mtu

  1. WanaJF tupeane mawazo kwa mtu anayetaka kufanya biashara Kariakoo kwa mtaji wa milioni 50

    Kwema wakuu, Kuna mtu kanifata anahitaji ushauri, anataka kujilipua kwenda kariakoo kufanya biashara.... Kwanini Kariakoo? Anaamini Kariakoo ndo hub ya biashara hapa Tanzania.... Mzunguko wa kariakoo si rahisi kuupata mahali pengine popote hata kama unapata faida ndogo Amekua akifanya...
  2. Nilimpenda sana Binti humu, ila sasa nimegundua kila mtu anampenda tu. Inauma

    nimekua nikimpenda sana @_ephen sijui ndo nimekosea handle yake ?. ila nimempenda sana... sana, siwezi kuelezea ni jinsi gani. lakini pia nimekuja kugundua watu wengi pia wanampenda huyu Binti. nampenda sana _ephen, ila kutokana na kuona kila mtu anampenda nabaki katika utata, je ni sahihi...
  3. Video: Huduma kwa wateja Taasisi za Umma mbovu. Nimepiga simu Nest (PPRA) nusu saa hakuna anayepokea. Siasa zisiue huduma kwa jamii

  4. Kama unatafuta msaidizi wa kazi tuwasiliane

    Age:18 yrs old, Salary atakayo ni 80k kuendelea. Awezacho ni kulea mtoto, watoto, wazazi wa watoto hao au kuuza duka. Maelezo mengine ni inbox wapendwa
  5. Makonda ni tatizo ila mfumo wake unakubalika na wengi waliochoshwa na ubabaishaji

    Nafikiri wengi tunakubaliana kwamba utoaji wa huduma za umma za watumishi katika sekta na maeneo mbalimbali una urasomu uliopitiliza, changamoto na usumbufu mkubwa sana. Kuna aina fulani ya uvivu, uzembe, wizi wa mali za umma na mazoea ambapo imekuwa kama utamaduni sasa katika watumishi wa...
  6. PreGE2025 CHADEMA kuna jimbo la bure kule kwa babu tale wekeni mtu makini 2025

    Jimbo la bure kabisa lile mkiweka mtu makini mchana kweupe mnalipata lile jimbo. Wekeni kichwa haswa pale, mbunge wa sasa wa pale ni mweupe peeee kichwani.
  7. Wakati Halima Mdee na wenzake wakipewa majina ya kutisha na kutukanwa hatukusikia taasisi wala kikundi kukemea!

    Wabongo tupunguze unafiki na udaku,sidhani kama kuna nchi yeyote duniani inaizidi tanzania kwa undimilakuwili,niwatu waliokosa ajenda watu wa kukurupuka. Juzi kuna habari imetokea huko kwenye ziara za Rc mmoja hiyo habari kila mmoja amekurupuka eti wamejisikia uchungu kwa kuwa tu huyo mama...
  8. Je, baadhi ya kazi zinafanya mtu apoteze utu?

    Niko safarini kutoka kanda ya kati kuelekea Geita. Nafika eneo fulani mkoani singida. Wale wenye sare nyeupe wananyoosha mkona kuashiria nisimamishe gari. Yeye: Nipe leseni yako Mimi: Hii hapa Yeye: Una deni la faini Mimi: Ndiyo Yeye: Lipia Mimi: Bado nina safari ndefu.Nina akiba ya kununua...
  9. Bomu lapiga karibu na ubalozi wa Iran, Syria na kuua mtu wa karibu sana na Iran

    Mtapigwa tu, juzi rais wenu ameliwa milimani, tena kwenye ndege tatu, ya kwake ndio ilichaguliwa, wiki haijaisha bomu limepiga karibu na ubalozi. One dead after explosion reported near Iranian embassy in Damascus - report By JERUSALEM POST STAFF Published: MAY 25, 2024 10:37Updated: MAY 25...
  10. SoC04 Vijana na afya ya akili (AFYA YA AKILI NI MTAJI) Tanzania niitakayo vijana wapate application inayo husiana na masuala ya Afya ya akili

    Tanzania tuitakayo Selikari ianzishe Application inayo husiana na masuala ya afya ya akili vijana wengi wanaona ni aibu kwenda kuelezea matatizo yanayo wakabili wakiamini Depression ni magonjwa ya kizungu lakini app moja ikianzishwa inayo deal na maswala ya msaada wa afya ya akili ikatoa...
  11. Unajuaje kama mtu amekomaa au la?

    Ukomavu haupimwi kwa umri, ni mtazamo unaojengwa na uzoefu. Hapa kuna sifa 10 za mtu aliyekomaa. Hufurahi kuwa peke yao: Wanastarehe wakiwa peke yao na hawahitaji marafiki au watu karibu nao kila wakati. Hukubali tofauti: Wanakubali kwamba kila mtu ni tofauti na atakuwa na maoni tofauti...
  12. M

    SI KWELI Mtu mwenye hasira akikung'ata huweza kukuachia sumu itakayokusababishia madhara

    Nimewahi kusikia mtu akikung'ata akiwa na hasira anaweza kukuachia sumu ambayo inaweza kukuathiri, athari hutegemeana na kiwango cha hasira atakachokua nacho. Je, kuna ukweli wowote?
  13. Usimuazime simu yako mtu usiyemfaham vizuri, Itakugharimu

    Iko hivii; Hapa mtaan kuna office za kubeti kwa hyo mara nyingi huwa nashinda hapo. Sasa kuna jamaa imetokea tu tumezoeana kwa sababu kila sku tunakutana humo ndanin(simjui jina wala sina details zozote juu yake). Sasa kuna siku akaazima smu yangu ampigie mtu nikasita nikamwambia mimi sina...
  14. N

    Nina idea nimpe content mtu anayetaka kufungua redio ya vijana aiite 45 FM

    Me Sina hela ila naishi na watu wema na wenyewe kiuchumi hawako vizuri nyie wa huko dar mna magari na majumba najua wengi hamuwezi kushindwa kufungua redio Jina LA redio nakupa mimi iitwe 45 fm vipindi nakupangilia mimi wewe utaboresha tu ila ni redio Kwa ajili ya vijana tu wa 45 Namba hio...
  15. Tume ya maadili ya utumishi wa umma imeondoka na magufuli ?au Kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake!

    Wakati wa magufuli watumishi wa umma walikuwa wanaitwa na tume ya maadili si tu kula kiapo Bali kuthibitisha mali wanazomiliki na upatikanaji wake ! Rais magufuli alikuwa mstari wa mbele kwa kujitokeza hadharani na kwenda tume kuhojiwa na kuweka wazi mali zake na upatikanaji wake ! Baada ya...
  16. Zijue asili za Waafrika, Wachina, Wazungu na Waarabu

    HAPA ndipo chimbuko la wazungu na baadhi ya waarabu, nchi ya Georgia, panaitwa CAUCASIA , milima Yao Inaitwa Caucasus mountains. Bahari Yao Inaitwa Black Sea, haisapoti hata samaki... Ina kemikali zisizoruhusu uwepo wa wayama. Tofauti na sisi great lakes zetu za chimbuko la mababu zetu zote...
  17. Mke wa mtu kaniambia kaniota ndotoni

    Kwema wadau. kama mada inavyojieleza, leo nikiwa natoka mishemishe naelekea home nikakutana huyu dada akaniita nikaenda kumsikiliza kuja pale ndo ananiambia kaniota ndotoni nampelekea moto wakati sijamtongoza. Nikamuuliza unanipenda kanijibu hapana, pia nikamuuliza kipindi unaniota ulilala na...
  18. Nahitaji mtu aliepo Morogoro, Ifakara anipe ABC za mchele sasa hivi?

    Natumai wote mko sawa humu ndani. Naombeni msaada mtu yeyote au mfanyabiashara yeyote aliyepo Dar anipe maelekezo vizuri kuhusu mchele. 1. Bei zipoje sasa mashineni 2. Je ni kweli muda si mrefu bei zitashuka na zikishuka huwa zinafikia bei gani 3. Usafiri mpka dar kwa kilo mia bei gani na...
  19. Cha mtu ni cha mtu tu, jirani yangu kahama na mke wake jana

    Nimesikitika sana kweli mtegemea cha jirani hufa masikini. Niliwazoea sana hasa huyo mke wake ilikuwa lazima atamtuma beki tatu aniletee msosi kwenye hotpot.
  20. Ukiachana na UKIMWI, ni ugonjwa gani wa maambukizi Mtu hulazimika kutumia dawa maisha yake yote??

    Wakuu Magonjwa ya kuambukizwa -Magonjwa yanayosababishwa na vimelea kama virus,bakteria na fungus. Magonjwa yasiyoambukiza -magonjwa ambayo hayahusishi vimelea fulan kama kisukar pressure magonjwa ya moyo. Swali je ni ugonjwa gan wa vimelea mtu hulazimika kutumia dawa maisha yake yote?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…