mtu

  1. Umahiri na weledi wa kisheria wa wakili Nassoro Katuga ni wa kiwango cha juu mno mahakamani, hacheki na mtu, hahitaji ushabiki, wala hana mzaha

    Muungwana ni mtu na nusu awapo mbele ya mahakama. Anajua wajibu wake ipasavyo. anayakabili majukumu yake vyema na kwa weledi wa kiwango tajika. Hababaiki, hatetereki wala hayumbishwi na yeyote awepo mahali pake pa kazi. Nassoro katuga sio tu mahiri wa sheria, bali pia ni mwamba na nguli wa...
  2. Hivi wachezaji hawaogopi kulogwa kubadilishana badilishana jezi ambazo tayari mtu umeshazivaa?

    Miongoni mwa vitu ninavyovishangaa ni hiki kitendo cha kukubali mchezaji kugawa jezi yako yenye jasho lako kwa mchezaji mwenzako kwa kigezo tu cha kukubali uwezo wako. Kiuhalisia miongoni mwa silaha kubwa mtu akitaka akumalize kabisa (akuroge) kiurahisi basi akipata nguo ambazo umeshazivaa...
  3. Benki ya NBC ina mhudumu mmoja pamoja na kuwa na foleni

    Hivi mmekosa wafanyakazi?? Ama wafanyakazi wanafanya kaxi kwa mazoea? Hii mara ya tatu nimetoka hapo mlimancity tumepangana kama watu 12 mhudumu n mmoja tu huu n ushenzi Wewe unaepanga kutoa hela kuweka nenda sehemu zingine branch ovyo kabisa. Mbaya zaidi wanakuja wazungu ama wahindi...
  4. Z

    GE2025 CCM tusipende kubeza kila kitu, Kwani kuna mtu alijua Daudi angeliweza kuliua jitu kama GORIATH?

    Kiburi wakati mwingine hakisaidii.2015 CCM iliponea chupuchupu kuangua kwa sababu chadema ilitumia wahuni na wanamitandao kutoka CCM . angalia hapa :Tarehe 29 Oktoba mgombea wa CCM, John Pombe Magufuli alitangazwa na Tume ya Uchaguzi kuwa mshindi wa kura ya rais, akifuatwa na Lowassa wa...
  5. Dr Babishomba: mtu akisema hakuna mungu, kuna nati zimelegea kichwani mwake.

    Video Haya karibuni kwa mjadala.
  6. Mtu akifa anaenda wapi?

    Swali hili limekuwa ni kitendawili kwa wanadamu wote: Mtu akifa, anaenda wapi? Maandiko ya kale ya Henoko 22:18–26 yanatupa picha nzito ya safari ya roho baada ya kifo. Hebu tusome kwa pamoja: 18 Kutoka hapo nikaenda mahali pengine, mlima wa mwamba mgumu. 19 Na ndani yake palikuwa na mashimo...
  7. Nitaidharau sana Serikali yoyote ile duniani ambayo inapewa 'Ultimatum' na Raia tu wa kawaida au Kikaragosi yoyote mwenye Ushawishi katika Jamii

    Serikali lazima itishe na kamwe isikubali kupewa Masharti na Raia au Kikaragosi. Serikali ya aina hii GENTAMYCNE nitaipenda sana tu. Tangia lini hata katika Ngazi za Familia Mtoto au Mtu wa Nje ya Familia akampa Masharti Baba mwenye Nyumba? Kama kuna Serikali yoyote ile duniani imepewa Masharti...
  8. Tanzania ya Sasa inamuhitaji mtu kama Alexis Kanyarwenge

    Jina la Kanali Alexis Kanyarwenge sio maarufu Sana Kwa Sasa kwenye siasa za Maziwa Makuu au Afrika Mashariki, ila ndio chimbuko la mabadiliko yaliyopo Rwanda kwa Sasa. Kanali Alexis Kanyarwenge alikuwa muhutu katika jeshi la Rwanda kipindi Cha utawala wa Rais Habrarimana. Rais Habrarimana...
  9. Jamani asiwadanganye mtu — kuokoka ni kutamu!

    Hii sio chit chat. Nimethibitisha kwa macho na masikio yangu, na kuonja kwa nafsi yangu. Tangu nilipompokea Yesu Kristo kuwa Bwana na Mwokozi wangu, nafaidi utamu huu: Siogopi wachawi wala siogopi kulala kwenye nyumba zenye vibwengo – wachawi wakinijia, nawapiga 'knock out' kwa Jina la Yesu...
  10. Rais Samia kuendelea kumshikilia 'yule mtu' ni janga zaidi

    Habarini wote. Baada ya mda Sasa Leo nichukue fursa hii kutoa mawazo yangu kuhusu kushikiliwa Kwa yule msemaji hovyo. Ni kweli ana udhi, ni msaliti, ni mwiba Kwa rasilimali zetu, ni kibaraka, ni msaliti, ni mjuaji, binafsi SI mpendi. lkn pia ana penda haki, ni mwanasheria msomi, ana akili...
  11. Faida 10 za Kutumia Canva — Jukwaa Rahisi kwa Kila Mtu Anayetaka Kutengeneza Miundo ya Kuvutia

    Katika dunia ya sasa ya kidigitali, miundo (designs) bora ni silaha ya kwanza ya ushindi katika biashara, ujasiriamali, elimu, au hata content creation ya mitandaoni. Lakini si kila mtu ana muda wala ujuzi wa kutumia programu tata kama Photoshop. Hapo ndipo Canva inapotokea kama mkombozi. Ikiwa...
  12. Wanayanga, msisuse timu yenu kwa maamuzi ya kihuni ya Mtu mmoja.

    Jana usiku pale Mlimani City imedhihirika Eng Hersi anataka kuitumia Yanga kwa manufaa yake kwa gharama yoyote hata kama ni kuiingiza timu matatizo ya kikanuni. Hakuna kikao cha timu kilichokaa kwa niaba ya timu ya Yanga na kufikia maamuzi ya kutoa milioni 100 wakati wanachama wanahimizana...
  13. Kuzaliwa sehemu ambayo si sahihi ndiyo technic kubwa sana huitumia shetani kumfanya mtu asiishi katika wito wake

    Hili jambo wenye D tatu za rohoni ndio watanielewa. Mungu ameweka vitu 3 ndani ya mwanadamu kutoka katika ofisi zake kuu 3 . Kuna karama Kuna huduma na Kuna kipawa. Vitu hivyo 3 ndivyo vinatimiza lengo la mtu kuwa duniani. Lengo la binadamu kuwepo duniani si kula, si kuabudu bali kutimiza wito...
  14. Mtu mwenye taaluma gani kamwe huwezi kuwa nae kwenye mahusiano ??

    Mimi binafsi siwezi kuwa na mwanasheria katika mahusiano Wewe je??
  15. Papa Leo XIV aongoza kuwa mtu anayependwa zaidi Marekani

  16. Elon Musk awa kinara wa kura za maoni za mtu aneyechukiwa zaidi Marekani

    According to Gallup's latest poll, several current and former Trump administration officials have also seen plunging favorability ratings, including secretary of state Marco Rubio, and president Trump himself, setting the stage for a whirlwind midterm election next year. Trump has since tried...
  17. M

    Niwe muwazi tu, siwezi kuwa na urafiki wa karibu na mtu ambaye kazi yake inahusisha kuua au kuumiza wengine, na kwake hilo ni jambo la kawaida

    POLISI, MAGEREZA, ASKARI WA MBUGA, n.k. Kwangu wataishia kuwa marafiki wa kujuana kidogo, kupiga vistori vya kupoteza muda na kuwatumia iwapo kuna hitaji connection au msaada wa haraka. Kuwa na rafiki mwenye kazi inayofusisha au kafunzwa kuua au kuumiza wengine ni jambo hatari kuwa na rafiki...
  18. Nikipigiwa simu kwenye laini zangu watu wanaambiwa inatumika wakati siongei na mtu

    Wakuu nisaaidieni Hilo jambo aisee natumia Airtel na Vodacom nikipigiwa simu anaenipigia anaambiwa natumika wakati simu ninayo mkononi na siongei na mtu na kibaya zaidi hata haiiti tatizo litakua nini wakuu mwenye kujua hii ishu wakuu maana watu wanasema nimewablacklist wakati sivyo
  19. GE2025 Mgombea Urais, Coaster Kibonde: Nikishinda Urais, Rais Samia atabaki Ikulu

    Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Demokrasia Makini Coaster Jimmy Kibonde amesema "nikishinda urais, Rais Samia atabaki Ikulu"
  20. D

    Bado natafuta mtu anifundishe pikipiki nitachangia hela ya mafuta

    Habari natafuta mtu anifundishe pikipiki ambaye atanisaidia nitamshukuru sana nitachangia hela ya mafuta anicheki Pm au hapa hapa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…