mtoto wa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    Klabu za Jinsia Maskulini Zinavyomuandaa Mtoto wa Kike Kuwa Kiongozi

    Na Ahmed Abdulla, Zanzibar: Katika muktadha wa dunia ya sasa, usawa wa kijinsia umekuwa ni suala la muhimu sana, hasa linapokuja suala la nafasi za uongozi kwa wanawake. Miongoni mwa mbinu zinazotumika kukuza uwezo wa uongozi kwa watoto wa kike ni kupitia klabu za jinsia mashuleni. Klabu hizi...
  2. Mtoto wa senator ahukumiwa kifungo

    Mtoto wa senator wa north dacota, Ian crammer amehukumiwa kifungo cha miaka 28 jela baada ya kukutwa na hatia ya kuendesha gari kwa spidi kubwa iliosababisha ajali na kuua mtu mmoja wa miaka 53 ambae ni sheriff
  3. Waziri Gwajima atoa pole kifo cha Graison, mtoto wa Chief Godlove Dodoma, ataka ulinzi kwa watoto

    Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dk Dorothy Gwajima ametoa pole kwa wazazi wa mtoto Graison Kanyenye aliyeuawa na watu wasiojulikana, huku akiwataka wazazi au walezi kuimarisha ulinzi na usalama wa watoto. Tukio hilo lilitokea Ilazo Extension jijini Dodoma...
  4. 5

    Picha: Mjue Abdul Halim Hafidah Ameir, Mtoto wa Rais Samia

  5. Video: Ubarikio wa mtoto wa Bilionea Mosha

    Jana nimeshangaa kuona ubarikio wa mtoto wa Bilionea Knyama KKKT peke yake tofauti na wenzetu huko Katoliki ambako ratiba ya komunio/kipaimara ni kwa wote (bila kujali kipato cha mzazi/mlezi) na sio mmoja mmoja. Shkamoo Mangi
  6. Ezekiah Wenje: Abdul Mtoto wa Rais Samia ni Muungwana sana hadi alikubali kwenda Tegeta kwa Lissu...

    MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Victoria, Ezekiah Wenje ambaye anatuhumiwa kumpeleka Abdul kumhonga Mapesa Tundu Lissu. Wenje anasema Tundu Lissu alikuwa anadai pesa zake za Matibabu, Abdul ikabidi amfuate Tundu Lissu Tegeta kichukua Documents za matibabu ili...
  7. Abdul ananufaika na nini kupigania Lissu alipwe, mpaka kumfuata Tegeta? Mtoto wa Rais anapigania pesa za mkosoaji mkuu wa mama yake?

    Narudia kuuliza mara Kwa mara, Abdul mpaka kufunga safari kwenda Tegeta kwa Lissu akitokea Ikulu akiambatana na jamaa yake Wenje. Lengo hasa la Abdul ni nini au atanufaika vipi kupigania kwa mama yake Lissu alipwe pesa zake. Inawezekana Abdul ni mtu mwema sana kwa viongozi wa upinzani kuliko...
  8. N

    Sifa za mtoto wa mjini

    Kuna watu wanapenda sana kujiita watoto wa mjini! Wana jamii wenzangu embu tuchambue sifa za mtoto wa mjini. Binafsi sijui mtoto wa mjini ni mtu wa aina gani. Nasikia tu watu wakijiita au kuitwa mtoto wa mjini!! Hivi ukiwa mtoto wa mjini ndo unakua na sifa zipi? Au unatakiwa uwe na sifa zipi...
  9. Dudley Mbowe, Mtoto wa Freeman Mbowe akalia kuti kavu, dhuruma yamuweka pabaya

    MAHAKAMA Kuu Divisheni ya Kazi, Januari 6, 2025 inatarajia kuanza kusikiliza maombi ya waandishi wa habari Maregesi Paul na wenzake 9 wanaotaka Mkurugenzi wa Gazeti la Tanzania Daima, Dudley Mbowe aamuliwe kwenda gerezani kama mfungwa wa madai kwa kushindwa kulipa malimbikizo ya misharaha yao...
  10. King Mseke, mtoto wa Joh Makini aanza mafunzo ya Soka kwenye Academy ya Manchester City, Uingereza

    King Mseke (9), mtoto wa msanii wa hip-hop Tanzania Joh Makini, amewasili katika Academy ya Klabu ya Manchester City nchini Uingereza kwa ajili ya mafunzo ya soka ya wiki mbili. Joh Makini amesema mwaliko huo umetokana na juhudi za muda mrefu za kukuza kipaji cha King, kilichoonekana akiwa na...
  11. Je, kuna fidia yoyote ya kulea mtoto wa kusingiziwa?

    Habari zenu wadau!, nahitaji ufafanuzi kidogo hapa, nilikuwa na Girlfriend wangu ambaye alipata ujauzito na kuniambia kwamba ni ujauzito wangu. Tangu hapo niliamua kwa upendo tu kumhudumia katika kipindi chote cha ujauzito hadi alipojifungua. Japo sikuwa naishi nae lakini nilimpatia mahitaji...
  12. Nimempenda mtoto wa watu huku

    Aisee nimejikuta nampenda huyu member KENZY Mfuatilieni .jamaa ana kitu apewe ulinzi Mimi nimemjua Jana tu Kama hajaoa naombeni mniweke pale ndugu zanguni. Napenda kufurahi Mimi Kenzy nitakucheki saa tano usiku pm
  13. X

    Jay-Z atuhumiwa kumnyanyasa kingono mtoto wa miaka 13 katika tukio la 2000 pamoja na Sean "Diddy" Combs

    Mwanamke anayedai kuwa alinyanyaswa kingono na Sean "Diddy" Combs amerekebisha kesi yake na kujumuisha madai kuwa pia alibakwa na Jay-Z kwenye moja ya party. Kesi hiyo hapo awali iliwasilishwa dhidi ya Combs mnamo Oktoba, lakini Jumapili 8th December, mwanamke huyo aliongeza Shawn Carter...
  14. Ni kweli mtoto wa kiume anatakiwa kutahiriwa wakati wa baridi?

    Nimeshauriwa muda mzuri wa kutahiri watoto ni wakati wa baridi na sio wakati wa joto. Je ni kweli? Kwa hapa Dar es salaam ni mwezi gani mzuri wa kutahiri mtoto( mwezi wenye baridi). Asante sana
  15. Mtoto wa Kiume kadri anavyokua huanza kumsamehe Baba yake

    Mahusiano yana mambo mengi, Ndoa zina mambo mengi. Kuna mambo yanatokea kwenye Ndoa kupelekea Baba kuikimbia familia na kwenda Kuoa Mwanamke mwingine. Ama Baba kuzaa nje bila Mpangilio. Mtoto wa Kiume humchukia Baba pale anapokua Mdogo, humuona Baba kama asiye na Upendo na Mama yake, ama...
  16. Mtoto wa miaka 13 awafungulia kesi Wazazi wake kwa kumtelekeza Shule ya Bweni Afrika

    Mtoto wa miaka 13 amefungua kesi dhidi ya wazazi wake akiwatuhumu kwa ukatili baada ya kumpeleka nje ya nchi, kisha kumsajili katika shule ya bweni, na kumtelekeza huko. Kwa mujibu wa taarifa, mtoto huyo, ambaye hakutajwa kwa sababu za kisheria, aliwasiliana na Ubalozi Mdogo wa Uingereza na...
  17. Bora rafiki kuliko ndugu wa damu.

    Mtoto wa nyoka ni nyoka ndo maneno ya binadamu. Sometimes Bora rafiki kuliko ndugu wa damu. Ubaya ukizidi sana unakosa hata tabasamu. Dar es salaam kutesa kwa zamu. Yaani Bado siamini kama wamenimwagia sumu. Lengo lao wanipeleke kuzimu. Hawana nidhamu, nami nazifikisha salamu. Wajiandae...
  18. Kituo cha TV cha Ukraine chamfichua mtoto wa nje wa Vladimir Putin anayeishi Paris Ufaransa kama DJ

    Wakuu, Rais wa Urusi Vladimir Putin anadaiwa kuwa na mtoto wa siri ambaye anaishi Ufaransa na kufanya kazi kama DJ kwa kutumia jina bandia. Elizaveta Krivonogikh, mwenye umri wa miaka 21, ambaye anahisiwa kuwa binti mdogo wa Putin, anaripotiwa kuishi na kufanya kazi jijini Paris kwa kutumia...
  19. Kitanda hakizai haramu wewe ni wa nje ama ndani ya ndoa..nini haki zako kama mtoto wa nje ya ndoa kwa waislam na wakristo...

    wapendwa mwenye kujua haki za watoto wa nje ya ndoa tupeane madodosoo hapa kwa dini zotee maana watoto wa nje ya ndoa wanaongezeka kila iitwapo leo vyema nao wakajua wazazi wakifa nn maslahi yao kufwatana na dini za wazazi wao kazi kwenu wapendwa... Operation okoa mtoto wa nje ya ndoa
  20. Hivi zama hizi mtoto wa kike anaanza kuingia hedhi (kuvunja ungo) kuanzia miaka mingapi?

    Naomba kufahamu mwenye uzoefu na jambo hili maana kuna mtoto wa sister wangu mtoto wake wa kike ana miaka 8 ameanza kutoka damu ukeni mama yake ananiambia sijamuelewa tunahisi ni hedhi hapa nadrive kumpeleka hospitali
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…