mtoto

Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania SI KWELI Kuna madhara usipomnyoa mtoto mchanga nywele alizozaliwa nazo

    Salama wakubwa wa JamiiCheck? Katika pitapita zangu mitandaoni kuna mtu nimeona akishauri kuwa ni vizuri kumnyoa mtoto mchanga nywele alizozaliwa nazo ili mtoto akue vizuri. Amedai kuwa mtoto asiponyolewa nywele hizo anaweza pata madhara ya ngozi ya kichwa, ukuaji duni lakini mwisho ni mambo...
  2. JamiiForums Tanzania Pendekezo: Itungwe sheria ya upimaji wa DNA kwa mtoto. Sheria iwe lazima pindi tu mtoto anapozaliwa

    Habari wakuuu..,.... Hali ilipofikia sio kuzuri.......palipofikia tena sio kwa kuoneana aibu.......watu wanalia kwa kutoa milio wengine wanalia kwa vibration na wengine wagugumia ndani ndani...... Siku hizi kitanda kinazaa haramu kwa kuwa wanandoa wameamua kuwa wana haramu...... Kwa hali...
  3. JamiiForums Tanzania Ni kweli kila mtoto anayekupa hela anakuwa ni Malaika kutoka Mbinguni?

    Kwahiyo kumbe hata Mimi GENTAMYCINE nikienda Kuwatembelea Marafiki zangu wakubwa hapa JamiiForums akina Mtani wangu Arovera, mrangi, Bila bila, SAGAI GALGANO. rodrick alexander na Mjeda wangu wa 521 Lugalo King Kong III na Watoto wao wakija kunipa Hela basi moja kwa moja natakiwa Kujisifu na...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Uume wa mtoto wangu wa miaka 8 wa hausimami akiamka asubuhi

    Ushauri wenu wakina Kijana wangu wakiume Umri miaka 8 kwa muda mrefu sana takribani miaka 4 uume wa kijana wangu umri miaka 8 simuoni uume ukisimama asubuh anapoamka. Ama nikimuamsha usiku wa mananE pia sioni uume ukisimama ila hapo kabla miaka 4 nyuma alikua akisimamisha vizur tu Msaada...
  5. Q

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Freeman Mbowe (Nicole) aachiwa na Jeshi la Polisi

    Nicole Mbowe ambaye ni Mtoto wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, ameachiwa huru na Polisi ikiwa ni zaidi ya saa mbili toka alipokamatwa maeneo ya Magomeni Mapipa Jijini Dar es salaam leo September 23,2024. - LIVE - Yanayojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA 23/9/2024 Nicole ameonekana nje ya...
  6. JamiiForums Tanzania Ushirikina hautakaa uishe..huyu mtoto alienda kufanya nn goli la waarabu??

    Hapoo anapewa maelekezoo na kamati ya ufundi
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa miezi 6.5 takriban masaa mawili analia bila kunyamanza shida inaweza kuwa nini?

    Habai wakuu mtoto gafla mda huu takriban masaa mawili na zaid analia bila kunyamanza..mama yake alikua katoka nyumbani kwenda kusalimia sehemu baada yakurudi jioni mtoto kaanza kuia bila kunyamanza. Hii inaweza kuwa shida gani?
  8. JamiiForums Tanzania Rafiki yangu kanipa kesi, kisa nimemsaidia mtoto wake mwenyewe

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Jirani na hapa nnapoishi mimi kuna home boy fulani ambae tumetokea kuzoeana, kushauriana na hata sometimes kutembeleana. Tulitokea kujuana nae miezi 6 iliyopita baada ya yeye na familia yake kuhamia hapa. Kwa Tanzania ni mzaliwa wa Kinondoni, wakati mimi mzaliwa wa...
  9. JamiiForums Tanzania Katika maisha yangu sikudhani kama nitakuja kulea mtoto wa mtu ila huyu dogo kabadilisha mtazamo wangu

    Hastaili kabisa kuishi bila baba
  10. JamiiForums Tanzania Mtoto wa nyoka ni nyoka; Isack Mwigulu atoa msaada wa ream paper kwa Uvccm Singida

    Like father, like son!
  11. F

    JamiiForums Tanzania Kwenda kumuangalia mtoto ukweni unatakiwa uende na nini?

    Wakuu msaada aisee vp kwenda ukweni unatakiwa kwenda na nini? Au vizawadi gani? Wakuu naombeni msaada aisee na natakiwa nivaaje? Aisee Nimejichanganya aiseee!!!
  12. JamiiForums Tanzania Viungo vya Mtoto aliyepotea vyapatikana Monduli, Ripota wa Millard Ayo anyang’anywa kadi ya kamera wakati akirekodi

    Kuna tukio limetokea hapa mtaani kwetu Monduli, Arusha, kuna Watoto wawili walipotea katika mazingira ya kutatanisha siku kadhaa zilizopita. Leo tarehe 19, Septemba 2024 mmoja kati ya Watoto wale mwili wake umeonekana maeneo fulani, Mwandishi wa MillardAyo.com akafika hadi eneo la tukio kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Nigeria: Mwanamke wa Miaka 40 ajifungua Watoto Sita kwa mpigo baada ya miaka 20 bila kuwa na Mtoto

    Furaha imetanda katika Kaya moja nchini Nigeria ambapo mwanamke mwenye umri wa miaka 40 amejifungua watoto 6 ikiwa watatu wa kiume na watatu wa kike baada ya kupita miaka zaidi ya 20 tangu alipopata mtoto wake wa kwanza. Kuzaliwa kwa watoto hao kulitangazwa katika video iliyosambazwa TikToka na...
  14. JamiiForums Tanzania Mama Hata CCM Wamechoka na Utekaji, Mbunge Amtaja Mtekaji Kuwa ni Mtoto Pendwa.

    Huyu pamoja na kuwa ni mchungaji lakini kisiasa ni kiongozi yaani ni mbunge wa Kawe. Amepiga verse za kutosha na kwa lugha ya Alama ametutajia mtekaji mkuu kuwa ni yule aliteka studio za TV na akamteka mwanamuziki. Huyo mtu ni mtoto pendwa wa #1 na toka amrudishe kwenye system matukio...
  15. JamiiForums Tanzania Mtoto wa msanii 50 Cent kutoka nchini Marekani hataki kufanya kazi

    MSANII 50 CENT "Mwanangu, Marquise Jackson ana umri wa miaka 25 na bado anaomba msaada wa mtoto. Bado nampa $6800 kila mwezi lakini anasema hazitoshi." 50 Cent "Mafanikio yalinigharimu uhusiano wangu na mwanangu wa kwanza, Marquise. Lakini hana akili, akiwa na umri wa miaka 25, haoni aibu...
  16. JamiiForums Tanzania Ni aibu jitu zima kuwa masikini halafu mtoto kama mimi nina pesa

    Hivi inakuaje jitu umri umeenda halina pesa linahangaika tu Kila siku aisee hua nacheka sana yaani jitu hata pesa ya kumhudumia kifamilia chake halina hivi mwanaume kama huyu si lofa maana mtoto wa kiume uwezi ukashindwa kumhudumia mwanamke wako na watoto au mnataka tajiri niwe nawalia wake...
  17. JamiiForums Tanzania Mtoto auawa baada ya familia kushindwa kutuma Milioni 6 kwa watekaji

    Hali tete , familia watendewe haki ni zaidi ya mwaka sasa , vyombo vya usalama vifanye juhudi za ziada . https://youtu.be/6onwxmeYfDE?si=qYODv9dKxBE-9040
  18. JamiiForums Tanzania Mimi ni mtoto mdogo ila pesa imejaa

    Huwa nashangaa mtu anaumri mkubwa halafu ni fukara wakati nipo Mimi mtoto mdogo tu miaka 28 ila pesa nyingi. Hivi mnafikiri kuwa na umri mkubwa ni sifa wakati mfukoni hamna kitu tafuteni hela nyie wazee. Huwa najiuliza hivi binadamu unakosaje kuwa na pesa yaani pesa nayo ni kitu Cha kukosa...
  19. JamiiForums Tanzania CHADEMA tuachieni Yanga na Simba zetu, zilipambania uhuru wetu. Ninyi mmefanikiwa tu kutuambia Abdul ni mtoto wa Rais Samia

    CHADEMA wanazionea gere Yanga na Simba ambazo katika maisha ya watanzania ni kama usiku na mchana
  20. JamiiForums Tanzania Wadau mimba ya tarehe 17 mwezi wa 12 mtoto anazaliwa lini?

    Tarehe 17 mwezi wa 12 ndio siku ya kukutana na mwanaume, ila mpaka sasa hivi hajazaa yuko timamu au ni kawaida. NB-habari ya kliniki sizijui kwahyo usiniulizee
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…