mtoto wa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa kiume ingia kwenye mahusiano kitaalamu

    Kabla mwanamke hajakukubalia tambua ya kwamba ashapiga hesabu zake na kujua atanufaika vipi kupitia wewe iwe kwa sasa au uko mbeleni. Ni wanaume wajinga ndio huwa wanaingia katika mahusiano bila malengo. Ndio maana wanaume hawa huwa wanaishia kutumika na wanawake kwa malengo binafsi, kwa...
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Rais Samia (Wanu): Sitamani Kuonekana Mtoto wa Rais Nikiingia Mahali/Naumia Mzazi Akitukanwa

    "Kuna mahali naingia nafanya kazi zangu naondoka bila Watu kujua kama nilikuwa pale, lakini unapokwenda kwenye shughuli za kijamii hasa harusi kuna Watu lazima wanitambulishe kama mtoto wa Rais, ile huwa inanifanya nisiwe huru katika mazingira yale" - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Una miaka 23 na 'Unambaka' Mtoto wa Miaka 4, hivi Serikali na Mahakama kwanini hawa 'Wapumbavu' msiwe 'Mnawanyonga' tu moja kwa moja?

    Mahakama ya wilaya ya Ruangwa imemhukumu Juma Saidi Selemani almaarufu kama Dj Mushizo (23) mkazi wa Kijiji cha Nandanga wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi kwenda jela kifungo cha maisha kwa kosa la kubaka mtoto mwenye umri wa miaka minne. Hukumu hiyo ya kesi ya Jinai namba 3071/2024 imetolewa na...
  4. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Neymar

    Hivi huyu mtoto wa Neymar mnamuonaje wazee, mwanetu hajapigwa kweli hapa? Hata kama mama ni mzungu pure, sijawahi kuona mtoto chotara akachukua sifa za mzazi mmoja tu
  5. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Natongozwa na watoto waliozaliwa mwaka 2000, yani nitwachapa nyie! ohoo!

    Ni kwamba nimekosea kuwapa namba yangu ya whatsapp au? mbona watoto wa 2000 mnaanza kunitongoza bibi yenu tena? sasa mtapita wapi na mimi "eti, Tsup ma, how ya doin' baby send me your photo ma, you love my swaga? hey babe, lil mama hey honey money money penny i got money for ya'' yani huku...
  6. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Aliyemuoa mtoto wa Rais Hussein Mwinyi ndio kaoa,sie wengine tulioa ili mradi tusije kufa bila kuacha watoto

    Mwanamke anakupa stress ukienda kwao mlango wa jikoni ukiupiga teke unadondoka. Choo mlangoni wameweka gunia au khanga Kanyumba kenyewe ka slope sebuleni ndio stoo ya kutunza udaga. Ukimleta mjini akaanza kutakata anaanza maringo bila kujali umemsitiri. Huyu mwamba wa Arusha aliyeoa mtoto wa...
  7. Bodhichitta

    JamiiForums Tanzania Nimepata mtoto wa kiume usiku huu, baada ya kuwa kwenye ndoa kwa zaidi ya miaka 7

    Kuna msemo wa kiarabu usemao "inna baada Sabri, bushraa" yaani hakika Kila baada ya subra ni habari njema. Hakika ndo ninavoweza kusema baada ya kuishi na mke wangu Kwa zaidi ya miaka 7 bila mtoto. Hatimae Leo tarehe 27.07.2024 naandika historia mpya na njema katika mgongo wa ardhi hii ya...
  8. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Unalijua hili kuhusu Mtoto wa kambo?

    Kijana endapo kama utaamua kuoa single mother na ukaamua kubeba majukumu ya ubaba kwa mtoto wake basi tambua kuwa mtoto hatothamini unavyojitoa kwake na kila utakachofanya ataona kuwa unayafanya hayo majukumu kwasababu upo na mama yake na sio kwamba unampenda kweli. Mtoto wa single mother...
  9. BigBro

    JamiiForums Tanzania Kisa cha mapenzi cha Gavi na mtoto wa Mfalme Hispania

    Leonor, Princess of Asturias ni binti wa kwanza wa Mfalme wa Hispania, Felipe VI na Malkia Letizia. Alizaliwa Oktoba 31 mwaka 2005 kwa sasa ana umri wa miaka 18. Amehitimu chuo na mafunzo kijeshi hivi karibuni na ndie malkia anayefuatia kwa utaratibu wa Ufalme wa Hispania. Sasa huyu binti...
  10. Swahili AI

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Mtoto wa miaka minne akutwa amefariki baada ya kukatwa mkono na sehemu za siri

    Mtoto wa miaka minne jinsi ya kiume amekutwa ametekelezwa nyuma ya nyumba kwenye makazi ya watu Kisasa majumba 300 baada ya kukatwa mkono wa kulia na sehemu za siri na watu wasiojulikana na kutokomea navyo kusikofahamika. Siku kadhaa hapo nyuma yameshatukia matukio kama haya mawili ambayo...
  11. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Nyerere afukuzwa tena Butiama

    Hii imetokea jana Jumamosi baada ya mtoto wa Nyerere kukuta askari polisi wa kituo cha Butiama wameizingira nyumba yake na kuweka ulinzi mkali na kumzuia kuingia ndani. Mtoto wa Nyerere ametoroka Butiama bila begi,ameondoka na nguo tu alizovaa. Sasa yupo Mwanza anasubiri kurudi Dar. Hii...
  12. Influenza

    JamiiForums Tanzania Wakili Kibatala: Nitasusia Uchaguzi was TLS kama Mwabukusi asiporudishwa kwenye orodha ya Wagombea

    Katika kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (Tanganyika Law Society -TLS), utakaofanyika Agosti 2, 2024, Wakili Msomi Peter Kibatala ametishia kususia Uchaguzi huo ikiwa Wakili Boniface Mwambukusi hatarudishwa kwenye orodha ya Wagombea Soma; Kamati ya Rufaa ya Uchaguzi...
  13. A

    JamiiForums Tanzania SoC04 Uzalendo ndani ya mtoto wa Tanzania

    Taasisi ya elimu ingeandaa masomo ya kizalendo kwa watoto sio ti stadi za kazi.Watoto wanabidi wafundishwe uzuri wa nchi yao na pia kupenda nchi yao maana ndio urithi wao ni kazi yao kuilinda. Jeshini zile siku za mwanzoni huwa wanafundishwa uzalendo nyimbo za uzalendo. Lakini kama mashuleni...
  14. H

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tule Mlo kamili na upimaji afya viwe ni vipaombele Kwa mtoto wa kesho

    Tukisema mtoto ni taifa la kesho iwe Ina maanisha Kwa vitendo Kwa wadau wazazi mpka serikali yenyewe. Ifike mahali wataalam waafya watoe masomo ya mlo kamili Kwa kina mama wajawazito wapo kliniki ili kutengeneza mtoto Bora wa kesho pia ni vizuri wataalam wa afya wakawaoa elimu mama wa jawazito...
  15. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Said Tewa Mtoto wa Tewa Said Tewa Atembelea Maktaba

    SAID TEWA MTOTO WA TEWA SAID TEWA MUASISI WA TANU ATEMBELEA MAKTABA Leo ndugu yangu Said Tewa mtoto wa mmoja wa wazalendo 17 walioasisi TANU kanitembelea. Said tumekuwa pamoja Dar-es-Salaam lakini baadae Said alihamia Ulaya. Miaka mingi sasa yuko huko lakini huja nyumbani kusalimia. Kumuona...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akisherehekea Siku ya Mtoto wa Afrika pamoja na wajukuu zake Ikulu Dar es Salaam

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais Samia Suluhu Hassan akisherehekea Siku ya Mtoto wa Afrika akiwa pamoja na wajukuu, Ikulu jijini Dar es Salaam. Siku hii huadhimishwa Juni 16 ya kila mwaka. Katika kuadhimisha siku hii, Rais Samia amesisitiza umuhimu wa Serikali, familia na jamii...
  17. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Afrika

    Siku ya Mtoto wa Afrika huadhimishwa kila Mwaka ifikapo Juni 16 kuwakumbuka Watoto waliouawa na Serikali ya Kibaguzi huko Soweto Mwaka 1976 wakiwa katika Maandamano ya kudai Haki zao ikiwemo Haki ya kupata Elimu na kufundishwa kwa kutumia Lugha zao Asilia
  18. L

    JamiiForums Tanzania Nimetukanwa matusi ya nguoni na mtoto wa shangazi yangu

    Kwema wandugu Kuishi na watu kazi sana, kuishi na ndugu kazi sana Huyu kijana wa shangazi yangu ni mhuni, mlevi, mvivu, si muwajibikaji na hana, nidhamu. Namgharamia kwa vingi, kuanzia kumlisha, mavazi, malazi na kadhalika Kazi nimemtafutia mimi, nilitumia jina langu apate kazi ingawa hakuwa...
  19. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Unalijua hili kuhusu mtoto wa Osama bin Laden

    Je wajua? Omar bin Laden, mtoto wa nne wa Osama bin Laden, ni msanii na mwandishi, na sanaa yake inaonyeshwa nchini Ufaransa, ambako anaishi.
  20. T

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa mchungaji Christina shusho avishwa Pete ya uchumba

    Mtoto wa mchungaji Christina shusho avishwa Pete ya uchumba
Back
Top Bottom