mtoto

Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.

View More On Wikipedia.org
  1. Kop0

    JamiiForums Tanzania Msaada wa shule nzuri ya boarding kwa mtoto wa kike

    Habari, kama kichwa cha habari. Msaada wa shule nzuri kwa mtoto wa kike boarding O level. Nataman sana za kikatoliki kwa anaejua. Pia na connection naomba tafadhali. Asante.
  2. Logikos

    JamiiForums Tanzania Lebron James and Bronny James Wameweka Historia NBA; Baba na Mtoto Kucheza pamoja

    LeBron James and Bronny James made NBA history by becoming the first father-son duo to play together on the same team during the Los Angeles Lakers' pre-season game against the Phoenix Suns. Bronny, on his 20th birthday, entered the court during the second quarter in a 118-114 defeat to the...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Diamond amejitolea kumsomesha mtoto wa Dida mpaka anamaliza Elimu

    Wakati wa kutoa pole kwa wafiwa mwanahabari mkongwe, Maulid Kitenge ametoa salamu kwa niaba ya Mkurugenzi wa Wasafi Media bwana Diamond Platnumz ambaye yupo Zimbabwe ambaye msiba umemkuta akiwa huko. Amesema kuwa kuanzia siku hiyo Diamond atabeba jukumu la kumsomesha mtoto wa Dida Shaibu mpaka...
  4. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Huyu mtoto very natural, huchoki kumsikiliza!

    Hawa jamaa waliomrekodi huyu mtoto ingekuwa wanalipwa, wamepiga bingo. Mtoto anaongea kwa lafidhi yake nafikiri kibena au kihehe kwafudhi ya kufurahisha na kuchekesha. Na hapo alipo mtoto haigizi. Na wanaomuigiza mtandaoni sasa wamekuwa wengi sana. Nimempenda huyu mtoto
  5. covid 19

    JamiiForums Tanzania Mwanangu wa drs la 2 nimemuuliza methali ya mtoto akililia wembe amenijibu mtoto kautaka..

    Yaani sijui hawa watoto maisha yako huko mbele yatakuwaje isee sikuendeleea nikamwambia akamwambie mama yake njaa inaniuma ila nimebaki na stress kila nikimwangalia na jamii hii ilivyo kazi ipo... Taifa la kesho linabalaa sana.
  6. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Video: Alia kama mtoto baada ya kugundua mke wake bado ana mahusiano na mzazi mwenzie

    Sikio la kufa...
  7. conductor

    JamiiForums Tanzania Dkt. Eliud (Medical), shujaa iliyeokoa mtoto toka kwa mama aliyefariki

    Nikiwa na mradi wa kujenga hospital huko Kilosa, mkoani morogoro, miaka kadhaa nyuma, nilipata kusikia taarifa hii ikizangazaa maeneo ya wodi ya wazazi, kuwa shujaa Daktari aliyeitwa ELIUD, kamuokoa mtoto asife baada ya mama yake aliyekuwa mjamzito KUKATA ROHO, ndani ya sekunde kadhaa vipimo...
  8. econonist

    JamiiForums Tanzania Siielewi hii kampeni: Mtoto wa leo ni Samia wa Kesho

    Kuna kampeni ya Leo imezinduliwa mkoani Tanga na Naibu Waziri Mkuu Mh Dotto Biteko inayoitwa Mtoto wa Leo ni Samiah wa Kesho. Hii Kampeni nimeshindwa kuuelewa kusudi lake. Je ni kweli kwamba kila mtoto wa Leo atakuwa Samiah wa Kesho?. Je, ni kweli kila mtoto anataka kuwa Kama Samiah? Je wawe...
  9. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Unajisifu una hela lakini umetelekeza mtoto

    📖Mhadhara wa 25: Mwanaume unaanzaje kukimbia majukumu ya kulea mtoto au watoto wako. Mwanaume rijali aliyekamilika hakimbii majukumu ya kulea damu yake, anaweza kumkimbia mwanamke aliyezaa nae lakini kamwe hakimbii jukumu la kumlea mtoto. Iwapo mwanaume rijali atamkimbia mwanamke aliyezaa nae...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa miezi 7 kamili ameharisha mara 13, dawa akipewa anaicheua

    Habar wakuu msaada wenu wa mawazo binti yangu ana miezi saba kamili sasa. Awali ya yote tangu ijumaa kaanza kuugua malaria akapewa doze ya mseto, sasa tangu alfajiri ya leo kaanza kuharisha na na tumbo kulisikia kama linatoa sauti. Kaharisha mara 13 tangu alfajiri. Asubuh tukachukua jukumu...
  11. JEJUTz

    JamiiForums Tanzania Siku nilipowashugulisha raia mtaani kwangu nilipokuwa mtoto

    Hii siku haitokaa niisahau abadan! Ilikuwa ni baada ya kushiba chakula changu cha mchana hapo home,huku nikifanya michezo ya hapa na pale. Ghafla nikakutana na kiberiti cha gesi nikakifuata na kukichukua. Ile zima washa zima washa ikanivutia nikaamua kwenda nacho mtaani. Kulikuwa na open...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Mtoto ana mwaka na miezi 7 na mama yake ana ujauzito ila afya ya mtoto kama inazorota

    Wazazi wenzangu naombeni msaada hapo niweze kuvuka kama Kuna sayansi yoyote nisaidieni nitumie Mtoto anaharisha, nimeenda hospital wamempa oral lakini naona hali yake kiafya inaporomoka, kula amepoteza hamu ya kula hali, muda mwingine unakuwa unashindwa ununue nini Ili ale Nitumie mbinu gani...
  13. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Kuna madhara usipomnyoa mtoto mchanga nywele alizozaliwa nazo

    Salama wakubwa wa JamiiCheck? Katika pitapita zangu mitandaoni kuna mtu nimeona akishauri kuwa ni vizuri kumnyoa mtoto mchanga nywele alizozaliwa nazo ili mtoto akue vizuri. Amedai kuwa mtoto asiponyolewa nywele hizo anaweza pata madhara ya ngozi ya kichwa, ukuaji duni lakini mwisho ni mambo...
  14. KikulachoChako

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Itungwe sheria ya upimaji wa DNA kwa mtoto. Sheria iwe lazima pindi tu mtoto anapozaliwa

    Habari wakuuu..,.... Hali ilipofikia sio kuzuri.......palipofikia tena sio kwa kuoneana aibu.......watu wanalia kwa kutoa milio wengine wanalia kwa vibration na wengine wagugumia ndani ndani...... Siku hizi kitanda kinazaa haramu kwa kuwa wanandoa wameamua kuwa wana haramu...... Kwa hali...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kila mtoto anayekupa hela anakuwa ni Malaika kutoka Mbinguni?

    Kwahiyo kumbe hata Mimi GENTAMYCINE nikienda Kuwatembelea Marafiki zangu wakubwa hapa JamiiForums akina Mtani wangu Arovera, mrangi, Bila bila, SAGAI GALGANO. rodrick alexander na Mjeda wangu wa 521 Lugalo King Kong III na Watoto wao wakija kunipa Hela basi moja kwa moja natakiwa Kujisifu na...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Uume wa mtoto wangu wa miaka 8 wa hausimami akiamka asubuhi

    Ushauri wenu wakina Kijana wangu wakiume Umri miaka 8 kwa muda mrefu sana takribani miaka 4 uume wa kijana wangu umri miaka 8 simuoni uume ukisimama asubuh anapoamka. Ama nikimuamsha usiku wa mananE pia sioni uume ukisimama ila hapo kabla miaka 4 nyuma alikua akisimamisha vizur tu Msaada...
  17. Q

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Freeman Mbowe (Nicole) aachiwa na Jeshi la Polisi

    Nicole Mbowe ambaye ni Mtoto wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, ameachiwa huru na Polisi ikiwa ni zaidi ya saa mbili toka alipokamatwa maeneo ya Magomeni Mapipa Jijini Dar es salaam leo September 23,2024. - LIVE - Yanayojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA 23/9/2024 Nicole ameonekana nje ya...
  18. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Ushirikina hautakaa uishe..huyu mtoto alienda kufanya nn goli la waarabu??

    Hapoo anapewa maelekezoo na kamati ya ufundi
  19. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa miezi 6.5 takriban masaa mawili analia bila kunyamanza shida inaweza kuwa nini?

    Habai wakuu mtoto gafla mda huu takriban masaa mawili na zaid analia bila kunyamanza..mama yake alikua katoka nyumbani kwenda kusalimia sehemu baada yakurudi jioni mtoto kaanza kuia bila kunyamanza. Hii inaweza kuwa shida gani?
  20. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu kanipa kesi, kisa nimemsaidia mtoto wake mwenyewe

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Jirani na hapa nnapoishi mimi kuna home boy fulani ambae tumetokea kuzoeana, kushauriana na hata sometimes kutembeleana. Tulitokea kujuana nae miezi 6 iliyopita baada ya yeye na familia yake kuhamia hapa. Kwa Tanzania ni mzaliwa wa Kinondoni, wakati mimi mzaliwa wa...
Back
Top Bottom