips zinamuonesha mtu mmoja akifoka na kuwatishia watumishi wa mahakama. Nitashangaa sana kama ataachwa free na hatimaye hii ikageuka ndio utamaduni. Ipo siku mtu ataibiwa halafu wakati wa kesi vibaka wakaambizana waje...
  9. matunduizi

    Je Hadi Sasa Mungu hajamtumia mtumishi wake yeyote kuongea na Rais au anakubaliana na Ushwari wa kitaifa?

    Rais ni mtumishi wa Mungu anayetumika katika kitengo cha kutawala watu kiserikali. Kwa mujibu wa ISAYA 49, watumishi wa Mungu wa KIROHO ni walezi wa wafalme na mamalikia na marais. Kama Kuna chochote kisichofaa, ili kuepusha MADHARA ya baadae atatumwa mtumishi hata kutoka nje ya nchi ili kumpa...
  10. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Chama cha Kijamii (CCK): Tukichukua nchi kila mtumishi tutamjengea nyumba

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Kijamii (CCK), David Daud Mwajojele, amewasili katika Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Njedengwa, Jijini Dodoma, akiwa ameambatana na mgombea wake mwenza, kwa ajili ya kuchukua fomu za kuteuliwa kugombea nafasi ya Rais na...
  11. Kimbesa11

    Nataka mke aliye serious wakuoa mimi ni mtumishi wa private sector nipo wilaya za Dodoma njoo inbox mchumba

    Nataka mke wa kuoa mm ni mwanaume wa miaka 40 nahitaji mwanamke yoyote ambaye yupo tayari na yupo serious kuoana au kuwa MARAFIKI aje inbox awe tayar kupima HIV nipo online karibu sana, nnapoishi kutoka mjini Dodoma mpaka nilipo ni elfu 5 karibu sana
  12. Godfrey- denis

    EWE MTUMISHI USISUBIRI PENSION, ANZA KUWEKEZA KWA AJILI YA KESHO YAKO 🙌

    🌱 Ewe Mtumishi, Wekeza Leo kwa Ajili ya Kesho Yako! Kila mwezi unapopokea mshahara wako, jiulize: Je, sehemu ya mshahara huu inafanya kazi kwa ajili ya maisha yangu ya baadaye? Watumishi wengi wa umma na sekta binafsi hujikita kusubiri kiinua mgongo – kile wanachokatwa kila mwezi na mifuko ya...
  13. A

    GE2025 Alex Msama; mtumishi wa watu mwenye dhamira ya kweli aliyebeba hatima njema ya wananchi wa Ukonga!

    Jina la Alex Mwita Msama halihitaji utambulisho wa makelele mengi. Alex Msama ameweka alama na nembo isiyofutika katika jamii ya Watanzania. Ameibua , kukuza na kuendeleza vipaji vya wengi kupitia muziki wa Injili. Kwa miaka mingi, Alex Msama amekuwa kielelezo na mfano hai katika kumtumikia...
  14. Zanzibar-ASP

    Katiba mpya itamke wazi, mtumishi wa tume ya uchaguzi akose sifa za kugombea au kuwa mtumishi wa umma.

    Ni lazima tuweke standard kama taifa, haiwezekani wewe uwe mjumbe au mtumishi wa tume ya uchaguzi kwa ngazi yoyote ile halafu kesho na keshokutwa uende kwenye uchaguzi kugombea. Hiyo hapana. Tukatae. Iwekwe wazi kabisa, ukiamua kutumikia tume ya uchaguzi moja kwa moja ukose sifa zingine zote za...
  15. C

    Uhamisho kwa mtumishi wa umma

    Wakuu, naomba mnisaidie majibu ya maswali yafuatayo: 1. Naweza kuhama kumfuata mwenzi ambaye si mtumishi wala mfanyabiashara, yaani ni mama wa nyumbani? 2. Ikiwa na. 1 hapo juu inawezekana, ni viambata gani vinahitajika ktk mfumo wa ess kukamilisha hili? Natanguliza shukrani.
  16. thirteen06

    Ukiwa kama mstaafu, au mzoefu kazini, shauri au toa mbinu mbalimbali zinazofaa kwa mtumishi hasa wa local government azitumie ili afanikiwe kiuchumi

    Vijana wanaoanza kazi, ajira mara nyingi nimekuwa nikiwaona wanapitia changamoto nyingi katika mazingira ya ugenini huku wakiugulia maumivu mbalimbali kutokana na kipato kidogo wanachopata wakati huo huo wakiwa hawawezi kukwepa kutoa msaada kwa ndugu zao wa karibu ambao mara nyingi ndio...
  17. Common Folk

    PreGE2025 Janeth Rithe: Rais Samia wewe ndiye Amiri Jeshi Mkuu, ukisifiwa kwa mazuri basi hata mabaya pia hauwezi kuyakwepa (KUMBUKIZI)

    Huyu mama sasa hajapindisha maneno wala kuongea kwa tafsida kama Gwajima, yeye amelenga mulemule kwa mama. === Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake Taifa wa ACT Wazalendo, Janeth Joel Rithe amesema kuwa Rais Samia Suluhu hawezi kukwepa wajibu juu ya malalamiko ya wananchi kuhusu matukio ya utekaji...
  18. Setfree

    Vijana takriban 40 wauawa baada ya 'kumzodoa' Mtumishi wa Mungu!

    Habari hii ni ya kweli kabisa. Sio chai wala udaku. Taharuki imetanda katika mji mmoja baada ya tukio la kutisha lililowahusisha vijana zaidi ya 40 walioshambuliwa na wanyama wakali wa porini. Kwa mujibu wa mashuhuda waliokuwepo karibu na eneo la tukio, kundi la vijana zaidi ya 40 lilijikuta...
  19. Chilemba wamela pamputi

    Tusifikie hapa kwasababu hali inaweza kuwa mbaya zaidi , ni bora kushauri vyema kuliko kushauri hivi alivyo shauri huyu mtumishi

    Mimi nadhani kuendelea kuzungumza swala hili ni kulifanya liwe gumu zaidi badala yake kwakuwa tayari kanisa limesha toa msimamo wa kwenda mahakamani kupinga kinacho daiwa kufungwa Kwa kanisa Sasa hekima ni Bora kusubiri maamuzi ya mahakama kwanza kabala ya kuendelea kupambisha moto Hoja yenyewe...
  20. Background Check

    Asikilizwa huyu Mtumishi anahoja

    https://youtu.be/K7Ok_sZxnzI?si=JFqWdTjV8wPwC4pT Natoa ushauri kwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Innocent Bashungwa naomba usikae kimya toa tamko la kuonyesha kwamba haya maelekezo ya kufuta kanisa la Askofu Gwajima, haya maelekezo ya jeshi la polisi kwenda kuvamia kanisa usiku wa saa 5 na...
Back
Top Bottom