mtoto

Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.

View More On Wikipedia.org
  1. G

    JamiiForums Tanzania Ewe Dereva hasa mgeni wa safari ndefu, ukikuta kuna mtoto ama mtu katikati ya barabara eneo ambalo ni porini usithubutu kupita pembeni

    Weka pembeni mambo ya movies, haya mambo ya mauza uza yapo kitambo, yapo hata katika biblia na kuran na tumeonywa tusiyachukulie poa. Sio stori ni vitu real hivi, upo zako kwenye safari mara paap! kuna kitoto ama mzee yupo katikati ya barabara, tena yupo katikati sehemu ambayo akilini kmwako...
  2. JamiiForums Tanzania Unajiita Baba/Kichwa cha Familia halafu mtoto wako anakuletea swali la Hesabu ya Darasa la tano, hujui!!

    Et Baba wa nyumba... Haiwezekani unasomesha mtoto Intaneshino skuli, alafu jioni mtoto wako anarudi home. Ile ameshakula Cha usiku, anachukua Daftari, anakufata wewe Baba yake, Baba umekaa kwenye Sofa, na Miwani yako na Upara, kifua wazi ,na Pensi lako , Baba Bonge na likitambi hilooo alafu...
  3. JamiiForums Tanzania Mtoto wangu ananishangaza

    Niaje wakuu Tusichoshane. Mtoto wangu ametimiza miaka miwili mwezi wa kwanza. Kinachonishangaza ni kuwa hajikojolei wala kujinyea. Akitaka kukojoa au ku poop anasema na usiku hata ukimvalisha pampas anaamka anakuambia anataka ku poop au jojoa. Nimenunua kibunda cha pampas mwezi wa 11 ila...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu utando mweupe kwenye mwili mtoto anapozaliwa

    Ni utando mweupe unaotengenezwa kwenye ngozi ya mtoto kwenye kipindi cha mwisho cha ujauzito, kitaalam huitwa Vernix caseosa. Huundwa na maji kwa asilimia 80, mafuta kwa asilimia 10 na protini kwa asilimia 10. Tofauti na jinsi inavyoaminika sana mtaani, utando huu hautokani na kushiriki tendo...
  5. JamiiForums Tanzania Nilivyomchakata mtoto wa Rais wa Uganda Milton Obote aliyekuwa amepinduliwa mwaka 1985 na kukimbilia Tanzania

    Mwaka 1985 Rais wa Uganda Milton Obote alikuwa amepinduliwa na akina somebofy Okelo Sasa huyu Obotealikuwa Rafiki wa Nyerere ,akakimbilia Tanzania kunusuru maisha yake. Haikuwa mara yake ya kwanza kupinduliwa na kukimbilia bongo.huko nyuma alishapinduliwa na idd Amini kama sikosei Safari hii...
  6. JamiiForums Tanzania Kutelekezewa mimba VS kubambikiwa mtoto

    Mi naona hii ni mbwaimbwai....mwaga mboga nimwage ugali....anaumizwa mwanamke anaumizwa mwanaume....Yaan hapo kati Yao Kuna Kuna kakarma kametulia.Huna hatia unatelekezewa mimba ....huna hatia unabambikiwa mimba. Aisee,Kaz iendelee
  7. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumwandaa mwanamke kisaikolojia kwenye harakati za kula "chakula cha usiku"

    Acha pupa/Uharaka • Mtoto wakike wala usimwarakishe. Ukifika chumbani(akafika chumbani) kwanza (kumbatianeni na mbusu pia mnongoneze. Kwa sauti ya mahaba ya chumbani, mwambie nakupenda. • Mpeleke taaratibu kitandani, akishafika (kama una zawadi unaweza mgeiya yoyte ile iwe zawadi ya chakula au...
  8. JamiiForums Tanzania Mtoto wa ndugu yetu anaona aibu kurudi Tanzania tangu alipokwenda Marekani

    Inauma sana kama hupo mbali na hakuna lolote alafu unaona au kusikia kwenye mitandao ya kijamii fulani kajenga, kaoa na yeye sasa kasafiri. Kinacho mfanya kuona aibu ni ubinafsi kipindi yupo huko alijiona ndio kafika tukashauri sana ndugu zake tuliopo mtambuka tufanye ushirikiano ila ndio hivo...
  9. JamiiForums Tanzania Miezi 8 baada ya kujifungua mtoto wa kwanza, Rihanna ni mjamzito tena

    Msanii #RobynFenty a.k.a Rihanna ameweka wazi taarifa za kuwa Mjamzito wakati akiwa kwenye steji za Apple Music Super Bowl LVII Halftime zilizofanyika katika ukumbi wa State Farm Arena. Rihanna na mpenzi wake Rapa #ASAPRocky wanatarajia mtoto wa pili ikiwa na siku 270 zimepita baada ya kupata...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kuondoa tatizo la mtoto kupata degedege

    Mtoto wangu miaka(4) alipatwa na homa mwaka Juzi 2021 mwez wa 11. Joto ilikuwa juu sana mpaka ikamsababishia dalili za degedege kutokwa na povu mdogo. Tulimpa Panadol kushusha homa na kumkimbiza hospitali ikaonekana ana infection kwenye damu akapatiwa dawa akapona. Mwezi ulioisha tena alipata...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Wadada wa kazi tendeeni watoto wa wenzenu kama wa kwenu hata kama leo huna mtoto

    Wazazi na walezi wenye watoto hiki kinawahusu,baadhi ya wadada wanaotusaidia kazi nyumbani(house girls) wamekuwa na tabia za kufukuza bila kusubiri mwezi uishe kwa namna inavyo kera. Nilikuja kukagua shughuli za mradi Geita,baada ya kumaliza siku tatu nikampigia simu rafiki yangu anayeishi...
  12. JamiiForums Tanzania Katavi: Afungwa miaka 30 kwa kufanya mapenzi na mtoto wake

    MAHAKAMA ya Wilaya Mpanda, imemuhukumu Agustino Michese (59) kutumikia kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa kufanya mapenzi na mtoto wake wa kumzaa mwenye umri wa miaka 16. Hukumu hiyo ilitolewa na Hakimu Mkazi Mwandamizi wa Mahakama ya Wilaya Mpanda Rebeka Mwalusako amesema mtuhumiwa alitenda...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Nina miaka zaidi ya 25 na sina mume wala mtoto, nachanganyikiwa

    Napata sonona sana wakuu kwa huu umri until now sina mume wala mtoto wa kuzugia. Nachanganyikiwa nafsi inanisuta na napata sonona za mara kwa mara kutokana na kutokuwa na mke wa kunituliza mambo yangu yakiwa heavy weight. Japo financially sio mbaya niko fine angalau kwa maisha ya MTanzania...
  14. JamiiForums Tanzania Kila munu ave na kwao! Mtoto wa Mtwara mie nimedata kwa mtoto wa Simiyu msukuma nyantuzu! Nataraji kumuweka ndani

    Ama hakika imevutiwa na kudata na mtoto wa msukuma nyantuzu huku simiyu kwakweli ananinyima usingizi na wala siwezi kulala nikimuwazia yeye all time yaani weupe wake kwakweli unanikosha na kuniua haswa yaani sio poa kabisa ndugu zangu Baada ya kumaliza chuo nilipata kazi kwenye shirika moja la...
  15. JamiiForums Tanzania Wameamua wawe na mtoto moja tu licha ya kuwa na uwezo wa kuongeza na kulea, je hii ni haki kwa mtoto wa kiafrika?

    Ni wazazi wawili, mke ni mhasibu taasisi ya kiserikali, mme ni engineer, kielimu wapo vizuri kuna moja aliweza kusoma masters yake nje ya nchi na mwingine ni hapa hapa bongo ila ana elimu kubwa. Mtoto walie nae ni moja tu yupo darasa la saba. Sababu kuu ya kuwa na mtoto moja ni mke kutotaka...
  16. JamiiForums Tanzania Papa Francis: Mapenzi ya Jinsia Moja siyo Kosa, siyo Uhalifu, lakini ni Dhambi

    Hello Wadau. Papa Francis wa RC ya Vatican ameupiga mwingi kwa kuunga mkono ushoga na kusema mashoga siyo wahaliifu, na kwamba ni wana wa Mungu pia.🙄🙄 Haijaeleweka mara moja ikiwa huu ndiyo msimamo wa Kanisa Katoliki au ni maoni binafsi ya Papa Francis. Commets ziwe fupi fupi tafadhali. Video...
  17. JamiiForums Tanzania Mjema: Serikali awamu ya sita imedhamiria kuboresha huduma ya mama na mtoto Tanzania

    SOPHIA MJEMA:SERIKALI AWAMU YA SITA IMEDHAMIRIA KUBORESHA HUDUMA YA AFYA YA MAMA NA MTOTO. CHAMA Cha Mapinduzi(CCM) kimesisitiza moja ya mikakati ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dk.Samia Suluhu Hassan ni kuhakikisha huduma za afya hasa ya Mama na Mtoto inaendelea kuboreshwa...
  18. JamiiForums Tanzania Hivi, Mtoto Akishikwa Matiti Yanakuwa Makubwa Tofauti na Asiposhikwa Shikwa au Sio Kweli...?

    Shalom...! Nimeskia story nyingi sana kuwa, Matiti yanapokuwa madogo wakati Binti akiwa under Eighteen hivi ni kweli kuwa hayo Matiti yakishikwa Shikwa yanakuwa Makubwa tofauti na mwanzo au ni story tu za watu wakuu...? Nikasema niulize wadau nikijumuisha madaktari ambao wapo JF pia ili tupate...
  19. JamiiForums Tanzania House girl ataka kutorosha mtoto ili kulipa kisasi kwa mwajiri wake

    Jeshi la Polisi mkoani Mwanza limeanza uchunguzi wa tukio la mtoto ambaye jina lake limehifadhiwa (10) anayedaiwa kukamatwa na wasamaria wema katika stendi ya mabasi ya Nyegezi jijini Mwanza katika harakati za kutoroka na mtoto wa mwajiri wake kwenda mkoani Mbeya. Taarifa ya mtoto huyo...
  20. JamiiForums Tanzania Picha: Jinsi tapeli la Kinigeria lilivyojaribu kunitapeli mtoto wa Magomeni Mikumi leo asubuhi

    Habari zenu wana JF wenzangu, natumai kila mtu yuko vizuri. Ebu fikiria mtu nimekulia maskani, dili zote za haram na halali nazijua, maana nyingi huwa zinapangwa katika maskani mbalimbali halafu ndo zinaenda kuchezwa halafu anakuja kijana from Lagos mashambani huko anataka kunitapeli mimi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…