mtu

  1. Ndugu zangu hakuna ushahidi wa kina kwamba mtu ukifa kwa jihadi unaenda mbinguni tuwe waangalifu sana tutafute maarifa

    Ndugu zangu hakuna ushahidi wa kina kwamba mtu ukifa kwa jihadi unaenda mbinguni tuwe waangalifu sana tutafute maarifa. Hivi sasa kuna elimu ya kujitoa muhanga elimu hii ipo kwenye dini maarufu kama ukristo na waislam, kuna watu wamejiuwa au kujilipua kwa mafundisho ya kwenda mbinguni baada ya...
  2. Kuna shida kwa mtu mwenye dreadlocks wakati wa kufanya biometrics kwaajili ya passport na mengine yahusianayo?

    Heshima yenu wakubwa. Naomba kuuliza kama kuna shida kwa mtu mwenye dreadlocks (kubwa/nyingi) kwenye kufanya biometrics wakati wa kushughulikia passport? Pia kwenye kujaza form online, kwa mtu ambae mzazi wake alizaliwa 1950s na hana cheti cha kuzaliwa ila ana kitambulisho cha uraia, kwenye...
  3. R

    Kila mtu ana malaika wake special wa kutunza kumbukumbu za Kila ukifanyacho duniani MAISHA yako yote

    Salaam, Shalom! Usilolijua ni kuwa, Kila mtu anaye malaika special toka kwa Mungu tangu kuzaliwa aliyeweka kuchukua kumbukumbu zote za mtu Akali akiishi na kuziandika kwenye KITABU maalum. Killa ukifanyacho kinaandikwa, matendo yote, mazuri kwa mabaya ynaandikwa, ndio maana Mungu huwa anapata...
  4. kisa cha mtu aliyedanganywa na “mtaalamu wa kutabiri” (psychic), akajikuta akifanya kosa kubwa lililompelekea kufungwa jela

    Katika picha hii nitaweka Muhtasari wa Kisa kwa Mchoro ulivyo: 1. Picha ya kwanza (kushoto juu): Mwanaume anamuendea mtabiri wa baadaye (psychic), ambaye anamwambia namba “70323”. 2. Picha ya pili (kulia juu): Mwanaume anaenda kununua tiketi ya bahati nasibu (lotto) akitumia...
  5. R

    Makinika! Hakuna tofauti ya ndoto na mtu, ndoto ndiyo mtu mwenyewe

    Salaam, Shalom! Ndoto ni Nini? Umewahi ota ndoto ukadhani unaota? Usilolijua ni kuwa, hakuna kinaitwa kuota ndoto! Ukisikia Imeandikwa akalala, Kisha akaota ndoto, SI maigizo, ni tukio halisi la wewe mwenyewe kuona kwa macho ya Roho Katika ulimwengu wa Roho. Mtu alalapo, afungapo macho ya...
  6. Baada ya sanamu ya Rage ninashauri sanamu ya Mangungu ijengwe pia, Mtu wa maana kabisa

    Au mnasemaje waungwana? Huyu mtu wa maana kabisa mpenda haki na amani. Tukutane JUNE 25
  7. Mke wa mtu ame “crush” kwangu hadi namuonea huruma.

    Nikienda dukani kwakwe anachanganyikiwa sana, kuna muda anaongeza change, kuna muda ata haelewi anafanya nini. Hata anapopima vitu, anazidisha sana. Yani mke wa mtu anampenda ghafra mwanaume mwengine hadi anachanganyikiwa. Nadhan hajazoea kukutana na ma handsome, mana sio kwa kuvurugwa huku...
  8. M

    Nawaonya Simba, Serikali imeshapanga mechi ya derby ni tarehe 25.06.25 , Ole wake atokee mtu aongee kitu au kupinga Atashughulikiwa Ipasavyo.

    Ndio nimeona timu ya Simba Sports Club , almaarufu Makolo FC wameweka Mgomo Baridi na hii nimejua kupitia mambo mawili, la kwanza Simba hawajapost wala kutoa taarifa kwa Umma kuwa Derby imesogezwa mpaka tarehe 25.06.2025. Pia nimeona kupitia Comments za mashabiki mbalimbali wa Simba wakiwa na...
  9. R

    Mahakama ya Rufani yabariki mtu binafsi kufungua mashitaka yanayohusu "Haki za Msingi na Majukumu" ( Basic Rights and Duties Enforcement )

    Sijui kama tafsiri yangu ni sahihi lakini the take home message ni hii kama nilivyoinakiri kutoka Tweeter kutoka kwa Olengurumwa Asante timu y’a mawakili na jomo la Majaji Mahakama ya Rufaa ya Tanzania leo imetoa uamuzi katika kesi ya kikatiba ya Rufaa Na. 134 ya Mwaka 2022, iliyofunguliwa...
  10. Ajira humfanya Mtu awajibike na kushiriki katika nyanja za Kijamii na Kiuchumi

    Ajira humfanya Mtu awajibike na kushiriki katika nyanja za Kijamii na Kiuchumi Ajira kwa Vijana Ajira ni nyenzo muhimu kwa maendeleo ya Mtu Binafsi, Jamii na Taifa kwa ujumla. Ajira humfanya mtu awe na ari ya kutosha, kuwajibika na kushiriki kikamilifu katika nyanja zote za Kijamii na Kiuchumi...
  11. Wakuu kuanzia sasa na kuendelea nikiona mtu anapigania usimba na uyanga najitolea kumpeleka Mirembe

    Yes, nampeleka mirembe kwa gharama zangu japokuwa mimi sina uwezo mkubwa kifedha lakini niko tayari kuzikopa popote ili nimsaidie mtanzania mwenzangu mwenye ugonjwa wa akili maana nikimwacha anaweza akaanzisha makaazi yake dampo. Nayasema haya kwa sababu watanzania wengi ukiwasikiliza...
  12. Unawezaje kujinasua kwa mtu Mwenye balaa, mikosi?

    Wakuu hivi ni nini kinatakiwa kufanyika pale unapojikuta tayari umedate na mwanamke au mwanaume Mwenye GUNDU,NUKSI,MIKOSI? Nitolee mfano mfano umedate na mwanaume x au mwanamke x na ghafla kesho yake unaanza kuona mambo Yako yanaanza kwenda ndivyo sivyo, vitu haviendi kama mwanzo, je ni njia...
  13. Je ni kwa namna gani unatengeza furaha yako binafsi bila kutegemea mtu wala vitu?

    Habari wana JF, niliweka uzi hapa JF nikawa nimeelezea changamoto yangu kwenye mahusiano. Nashukuru mlinipa na mnaendelea kunipa maoni ambayo kimsingi yananijenga upya japo kuna jambo jipya limeibuka ndani mwangu nikutokana na maoni yenu lakini pia kuna uzi mwingine nilisoma nikakutana na...
  14. S

    Kama kuna mtu bado anacheza aviator namhurumia

    Kama kuna raia bado anajinadi kuwa aviator inalipa namhurumia, hakuna siku utaweza kushindana na kompyuta. Huu mchezo huenda ulianzishwa kwa ajili ya kufirisi watu🙃😁.
  15. Hakuna mtu aliyeko tayari kuiona Tanzania ikienda pabaya, Ila kila mmoja yupo tayari kuipigisha hatua Tanzania kupitia kura yake. Ndio maana OKTOBATIK

    Hakuna mtu aliyeko tayari kuiona Tanzania ikienda pabaya, Ila kila mmoja yupo tayari kuipigisha hatua Tanzania kupitia kura yake. Ndio maana OKTOBA TUNATIKI ✅✅
  16. Mwenye CV ya Gerson Msigwa, Msemaji wa Serikali aiweke wazi

    Salaam Wakuu! Mwenye CV ya huyu Mtanzania mwenzetu, tafadhali aiweke hapa.
  17. Heshima na zawadi ya kipekee kwako mtu wa aina yako hapa Jamii forum.

    Mwishoni nimekutag, hii ni kuonyesha kuwa nimetambua mchango wako kwangu hapa Jamii forum. Sina mengi ya kuelezea lakini naamini kuwa hii ni zawadi na pia ni kama kumbukizi kwako. Fanton Mahal Ahsante.
  18. K

    Hakuna aliyewahi kumpenda mtu mbabe, muaji, muonezi, mbaguzi, mfitini n.k hata kama huwa anakupa hela

    Kwa hulka ya mwanadamu alivyo huwa hampendi mtu Muuaji, mbabe, mtesaji, muonezi, mchonganishi, mbaguzi, mfitinishi, hata kama anakupa hela kiasi gani, watakuchukia tu. Hata ukijilazimisha kuwachekesha vipi, watakupa tabasamu la uongo lakini miyooni mwao hawakupendi, mapenzi yao yote watampa...
  19. Mtu akishaona anakuweza, atakufanya anavyotaka.

    1. Wanamuweza Gwajima ndio maana wakafanya walioamua, ndiomaana hayakufanywa kwa mdhehebu mengine. 2. Wanaiweza CHADEMA ndio maana wakaamua kufanya maamuzi yao. 3. Wanawaweza Wananchi ndio maana wamefunga Twitter ila viongozi wanaitumia, 4.Kama wananchi wangekua na power, wabunge wangelua...
  20. Tumeumbwa kwa mfano wa Mungu - hakuna mtu asiyependa kusifiwa

    Msifie mwanafunzi shuleni uone atakavyofanya vizuri zaidi. Msifie mke wako au mme wako uone jinsi upendo wake utakavyoongezeka kwako. Isifie timu yako ya mpira, uone kama haitacheza vizuri zaidi... Kitabu cha Mwanzo 1:27 kinatufundisha kuwa "Mungu alimuumba mwanadamu kwa mfano wake." Ndio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…