mtoto

Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Msaada dawa ya kutibu minyoo kwa mtoto wa miaka 15

    Msaada dawa ya kutibu minyoo kwa mtoto wa miaka 15. Maana tumbo lake lina unguruma sana wakati wa usiku.
  2. JamiiForums Tanzania Waafrika tunabaguliwa sana. Tupende vya kwetu. Mtoto huyu ilivyonyanyapaliwa

    Mtoto mweusi arukwa Kavalishwa medali mbele ya camera. Imagine what is happening behind the camera? hawa watu wa nje wanatubagua sana waafrica. Ndo maana Magufuli alisema tupende n vya kwetu. .. huko nje hatupendwi hata kidogo
  3. R

    JamiiForums Tanzania Ni makosa Serikali kumdhalilisha mtoto mitandaoni kwa kumwita muongo bila hata kumsikiliza

    Kuna taarifa za mtoto kudanganya au kuibiwa matokeo ya kidato cha nne zinasambaa mitandaoni Serikali imejibu malalamiko kwa press tatu hadi sasa lakini kati ya wote walioripoti hakuna mtumishi wa umma au wizara iliyokiri kuhojiana na mwanafunzi anayelalamika. Means wizara zetu m halmashauri...
  4. JamiiForums Tanzania Simiyu: Kesi ya Askari kumjeruhi kwa kumpiga mtoto wake, iliyofutwa, yarejeshwa Mahakamani upya

    Kesi ya Jinai Na 08 ya Mwaka 2023 iliyokuwa inamkabili Askari wa Jeshi la Polisi H.4178 Abati Benedectio wa Kituo cha Polisi Bariadi Mkoani Simiyu kutuhumiwa kumpiga hadi kumjeruhi vibaya mtoto wake mwenye umri wa miaka 7 (jina linahifadhiwa) imerejeshwa tena. Askari hiyo Februari 17, 2023...
  5. JamiiForums Tanzania Ni mwezi wa tano sasa mtoto Warda haonekani

    Ni miezi mitano imepita tangu Mwanafunzi wa kidato cha pili Nyumbu Secondary, Kibaha Mkoani Pwani Warda Mohamedi(15) atoweke nyumbani alipokuwa anaishi April 19,2023 na hadi sasa hajulikani alipo licha ya juhudi za Familia kumsaka huku Polisi ikisema inaendelea na uchunguzi. Mwandishi wa...
  6. JamiiForums Tanzania Kasumba ya kuna uchungu wa mzazi kwa mtoto aliyemzaa haina ukweli

    KASUMBA YA KUNA UCHUNGU WA MZAZI KWA MTOTO ALIYEMZAA HAINA UKWELI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Mada hii inaweza ikawa Tata. Pengine ikazua mfuragano wa kutoleana hoja. Ni vizuri kila mmoja atoe hoja zake Kwa utulivu kutetea upande wake. Kuna dhana au tuseme Kasumba iliyoenea Duniani...
  7. JamiiForums Tanzania Je, ni haki mtoto wa Chekechea au la kwanza kufundishwa hesabu za kukopa?

    Je, ipi ni ngazi sahihi kwa mujibu wa mtaala kwa mtoto kufundishwa hesabu za kutoa kwa mtindo wa kukopa?
  8. JamiiForums Tanzania Gabon Mtoto wa Ali Bongo ashtakiwa kwa Uhaini na Rushwa

    tua hiyo inakuja wiki 3 tangu aliyekuwa Rais wa Nchi hiyo, Ali Bongo kupinduliwa Kijeshi muda mfupi baada ya Tume ya Uchaguzi kumtangaza kushinda Urais kwa muhula mwingine Noureddin Bongo Valentin ambaye ni Mtoto mkubwa wa Ali Bongo na washirika wao wakiwemo Msemaji wa Rais na waliokuwa...
  9. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi linamsaka aliyemfanyia Mtoto Kitendo cha Ukatili na Udhalilishaji kwa Kumning’iniza kwenye mti

    Jeshi la Polisi limeona video hii fupi (clip) ikimwonesha Mtoto aliyefanyiwa vitendo vya ukatili na udhalilishaji na limeanza kuifanyia kazi kuanzia ilipoanza kusambaa ili aliyefanya kitendo hicho cha kinyama kisichokubalika aweze kukamatwa na hatua zingine za kisheria ziweze kufuata. Mtoto...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali imchukulie hatua kali za Kisheria huyu aliyemtesa Mtoto kwa staili hii

    Haijalishi hata kama atakuwa Mtoto ana makosa kiasi gani, hii sio namna sahihi ya kumuadhibu Mtoto. Tafadhali Waziri Dkt. Gwajima D tunataka kuona huyu aliyefanya hivi anafikishwa kwenye vyombo vya sheria Pia soma: Jeshi la Polisi linamsaka aliyemfanyia Mtoto Kitendo cha Ukatili na...
  11. JamiiForums Tanzania Tuache unafiki, kuwa na mtoto mwenye ulemavu au magonjwa haya ni baraka?

    Na wengi wao huishia kufungiwa ndani, Mtoto mwenye matatizo ya akili, waweza kuta mtoto umezaa ana ulemavu kwenye akili yani hata yeye ni kama vile hajitambui, Kipofu - Hawezi kuona, kujifunza pia inakuwa ngumu sana, kwa mazingira yetu hata kutembea nje kwa fimbo si salama. Bubu - Hawezi...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini mtoto wako ukimwambia alale chini au anyonyooshe mikono umchape anakaidi lakini kwa mwalimu wake anatii?

    Kwanini mtoto wako ukimwambia alale chini au anyonyooshe mikono umchape anakaidi lakini mwalimu wake akisema afanye kitu au achapwe fimbo tano bila kufuta na inawezekana?
  13. JamiiForums Tanzania Mtoto wa kambo haniheshimu kama baba, nifanyaje?

    Mimi ni kijana umri wa miaka 25 Niko daresalam, Nina mapenzi na Mwanamke wa miaka 55. Tunakaa Pamoja na mtoto wake wa kiume miaka 36 Sasa huyu mvulana Haniheshimu kabisa kama baba yake wa kambo, hata nikimshauri kuhusu maisha hataki kunilewa kabisa nifanyaje? au nimfukuze hapa home? Source...
  14. JamiiForums Tanzania Mwanamke mwenye mtoto/watoto, unapotafuta mume tafuta ambaye atakubaliana na hali yako

    Habari za j2 wana JF. Naitaji kuzumza hili kidogo kwa single mothers, Unapokuwa unatafuta mume wa kuingia nae kwenye ndoa tafuta ambaye atakubaliana na hali yako kwa sababu wewe unamtoto tayari. Sasa akikataa mtoto wako unataka aende wapi? Kuna ndugu yetu mmoja ni single mother mwaka huu...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Jamani eti ni kweli kumfanyia mtoto birthday ni agano?

    Watu wanasema ukimfanyia mtoto birthday hasa kuanzia akiwa mdogo ni agano. Unatakiwa uendelee hivyo hivyo kila mwaka mpaka atakapo ingia kaburini au wewe utakapo ingia kaburini. .. usipo mfanyia hata mwaka mmoja ( hasa hasa akiwa bado mdogo anasoma) inaweza kumuathiri kisaikolojia pakubwa sana...
  16. JamiiForums Tanzania BASATA: Nay wa Mitego ni mtoto wetu, hatujamfungia

    Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA), Dkt. Kedmon Mapana, ameeleza kwamba BASATA haikumfungia mwanamuziki Emmanuel Elibariki, maarufu kama ‘Nay wa Mitego,’ kufanya maonyesho, lakini walimuita kuzungumza naye ili kurekebisha baadhi ya mambo. Akizungumza na waandishi wa habari...
  17. JamiiForums Tanzania Haki ya mtoto nje ya ndoa kurithi mali

    Historia ya Nafasi ya Mtoto wa nje ya Ndoa katika Mirathi Katika masuala ya mirathi jambo mojawapo ambalo limekuwepo katika jamii na limeibua changamoto kubwa ni nafasi ya mtoto wa nje ya ndoa kurithi mali ya mzazi wake. Suala hili limeibua migogoro ya kila aina kwenye familia mara baada ya...
  18. JamiiForums Tanzania Mtoto wa Rais ya Jamhuri ya Afrika ya Kati akimpiga mzungu kibao

    Mtoto wa Rais Faustin-Archange Touadera wa Jamhuri ya Afrika ya Kati, Evariste Touadera amezusha gumzo kubwa baada ya video inayomuonesha akiwazaba makofi wazungu kusambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii. Inaelezwa kwamba tukio hilo limetokea katika Mji wa Kislovodsk, Kusini mwa Urusi...
  19. JamiiForums Tanzania Pwani: Mtoto wa Tembo alivyonasa Kibindu, Halmashauri ya Chalinze

    Mnamo tarehe 11/09/2023 majira ya saa 2:22 asubuhi Ofisi ya Pori la Akiba Wamimbiki ilipokea taarifa toka kwa mwananchi aitwaye Manase Thomas Baha wa Kijiji cha Kwamsanja, Kata ya Kibindu, Halmashauri ya Chalinze. Taarifa ilisema kuna mtoto wa tembo amenasa kwenye shimo lenye tope na maji katika...
  20. JamiiForums Tanzania Mtoto wa Rais wa Nchi ya Jamuhuri ya Afrika ya Kati awazaba Makofi wazungu huko Urusi.

    Evariste Touadera, mtoto wa Rais wa Afrika ya Kati Faustin-Archangel Touadera, ameonekana kwenye video (hapo chini) akiwashambulia maafisa wa Urusi katika kituo cha kurekebisha tabia huko Kislodovsk, Moscow. https://dai.ly/x8o0qen Evariste alilazwa hivi majuzi katika kituo cha kurekebisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…