Hofu imenitanda, Nimeona mtu anachinjwa shingo

Smartkahn

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2020
Posts
1,023
Reaction score
1,773
Mwezi uliopita niliona muwindaji amemkamata mwewe akamkata na mkasi kachaa!!! mara moja miguu yake miwili, chakushangaza mwewe aliishiwa ujanja kabisa ila kucha na vidole vyake vikawa vinanikamata mikononi mwangu vilikuwa vinaendelea kufanya kazi licha ya kuwa vimetenganishwa na miguu ya yule mwewe... Wiki kadhaa baadae nasikia JF imefungiwa... nikaamua kulazimisha haya matukio mawili yahusiane kama hivi.

Wiki hii nimeona;
Mwanaume mmoja wamakamo na ni mwembamba hivi sikutaka kushuhudia tukio niligeukia pembeni ila nilisikia akisema mama weee! Pindi kisu kikali kinavyotenganisha mishipa na misuli ya shingo yake... Wakati yule mtu akiendelea kuhangaika nikashtuka kutoka usingizini...

Ikikupendeza eee Mungu kikombe hicho kimuepuke... ameni.
 
Kwakweli itabidi nimuone daktari... Ivi milembe ina branch kila kanda kama haina basi itabidi watusongezee na sisi watu wakaskazini huku.
 
Mwezi uliopita niliona muwindaji amemkamata mwewe akamkata na mkasi kachaa!!! mara moja miguu yake miwili, chakushangaza mwewe aliishiwa ujanja kabisa ila kucha na vidole vyake vikawa vinanikamata mikononi mwangu vilikuwa vinaendelea kufanya kazi licha ya kuwa vimetenganishwa na miguu ya yule mwewe... Wiki kadhaa baadae nasikia JF imefungiwa... nikaamua kulazimisha haya matukio mawili yahusiane kama hivi.

Wiki hii nimeona;
Mwanaume mmoja wamakamo na ni mwembamba hivi sikutaka kushuhudia tukio niligeukia pembeni ila nilisikia akisema mama weee! Pindi kisu kikali kinavyotenganisha mishipa na misuli ya shingo yake... Wakati yule mtu akiendelea kuhangaika nikashtuka kutoka usingizini...

Ikikupendeza eee Mungu kikombe hicho kimuepuke... ameni.
Acha kula ugali usiku kama imeshafika saa 3la sivyo hizi ndoto hazitakwisha.
 
downloadfile.png
 
Tukisema bange zinaharibu akili mnasema ni dawa. Dawa ndio inakufanya uwe pumbafu namna hii. Labubu wahedi mkubwa wewe shenzified bastard.😡😡😡
 
Back
Top Bottom