mtu

  1. M

    Kuna mtu humu ndani alishafanikiwa kupata uhamisho kupitia ESS. Je utumishi huchukua muda gani kuapprove?

    Msaada jamani. Sasa hivi kila kitu ni kupitia Esss. Mimi niliomba uhamisho. Na maombi yapo utumishi yanasubiri approl. Je huwa yanachukua muda gani? Mimi Mwl muuza Kangala
  2. Huwa naenjoy sana kuna mtu akimtambulisha mkewe tena kwa kiswanglish "huyu ndiyo wife wazee" hahahah

    Wanaumeeeee... Tuache kujizima data aisee hawa jinsia pinzani ni hovyo tu. Don't be too blind. This is for the lovers in the house, ndani ya nyumba tafuta penzi lako, mshike kwa mikono ha...... Mwangalie ndani ya macho mmh, aah, mpeleke kando, na umwambie (na umwambie)....... Commit a crime...
  3. Naomba mnifundishe kuendesha gari na pikipiki kupitia uzi huu.

    Kwanza wakuu inachukua muda gani mtu kujifunza kuendesha gari? Anatakiwa kupractice kwa muda gani ili awe ameiva? Naomba kufundishwa kuendesha gari na pikipiki. Elimu basic, hasa hasa alama za barabarani, mataa na sheria za barabarani. Natanguliza shukrani.
  4. N

    Wabongo tunazingua sana eti mtu anampeleka mwenzake police kosa ni kuvunja meza.

    Sidhani kama nchi za nje mtu anaweza kushtaki police kesi ya umemvunjia meza pengine kwenye ulevi hukujitambua au bahati mbaya tu mashauri ya kumalizana ila unakuta mtu anaandaa mazingira iwe case.
  5. Ujumi: Ni sahihi na rahisi kutamka ntu, mwananke, ntoto kuliko mtu, mwanamke na mtu

    Salaam wanajamvi! Katika Mambo ambayo watu wa Kusini (Lindi na Mtwara) husemwa na kudhihakiwa ni utamshi wetu wa kipekee wa baadhi ya maneno yanayohusisha ncha ya ulimi kama vile; mwananke, ntoto, nti, nshale nk. Wanaotucheka hudhani tunakosea utamshi sahihi wa lugha adhimu ya Kiswahili kumbe...
  6. Kila mtu anapenda kujisifu

    Sio tu kuwa kila mtu anapenda kusifiwa bali kila mtu anapenda kujisifu. Hatuoni wazee wetu wakijisifu kuwa walikuwa na akili sana darasani wakati wanasoma. Kiongozi anaposimama jukwaani katu hajipondi bali hujisifia Fundi kujenga, fundi kuchona, Mwalimu, daktari, wachezaji, kocha,.. kila mtu...
  7. Nataka kununua simu kwa mtu je nifate utaratibu gani? Mtu huyo simfahamu

    Kuna jamaa ngu alipelekwa jela kirahis sana. Lisa alinunua simu kwa rafiki yake bila kujua kuwa hiyo simu iliibwa
  8. Mliojaribu huu Mseto Tukuka wa Nazi Mbichi, Mtindi, Karanga Mbichi, Konyagi, Asali na Moshi wa Pombe Jani ni kweli vinamfanya Mtu aone Moto Bedroom?

    Nipeni Majibu yenu haraka kwani kuna Mtu kanilia sana Vyangu na Kunikwepa, lla Leo Kajaa na yuko sasa Maghetoni.
  9. Ni kitu gani huwa kina mchochea mtu kutukana na kuporomosha matusi

    Ni hali gani au mazingira gani mahususi yanamfanya mtu, mathalani kwasababu ya utofauti wa mawazo au maoni tu, anaporomsha au kutetea matusi ya nguvu, tena kwa mpangilio, na anatukana kama charahani kwa utaratibu kama vile amefuzu mafunzo fulani ya matusi na kutukana mahali fulani, kitu ambacho...
  10. Siri nzito: Wanaume wote tuliopo katika mahusiano karne hii hatupedwi na wanawake zetu na wanatusanifu sababu mambo yao hayajanyooka

    Ewe kijana wa kiume wa karne hii Acha kujidanganya kama unapendwa huyo mwanamke uliyenaye hakupendi ila anakusanifu sababu mambo yake bado hayaja nyooka.......... mwanamke siku zote akiwa hana kitu kwa mwanaume wake huwa ni mpole na mnyenyekevu sababu kuna kitu either anakitafuta au anakipata...
  11. Hivi Dar kuna mtu ambaye hajawahi kutapeliwa

    Dar es salaam ni kitovu cha utapeli asee sidhani kama kuna mtu aliyeishi muda mrefu dar na hajawahi kutapeliwa Ukijikuta una huruma ama msamaria nwema dar ujue upo karibu na kutapeliwa, Rafiki yangu mmoja alitapeliwa kisa tu kumpeleka mtu akabadilishe pesa zake za kigeni (dollar) alafu...
  12. Mtu mzima ambae bado una “ungaunga” unaweza kataa kazi kwa kigezo unakula sikukuu?

    Sikukuu ni watoto, mtu mzima siku yoyote ukiwa vizuri unaenjoi tu. Kama kuswali ushaswali, kilichobakia ni kula, na kula ni hadi mchana. Unakataa kufanya kazi et “ mi leo nakula sikukuu”. Mambo ya ajabu sana. Mi napendaga kazi kazi. Watu wa pwani na Tanga mbadilike, wengine tunaenda kwa ratiba.
  13. Naomba kujua bei ya bima ya afya NHIF kwa familia, na kwa mtu mmoja

    Ndg wahusika naomba sasa wahusika watoke watupe mrejesho bei mpya za bima ya afya kwa familia na kwa kwa mtu mmoja, ili kuhamasisha watu wengi zaidi kupata bima ya afya
  14. Inawezekana kupokea gari bandarini na kusajili kwa niaba ya mtu mwingine?

    Habari wakuu, Nipo nje ya nchi, nataka niagize gari kutoka japan, kisha nimtume rafiki yangu akanipokelee bandarini ikifika pia anisajilie kwa TIN number yangu. Tutatumia agent kufanya clearance ila malipo nitafanya mimi. Je, kwenye cosignee details wakati wa kununua kwenye website najaza...
  15. Wakuu naombeni mtu anayetumia gb whatsapp mpka leo anisaidie

    Salamu wakuu Naomba kama kuna mtu anatumia gb whatsapp mpka leo anipatie link humu niidownload maana nikitumia ya kawaida naambiwa download the official whatsapp ijapokua ni ile ya kutoka play store
  16. Hii movie inayoitwa NO WHERE kiukweli imeniliza mtu mzima!

    Huu mwaka tangu uanze kiukweli sijawahi na sikudhani kama nitadondosha chozi!,Ila baada ya kuitazama hii movie iitwayo NO WHERE nimejikuta machozi yakinitiririka kama mtu aliyepatwa msiba! Natumbua kabisa hizi movie mara nyingi ni fiction zinazokosa uhalisia,lakini hii movie imefanya nikawaza...
  17. Ushauri: Anapendwa na Mke wa mtu

  18. D

    Mtu kutokuwa na harufu ya jasho au mdomo ni sawa?

    Nimeona jambo Hilo kwa mtoto mwenye miaka kama nane hivi. Wataalamu wa miili ya watu embu mtusaidie, Hali hii hutokana na Nini? Na Je sawa? Kama si sawa ni Nini kifanyike?
  19. M

    Umri upi ni sahihi kumuita mtu mzee?

    Mtanzania kijana ni mwenye miaka 18-35, je ukiwa na miaka 36 kwenda juu unakuwa umepata hadhi na status za kuitwa mzee, na kama sio mzee je mwenye miaka 36 kwenda juu ni nani. Nataka kukata safari za kwenda bar, nijikite nyumba za ibada, niondoke kati kati ya mji nikajichimbie nje kidogo ya...
  20. G

    Inauma sana unapoombwa pesa au msaada unapambana kumsaidia mtu, ukimpa hakujulishi kapata, anakwambia alishasaidiwa, atautumia siku nyingine, n.k

    Mtu anakuja kwako anaonesha shida imembana anakuomba umsaidie iwe ni pesa, nguvu zako, connection zako, n.k. Yawezekana haupo vizuri kifedha inabidi ukope, umebanwa na ratiba lakini unazivuruga kwajili yake, connection unazo lakini hadi zinyenyekewe kwa kujishusha, n.k. unaamua kujitoa umsaidie...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…