mtoto wa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waziri ya Afya, Kwa Sasa mama mjamzito kadi ya clinic anauziwa 10,000. Akijifungua mtoto wa kike 15,000 wakiume 30,000

    Salamu kamsalimie waziri wa Afya. Nikiwa kwenye sintofahamu kwanini mambo Yana badirika kimya kimya namna hii. Inakuwaje kadi ya clinic iliyoandikwa haiuzwi na Sasa inauzwa Kwa Tsh 10,000/= Inakuwaje mama mjamzito akijifungua mtoto wa kike atoe kiasi Cha pesa Tsh 15,000/= na akijifungua mtoto...
  2. T

    Mtoto wa mchungaji Christina Shusho, Odesia Shusho avishwa Pete ya uchumba

    Mtoto wa mchungaji Christina shusho 'Odesia Shusho' avishwa Pete ya uchumba.
  3. Huyu mtoto alijifanya mjanja, pesa anataka mzigo anasema mpaka tuzoeane kwanza

    Mahusiano yana siku 3 nikamwambia Jmosi tuvunje amri ya 6 akasema mpaka nimzoee nijiridhishe kama ana tabia njema naye pia ajiridhishe ndipo tufanye. Hivi mtu munaishi mitaa tofauti muchunguzane tabia ili tu mupate kufanya tendo inawezekana vipi? Ingekuwa tumepanga kufunga ndoa sawa...
  4. G

    Mzazi aliejikuta mzungu kumpa simu mtoto wa shule ya msingi yamtokea puani, Mtoto kaanza kucheki X na kujichua akiwa na miaka 8 tu

    Muhimu: wanaodhani mtoto wa miaka 8 hawezi kujihusisha na ngono basi niwaelimishe kwamba haya mambo yapo, isiopokuwa tu wao umri huo hufanya kwa kuiga tu, hufanya bila kujua ni kwa nini anafanya, viungo vyao bado havijakomaa. Niliwahi kumshauri huyu mzazi kwamba uwezo wake kiuchumi wa kuweza...
  5. Kama una mtoto wa kike, mke, ndugu na n.k akiwa msanii we kubali utakayokutana nayo

    sio ulaya wala afrika swala la wanawake tasnia ya usanii yani kama inawapa shida sana ukilinganisha na wanaume. Kuna shida gani sanaa na wanawake
  6. O

    Baba jela miaka 30 kwa kumpondaponda nyeti mtoto wa kufikia

    https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/baba-jela-miaka-30-kwa-kumpondaponda-nyeti-mtoto-wa-kufikia-4611470 Credit:Mwananchi!!
  7. Umri gani sahihi kumjulisha mtoto wa kuasili kuwa ulimuasili?

    Hii inawahusu watoto wanaoasiliwa wakiwa wadogo, kabla ya "kujitambua". Ukiema usubiri mpaka awe mtu mzima ndipo umwambie ukweli, inaweza isiwe sahihi. Kunaweza kumwumiza nafsi kufahamu kuwa kipindi chote alichoishi na wewe hakuwa mwanao wa kumzaa. Ukisema umjulishe angali akiwa mdogo, alu...
  8. S

    Unajiita mtoto wa mjini unakula milo mitatu na kuvaa hujui

    Mtoto wa mjini kipaumbele Cha kwanza kuvaa. Huwezi kuwa mtoto wa mjini unaendekeza kula kuliko kuwa nadhifu ,unafeli mchana kweupe.
  9. Jina Zuri la kiafrika la mtoto wa kiume

    Wanetu nipeni jina la mtoto wa kiume simpo lenye taste ya kiafrika,nimetoa sana majina ya kizungu kwa watoto wangu this time nataka kuonja ladha ya nyumbani,ili nisiwe mtumwa wa kuukataa unyumbani. Chalii atakuja duniani siku sio nyingi.
  10. D

    NJOMBE:Mtoto wa Miaka 12 ashikiliwa kwa kumlawiti Mtoto wa Miaka kumi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe linamshikilia mtoto wa umri wa miaka (12) kwa tuhuma za kumlawiti mwanafunzi wa darasa la nne (10) katika shule moja iliyopo Makambako mkoani Njombe. Hayo yamebainishwa leo Aprili 13, 2024 na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe Mahamoud Banga zungumza na waandishi wa...
  11. N

    Mtoto wa kiume miaka 6 kulia kila saa bila sababu ya msingi

    Wakuu ni hiv..nna rafik yangu anamtoto wa kiume miaka kama 6 hiv. Huyu dada ni singo mama... Huyu mtoto alivyolelewa aisee..au sjui labda wenzetu hawa wa rang nyingne hii ndo style yao Aisee huyu dogo kila kitu analia..akidondosha kitu chake mwenyew analia.. Akivaa nguo analia,..akiwa anakula...
  12. Wimbo "Mtoto wa Geti kali" wa Inspector Haroun haukuwa kwa ajili ya mwanamke (haukumlenga mwanamke)

    Wimbo wa mtoto wa geti ulikuwa kwa ajili ya kuwapa faraja " watoto wa kiume" (elewa maana ya " mtoto" wa kiume) pamoja na wanaume makabwela wasio kuwa na akili za kiume. Wimbo huo ulikuwa una appeal zaidi na nafsi na fantasy za makundi ya watu nilio wataja hapo juu yani watoto wa...
  13. PreGE2025 Mtoto wa Mwigulu aanza siasa za majukwaani, awaomba wana Iramba kumuamini Baba yake

    Huyu hapa
  14. Mtoto wa kiume jikaze, acha kulegea, mtoto wa kiume halii! Tusipobadilika tutawapoteza!

    Mtoto wa kiume amekuwa akipitia changamoto nyingi tu katika jamii kama mtoto wa kike, ila unakuta wao kusema inakuwa vigumu kwa sababu wameaminishwa kuwa wao Kidume, Nguzo ya Familia, akilia anaambiwa jikaze mtoto wa kiume halii, akionesha kuumia anachekwa anaambiwa acha kulegea, mwisho siku...
  15. Siku niliyokutana na mtoto wa Kinyarwanda

    Wakuu, mjuavyo tena; mahusiano ndio yanayofanya dunia iwe sehemu sahihi na tulivu kwa kuishi. Mjuavyo tena, sisi tunaopataga maji ya 'gold' huwa ni vigumu kunyimana kwenye mahusiano. Kama pisi kali ikikuelewa, inakuelewa kweli. Ndio maana waswahili wanasema, kwenye kinywaji cha rangi ya 'gold'...
  16. Hivi hii ya mtoto wa kwanza kuwa makamu wa wazazi ni Tanzania pekee au kote?

    Nilikuwa nasoma sehemu nikakuta kuwa watoto wa kwanza wanalalamikia kuwa "Makamu Mzazi". Yaani ni mtoto anayekabidhiwa jezi kabla mchezo hajauelewa. Mtoto wa kwanza anatarajiwa kulea wadogo zake na wazazi wake at the same time. Nadhani ukiona mtu amekomaa kimawazo, unauliza tu "Hivi wewe ni...
  17. Walimu kupiga watoto mpaka kuua! ipo siku atauliwa mtoto wa kiongozi ndipo tutaamka

    Hii tabia imekithiri sana ya kupiga watoto kwa mangumi, mateke, na mbaya zaidi kupiga watoto mgongoni ambako ndiko kuna uti wa mgongo! Tabia ya kuficha na kutoa taarifa za uongo kumkandamiza aliyeuliwa na kukosesha haki ndiko kunafanya walimu waendelee na tabia hii mbaya kabisa! Halafu kuna...
  18. Video: Mwijaku na mtoto wa Tajiri

  19. Vijana tafuteni hela sio six packs, mtoto wa Mukesh Ambani anavuta kigoli matata kabisa japo ni tipwatipwa

    Mtoto wa billionea Mukesh Ambani anatarajiwa kufunga ndoa siku chache zijazo, ndoa ambayo itatanguliwa na party ya siku 3 mfululizo. Watu wa karibu, wadau, Celebrities na CEO wanategemewa kuhudhuria nikiwemo mimi, Mark zuck, Bill gates na wengine wengi.. Moral of the story: Vijana tafuteni...
  20. Umetuma nauli baada ya dakika tano akwambie hawezi kuja mtoto wa dada ake amemeza sh. 50

    Kuna wanawake wabaya sana aisehh .
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…