stabilityman JF-Expert Member Joined Jul 9, 2024 Posts 834 Reaction score 1,774 Jan 14, 2026 #1 Kwanini unapoongea na mtu humwangalii machoni?
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 59,477 Reaction score 171,605 Jan 14, 2026 #2 Umejuaje simwangalii machoni?
BLACKTIGER JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 4,977 Reaction score 8,271 Jan 14, 2026 #3 Nikiwa na hasira kali nakuchek kwa jicho la paka tiger Ila nikiwa kawaida haina haja kuangaliana labda km ni demu!
Nikiwa na hasira kali nakuchek kwa jicho la paka tiger Ila nikiwa kawaida haina haja kuangaliana labda km ni demu!