mtu

  1. J

    JamiiForums Tanzania Hivi Chadema hakuna Chawa na Uchawa? Mbona Bavicha imepoa sana baada ya Mbowe kufeli uchaguzi wa Mwenyekiti?

    Nauliza tu kama utaratibu wa Madalali wa siasa yaani Chawa unatumika na huko Chadema Pale Lumumba hadi Lucas Mwashambwa ana Vichawa vyake na yeye mwenyewe ni Chawa daraja la v Nawatakia Sabato njema 😁🇹🇿
  2. JamiiForums Tanzania Kila mtu anasapport upande wake na hakuna anae taka kukoselewa sio wanao support serikali sio wanao support upinzani

    Kila mtu anasapport upande wake na hakuna anae taka kukosolewa sio wanao support serikali sio wanaosapoti upinzani ukijaribu kuweka hoja tofauti na upande wowote unaoga mvua ya matusi. Nimekuwa nikifuatilia mijadala mbalimbali mitandaoni kuhusu masuala ya kisiasa, kama hili la kufungiwa kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini hekalu la Mungu lilijengwa na Mfalme Suleiman na tunajifunza nini kwa mtu wa hovyo kama huyu?

    Kwa mujibu wa ngano za Biblia na Quran, Mfalm Suleiman alikuwa na vipaji 666, wake 700, nyumba ndogo 300, na zaidi, alijenga hekalu lake au "nyumba ya Mungu" kana kwamba alikuwa Mungu au hapakuwa na watu safi wa kufanya kazi hii. Kwa uzinzi wake, tunajifunza nini? Je ilikuwaje Mungu...
  4. JamiiForums Tanzania Shetani ameaibika tena! Alituma mtu aibe 'assets' zangu zenye thamani ya dola 5000, amenaswa!

    Ndugu zangu, mara kwa mara nimekuwa nikiwasimulia humu mambo makuu anayonitendea Mungu maishani mwangu. Leo tena nawaletea ushuhuda wa kweli, kweli tupu, jinsi Mungu alivyoniwezesha kupata 'assets' zangu zilizokuwa zimeibwa na ajenti wa shetani(ibilisi). Ilikuwa hivi: Hivi majuzi, mimi na...
  5. JamiiForums Tanzania Madhara ya kuzini na mke au mume wa mtu

    Nimeshuhudia ndoa zikivunjika kwa tatizo la uzinifu baina ya mke au mume wa mtu. Na madhara makubwa huenda hasa kwa watoto ambao hawahusiki na kosa la mzazi mzinifu. Mzinifu wa kike unatakiwa utambue ukiachika sehemu za Siri zitaenda kuumia na kuchakaa zaidi huko mtaani kuliko hapo kwa mumeo...
  6. JamiiForums Tanzania Video: DC Bomboko huku ni Kujidhalilisha, Si kila mtu ni mwoga. Haya sasa unajisikiaje?

    Ni aibu kwa huyu DC hata lugha yenyewe inamchanganya haijui. Anaishia kutishia tu na yupo kwenye paniki mode.
  7. JamiiForums Tanzania Mwambukusi: Je, kupishana na serikali kunaondoa thamani ya uhai wa mtu?

  8. JamiiForums Tanzania Naona ACT Wazalendo leo wana furaha sana, inaonekana kuna mtu watampokea, je ni nani?

    Ukiinhia kule X naona wote kuanzia Dalali wao Zitto Kabwe ni full shangwe kwamba leo wana mpokea Kigoho, je ni nani huyo? 1. Sugu? 2. Gwajima? 3.Mbowe? 4.Yeriko Nyerere? 5. Wenje? 6. Wale Covid 19? mmoja wao? Nazani hapo kuna mmoja wao na kwa Gwajima nitaeleza baadae.
  9. JamiiForums Tanzania Uhuru wa Kuabudu na Haki ya Askofu Gwajima Kufundisha Amri za Mungu: Usiue mtu asiye na hatia, Usiue jina zuri la mtu baki, na Usiibe mtu kwa Kumteka

    https://youtu.be/NhpB9Zh2_6Y I. Usuli Uamuzi wa serikali wa kukurupuka kufunga kanisa la ufufuo na uzima na matawi yake 2,000 nchini Tanzania, tena bila kutoa nafasi ya kujitetea kwa viongozi wake, ni ushahidi kwamba huenda viongozi wetu hawaelewi kwamba uhuru wa kuutafuta ukweli wa...
  10. L

    JamiiForums Tanzania CCM Ni Dude Moja Kubwa Sana Ambalo Mtu na genge lako Huwezi Kushindana Nalo na Ukaliweza au Kulidhoofisha. Waliojaribu waliishia Kufedheheka

    Ndugu zangu Watanzania, CCM ni dude Moja Kubwa sana, ni dude ambalo mtu binafsi na genge lako au kikundi chako cha uchumia tumbo au usaka tonge au uroho wako wa madaraka huwezi kupambana nalo wala kushindana nalo wala kulidhoofisha wala kulihujumu wala kulidodosha wala kulitikisa wala...
  11. JamiiForums Tanzania Umaarufu usikufanye ukebehi mtu mteule wa Mungu!

    Kutoka enzi na enzi Mamlaka zipo na zina nguvu isiyo kifani. Huwezi na kamwe haitatokea wala kukubalika eti upambane na mamlaka halafu uwe mshindi. Hilo haliwezekani kamwe. Bwana wetu Yesu Kristo alikua maarufu sana kwa nia njema mno na baadae pamoja na kusema kuwa hakuja kutengua torati au...
  12. JamiiForums Tanzania Dhana ya "kusitisha au kufuta usajili wa kanisa" inahusisha nini hasa hasa ? Je, ni kutia kufuli majengo ya kanisa hilo ili asiwepo mtu ndani mle?

    https://youtu.be/8reLapCOf0s?si=d0DkYnApY4VvHj_U Hebu msikilize vizuri Afande Jumanne Muliro, RPC Kanda Maalumu ya DSM kwenye video hiyo akielezea namna alivyokuwa very sharp yeye na polisi wake kwenda kuzingira na kuwafurusha waumini waliokuwa wakiendelea na ibada ya maombi ya siku 7 ndani ya...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Watu wanaongelea pesa za kichawi bila uthibitisho, Kama ni kweli zinapoingia kwenye account anaetuma ni nani ?

    Naweza kuamini pesa inaweza kupatikana kwa njia nyeusi na hatarishi kama ujambbazi lakini si nguvu za giza. Yani utoke tu huko kwa mganga uzikute zimedondoka chumbani kama furushi la magimbi, hizi bi hadithi za sungura na fisi. Kama ni muamala benki zinarekodi kila kitu, jina huwa ni la nani ...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kufukuzwa au kumfukuza mtu nyumbani kwako kisa umemnyima au kunyiwa mbususa

    Nani kawahi kukutwa na hili jambo kufukuzwa ama alimfukuza mwanamke nyumbani kwake baada ya kunyimwa ngono au wenyewe mnavyoita kizungu sex Kisa changu mimi 👇👇 Kuna Kijana mmoja nimemuwekaga tu kama backup kipindi nikiachwa yeye yupo tu.. huyu nilisoma nae hivyo tulianzaga mahusiano tukiwa...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi mnataka kuniambia hakuna mtu amewahi kufanya written ya admission officer ii utumishi humu jukwaani?

    Wadau tunauliza mara kwa mara but hakuna anaetoa jibu,mnataka tufeli ndo mfurahi? Kuna paper 14/06/2025. Tupeni muongozo bwana.
  16. W

    JamiiForums Tanzania Dunia hii kila mtu ana mission yake aliyopewa kuja kuikamalisha lakini mimi sijui mission yangu, je nipo alone ?

    Niliwahi kusikia Dunia hii kila mtu ana mission yake aliyopewa kuja kuikamalisha, Mfano ni mtu kama Lissu mission yake ni ukombozi haijalishi hata akishindwa, Mrisho Mpoto ni kutukumbusha asili zetu kupitia muziki haijalishi hata kama mziki haumlipi, n.k. Nikiwa shuleni hadi chuo maisha yangu...
  17. JamiiForums Tanzania Kuna mtu kavuliwa nguo badala ya kuchutama kainama

    Huwa wanasema mtu mzima ukivuliwa nguo chutama. Yaani chuchumaa. Nimeshangaa sana. Kuna mtu kavuliwa nguo. Yeye kainama... Sasa tunashangaa kusudio lake nini? Amejitoa mhanga? Hajali au Kiburi?
  18. JamiiForums Tanzania Raisi ni mtu wa kejeli na vijembe ila hakisemwa yeye anafura.

    kama kawaida ya CcM ukiwauliza leteni hoja wao ni kusimanga chama kitakacho kuwa mwiba kwao tena na kutunga. Sasa leo dodoma tumethibitisha yale ya Idd amin kule uganda yule marehemu alikuwa na kauli za kejeli na masimango mpaka zikamfanya raisi nyerere kumtandika.
  19. JamiiForums Tanzania Huwa sipendi kumpa mtu pesa

    Leo ndo ninemegundua Tatizo langu kubwa ni kutopenda kumpa mtu pesa. Nimeombwa pesa ya Kununulia umeme nikamwambia Tuma miter namba, kilichofuata mtu kaka kimya hajibu sms Wala simu Hapokei. Baada muda akatuma sms "Yaani wewe ni Mgumu sana kumpa mtu pesa, mtu akikuambia anashida unamuuliza...
  20. JamiiForums Tanzania Video: Kuna sababu gani kumpeleka mtu kama huyu Mahakamani?

    Ushahidi uko wazi, kwanini asipelkwe jela moja kwa moja? https://web.facebook.com/reel/1100919795416621
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…