mtuhumiwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tabora: Aliyeomba Rushwa ili amsaidie Mtuhumiwa wa Mauaji aachiwa baada ya kulipa Faini

    Mahakama ya Wilaya ya Tabora imechukua uamuzi huyo dhidi ya Denis Kantanga, aliyekuwa Askari Polisi nafasi ya Konstebo baada ya kukiri makosa mawili ya Kuomba na Kupokea Rushwa ya Tsh. 18,000,000 kinyume na Sheria. Mahakama ilimhukumu kutumia kifungo cha miaka miwili Jela au kulipa faini ya...
  2. JamiiForums Tanzania Sababu za kukamatwa kwa Wakili Peter Madeleka

    Mnamo mwaka 2020 Wakili Peter Madeleka alikamatwa na kufunguliwa kesi ya Uhujumu Uchumi no. 40 (Economic case no 40/2020) katika Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Arusha. Katika kesi hiyo alishtakiwa kwa makosa mbalimbali ikiwemo kughushi (forgery) kinyume na Sheria ya Mwenendo wa Adhabu (Penal Code)...
  3. O

    JamiiForums Tanzania Wakili Kibatala, Shahidi walivyochuana taratibu za kumtambua mtuhumiwa

    Dar es Salaam. Kesi ya mauaji inayomkabili mjane wa aliyekuwa mfanyabiashara na tajiri wa madini mkoani Arusha, Erasto Msuya maarufu kama Bilionea Msuya imeendelea kuunguruma Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, huku wakili wa utetezi na shahidi wakikabana koo kuhusu gwaride la utambuzi...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Rufaa yamuachia huru mtuhumiwa aliyedaiwa kukutwa na heroine gramu 200.34, Bangi gramu 2.88 na vigae 3

    6 April 2023 Mahakama ya Rufaa Tanzania Dar es Salaam, Tanzania Jopo la majaji wa Mahakama ya Rufaa Tanzania chini ya jaji J.A Koroso baada ya kusikiliza rufani ya Mussa R. Magae, imetoa hukumu ya kumuachia huru Mussa Ramadhani Magae baada ya Mahakama ya Rufaa Tanzania kushindwa kushawishika...
  5. JamiiForums Tanzania Unafiki wa CHADEMA: Wanampigania mtuhumiwa wa mauaji, wanapuuza haki ya aliyeuawa

    September 2020, Emmanuel Polycup Mlelwa ambaye alikuwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu Iringa, alitekwa, aliteswa, aliuwawa, na mwili wake ulienda kutupwa katika eneo la bwawa la Kibena huko Njombe. Katika uchunguzi, GEORGE SANGA ambaye hivi sasa members wa CHADEMA wanasema aachiwe, alikiri kuhusika...
  6. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Chato: Kituo cha Polisi Muganza chachomwa moto na wananchi kupinga mauaji ya mtuhumiwa anayedaiwa kusababibishiwa kifo na Polisi

    Bodaboda Amepigwa Na Polisi Na Kumsababishia Kifo Ndipo Wananchi Wameandamana Na Kuvunja Kituo Cha Polisi inadaiwa Watu Wawili Wamesha Poteza Maisha Kutokana Na Ufyatuaji Wa Risasi Na Mabomu Ya Machozi. Chanzo cha tukio hili ni mwendesha boda boda aliuziwa betri ya gari kumbe ilikua ya wizi...
  7. O

    JamiiForums Tanzania Mtuhumiwa mauaji ya mke amtumia sms mama mkwe

    Moshi. Ni matukio nadra kutokea katika jamii, baada ya mtuhumiwa anayesakwa kwa udi na uvumba na polisi kwa tuhuma za mauaji ya mkewe, kumwandikia mama mkwe ujumbe mfupi (SMS), kuelezea ushiriki wake katika tukio hilo. Mtuhumiwa anadaiwa kutuma ujumbe huo wakati polisi wakiwa tayari wamechukua...
  8. JamiiForums Tanzania Mtuhumiwa wa dawa za kulevya aomba majadiliano na DPP kumaliza kesi

    Raia wa Marekani, Brandon Summerlin (31) ameieleza Mahakama kuwa anakusudia kumwandikia barua Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Tanzania (DPP) ya kukiri na kuomba kupunguziwa adhabu ili aweze kulimaliza shauri lake. Summerlin ambaye ni mwalimu wa mafunzo kwa njia ya mtandao, anakabiliwa na shtaka...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara wa mihogo Kawe, Bwana Charahani akamatwa akiwa kwa mganga Bagamoyo

    Ni yule ambaye aliripotiwa hapa JamiiForums na Member mmoja nimemsahau jina kuwa alimjeruhi aliyemhusi mwizi wa mkewe (mama Zai ambaye sasa ni mjamzito) kwa kumkata kiukatili sikio na kidole kisha kupita navyo sokoni Kawe akiwa anatamba na kuvionyesha kwa watu huku akisema hakuna wa kumtisha...
  10. JamiiForums Tanzania DR-Congo: Mkenya akamatwa kwa kuhusika na Bomu lililoua watu 10 Kanisani

    Mamlaka zimetangaza kumshikilia mwanachama wa kundi la Kigaidi la Allied Democratic Forces #ADF kwa madai ya kupanga shambulizi la Bomu huko Kivu Kaskazini. Kitengo cha Polisi cha Kupambana na Ugaidi Nchini #Kenya (ATPU) leo Januari 16, 2023 kimemtambua raia huyo kuwa ni Abdirizak Muktar Garad...
  11. JamiiForums Tanzania Polisi akatwa panga akikamata mtuhumiwa

    Polisi mkoani Kilimanjaro, wanamsaka mtuhumiwa wa mauaji aliyemjeruhi kwa kumkata kwa panga kichwani, askari wa jeshi hilo, wakati askari huyo na wenzake walipofika nyumbani kwake kwa lengo la kumkamata. Askari huyo wa kituo cha Polisi Sanyajuu wilayani hapa, Wilfred Kavishe (pichani)...
  12. JamiiForums Tanzania Mtuhumiwa wa Ufisadi atinga TAKUKURU na gari la Jeshi

    Ukurasa wa mbele wa Gazeti la Raia Mwema la Leo Jumatano ya Agosti 24, 2022
  13. J

    JamiiForums Tanzania Baada ya video kusambaa mtuhumiwa mwenye pingu akipigwa, askari aliyehusika awekwa mahabusu

    Imetolewa na Jeshi la Polisi: TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI: Ndugu wanahabari, Imeonekana kipande cha video kwenye mitandao ya kijamii inayoonyesha kijana mmoja akiwa na pingu huku akipigwa na askari, kitendo ambacho ni kinyume cha sheria. Ndugu wanahabari, Kitendo hicho si tu ni kinyume cha...
  14. JamiiForums Tanzania Mtuhumiwa wa mauaji ya Shinzo Abe (aliyekuwa Waziri Mkuu wa Japan) alitengeneza silaha kadhaa za kienyeji nyumbani kwake

    Mtuhumiwa wa mauaji ya Waziri Mkuu wa zamani wa Japan, Shinzo Abe, amedai kuwa silaha aliyotumia aliitengeneza nyumbani na alitengeneza nyingine kadhaa za aina hiyo. Polisi wa Nara Nishi wamesema mtuhumiwa Tetsuya Yamagami, 41, amekiri kufanya shambulizi hilo kwa sababu binafsi alitumia silaha...
  15. JamiiForums Tanzania Mtuhumiwa wa Mauaji ya Buffalo Marekani akana mashtaka dhidi yake

    PaytonGendron (18) anayeshtakiwa kwa kuua watu kumi na kujeruhi watatu katika supermarket huko Buffalo (eneo likaliwalo na watu weusi) alifikishwa mahakamani Juni 2 ambapo alikana shtaka hilo pamoja na mashtaka mengine, ambapo mwendesha mashtaka akitaja ushahidi dhidi yake kuwa mkubwa Vile...
  16. JamiiForums Tanzania Haki ya Dhamana kwa Mtuhumiwa na maana yake

    Dhamana ni haki inayopata msingi wake katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977 ambayo ina dhana inayotamka kwamba mtu hatochukuliwa kuwa mwenye hatia mpaka tuhuma zithibitishwe dhidi yake, Ibara ya 13(6) (b). Ili kuzingatia dhana hii ni muhimu kumruhusu mtuhumiwa kwa kumpa dhamana...
  17. JamiiForums Tanzania Mtuhumiwa ampora bunduki askari, aua watu wawili, ajeruhi askari

    Watu wawili wamepoteza maisha na askari mmoja kujeruhiwa vibaya kutokana na shambulio la risasi kutoka kwa mtu ambaye alipora bunduki kutoka kwa askari polisi Jijini Cape Town Nchini Afrika Kusini. Polisi wamesema aliyefanya matukio hayo ni mwanaume mwenye umri wa miaka 40 ambaye alifyatua...
  18. B

    JamiiForums Tanzania RUSHWA: Kijana aliyekuwa akiwalaghai na kuwatapeli Maofisa wa Jeshi la Polisi kwa ahadi za ajira akamatwa

    Afande pokea taarifa kuhusiana na mahojiano yaliyofanyika leo Tarehe 04/04/2022 baada ya kukamatwa kwa mtuhumiwa wa makosa ya utapeli David Damas Otieno @ MAJOR GENERAL MRAI miaka 39, kabila mjaruo, kazi mkulima, dini mkristo mkazi wa Dar es salaamu ambaye amekamatwa leo Tarehe 04/04/ 2022...
  19. JamiiForums Tanzania Ni ngumu sana mtuhumiwa kujinyonga mahabusu au gerezani

    Poleni na majukumu naomba nigusie machache kuhusu hili tukio la mtuhumiwa wa mauaji ya mfanyabiashara wa madini kudaiwa kujinyonga akiwa mahabusu. Mahabusu ni chumba au jengo kama bweni ambalo mara nyingi linakua na madirisha mawili kwa juu na mlango mmoja wa chuma mengine mbao...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Mtwara: Askari Polisi mmoja kati watuhumiwa wa mauaji ya mfanyabiashara alikutwa mahabusu akiwa amejinyonga tarehe 22 Jan 2022

    Askari mmoja Kati waliokuwa wakituhumiwa kufanya mauaji ya mfanyabiashara kijana alijinyonga ==== Askari huyo alijinyonga Januari 22 mwaka huu 2022 kwa kutumia tambala la kudekia akiwa mahabusu ya kituo cha polisi wilaya ya Mtwara. Katika taarifa iliyotolewa na Kamanda wa Polisi wa mkoa wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…