mtu

  1. JamiiForums Tanzania Umri wa mtu hukoma lini?

    Hivi umri wa binadamu hukoma lini? Ninaqngalia hapa taarifa ya habari hapa eti tunaazimisha 102 ya mwl. Nyerere, hii ni kweli? Mi nadhani umri unakoma mtu akifariki.
  2. JamiiForums Tanzania Picha: Hili geto ni la mtu kutoka mkoa gani?

    Unahisi mmiliki halali wa hili ghetto atakuwa anatokea mkoa gani?
  3. JamiiForums Tanzania Kuna Mtu naona analazimisha Mwenyewe kwenda mazima Mavumbini ( Udongoni ) kwa Ushamba, Ujinga na kwa Kukurupuka Kwake

    Akimaliza huu mwaka atakuwa na ana bahati sana, ila nina uhakika kwa mwaka 2025 tunaweza tusiwe nae mazima Ok?
  4. JamiiForums Tanzania Kuna mtu kawauliza swali wanaosema "Mungu hafananishwi na kitu chochote" wameshindwa kujibu wanamtukana na kumpa vitisho. Mpeni majibu tafadhali

    Ilikuwa kwenye mjadala kuhusu maoni ya Harmonize kwamba katika miaka ishirini aliyo ishi duniani amegundua kwamba huenda Mungu ni mwanamke.. Wenye dini zao wanasema Harmonize apigwe mawe kwa sababu amekufuru na kwamba " Mungu hafananishwi na kitu chochote kile" Swali la jamaa lilikuwa: 1...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini Mungu na shetani wote hawataki kufanya kazi na mtu mvivu asiye mbunifu?

    Mtu mvivu, legevu, asiyejali muda na mwenye maneno mengi kuliko vitendo Mungu hampendi na shetani hampendi. Waliomstari wa mbele (frontliners) kwa Mungu na kwa Ibirisi huwezi kukuta mtu mvivu asiyejali na mzembemzembe. Hakuna nabii wa uongo mvivu asiye risk taker. Wako smart, wanaamka mapema...
  6. JamiiForums Tanzania Mtu anapomtukana mwenzake anafaidi nini?

    Hata kama amekasirishwa, kutukana kutamsaidia? Nimo kwenye basi naelekea mkoa fulani. Njiani, mama mmoja kapitilizwa na konda kituo alichopaswa kushukia. Kutokana na kukerwa na hiyo hali, aliposhuka, hakulalama tu, bali pia alisindikiza manung'uniko yake na tusi la nguoni. Alitukana kwa kutaja...
  7. JamiiForums Tanzania Kila mtu ni mtumwa wa utamaduni wake

    Kama umezaliwa kijijini kwenu, ukakulia kijijini kwenu, ukasomea kijijini kwenu, na shughuli zako zote ukazifanyia kijijini kwenu, ni rahisi kuamini kuwa mila na desturi zenu ndizo bora kuliko zingine zote. Lakini wakati huo huo, kwa watu wa tamaduni zingine, wanaweza wakawa wanawashangaa jinsi...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Mtu unajirekodi chumbani ili iweje? Nina uhakika Aslay na Lukamba wameteswa sana kisaikolojia kusubiri kuziona dhambi zao zilizovuja

    Inasikitisha lakini ni funzo kwamba siri za chumbani ziishie chumbani Mnaojirekodi vyumbani video zenu hazipo salama kwa asilimia 100 kama mnavyojidanganya, Simu yako ikiibiwa inaweza kuwa unlocked kwa software, Umeenda kuprint pdf stationery wezi wa data wananyonya folder zima la camera...
  9. JamiiForums Tanzania Naomba kujua tofauti ya mtu asiye na gari na mwenye gari lakini kila siku analipeleka gereji kutengenezwa

    Hapa kIpaumbele changu Kikubwa ni kusoma tu Comments zenu Matajiri, Wasomi na Masikini Wenzangu hapa JF sawa?
  10. JamiiForums Tanzania Zamani ukitembelea nyumbani kwa mtu unapewa albamu ya picha uangalie, siku hizi unapewa nini?

    Hizi mambo za kupewa albamu kuangalia picha za wenyeji wako hivi bado zipo kweli ndugu zangu? Wewe ukienda kutembelea ndugu, jamaa na marafiki ukifika wanakupa nini au wewe ukitembelewa huwa unawapa nini?
  11. JamiiForums Tanzania Kumbe Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni ukoloni wa mtu mweusi kwa mweusi mwenzake na hofu ya Uislam ?

    Msikilize hapa aliyewahi kuwa Waziri wa ardhi JMT Ni kwamba watu weusi hatukujifunza kabisa kuwa ukoloni, utumwa na kutawaliana kimabavu kuwa ni kitu kibaya. Kumbe wazungu na waarabu walikuwa sahihi sana kututawala kimabavu na kutukamata watumwa na kuuza sokoni kama mbuzi sasa nimeelewa kuwa...
  12. JamiiForums Tanzania Hii ni Breakfast ya 1500. Akili mtu wangu!

    Ni ushauri lakini ukiufuata utakufaa hakikisha katika kila mlo unaokula hasa huu wa asubuhi usile carbohydrates peke yake changanya na protein na vitamin pembeni maana usiku cell zimefanya kazi kuzifanyia repair inabidi upate protein fulani aidha mayai, vipande vya nyama ila mimi napendelea...
  13. JamiiForums Tanzania Mke wa mtu ndio anaingia ndani sasa hivi (saa 9:16 usiku)

    Aisee, kumbe ndoani ni pagumu. Kama mambo yenyewe ndio haya, basi nitaoa mwaka kesho kutwa. Kweli mke wa ndoa unaingia ndani saa 9 usiku ukiwa na rafiki yako mumelewa chakari, plus bodaboda wenu pembeni!!!? Mnategemea mlale kwa nani!!? Nawasikia wanabisha mlango hili mwanaume awafungulie😂 Na...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kipi kigumu kwenye kufuta mchezo kwa maamuzi mabovu ya Refa? Madhara yake ni yapi kiasi cha mtu mmoja kuwa na maamuzi ya mwisho yasiyoweza kubadilika?

    Hili ndio swali ninalijiuliza huku nikizingatia uwekezaji wa gharama kubwa unaofanywa na vilabu plus wachezaji kuvuja jasho halafu kunakuwa na sheria/kanuni inayompa mtu mmoja anaeitwa mwamuzi kuwa na maamuzi ya mwisho na kibaya zaidi hayabadiliki hata ikithibika alitoa maamuzi yasiyo sahihi...
  15. JamiiForums Tanzania Ukimuomba au ukimdai hela mtu wa Dar es Salaam utaambulia sound

    Hakwambii kama hana au atakutafutia kesho anaanza kukupanga Mara ooh subiri kidogo kipengele hapa usafiri Mara blah blah kibao yaani lazima akuingize viswahili acheni ujanja ujanja watu wa dar sio unamuaminisha mtu asubiri ukipigiwa simu inazingua acheni kudanganya danganya wakuu.
  16. JamiiForums Tanzania Kupata Haki ni gharama sana kwa nchi yetu, mnasabisha watu kujichukulia sheria mkononi na kuachana na mifumo ya haki jinai

    Leo niliibiwa materials kutoka eneo langu la kazi Mkoa A, baada ya kufatilia nikagundua mwizi amesafiri kwa njia ya Bus kuelekea mkoa B, nikafanya mawasiliano na Police wa mkoa B, wakanipa ushirikiano na kumkamata mwizi wangu akiwa na hayo material kwenye Bus kama nilivo report, na bahati nzuri...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Waliowahi kupotelewa na ndugu au mtu wa karibu mje mtupe experience

    Kwa mtu aliyewah kupotelewa na ndugu au mtu wa karibu aje atoe experience. Nikiona mtu anatangaza kupotelewa na ndugu ua nashikwa na uchungu sana mpaka najiuliza nduguze hali ikoje.
  18. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu computer specifications kwa mtu anayesoma Bsc. Cyber security

    .
  19. G

    JamiiForums Tanzania Naona Syria inaenda kuwa uwanja wa vita kati ya Iran na Israel; sijui Assad amekubalije nchi yake kila mtu kujikatia kipande chake

    Baada ya shambulio la Mchana kweupe la Israel kwenye ubolozi wa Iran tulitegemea majibu kwa Iran. Lakini mpaka sasa hakuna majibu yoyote kutoka Iran. Ila inaonyesha msafara mkubwa wa magari ya Iran kuelekea Syria. Pia kauli ya kuanza na Jerusalem kama mji mkuu au mashuri wa Israel ni dalili...
  20. JamiiForums Tanzania Huyu mpenzi wangu amenichekesha sana. Katamka mbele ya kadamnasi kuwa hana mtu

    Binafsi hata mimi sikuwa na malengo naye, nilitaka ku-hit and run. Hakuna mtu aliyefahamu kuwa nilimuomba kudet nae, ilikuwa ni siri, maake muonekano wake ni aibu tupu. Nimeshangaa sana kumuona anatamka kuwa hana mtu mbele ya hadhira baada ya kuona tabasamu la jibaba lenye miraba minne na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…