Kwa muundo wa serikali yetu ilivyo hakuna serikali za majimbo hivyo kila kitu kipo chini ya kuu.
Unaweza kwenda sehemu flani kwenye taasisi flani kubwa tu lakini humo maofisini hamna hata mzawa moja, kazi zote zimechukuliwa na wageni wa sehemu za mbali, wazawa hawana chochote.
Sababu inaweza...
Raia mmoja wa Tunisia, Saber Chouchane (56), amehukumiwa adhabu ya kifo kwa kosa la kuchapisha kwenye mtandao wa Facebook, maneno yanayodaiwa kumkashifu Rais Kais Saied na kudhalilisha vyombo vya usalama.
Hukumu hiyo ilitolewa jana Oktoba 3, 2025 na imekuwa gumzo nchini humo.
Mawakili wa...
Hivi mmekosa wafanyakazi??
Ama wafanyakazi wanafanya kaxi kwa mazoea?
Hii mara ya tatu nimetoka hapo mlimancity tumepangana kama watu 12 mhudumu n mmoja tu huu n ushenzi
Wewe unaepanga kutoa hela kuweka nenda sehemu zingine branch ovyo kabisa.
Mbaya zaidi wanakuja wazungu ama wahindi...
Jana usiku pale Mlimani City imedhihirika Eng Hersi anataka kuitumia Yanga kwa manufaa yake kwa gharama yoyote hata kama ni kuiingiza timu matatizo ya kikanuni.
Hakuna kikao cha timu kilichokaa kwa niaba ya timu ya Yanga na kufikia maamuzi ya kutoa milioni 100 wakati wanachama wanahimizana...
Abby na Brittany ni mapacha walio ungana wana miaka 34. Wakati wanasoma chuo walikuwa wanalipa Ada (college fees) kila mtu yake. Baada ya kupata ajira wanapokea mshahara wa mtu mmoja.
Abby na Brittany Walimaliza chuo muongo mmoja uliopita walisomea walimu asa hivi wanafundisha elementary school.
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila anasema,
Akirejelea Utafiti unaosema kwenye nchi ambazo watu wake wanakipato chini ya DOLA 1,000 Kwa mwaka zinaweza kuishi kidemokrasia si zaidi ya Miaka 10 tu na baadae kuangukia kwenye Tawala nyingine zisizo za...
Baadhi ya wanazuoni na maulamaa katika dini ya kiislam wanasema mtu anaweza kula nyama ya nguruwe endapo mtu atakuwa katika mazingira ambayo hakuna chakula cha aina yeyote zaidi ya nguruwe, apa mja anaruhusiwa kula nyama iyo kwa lengo la kupoza njaa na kujiepusha na kifo.
Maana katika maandiko...
Mkutano ulikua wa kumteua Makamo!!.
Wahuni na Machawa wakiwa tayari wameshajipanga,
Anaibuka MTU ,kama vipi TUMPITISHE hapahapa? Makofi na kelele vikawa vingi.
Wakaibuka Machawa na Vilaza na wahuni wengi wengi kufanya Fujo za makofi na vigelegele.
Lini Samia alichukua Fomu? Licha ya...
Mambo yanazidi kuchemka!
Huwezi ng'oa meno yote kisa jino Moja linauma.
Huwezi kufunga msikiti kisa sheikhe amefanya uhalifu.
Huwezi kufunga Kanisa kisa mchungaji mmoja amelumbana na serikali.
Kama kweli yatafanyika maamuzi ya kufunga Kanisa la Gwajima, hautakuwa uamuzi wa akili na hiyo sio...
Mtu mmoja ameeefariki dunia kwenye ajali iliyohusisha gari aina ya BMW na Bus la abiria la ABC,ajali hiyo iliyotokea barabara ya Dodoma-Morogoro eneo la Makalavati kwa mujibu wa mashuhuda wanasema dereva wa gari ndogo alikuwa anamkwepa Ng'ombe na kupelekea kwenda kugongana na Bus la abiria la...
Tutalazimisha mabadiliko yafanyike kwani huu uchaguzi sio wa samia wala wa nani, uchaguzi ni wa watanzania wote lazima tuongee lugha moja ndio uchaguzi ufanyike kwa haki hakuna haki kama mtu mmoja hajiamulie vitu kutoka chumbani kwamba uchaguzi uwe hivi au uwe vile bila wengine kutaka.
Mfano. MBUNGE ambaye atashinda kwa kura za wizi.
Siku hiyo ya uchaguzi maelfu ya watu huingia kwenye mauvu ili mbunge ashinde.
Ataanza mkuu was wilaya na mkurugezi halafu wanafuatia wakuu wote wa vituo vya POLICE halafu wanakuja maaskari wanaosimamia vituo siku hiyo baadae wasimamiza wa...
Hii Move ni kama za Kihindi vile, stelling anafia kwenye maua, ukisoma sana na kutafakari unaona ni move inatengenezwa.
Padri kashambuliwa na haraka haraka mtu mmoja anashikiliwa kwa kumuumiza Padri, na baadse utasiki ana tatizo la akili au alisha wahi fanya kazi eneo husika hivyo ana hasira za...
MMOJA ASHIKILIWA KWA KUHUSISHWA NA TUHUMA ZA KUJERUHIWA KWA PADRI KITIMA
Tarehe 30 April 2025 majira ya saa nne usiku maeneo ya Baraza la Maaskofu Tanzania Kurasini Temeke Dar es salaam ilipokelewa taarifa ya kujeruhiwa kwa Padri Charles Kitima ambaye ni Katibu wa Baraza la Maaskofu Tanzania...
Dikteta ucharwa msimamo wake wa kutaka kuzuia uchaguzi unapelekea kuwanyima haki au kuzia haki ya wapenda haki katika kushiriki katika zoezi zima la uchaguzi dikteta uchwara..ameweka msimamo huo kwa kuwatisha wasaidizi wake wote hata mteule wake katibu mkuu mnyika ametishwa jana asishiriki kikao...
Baada ya kukabidhiana toleo jipya la noti ya shs.10,000/= kati ya Benki kuu na Waziri wa fedha, waziri alikuwa na furaha isiyo na kifani kiasi akututangazia kwake ilikuwa siku ya kipekee kwa kutimiza ndoto yake ya utotoni ya kuwa siku moja itafika saini yake itakuwa kwenye noti ya Tanzania...
Wadau hamjamboni nyote?
Nipo kijiweni kahawa tokea saa 2 asubuhi
Hadi muda huu saa 8:15 bado nimeshikilia hela zangu mkononi nasubiri mtu aniandikie neno kwaya kwa kiingereza " kizungu" sijampata
Mchana mwema
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.