mtu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Waliowahi kupotelewa na ndugu au mtu wa karibu mje mtupe experience

    Kwa mtu aliyewah kupotelewa na ndugu au mtu wa karibu aje atoe experience. Nikiona mtu anatangaza kupotelewa na ndugu ua nashikwa na uchungu sana mpaka najiuliza nduguze hali ikoje.
  2. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu computer specifications kwa mtu anayesoma Bsc. Cyber security

    .
  3. G

    JamiiForums Tanzania Naona Syria inaenda kuwa uwanja wa vita kati ya Iran na Israel; sijui Assad amekubalije nchi yake kila mtu kujikatia kipande chake

    Baada ya shambulio la Mchana kweupe la Israel kwenye ubolozi wa Iran tulitegemea majibu kwa Iran. Lakini mpaka sasa hakuna majibu yoyote kutoka Iran. Ila inaonyesha msafara mkubwa wa magari ya Iran kuelekea Syria. Pia kauli ya kuanza na Jerusalem kama mji mkuu au mashuri wa Israel ni dalili...
  4. JamiiForums Tanzania Huyu mpenzi wangu amenichekesha sana. Katamka mbele ya kadamnasi kuwa hana mtu

    Binafsi hata mimi sikuwa na malengo naye, nilitaka ku-hit and run. Hakuna mtu aliyefahamu kuwa nilimuomba kudet nae, ilikuwa ni siri, maake muonekano wake ni aibu tupu. Nimeshangaa sana kumuona anatamka kuwa hana mtu mbele ya hadhira baada ya kuona tabasamu la jibaba lenye miraba minne na...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Uko tayari mtoto wako aoe au kuolewa na mtu mweye tabia kama zako?

    Kila mtu anajujua tabia zake, kama wewe ni mwanamke je uko tayari mtoto wako wa kiume aowe mwanamke mwenye tabia zako? Na wewe mwanaume uko tayari mtoto wako wa kike aolewe na mwanaume mwenye tabia kama zako?
  6. N

    JamiiForums Tanzania Ni akili tu Mtu Wangu

    Akili mtu wangu ebu mtag rafiki mwenye timing kama hizi🤣🤣hapo kaskilizia mara kashasogea mdogomdogohuyo nae anajisevia msosi, ni akili tu mtu wangu
  7. JamiiForums Tanzania Kuna uhuni Mkubwa, Dawa ya kumsaidia mtu kuacha kupiga Punyeto? imekaaje?

    Wale jamaa wanaojichukulia sheria mkononi, wanaopenda kucheza Pool. wanaopiga punyeto. kuna dawa eti inazuia mtu asifanye hilo jambo. maswali yangu 1. Punyeto ni ugonjwa gani? 2. Nini kinasababisha mtu aoige punyeto? 3. Inaenda kutibu nini hiyo dawa? Kuna wauzaji wa dawa hizi za supplement wana...
  8. JamiiForums Tanzania Natafuta mtu/ taasisi ya kunikopesha tshs laki mbili na nusu, nitalipa 340k ndani ya miezi minne.

    Nashukuru kwa michango, nilikuwa nahitaji taarifa fulani za kina kutokana na maoni ya wadau through jf. Mbarikiwe wapendwa.
  9. JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli kusoma vitabu kunaweza kubadilisha maisha ya mtu? una ushahidi wowote?

    Wakuu habari, Kwanini watu waliowahi kufanya makubwa hawakufanikisha hayo kupitia kusoma vitabu. Unakuta mtu anasoma kitabu cha How to influence people lakini hadi anakimaliza hana influence yoyote. Mtu anaandika kitabu cha how to get rich fast afu pesa ya kuchapisha hicho kitabu amekopa...
  10. JamiiForums Tanzania Binafsi siwezi kuishi na mtu anayeenda kwa Waganga wa kienyeji na Mchawi

    Habari Wakuu! Watibeli ni bora tufe lakini kamwe hatuwezi kuwafuata waganga au wachawi. Ushirikina na uchawi kwetu ni kama kosa la mauaji, au kosa la usaliti. Binafsi siwezi ishi na mtu ambaye anapenda mambo ya kishirikina, anaenda kwa waganga, au anadalili za uchawi uchawi. Mke akijihusisha...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Kazi ya uenezi hakuna mtu anayeiweza kwa CCM ya sasa

    Wananchi walipaswa kushawishiwa na CCM kwa kasi ya maendeleo. Na hivyo ccm ingreendelea kushamiri na kupendwa na wananchi. Lkn naona ccm wanahangaika kutafuta MTU sahihi wa kuwashawishi wananchi kuipenda ccm as if hiki ni chama kipya kilichosajiliwa juzi. Kumbe ni chama kilichozeeka na...
  12. JamiiForums Tanzania Jamaa aliyechoma Qur'ani Tukufu Salwan Momika, amekutwa amekufa nchini Norway

    Salwan Sabah Matti Momika ni mkosoaji wa Uislamu. Anajulikana kwa kupanga maandamano nchini sweden ambapo alichoma Quran hadharani. Momika alizaliwa katika familia ya Kikristo, lakini alibadilika na kua mtu asiyeamini uwepo wa Mungu. Mnamo 2023, Momika alipanga mfululizo wa maandamano kama...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Usimuoe binti kwa sababu tu umemtia mimba. Usioe kwa huruma, hakikisha unaona mtu anayefurahisha hisia zako

    Watu wengi wanashindwa kutofautisha mahusiano na mapenzi. Siyo kila uliye naye kwenye mahusiano ana mapenzi na wewe. Mapenzi (love) hupatikana kwa mtu au kitu chochote kinachofurahisha hisia. Love is obtained from a person or thing that makes your emotions happy. Mapenzi hupatikana hata kwa...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Je, wajua, kuzimu ni Mtu, na Mauti ni Mtu?

    Salaam, shalom, Tuendelee na MADA zamivu katika masuala yasiyoonekana Kwa macho. Usilolijua, sasa tunaishi wakati ambao MUHURI wa nne umekwisha Funguliwa, kuzimu imeruhusiwa kuja Duniani kuvuna Roho za wakaao duniani theluthi Moja, Unashangaa Bado watu wanaenda kwenye mabaa na kununua Malaya...
  15. JamiiForums Tanzania Biashara ya hewa ya ukawa ina manufaa kwa mtu mwenye shamba dogo la miti?

    Nina shamba la ekari 21 mkoani Kigoma. Mwezi uliopita, nilimwachia mtu mmoja jukumu la kupanda miti kuzunguka mpaka wa shamba. Nilipokuja kulikagua hivi karibuni, nilikuta kaotesha tofauti na nilivyomwelekeza. Kakata eneo la ekari tatu na kufanya shamba la miti. Sikumgombeza. Wala...
  16. JamiiForums Tanzania Tumsaidie Rais Samia kupata mtu sahihi wa ITIKADI na UENEZI, Weka jina humu JF na toa sababu

    Nafasi ya uenezi ni kubwa sana maana ndio kipaza sauti cha chama! Tunatakiwa kupata mtu anayekubalika na jamii na hana makandokando, awe mwenye kujishusha na kupokea maelekezo ya wakubwa zake! Wana JF tumsaidie mama kupata mtu sahihi hapa!
  17. G

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anataka mtu wa namna gani kwenye nafasi ya Uenezi wa CCM?

    Tangu mama awe mwenyekiti wa ccm taifa ameteua na kiwatengua watu 4 kwenye nafasi ya uenezi. 1. Alimtengua Humphrey Polepole. Mtu mwenye akili na uwezo mzuri wa ku -connect na hadhira anapozungumza 2. Alimteua na kumtengua Abdul Shaka (mpwa wake kabisa). 3. Alimteua na kumtengua Sophia Mjema...
  18. JamiiForums Tanzania TBC: Mfanyakazi aliyesoma habari kuhusu Meli ya MV Mwanza amechukuliwa hatua

    Vongozi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) unapenda kutoa fafanuzi kuhusu sehemu ya maudhui ya matangazo mbashara ya hafla ya ushushaji wa Meli ya MV Mwanza, Ziwa Victoria iliyofanyika tarehe 12 Februari, 2023 kwamba mtangazaji alichokusudia kukisema ni kuwa MV Mwanza itasafirisha mizigo...
  19. JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi wa kike mtu mzima

    Nina miaka 55, mfupi 5 7, mfanyabiashara, naishi Dar, Nina watoto wakubwa, wanaishi kivyao na kwa mama yao. Nahitaji mpenzi wa kike tupendane. Maswali zaidi uliza inbox tafadhali
  20. JamiiForums Tanzania Kama ambavyo unavizia kuiba mke au mume wa mtu, ndivyo nawe unavyonyemelewa kunyakwa na huenda ukaumizwa vibaya

    kiujumla wizi wa aina yoyote ile ni mbaya sana. na siku zote wizi hauna mipaka, mwizi huiba kila kitu anachokiona kinamfaa mbele yake kwa muda mfupi na haraka sana, haina kuremba. kuiba mke au mume wa wenyewe, ni wizi mgumu, mbaya na hatari sana kwa afya na uhai wako. Pasaka hii tulizana, baki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…