mtu

  1. Asije akakudanganya Mtu au ukajidanganya, familia ndîo Jambo namba moja

    ASIJE AKAKUDANGANYA MTU AU UKAJIDANGANYA, FAMILIA NDÎO JAMBO NAMBA MOJA. Na, Robert Heriel Mtibeli Najua kûna Watu husema na kuniambia "kîla Siku Unazungumzia mambo ya mahusiano na familia, mapenzi this, family that. Huna Jambo jingine?" Kwa kweli ninayomengi ya kusema ila Moja ya Makubwa...
  2. Mtu mwenye akili timamu hawezi kunyonya sehemu za siri. Ni Punguani pekee ndiye anaweza kufanya hivyo

    Haijalishi nitaonekana ni mtu wa aina gani lakini huu ndiyo ukweli,eidha utaukataa Kwa Lugha za matusi au utaukubali! Kwenye hili hata kama nitatengwa na dunia nikabaki peke yangu lakini huu ndiyo ukweli! Ni mwanaume mwendawazimu pekee anayeweza kulamba na kunyonya uchi (Uke) wa mwanamke...
  3. Umughaka ni mtu wa kawaida tu ndugu zangu,ni deiwaka tu asiyekuwa na lolote

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Kuna Vijana baadhi ambao wamekuwa wakinifata pm Kwa kuniomba angalau niwape kazi au Vibarua kama vinapatikana! Ndugu zangu, kwanza nawashukuru Kwa kudhani huenda Mimi UMUGHAKA naweza kuwasaidia, yawezekana ni taswira yangu hapa JF Kwa Vijana wengi ndio...
  4. Mke wa mtu ni Sumu ila Mume wa mtu ni Asali?

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Kumekuwa na Video ya Binti mmoja inayozunguka mitandaoni ikionyesha namna anavyobakwa na kukawitiwa na Vijana kadhaa,Vijana hao ambao wamesikika wakitamka hadharani na kumshurutisha yule Binti akili hadharani na kumuomba radhi Afande. Kwa akili ya...
  5. Yuko wapi Makonda? Kwanini Serikali mnaruhusu hali hii?

    Kwanza natanguliza samahani. Nimeona clip nyingi YouTube zikizungumza habari ambazo hazina Arya juu ya Arya ya makonda Inasemekana kwa week mobile RC makonda hajaonekana hadharani. Kama kuna mtu ana uhakika na habari hizi au anajua huyu kipenzi cha wa Tanzania alipo atujuze
  6. W

    Ni Viashiria gani ukiviona kwa mtu ujua hakupatiwa malezi mazuri?

    Mara ya kwanza nimeenda out na rafik yangu tukaagiza chakula sasa kika kimechelewa na kikaja cha baridi. Rafiki yangu akamuita yule muhudumu akaanza kumfokea hadi watu wa meza nyingine wakaanza kutuangalia sisi. Ikabidi niingilie kati kumuomba yule kaka arudishe vipashwe moto kwa sauti ya...
  7. Kupendwa sana na mtu ambaye humpendi ni moja ya kero ambayo haisemwi

    Mahusiano yana mengi sana. Kuna nyakati unakuwa na mtu anayekuonesha mapenzi ya dhati, anakufanyia kila kitu lakini haum'feel kabisa. Unajaribu kumkasirisha ili labda akasirike akuache lakini wapi, kila kosa lako analisamehe na mara nyingine yeye ndo anakuwa anaomba msamaha kwa makosa yako...
  8. Huyu ndiye kijana wangu Said Salim Bakhresa, Mtu tajiri sana hapo Tanzania ambaye leo anasherehekea miaka 75 ya kuzaliwa

    Huyu ndiye kijana wangu Said Salim Bakhresa, Mtu tajiri sana hapo Tanzania ambaye leo anasherehekea miaka 75 ya kuzaliwa. Mpaka sasa, Bakhresa sidhani kama amewahi kunywa: 👉🏾 Azam Energy 👉🏾 Azam cola 👉🏾 Azam Embe 👉🏾Azam Malta Bakhressa hajawahi ku motivate vijana wa Kitanzania kupitia media...
  9. Sio kazi yako kuwa kila kitu kwa kila mtu.

    Hapa sasa inatakiwa kuwa na Mipaka katika maisha yako. Kila shughuli umo tu, Kila mtu akikosa mtu wa Muhimu anakutumia wewe sasa kuziba pengo. Ukiitwa mahali kuna shughuli unaenda yani wewe hata kama ulikua unafanya kitu cha maana unaacha unakimbilia unakoitwa. Mtoto anaumwa baba au mama...
  10. Usisite kumsaidia mtu anayeomba umnunulie chakula

    Habari za kutwa wana JF Natambua hali ya maisha ni ngumu kwa ujumla, matapeli ni wengi mno, wengine wanajifanya wagonjwa ili tu wapate msaada, nk, Lakini ukikutana na mtu hakuombi pesa ila anakwambia ana njaa anaomba umnunulie chakula na ukimwangalia kwa jicho la kawaida anamaanisha...
  11. Nigeria na Cameroon mtu kuwa na PhD tatu au nne ni kitu cha kawaida

    Habari, Jamani tukazane kuhimiza mabadiliko ya kielimu Nchi kama Nigeria, Cameroon mtu kuwa na PhD tatu au nne ni kitu cha kawaida mnoo, alafu yuko ametulia mahali tu'' - @SamsonChazz
  12. Wanawake 3 hatari zaidi , mke wa mtu, mwanafunzi na watatu malizia ni nani?

    Wanawake 3 hatari zaidi , mke wa mtu, mwanafunzi watatu malizia ni nani?
  13. Mbunge viti Maalumu Zanzibar Wanu Hafidhi Amir avishwa vazi la Bibititi Rufiji

    UWT wilaya ya Rufiji wamemvesha rasmi Mbunge viti Maalumu Zanzibar na Mke wa Mbunge wa Jimbo Rufiji na Waziri wa TAMISEMI Mohamed Mchengerwa, Wanu Hafidhi Amir vazi la asili ya Rufiji maarufu kama vazi la Bibi Titi wakati alipofika akiwa ni Mgeni rasmi kwenye Baraza la UWT Wilaya ya Rufiji...
  14. Jinsi Hofu inavyoweza kukwamisha mafanikio ya mtu.

    Hofu inaweza kukufanya ukaona Jambo ni kubwa kama watu wanavyolizungumzia Kumbe hata hawalijui vizuri. Mimi tangu nakua nimekutana na watu wanaojua kumtia mtu hofu ikiwamo hata wazazi wenyewe. Nakumbuka kipindi hicho nilifeli Mtihani wa Form two nikapaswa kurudia shule ile ile lakini watu...
  15. Hasara za kulipa kisasi kwa mtu aliyekukosea

    Wakuu Habari zenu? Kwa maisha ya kawaida hapa duniani kukosana kupo kwenye haya maisha. Lakini ni kwa kiasi gani unaweza kubeba maumivu ya kile ulichokosewa na ukaamua Kusamehe. Kisasi kinaweza kumpa mtu hasara kwa namna moja ama nyingine Mfano Kwanza mtu aliyekosewa kukosa utulivu wa...
  16. Mtu hatoki ndani asubuhi hadi jioni lakini analipa kodi na bills zote kwa wakati

    Nimewahi panga Nyumba fulani hivi kuna jamaa alikuwa anashinda chumbani asubuhi hadi jioni na anakula vzuri anapendeza na analipa bills zote bila usumbufu hadi majirani na wapangaji wenzie hususani wanawake walikuwa wakihisi labda anajihusisha na uuzaji madawa au ndo wale wa ile pesa tuma kwa...
  17. Q

    Nahisi yule hakua mtu wa kawaida bali malaika

    Jana ya siku ninayotaka kuielezea alikuja ndugu yangu kwa lengo la kushauriana afanye nini kujikwamua kiuchumi.Hapo ni baada ya kuachwa na mwanaume aliyekua akimtegemea kwa kila kitu. Wakati tunapiga piga story uwani geti likagongwa,mlinzi na dada hawakuwepo so nikamuomba akachungulie ni...
  18. Hivi mtu akikwambia unakaa mbali ni kweli unakaa mbali au yeye ndo anakaa mbali na wewe

    Wasalaaam Ndugu wengi wamekuwa na tabia ya kushindwa kukutembelea hususan kipindi ambacho hauna hali nzuri ya maisha kwa kisingizio kwamba unaishi mbali.... hivi ni kweli unakuwa unakaa mbali? au ni uthibitisho wa ile kauli ya asiyenacho hana thamani.. Karibun kwa maoni NB:Tusikate tamaa ipo...
  19. Tupeane uzoefu, hivi ni shughuli gani mtu ambae umeajiriwa unaweza ifanya kwa urahisi ukajiongezea kipato?

    Habari wakuu , watumishi tulioajiriwa huwa tunatamani sana kujishughulisha ili mradi kipato kiongezeke lakini kwa ujumla huwa tunaface Changamoto zifuatazo zinazopelekea kushindwa :- 1. Tuna muda mchache wa kusimamia 2. Watu wengi sio waaminifu tunao waweka kwenye shughuli hizo 3. Tunaogopa...
  20. D

    Kwani urais Tanzania unatokea kama zari? Kwa nini mtu akijiandaa nao anaonekana amekosea sana! Which is which, zai ka la jpm au kuniandaa?

    Hii tamadani inayojijenga tanzania siyo nzuri kabisa. Mtu akijiandaa kwa mda mrefu kwa ajiri ya urais ataundiwa zengwe mpaka ataonekana ni jambazi. Ninachofahamu mimi kila position huwa ina maamdalizi kwa anayetaka siyo kumlazimisha kama alivyolazimishwa jpm. Na ndo mana uongozi wake kulikuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…