mtoto wa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Walimu/ lecturer wa kiume ndo chazo cha kuharibika kwa mtoto wa kike shuleni/chuo

    Hope ni wazima Wana Jf Katika kila kundi la wanawake 10,lazima ukute wanawake 5 au 6 washawahi kufanyiwa sexual abuse na walimu wa kiume,Kuna shule sitaitaja nilisoma o level Kuna teacher wa English na alikuwa second master alikuwa na michezo michafu anakuita ofisini kwake Mara akushike shike...
  2. JamiiForums Tanzania Nick Cannon yuko tayari kuongeza mtoto wa 13 lakini azae na Taylor Swift

    Cannon ambaye ana Watoto mapacha aliozaa na #MariaCarey huku wengine wakiwa na mama tofauti amesema hana uhakika kama anahitaji mtoto mwingine lakini kama itatokea, basi mama wa mtoto anatakiwa kuwa mzuri na wa kuvutia sana. Mtangazaji wa kipindi cha 'The Howard Stern' kinachorushwa na SiriusXM...
  3. JamiiForums Tanzania Mbeya: Atuhumiwa kumuua mtoto wa kambo kwa kumpiga na kitu kizito kichwani kisha amtupa kwenye shimo

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia ZAWADI SASTONI NZUNJE [30] Mkazi wa Igalako Wilaya ya Mbarali, Mkoa wa Mbeya kwa tuhuma za kumuua mtoto wake wa kambo aitwaye MESHAKI FAZILI MLAWA [12] Mkazi wa Kapyo kwa kumpiga kwa kitu kizito kichwani na kukimbia kusikojulikana. Kamanda wa Polisi...
  4. JamiiForums Tanzania Mtoto wa Rais Museveni asema Uganda itaisaidia Urusi Wanajeshi wake ikiwa itatishiwa na Mabeberu

    Mtoto wa kiume wa Rais wa Uganda Yoweri Museveni Muhoozi Kainerugaba alitangaza siku ya Alhamisi kwamba nchi yake itatuma wanajeshi kuilinda Moscow ikiwa itakabiliwa na vitisho. "Niite 'Putinist' ukipenda, lakini sisi, Uganda tutatuma wanajeshi kuilinda Moscow ikiwa itawahi kutishiwa na...
  5. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Mtoto wa Rais Museveni atangaza kustaafu utumishi wa Jeshi mwaka huu

    Mtoto mkubwa wa Rais wa Uganda Yoweri Museveni anasema kuwa atastaafu kutoka jeshi mwaka huu, baada ya karibu miongo mitatu ya kuhudumu ndani ya Jeshi. Muhoozi Kainerugaba, jenerali wa jeshi, alitoa tangazo hilo katika chapisho la Twitter. "Nitastaafu UPDF mwaka huu," alitweet. Alitoa tangazo...
  6. JamiiForums Tanzania Mtoto wa Jirani amezoea kuniita baba

    Kuna Jirani yangu ana mtoto wa miaka mitano ni wa kike. Ni mtoto muongeaji afu ni mchangamfu Sana, tumezoeana Sana nikirudi kwenye mishe mishe au nikienda dukani lazima nibebe zawadi kwa ajili yake. Shida mtoto ameanza kuniita baba na akiulizwa na mtu baba Yuko wapi ananionesha mimi. Je...
  7. JamiiForums Tanzania Nimetunukiwa tunda na mtoto wa kizungu guest za Manzese

    Umewahi kumla mzungu? au wewe unahangaika na hayo akina mwajuma ndala ndefu au akina cheusiku wa ubongo riverside? Pole sasa nikuambie mie mwenzio nimemla mzungu jana kwenye guest za manzese sema yeye huyo mzungu hataki mambo mengi sana japo ni mfanyakazi mmoja wa shirika moja la kimataifa na...
  8. JamiiForums Tanzania Wanawake ndiyo wanaongoza kuwasema vibaya wanaume mbele ya watoto

    Habari za asubuhi, Wana JF Hivi kwa nini wanawake mnapenda kuanika sana madhaifu yetu, mnapokuwa na watoto Najua tupo kwenye ugomvi Mambo ya chumbani yaishie ukouko ndani, unayaleta mpaka sebuleni mbele ya watoto haipendezi watoto watajifunza nini. Wanawake mjifunze hii tabia sio nzuri...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nilipokutana na mtoto wa Kinyiramba

    Kuna watu wanajua kufanya mamboz aisee. Mtoto ni miss fulani hivi mwembamba yaani, mweupeee ila anabalaa. Mtoto anajua hadi nasema huyu hana tofauti na Messi kwenye football. Nilipelekwa kindumbwe ndumbwe kuanzia dakika ya kwanza mpaka ya 90. Mtoto michezo anaijua aisee, nimenasa kwake na...
  10. JamiiForums Tanzania Musonda atunukiwa medali na mtoto wa miaka 8

    Mchezaji wa Yanga Kennedy Musonda leo ametunukiwa medali aliyopewa na mtoto wa kutoka huko Spain aitwaye Lucas Gomez. Medali hiyo ilikabidhiwa kwa Musonda na Balozi wa Spain kwa niaba ya mtoto huyo. Musonda alipata zawadi hiyo kutokana na kuwa man of the match wakati akichezea club yake ya...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Lema: Nikimuona mtoto wa Waziri Mkuu Majaliwa au wa Rais Mwinyi anaendesha Bodaboda ndipo nitaomba radhi

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Lema amesema endapo atamuona mtoto wa Waziri mkuu mh Majaliwa au mtoto wa Rais Mwinyi anaendesha Bodaboda ndipo ataomba radhi. Lema amesisitiza Kuwa Bodaboda ni Kazi isiyofaa inayouwa na kuwapa ulemavu Vijana Wengi. Lema amenena haya kupitia ukurasa wake wa...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa mkubwa yupi anaendesha bodaboda? CCM acheni hadaa

    Viongozi wa CCM acheni kuwadanganya vijana wetu kuwa kuendesha bodaboda ni kazi kama kazi nyingine. Mbona watoto wenu haweendeshi bodaboda? Kiongozi yupi ambaye mwanaye ni dereva bodaboda? Kama hakuna basi mfahamu kuwa hiyo siyo kazi ya heshima. Ni laana.
  13. JamiiForums Tanzania Mtoto wa kiume apewe support kubwa ya ari na mali tofauti na wa kike

    Katika kitu nilichojifunza katika mahangaiko ya dunia yangu ukweli ni kuwa mtoto wa kiume apewe support kubwa ukilinganisha na wa kike. Mtoto asome asisome apewe support asipewe support mwisho wa siku lazima atakuwa chini ya mamlaka ya mwanaume achana na hao wanaojiita single mothers mtoto wa...
  14. JamiiForums Tanzania Watoto wa wasanii na ushoga! Kipenga kimepulizwa rasmi

    Wazazi tuombeana sana. Na tuwaombee sana watoto wetu, vijana wetu kuna walakini mkubwa sana kwenye ile kampeni ya wakataa ndoa. Tuwe karibu mno na vijana wetu wa jinsia zote wakike na wakiume. Wote wanaharibika. Wote wanaharibikiwa jamii inaingia kwenye mtanziko mkubwa. Kizazi kijacho kiko...
  15. JamiiForums Tanzania Mtoto wa kiume kwasasa alindwe kama mtoto wa kike, maana hali sio hali

    Wazazi mmekuwa bize sana walahi, imani ya kwamba mnawatafutia watoto wenu ili wasije kuteseka mnakosea sana maana mwenye uwezo huo ni Mwenyenzi Mungu pekee. Mnapamnana na bado hali ni ile ile, tumezaliwa ili tusaidiane. Watoto wa kiume wamearibikiwa kwa sababu wazazi baadhi hawana hata hofu ya...
  16. JamiiForums Tanzania Mtoto wa wiki mbili aliyechomwa kisu afariki dunia

    Mtoto mchanga wa wiki mbili aliyechomwa kisu na kisha utumbo kutoka nje na mama yake kuuawa akiwa amelala, amefariki dunia wakati akipatiwa matibabu katika hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini (KCMC). Februari 22, mwaka huu Mwanamke huyo ajulikanaye kwa jina la Fausta Tesha (26) mkazi wa...
  17. JamiiForums Tanzania Nilivyomchakata mtoto wa Rais wa Uganda Milton Obote aliyekuwa amepinduliwa mwaka 1985 na kukimbilia Tanzania

    Mwaka 1985 Rais wa Uganda Milton Obote alikuwa amepinduliwa na akina somebofy Okelo Sasa huyu Obotealikuwa Rafiki wa Nyerere ,akakimbilia Tanzania kunusuru maisha yake. Haikuwa mara yake ya kwanza kupinduliwa na kukimbilia bongo.huko nyuma alishapinduliwa na idd Amini kama sikosei Safari hii...
  18. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumwandaa mwanamke kisaikolojia kwenye harakati za kula "chakula cha usiku"

    Acha pupa/Uharaka • Mtoto wakike wala usimwarakishe. Ukifika chumbani(akafika chumbani) kwanza (kumbatianeni na mbusu pia mnongoneze. Kwa sauti ya mahaba ya chumbani, mwambie nakupenda. • Mpeleke taaratibu kitandani, akishafika (kama una zawadi unaweza mgeiya yoyte ile iwe zawadi ya chakula au...
  19. G

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Nimemkamata mtoto wa miaka 11 anajichua bafuni akiwa anajiandaa kwenda shule

    Ni mtoto wa kaka yangu naishi nae hapa hasa kwa lengo la yeye kusoma maana mkoa nilipo una shule nyingi. Darasa la nne hadi la tano alikuwa anasoma boarding, kwa sasa yupo kwangu anasoma day ya karibu std 6. Ni mtoto mchangamfu, mcheshi, mpira anacheza na uwezo wa darasani si haba. Leo nikiwa...
  20. JamiiForums Tanzania Mtoto wa ndugu yetu anaona aibu kurudi Tanzania tangu alipokwenda Marekani

    Inauma sana kama hupo mbali na hakuna lolote alafu unaona au kusikia kwenye mitandao ya kijamii fulani kajenga, kaoa na yeye sasa kasafiri. Kinacho mfanya kuona aibu ni ubinafsi kipindi yupo huko alijiona ndio kafika tukashauri sana ndugu zake tuliopo mtambuka tufanye ushirikiano ila ndio hivo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…