Background Check
JF-Expert Member
- Jun 28, 2019
- 378
- 578
View: https://youtu.be/K7Ok_sZxnzI?si=JFqWdTjV8wPwC4pT
Natoa ushauri kwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Innocent Bashungwa naomba usikae kimya toa tamko la kuonyesha kwamba haya maelekezo ya kufuta kanisa la Askofu Gwajima, haya maelekezo ya jeshi la polisi kwenda kuvamia kanisa usiku wa saa 5 na kulizingira na mapolisi wengi na madifeda, Toa kauli kama waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ni maelekezo yako